Marekani, ukimwi umeenea kupitia chanjo ya majaribio ya Hepatitis B, ambayo
ilifanywa kwa maelfu ya mashoga waliojitolea kati ya mwaka 1978 na 1981.
Majaribio hayo yalianzia Manhattan ambapo miezi mitatu tu baada ya majaribio
hayo katika jiji la New York habari ya kwanza ya UKIMWI kuripotiwa ilikuwa ni
ya shoga aliyeishi Manhattan. Mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka 1980 chanjo kama
hiyo ikafanyika Los Angeles, San Francisco, St Louis na Chicago na mwishoni mwa
mwaka 1980 habari nyingine ya kwanza ya ukimwi kuripotiwa San Francisco ilikuwa
ni ya shoga na ripoti kamili ilipokuja mwezi wa nane mwaka 1981 ilikuwa na
taarifa za watu 26 wenye maambukizo ya UKIMWI na wote walikuwa ni mashoga, 20
walitokea Manhattan na 6 walitokea San Francisco na Los Angeles wote walikuwa
wamepatiwa chanjo ya Hepatitis B. Ukweli wa msingi unaonesha kuwa taarifa
kuhusu maambukizo ya ukimwi kwa nchi za Afrika na zile za Haiti zilianza
kujitokeza kipindi hicho, hicho ambacho mashoga hao waliopatiwa chanjo
walionekana na maradhi hayo.
Taarifa za kimsingi za Kiserikali na zile za wataalam wa ukimwi zinashindwa
kuelezea kinagaubaga ni vipi hadithi ya Green Monkey wa Afrika ilimuathiri mtu
mweusi wa Afrika Magharibi ambaye kwa karne nyingi amekuwa akilala nyama za
viumbe hao bila athari na ni vipi gonjwa hilo liliweza kusafiri kutoka kwa watu
wasiokuwa mashoga wa Afrika mpaka kwa mashoga wa Manhattan, San Francisco, Los
Angeles kwa wakati mmoja.
Hadithi yao waliyoita ya kisayansi iko hivyo, wanasema binaadam kapata
virusi vinavyosababisha ukimwi yaani virusi vya HIV vimemuingia binaadam eidha
kwa kula nyama ya Greenmonkeys, au kujamiiana
naye au mtu huyo aling’atwa na Greenmokey na kisha akapata virusi hivyo, mtu
huyo mmoja, mmoja tu baada ya kupata virusi hivyo alikwenda mjini akajiimiana
na kahaba mmoja akamuachia virusi hivyo, naye huyo kahaba akajiamiana na
mfanyakazi wa Bank ambaye huyo mfanyakazi naye akawagawia virusi hivyo mkewe na
marafiki zake wa kike watatu, halafu nini? Watu milioni 50 mpaka 70 wakavipata
virusi hivyo kutoka Afrika mpaka dunia nzima.
Hadithi ambayo ni zaidi ya hadithi ya kufikirika hata leo kamuulize yoyote
kuhusu chanzo cha ukimwi, haimanishi ana elimu au wadhifa gani atakupa hadithi
kama hii, niliamua kwenda kwenye kituo kimoja cha Angaza binafsi katika kukusanya
taarifa za sura hii nikapatiwa mshauri
mmoja wa kuzungumza naye na moja kati ya maswali niliyomuuliza ni kuhusu chanzo
cha ukimwi naye akanipa hadithi kama hiyo hapa juu.
Lakini hadithi hiyo
inapingana na ukweli wa mambo kuwa ukimwi Afrika haukuanzia vijijini au kwenye
mapori walipo greenmonkeys lakini umeanzia kwenye majiji ya nchi zilizo kusini
mwa bara la Afrika. Kusambaa kwake kumechukua karibu miezi 12, kutoka kwa nyani
mmoja, halafu kwa binaadam mmoja, halafu mmoja mwingine, halafu wa nne, halafu
ikawa watu milioni 70 dunia nzima, mahesabu ambayo yangehitaji zaidi ya miaka
20 kufikia hatua ya kuwaathiri watu kwa kiwango cha mamilioni. Je ni kitu gani
kilicho sambaza ukimwi kutoka Afrika, Haiti, Brazil, New York, Los Angeles na
San Francisco ndani ya miezi 12?
