Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Tuesday, August 19, 2014

UKIMWI NA EBOLA NI SILAHA ZA MAANGAMIZI


“Usifanye chochote kinyume na roho yako inavyo kuambia, hata kama nchi nzima inakuambia ufanye” – Albert Eistien

“ Embu tujitizame tu sisi. Kila kitu kinakwenda kinyume; kila kitu ni chini juu na juu chini. Madaktari wanaharibu afya, wanasheria wanaivunja haki, vyuo vikuu vinaiharibu elimu, serikali zina uvunja uhuru, vyombo vikubwa vya habari vina haribu taarifa na dini zinaharibu roho”Michael Ellner

“ … Afya ya watu hapana shaka ndiyo msingi ambao furaha zote na nguvu zote za nchi ndipo zinapo tegemea … lakini ikiwa idadi ya watu katika nchi haiongezeki au kila mwaka inapungua – kwa, idadi, nguvu, afya, fahamu nchi hiyo imefikia tamati. Afya ya wananchi, kwa maoni yangu ndiyo jukumu la kwanza kabisa kwa kiongozi wa nchi.”  Benjamin Disraeli, 1877, Waziri Mkuu wa Uingereza.



Tuanze safari ...


     Tangu janga hili la ukimwi lilipotangazwa rasmi mwanzoni kabisa mwa miaka ya 80, takwimu za mwezi Novemba 2011 kutoka kwenye mashirika ya UNAIDS, WHO na UNICEF zilionesha kuwa watu milioni 34 duniani kote wanaishi na virusi vya ukimwi, kati yao wamo milioni 22.9 kutoka kwenye nchi zilizomo kusini mwa jangwa la Sahara peke yake. Katika maambukizo mapya duniani kote kwenye takwimu hizo ni watu milioni 2.7 kati yao milioni 1.9 ni kutoka kwenye nchi zilizomo kusini mwa jangwa la Sahara. Vifo vilivyo tokana na janga hilo mpaka mwaka 2010 kutokana na takwimu hizo ni milioni 1.8 duniani kote, ambapo milioni 1.2 ni kutoka kwenye nchi zilizomo kusini mwa jangwa la Sahara. (http://www.avert.org/worldstats.htm)
     Tangu mwaka 1987 idadi imekuwa ikiongezeka ya madaktari na wanasayansi wakihoji je kama kweli virusi vya HIV ndiyo vyenye kusababisha ukimwi. Baadhi yao kazi zao zimethibitisha kuwa virusi vya HIV havijapata kuwa ndiyo sababu hasa ya mtu kuugua gonjwa hili la ukimwi na wengine wakisema kuwa HIV peke yake haiwezi kusababisha ukimwi ila vitahitaji kuwepo kwa kisababisho kingine.

     Ni jinsi gani hasa virusi wa HIV wanazishambulia na kuziua T cell na hatimaye kumsababishia muhusika ugonjwa wa ukimwi bado haifahamiki. Gallo mwenye pamoja na timu yake, anayetajwa kama mgunduzi wa virusi hawa wameshindwa kuudhihirishia ulimwengu wa kisayansi na ulimwengu wa madaktari kuwa ni namna gani HIV wanaweza kuzishambulia T Cell. Lakini kingine cha kushangaza ni kuwa wengi wanaitwa wana maradhi ya ukimwi ni wale ambao wamepimwa na miili yao imekutwa inayo kinga dhidi ya virusi wa HIV. (Peter H. Duesberg & Bryan J. Ellison  - ‘Is the AIDS virus a science Fiction?, Immunosuppressive behavior, not HIV, may be the cause of AIDS’ – Makala kwenye jarida la Policy Review la 1990.)




     Narudia tena, yaani miili yao baada ya vipimo imeonekana kuwa na kinga dhidi ya virusi wa HIV ndiyo wanao ambiwa wana virusi vya HIV ambavyo vinaweza kuwasababishia  ukimwi. Hawaambiwi kuwa miili yao tayari inakinga dhidi ya HIV isipokuwa wanaambiwa wana HIV na kuanzia hapo wanaanza kutumia dozi za ARV. Lakini pia kutokana na takwimu hizo hapo juu utaona ukimwi upo zaidi kwenye bara la Afrika kuliko sehemu nyingine yoyote duniani na hii nayo inatoa wasi, wasi kwa watafiti huru na kwa mtu yoyote mwenye fikra huru, ikiwa mazingira ya kupatikana kwa gonjwa hili kote duniani yanalingana kwa nini basi ni Afrika peke yake, tena kwenye nchi zilizomo kusini mwa janga la Sahara?

