Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Sunday, August 31, 2014

UKIMWI NA EBOLA NI SILAHA ZA MAANGAMIZI pt. 4


Sunday, August 24, 2014

UKIMWI NA EBOLA NI SILAHA ZA MAANGAMIZI pt. 3


Marekani, ukimwi umeenea kupitia chanjo ya majaribio ya Hepatitis B, ambayo ilifanywa kwa maelfu ya mashoga waliojitolea kati ya mwaka 1978 na 1981. 

Thursday, August 21, 2014

UKIMWI NA EBOLA NI SILAHA ZA MAANGAMIZI pt. 2


Tumejaribu kuangalia kwa kina ni namna gani virusi HIV vinaweza kusababisha ukimwi. Lakini si kwenye uchambuzi yakinifu wa kisayansi, wala si kwenye elimu ya matibabu na wala si kwenye sifa na tabia ya virusi hawa tuliko weza kupata uhusiano baina ya virusi wa HIV na ukimwi. Ukweli ni kuwa virusi hawa hawawezi kusababisha ukimwi katika kila hali kama tulivyo ona wenyewe kwenye maeneo ya msingi ambayo ndiyo yanayo shikiliwa na wale wanao beba nadharia hii ya HIV kusababisha ukimwi. Sasa kama HIV haisababishi ukimwi, je ni kipi hicho kinacho tupatia ukimwi?

Tuesday, August 19, 2014

UKIMWI NA EBOLA NI SILAHA ZA MAANGAMIZI


“Usifanye chochote kinyume na roho yako inavyo kuambia, hata kama nchi nzima inakuambia ufanye” – Albert Eistien

“ Embu tujitizame tu sisi. Kila kitu kinakwenda kinyume; kila kitu ni chini juu na juu chini. Madaktari wanaharibu afya, wanasheria wanaivunja haki, vyuo vikuu vinaiharibu elimu, serikali zina uvunja uhuru, vyombo vikubwa vya habari vina haribu taarifa na dini zinaharibu roho”Michael Ellner

“ … Afya ya watu hapana shaka ndiyo msingi ambao furaha zote na nguvu zote za nchi ndipo zinapo tegemea … lakini ikiwa idadi ya watu katika nchi haiongezeki au kila mwaka inapungua – kwa, idadi, nguvu, afya, fahamu nchi hiyo imefikia tamati. Afya ya wananchi, kwa maoni yangu ndiyo jukumu la kwanza kabisa kwa kiongozi wa nchi.”  Benjamin Disraeli, 1877, Waziri Mkuu wa Uingereza.


Saturday, August 16, 2014

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH


Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge,

“Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kurasa za mitandao ya picha za uchi vimejazwa na matangazo ya dawa za aina mbalimbali za Viagra, ambazo kiuhakika zilitengenezwa kwa ajili ya wazee ambao wanayo matatizo yanayohusiana na kusimamisha uume wao kutokana na kusinyaa au kuzibika kwa mishipa yao ya damu inayotiririka kuelekea kwenye uume. Leo hii vijana wadogo kabisa wanao tembelea kurasa hizo za uchi kwenye mitandao kwa idadi kubwa sana wamekuwa na tatizo la ED, na taarifa zisizo sahihi ni kwamba eti vijana hao wanalo tatizo kwenye viungo vyao vya uzazi, lakini hapana, tatizo lipo kwenye vichwa vyao ... ni mara chache sana wanaweza kuongeanisha tatizo hilo na filamu za uchi wanazo tizama kila siku ...”

Tuesday, August 12, 2014

PICHA ZA UCHI KWENYE MTANDAO NI BOMU NDANI YA NDOA




Ili uweze kuielewa posti hii vyema ni lazima uwe imeshaisoma posti iliyotangulia yenye maudhi kama haya inayo kwenda kwa jina la http://salimmsangi.blogspot.com/2014/05/picha-za-uchi-na-tatizo-la-nguvu-za.html

“Nimekuwa nikitazama picha za uchi kwa kiasi kikubwa sana tangu nikiwa ‘teeneger’ na nimekuwa na tatizo la ED tangu miaka ya ishirini, lakini ni kwenye miaka ya thelathini ndiyo tatizo la ED limekuwa jinamizi. Nimekuwa nikiwalaumu wanawake au mwenza kwa kukosa mvuto, au nikisingizia hili na lile kuhusiana na afya yangu, chakula, uchovu, umri n.k. 

Sunday, August 3, 2014

PALESTINA, KOSA LAKO NINI?

NI WAPI ANAPELEKWA MWANAMKE HUYU WA KIPALESTINA NA MIJIBABA HIYO YA KHAZARI