Tangu UKIMWI ulipotangazwa kiserikali wazi, wazi mnamo mwaka 1981 kumekuwa na tetesi kwamba UKIMWI ni janga lililotengenezwa maabara na binaadam kwa kutumia virusi vya HIV (Human Immunodeficiency Virus) ambavyo kwa makusudi viliingizwa kwa mashoga wa kimarekani na kwa Waafrika. Ingawa watu wengi wasiopenda kufikiri au kutizama mambo kwa kina wanapinga uwezekano huo lakini kuna vyanzo mbali, mbali vya ushahidi vinavyoelezea na kuonesha kuwa UKIMWI umetengenezwa maabara.

Mazingira kama hayo unayapata tena kwenye gonjwa lingine linalo kwena kwa jina la EBOLA.
Virusi vya EBOLA kiajabu ajabu vilitokea kwenye Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mwaka 1976 na baada ya hapo vikawa vinaibuka kama kizuka maeneo mengine ya nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara bila maelezo ya kina ya vipi na wapi umetokea ugonjwa huo.
Waoaitwa ‘wanasayansi’ kwenye eneo la utabibu wa kisasa wanakuja na nadharia kama ile ya UKIMWI kwamba ni nyama ya nyani aliyeathirika na virusi hao ndiyo iliyosababisha baada ya nyama hiyo kuliwa na binadamu.
Taarifa za kiserikali zinazotolewa na wanao jiita wataalam wa ukimwi kama Robert Gallo, aliye kuja na nadharia kuwa ukimwi unatokana na Greenmonkeys , tarifa hizo zinaporudiwa mara kwa mara na mamia na maelfu ya vyombo vya habari duniani habari hizi zinageuka kuwa ni “Ukweli wa Msingi” juu ya chanzo cha ukimwi. Lakini wakati huo, huo hao wataalam pamoja na vyombo vya habari wanakuwa kimya linapokuja suala kuwa kuna ukweli mwingine wa msingi unaopingana na taarifa hizo za kiserikali kuhusu UKIMWI kuwa ni zao la Greenmonkeys.
Tafiti kadhaa zilizofanyiwa majaribio zinaonesha kuwa UKIMWI ni maradhi yaliyotengenezwa maabara na binaadam, tafiti hizo zinaonesha kuwa maradhi hayo yamelengwa kuwafuta aina fulani ya watu wasiohitajika kuishi.



Jacob Segal Profesar wa Baiolojia katika chuo Kikuu cha Hambord katika mashariki ya Ujerumani, anaamini kuwa virusi wa HIV walitengenezwa katika Maabara za kivita za Marekani za Fort Detrick, Maryland. Kutokana na tafiti yake virusi hivyo vilitengenezwa kati ya mwaka 1977 na 1978, kisha vikajaribiwa kwa wafungwa wa magereza ambao walijitolea kwa majaribio hayo kwa masharti kuwa wataachiwa mapema na kisha wafungwa hao wakavisambaza virusi hivyo kwa wengine. Profesa huyu amelaumiwa na serikali ya Kisovieti kwa kutoa habari asizostahiki kutoa. (Dr. Leonard G. Horowitz, ‘AIDS and Ebola - Where Did They Really Come From?’)

Tukiachana na hizo tafiti kwa muda halafu tutazirejelea baadaye, turudi kwenye miaka ya 1970 ambapo historia ya maradhi haya ilianza kuandikwa. Katika kipindi hicho idadi ya watu weupe wa nchi za Amerika na Ulaya ilikuwa ikipungua kwa kasi sana na kama itakumbukwa ni katika kipindi hichi elimu kuhusu uzazi wa mpango ndiyo ilikuwa imefanikiwa kwa hali ya juu sana. 

Hivyo kulikuwa na haja ya kuchukua hatua za makusudi kupambana na ongezeko kubwa la watu katika nchi zinazoendelea ama sivyo nchi hizo za dunia ya tatu zitakuwa ni tatizo kubwa na kitisho kwa utawala unaoandaliwa wa kimasoni. 

Nguvu na bidhaa za watu wa Magharibi zitanyonywa na kupunguzwa kabisa na tishio hilo la ongezeko la watu kwa nchi zinazoendelea na kufanya mataifa hayo ya Ulaya yawe mataifa tegemezi kwa nguvu kazi kutoka nchi za Dunia ya Tatu. 

Kwa hiyo tabaka lililojengwa baina ya ongezeko la watu katika nchi za Dunia ya Tatu na nchi za Dunia ya Kwanza lazima lifukiwe ilikuhakikisha usalama na uwezekano wa kusimamisha dola ya kimasoni.


Mwaka huo, huo aliyekuja kuwa  raisi wa Marekani mwaka 1976  James Earl Carter, alihakiki taarifa yenye kurasa 600 yenye kichwa cha habari “Global 2000”, iliyoandikwa na kinara wa New World Order na muwaji mkubwa kati ya wauaji wengi wa halaiki na mfuasi wa asasi kadhaa za siri bwana Henry Kissenger. Kati ya vitu vingi kwenye taarifa hiyo ililenga kupunguza idadi ya watu duniani kwa njia ya vita, njaa na magonjwa na kuondoa idadi ya watu bilioni 2.5 ifikapo mwaka 2000.
 “ Ili kudhibiti ongezeko la watu Duniani lazima tupunguze watu 350,000 kwa siku. Ni kitu cha kutisha kusema hivyo, lakini ni vibaya zaidi kutokusema, kwa mwaka mmoja tutakuwa tumepunguza watu milioni 128” ( Jacques-Yves Cousteau alisema kwenye mahojiano ya jarida la UNESCO (Novemba 1991, Uk 13))



     Cousteau alimaanisha kuwa viongozi wa kidunia wanashikiliwa na Freemasons wanaaminika kumi ya kupunguza idadi ya watu, kabla haujafika muda wa kufanya maamuzi ya kutisha zaidi.
Thomas  Ferguson kiongozi wa kimarekani anayeshughulika na masuala ya idadi ya watu Marekani, Office of Population Affairs (OPA), aliandika mwanzoni mwa miaka ya 1970
“ Kuna aina moja tu ya maudhui nyuma ya kazi yetu yote - lazima tupunguze idadi ya watu. Kushindwa kwetu kupunguza idadi ya watu kwa njia rahisi kumetengeneza msingi wa kuanguka na kushindwa kwa suala la ulinzi. Serikali ya El Salvador wameshindwa kutumia mipango yetu kupunguza idadi yao ya watu sasa wanapambana na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya hili. Bado wana watu wengi pale. Vita vya wenyewe  kwa wenyewe kwa kisi fulani vinasaidia kupunguza idadi ya watu. Njia rahisi na ya haraka zaidi ya kupunguza idadi ya watu ni kwa njia ya njaa kama Afrika na kwa maradhi kama Black Death. Tunaagalia mbinu zetu zinataka nini na tunasema hii nchi ni lazima ipunguze watu wake ama sivyo itatupatia matatizo. Kwa hiyo hatua zinachukuliwa”.( Executive Intelligency Review, Special Report,25 Juni 2000, Uk 28-30)



Huu ni mwanzo wakufahamu ni kwa nini vita haviishi Afrika, ni kwa nini Umoja wa Mataifa haukufanya chochote katika mauwaji ya halaiki ya Rwanda ya mwaka 1994 mpaka pale zaidi ya milioni moja walipokufa ndipo ikajitokeza, ilikuwa wapi? Utafahamu ni kwanini mpaka sasa DRC Congo imepoteza watu milioni 6 kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe na hakuna anayesema kitu. Utajua ni kwa nini dunia kila mwaka inapoteza watu milioni 20 kwa njaa wakati asilimia kumi ya bajeti ya ulinzi ya taifa kama Marekani inatosha kuufuta umasikini duniani, wakati matani ya chakula katika nchi zilizo endelea  yanamwagwa baharini kila mwaka ili kulinda soko la bidhaa zao kwenye soko la dunia.



“Zinaweza kuwa ni habari za kushangaza kwa watu wengi, lakini vipimo vya HIV vinavyo fanywa na vituo vya afya kwa watu,  leo hii havifanywi kwa ajili ya kuangalia kuwepo kwa virusi vya HIV. Bali vinafanywa kwa ajili ya kuangalia kuwepo kwa kinga ya HIV ambayo inatengenezwa kiasili na mfumo wa ulinzi mwilini. Lakini si kwa vile una aina hii ya kinga dhidi ya HIV ndani ya mwili wako ndiyo tuseme una HIV. Wakati mwingine zaidi ya asilimia 50 ya vipimo vinavyo onesha mtu anavyo virusi vya HIV ni uwongo, unao wasababishia mashaka, hofu na matatizo ya kisaikolojia wahusika walio ambiwa kimakosa kuwa wana virusi vya HIV ”( Mikes Adams, makala kwenye jarida la the health rangers Julai 20, 2010. ‘HIV Vaccines Cause 50 Percent False Positive Rate in HIV Tests’)

Habari za kushangaza ziliwekwa hadharani na tafiti iliyo fanywa na Journal of the American Medical Association. Tafiti hiyo ilithibitisha kuwa, wagonjwa ambao hawakuwa na virusi vya HIV walio shawishiwa kuchukua chanjo ya HIV waliishia kuwa na HIV ingawa kabla ya chanjo hawakuwa navyo, habari hii iliripotiwa pia na US News na World Report.(ibid)



Lakini hii ndiyo tabia ya chanjo zote za maadui zetu kama tutakavyo zidi kuona, ushauri nasaha ni kuwa fikiria mara mia moja kabla ya kwenda kupokea au kumpeleka mtoto wako kupokea chanjo. Taarifa hizo hapo juu zinaonesha kukosekana kwa ukweli, usahihi, uaminifu na uyakinifu kwenye vituo vinavyo endesha vipimo vya HIV na pia zinatuonya juu ya kwenda kupokea chanjo dhidi ya maradhi hayo ambapo chanjo hizo zitapelekea kuonekana kwamba una virusi vya HIV na hatimaye kupewa jina kuwa una maambukizo ya HIV na hivyo huna budi kutumia ARV kuzuia maambukizo mapya na kujikinga usipate ukimwi. Zaidi kuhusiana na chanjo tizama posti hizi, http://salimmsangi.blogspot.com/search/label/chanjo


Watu wataanza kukunyanyapa kwa ugonjwa ambao hauna, hakuna kampuni ya bima itakayo taka kuingia mkataba na wewe, kuna nchi ambazo hutaruhusiwa kuingia kwa vile nchi nyingi zinataka ufanye vipimo vya HIV kwa wahamiaji wapya, unaweza kwenda jela na kushutumiwa kuwa unajaribu kufanya mauwaji kwa kulala na mtu ambaye hujamuambia kuwa unavyo virusi vya HIV (Ingawa kiukweli kabisa hauna) Ndoa inaweza vunjika, na mchumba anaweza kukimbia na jamii na familia inaweza kukutenga, hii yote ni kwa sababu tu, umeambiwa eti unavyo virusi vya HIV kupitia vipimo batili, lakini juu ya yote tumeshaona kuwa HIV peke yake haiwezi kumsababishia mtu ukimwi, au kwa uwazi kabisa HIV haisababishi ukimwi! Anaye sema HIV inasababisha ukimwi atoke mbele na authibitishie uma kinaga ubaga ni kwa vipi HIV inasababisha ukimwi. 

Mpaka sasa tunamsubiri Galo na wenzake watuambie ni vipi HIV inasababisha ukimwi, tunamsubiri, tangu alipotuambaia mwaka 1981 mpaka leo hajathibitisha madai yake. 

Punde nitakuelezea ni kipi kinacho sababisha Ukimwi lakini siyo HIV.

Kwa mantiki hii kwa nini basi watu wapokee chanjo dhidi ya ukimwi? Nipeni sababu jamani. Mwili ambao mfumo wake wa ulinzi uko vyema unatengeneza askari wa kupambana na virusi wa aina mbalimbali ndani ya wiki tu. Sikiliza maneno ya Dr. Luc Montagnier, mshindi wa zawadi ya Nobeli, mkufunzi kwenye elimu ya virusi mbalimbali, anasema,
“Tunaweza kupokea virusi vya HIV mara nyingi bila kuathirika navyo. Mfumo wetu wa ulinzi ndani ya mwili unatengeneza askari seli wa kupambana na virusi hao ndani ya wiki chache, kama mfumo wako wa ulinzi ni bora”( http://naturalnews.com/027355_AIDS_HIV.html)



Nadharia kuhusu ‘janga’  la ukimwi namna lilivyo anza na linavyo endelea kutafuna maisha ya watu, ina mapungufu mengi achilia mbali kuchukuliwa kama ndiyo ukweli wa msingi na serikali nyingi duniani pamoja na taasisi zake. Katika ulimwengu huru wa sayansi na tiba nadharia hii ya ‘janga’ la ukimwi si sahihi na wala haifai kuchukuliwa kama ukweli wa msingi kwa sababu nadharia hii haijaweza kukidhi vigezo vya kisayansi vinavyo hitajika kuifanya kukubalika kwenye ulimwengu huo kama ndiyo ukweli wa msingi juu ya suala zima la virusi vya HIV na ukimwi.

Vigezo vinavyo kubalika kisayansi katika ulimwengu wa tiba ni ‘Kanuni Koch’, kanuni hii ilitambulishwa karne iliyopita na bwana Robert Koch ambaye mwaka 1882 aligundua kirusi kisababishacho kifua kikuu, mwaka 1883 aligundua kirusi kisababishacho kipindupindu, na mwaka 1905 alipokea tuzo ya Nobeli kwa upande wa tiba. Kanuni ya Koch inatumika kama kanuni ya msingi katika kutambua kama ugonjwa unaweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine na kama ugonjwa huo unasababishwa na aina fulani ya kirusi. 

Lakini mwana baiolojia kutoka chuo cha Havard kwenye fani ya molekuli bwana Walter Gilbert anasema nadharia ya HIV kama ugonjwa unasababishwa na virusi na wakuambukizwa ina pingana na kanuni ya Koch.( Peter H. Duesberg & Bryan J. Ellison - IS THE AIDS VIRUS A SCIENCE FICTION?, IMMUNOSUPPRESSIVE BEHAVIOR, NOT HIV, MAY BE THE CAUSE OF AIDS, , Policy Review Summer 1990)

Kanuni ya kwanza ya Koch: Kirusi lazima kipatikane katika seli zilizo athiriwa na ugonjwa. Lakini hakuna kirusi cha HIV unacho weza kukipata kwa karibu asilimia 10 mpaka 20 ya wagonjwa wa ukimwi. Mpaka hivi karibuni kwa kutumia vyombo vya kisasa zaidi katika vipimo, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kirusi cha HIV na waathirika wengi wa ukimwi, yaani kirusi hicho hakipatikani katika seli ya idadi kubwa ya wagonjwa wa ukimwi moja kwa moja.( Ibid)



Kanuni ya pili ya Koch: Kirusi lazima kiweze kujitenga na kirusi kingine kilicho tofauti na hicho na kiweze kujitenga na seli yenyewe au mwili wa mgonjwa. Hata hivyo kiasi cha virusi vya HIV kwa mgonjwa wa ukimwi ni kidogo sana kiasi kwamba virusi hivyo haviwezi vikajitenga au kutenganishwa moja kwa moja kutoka kwenye seli za mgonjwa. Njia pekee inayotumika ya kuweza kuvitenganisha virusi hivi na seli za mgonjwa wa ukimwi na mgonjwa mwenyewe ni kwakuchukua kiasi kikubwa cha seli kutoka kwa mgonjwa na kasha kuzitia seli hizo aina fulani wa mchanganyiko wa kikemikali ili kuweza kuvifufua virusi vya HIV na viweze kuonekana. Hali hii ni tofauti sana na magonjwa mengine yasababishwa na virusi ambapo, kunakuwa na kiasi kikubwa cha virusi vilivyo hai vinavyo wezwa kutangwa moja kwa moja na damu au seli zilizo athirika za mgonjwa. Virusi hivyo hufikia idadi ya kutoka milioni moja mpaka bilioni moja kwenye ujazo wa mililita moja kwenye plazma ya damu ya mgonjwa. Lakini si kwa virusi vya HIV ambavyo kwa mgonjwa wa ukimwi havipatikani zaidi ya elfu moja kwa kila ujazo wa mililita moja wa plazma ya damu, tena kwa kutumia aina fulani ya kemikali kwa damu iliyo chukuliwa kwa vipimo, kemikali hiyo ndiyo itakayo muwezesha muuguzi kuviona au la virusi hivyo, na vinapo onekana pia idadi yake ni ndogo mno. Hapa utaona kabisa, kabisa HIV haiwezi kusababisha ukimwi.(ibid)




Kanuni ya tatu ya Koch: Kirusi lazima kisababishe ugonjwa kinapo ingizwa kwa mtu asiye na ugonjwa wa kirusi hicho. Kirusi cha HIV hakikuonesha kusababisha ugonjwa kilipoingizwa kwenye mwili wa nyani kwa majaribio wala kilipo ingizwa kwa wahudumu wa hospitali bila wao kujua. Endapo kanuni hii ya tatu kwa njia au sababu zozote zile itashindikana kutumika, basi mbadala wake lazima utumike, nao ni ushahidi wa kutosha kutoka kwa madaktari juu ya tiba kwa mgonjwa wa kirusi husika, mgonjwa anapaswa kupona na kirusi humalizwa nguvu kabisa baada ya kupokea tiba hiyo, lakini imekuwa ni tofauti hakuna chanjo wala dawa zozote dhidi ya HIV zilizo weza kuzuia au kutibu ugonjwa ukimwi, ingawa dawa na chanjo mpya zinapendekezwa kila uchao.(ibid)




Kanuni ya nne ya Koch: Kanuni hii inatumika pale tu kanuni iliyotangulia imetumika na kutoa majibu yaliyo tarajiwa au vinginevyo kanuni hii haina maana ya kutumika, na hapa hatuwezi kuitumia kwa vile kanuni iliyo tangulia haikutupa majibu tuliyo tarajia. Kanuni hii inasema kirusi lazima kwa mara nyingine baada ya mgonjwa kupona, kitenganishwe na seli iliyo athiriwa na ugonjwa mpya.(ibid)


HIV na kile kinacho daiwa kinatokana na virusi hao yaani ukimwi, kushindwa kuwiana na kanuni za Kochi kuna zua maswali mengine kama kweli ukimwi ni gonjwa la kuambukizwa. Kanuni za Kochi kwenye ulimwengu wa virusi na matibabu ni kanuni za msingi sana katika kuutambua ugonjwa, na ikiwa HIV na ukimwi zinakingana na kanuni hizi basi mbadala wa kimantiki inabidi utolewe na wale ambao wanao dai kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya HIV na ukimwi, mbadala ambao utakidhi haja tuliyoshindwa kuipata kwenye kanuni za Kochi kwa kufuata kanuni za sayansi ya virusi na kitabibu.

Mbadala uliotolewa na wale wanao dai kuwa HIV ndiyo inayosababisha ukimwi baada ya nadharia hiyo kushindwa kukubaliana na kanuni za msingi za kuweza kufahamu ugonjwa na tabia zake, kanuni za Kochi. Mbadala huo nao unakuja hivi ….

Beverly Griffin, mkurugenzi wa kitengo cha Virology katika Royal Postgraduate Medical School London anasema kuhusu mbadala huo. HIV imepewa Sifa zisizo zake ili kuweza kuunganisha virusi hao na maradhi ya ukimwi. Kikawaida virusi kama wa HIV inachukua takribani miaka kadhaa baina ya kipindi cha maambukizo mpaka kugundulika kwa ukimwi. Lakini ugonjwa unapo gundulika mwaka mmoja tu baada ya maambukizo ya virusi wa HIV, inakuwa ni vigumu kuwa na uhakika kama sababu nyingine hatarishi sizo zilizo sababisha ugonjwa (kama dawa zenye sumu kali na chanjo). (ibid)

Pili, kakuwa virusi wa HIV, kabisa hawapatikani katika kidondo, mkwaruzo au mchubuko wa mtu wenye virusi hao, wanasayansi wanatengeneza nadharia ambayo haina ukweli wa msingi kwamba ukigusana damu ya mwenye virusi ana asiye navyo basi asiye navyo naye atapata. Ingawa tumeshaona ni kiasi kidogo sana cha virusi hao wanapatikana kwenye damu ya mgonjwa na ambao inabidi kutiwa mchanganyiko maalum kuwafufua iliwaweze kuonekana kwenye vipimo vyetu. (ibid)



Tafsiri ya ukimwi nayo ni ngumu. Centers for Disease Control and Prevention (CDC) mwaka 1987 ilitaja maradhi 25, kama moja au zaidi ya maradhi haya yatapatikana kwa mgonjwa mwenye virusi vya HIV basi moja kwa moja mgonjwa atachukuliwa kuwa anayo ugonjwa wa ukimwi. Lakini moja ya maradhi hayo au zaidi endapo yatapatikana kwa mgonjwa bila virusi vya HIV, basi ugonjwa huo utatibiwa kama wenye, mathalani T.B ambao nao umetaja katika orodha ya magonjwa hayo 25. Lakini T.B inapopatika kwa mtu mwenye HIV moja kwa moja hatotibiwa T.B bali ukimwi, sasa hapa utajiuliza ukimwi ni nini? (ibid)

Tatizo la Pili, sababu ya kukusanya magonjwa yote haya chini ya ukimwi ni kwa vile yote yanasababishwa na kitu kimoja, udhofu au upungufu wa kinga za mwili. Lakini hata hivyo upungufu wa kinga unashindwa kuowana na baadhi ya maradhi yaliyo orodheshwa na CDC, mathalani ugonjwa wa saratani na ugonjwa wa akili ambao nayo inapatikana kwenye orodha hiyo ya CDC.  
Tafiti zinaonesha kuwa saratani haiongezeki zaidi eti kwa vile mgonjwa anao upungufu wa kinga, na juu ya yote mfumo wa ulinzi unatumika kushambulia na kuulinda mwili na vitu vyenye madhara viingizwavyo ndani ya mwili, na seli za saratani ni sehemu ya mwili wa mgonjwa hivyo mfumo wa ulinzi hauwezi kuzishambulia seli hizo. Hivyo sababu iliyo tumika kuyakusanya magonjwa yote haya chini ya ukimwi haikidhi haja. (ibid)



Ugumu  wa tatu  kwenye nadharia hii ya HIV kuweza kusababisha ukimwi ni udogo au uchache wa virusi vya ukimwi kwenye mgonjwa. Kwa kila T-Seli saidizi 10,000 ambazo zimeoneka kuathirika na ukimwi kunapatikana kirusi 1 au pungufu cha HIV. Ni vigumu kuelewa ni vipi virusi vya HIV vinaweza kuathiri mfumo wa ulinzi kwa kiasi cha kumsababishia muhusika ugonjwa wa ukimwi, ikiwa haviwezi kuathiri mfumo huo ila vijiseli vichache mno. Hata kama kila T-seli iliyo athiriwa na virusi vya HIV itakufa kasi cha T-seli zitakazo kufa hazitozidi kiasi cha T-Seli mtu yoyote anazo zipoteza endapo atajikata bahati mbaya wakati ananyoa au kwenye mchubuko kidogo tu. Upungufu kama huo mara moja unajaziwa bila hata kuuathiri mfumo wa ulinzi wa mwili kwa vile mwili wenyewe unazalisha T-seli kwa kiwango kikubwa zaidi kila wakati.(ibid)

Ugumu wa nne ambao wana-virologist wameutaja kwenye nadharia hii ya virusi vya HIV kuweza kusababisha ukimwi ni kuwa; Virusi wa HIV wanapatika kwenye kundi la virusi wa aina ya Retroviruses ambalo ni kundi la virusi vilivyo na maumbile ya kawaida kulinganisha na virusi vingine, genetiki za virusi hivi ni chache mno. Makundi mengine ya virusi yanazo tabia ya kuuwa seli baada ya kuziambukiza na hivyo kusababisha ugonjwa, lakini virusi wa kundi hili la HIV na hapa nikimaanisha na virusi wa HIV wenyewe, huwa hawana tabia ya kuuwa seli, baada ya kuivamia seli virusi hawa wana kopi genetiki yao na kuitumbukiza ndani ya seli waliyo ishaumbulia, na baada ya hapo wanaiachia seli inaendelea kuishi na uhai wake unakuwa unategemea seli hiyo. Taratibu virusi hivyo vinaendelea kujizalisha kutoka kwenye seli waliyo iacha iendelee kuishi. Kwa hiyo aina hii ya virusi ni vigumu mno kuibambikiza kesi ya ukimwi ambapo sifa yake kubwa ni kufa kwa seli hai nyingi mno na kwa kasi sana kiasi cha mgonjwa kuwa na upungufu wa kinga. Lakini juu ya yote ni kuwa aina hii ya virusi kwenye idadi ya 50 mpaka 100 inapatikana imejificha kwenye DNA ya kila binaadam, na imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi hadi kizazi tangu mwanzo mwa historia ya binaadam. Ni vipi leo hii aina hii ya virusi iweze kusababisha ukimwi? (ibid)



sasa ni kipi kinachosababisha UKIMWI .... tukutane tena hapa next time ...


No comments:

Post a Comment