Dr. William C. Douglas anaamini kwamba Shirika la Afya Duniani (WHO)
limetengeneza gonjwa la UKIMWI na kusambaza kwa nchi za dunia ya tatu ikiwemo
Afrika kwa kutumia chanjo ya ndui, Uhusiano kati ya Shirika la Afya Duniani na
ukimwi ni kitu chenye mvuto wa aina yake,
“Si semi kwamba ndivyo ilivyo tokea ila nasema kama nilivyokuwa nikisema
kwa miaka mingi kwamba kutumika kwa chanjo za ndui kuna toa uhai kwa maambukizo
ya HIV”(Leonard G. Horowitz, D.M.D., M.A., M.P.H ‘Emerging Viruses-AIDS and Evola-Nature Accident or Intentinaly’)
Mwaka 1972 kwenye kijarida cha Umoja wa Mataifa chini ya kitengo chake cha
Afya Duniani (WHO) kulikuwa na makala yenye jina la “Virus Associated
Immunopathology: Animal Models and Implications for Humani Desease” (Virusi
vinavyo husiana na kuharibu mfumo wa ulinzi mwilini: Mnyama kutumika kama ndiyo
chanzo cha asili cha maradhi hayo kwa binaadam). Makala hiyo ilisema hivi.
Jaribio linapaswa kufanyika kwa kiwango fulani kuhakikisha kuwa, kama virusi
vitaweza kiuhakika, kuingia na kuzidia nguvu kazi na mfumo wa ulinzi unaofanya
na aina fulani ya seli mwilini. Uwezekano pia lazima uangaliwe katika mfumo wa
ulinzi kuwa ni jinsi gani au ni kwa kiasi gani utaweza kupambana na virusi hao. (ibid)
Dr. Robert Strecker, M.D, Ph.D
amekusanya makala zinazofika 50 kutoka kwenye majarida ya kisayansi
yanayokubalika ambayo yamehitimisha kwa kuseama kuwa UKIMWI ulipangwa,
ukifanyiwa kazi, ukazalishwa na ukatolewa na serikali ya Marekani kupitia
chanjo ya Smallpox kwa nchi za Afrika na chanjo ya Hepatitis B nchini Marekani. (ibid)
Dr. Alan Cantwell, JR, M.D, ameandika vitabu viwili vyenye ushahidi mkubwa
kimoja kikiwa na jina la “AIDS and the Doctor of Death, 1986 (ISBN
0-917211-25-1) na kingine Queer Blood, 1993 (IBSN 0-917211-26-X), Dr Cantwell
alikuwa ni miongoni mwa wale waliokuwa wakikataa kuwa UKIMWI siyo silaha ya
kibailojia iliyotengeneza maabara mpaka pale alipoamua kulivalia njuga suala
lenyewe na kufanya uchunguzi wa kina ndipo alipokuja na vitabu hivyo ambapo
kile cha mwanzo kilipigwa marufuku na chombo cha afya duniani (WHO) katika mkutano
uliofanyika Canada mwaka 1989.
Mwezi wa 6, Mwaka 1988, gazeti la Los Angeles Times lilichapisha makala
inayopinga kuwa ukimwi unatokana na Greenmonkeys, kutokana na makala hiyo ushahidi
unaonesha kuwa DNA inayotengeneza virusi wa ukimwi haiendani wala haifanani
hata kidogo na DNA inayopatikana kwa Greenmonkeys, makala hiyo ikaendelea
kusema kila ambacho tumekuwa tukikisikia muda mrefu kuwa virusi hao wa ukimwi
hawawezi kupatikana kokote katika mazingira yetu asilia na wala haviwezi kuishi
mahala popote isipokuwa katika mwili wa binaadam. Swali ni kuwa “Virusi hao
wametokea wapi ghafla na kuanza kula
maisha ya mamilioni ya watu ikiwa virusi hao hawapatikani kokote katika
mazingira yetu asilia na ikiwa hawawezi kuishi kokote ila kwenye mwili wa
binaadam. Ni wapi wametokea?”
Gazeti la Mzalendo la New Delhi, India la tarehe 4/7/1984 lilikuwa gazeti
la kwanza kuchapisha makala inayosema kuwa UKIMWI ni silaha iliyotengenezwa kwa
vita vya kibaiolojia. Tarehe 30/10/1985 gazeti la Kisovieti likarudia madai ya
gazeti la Mzalendo la Delhi kuwa virusi vya ukimwi vimetengenezwa kama silaha
ya kibaiolojia. Tarehe 26/10/1986 The Sunday Express likawa ni gazeti la kwanza
la kimagharibi kuthibitisha habari iliyoandikwa katika gazeti la India, ikiwa
imeandika habari hiyo katika ukurasa wake wa mbele na kichwa cha habari “UKIMWI
umetengenezwa maabara” Gazeti la London Times la tarehe 11/5/1970 lilichapisha
makala katika ukurasa wake wa kwanza yenye kichwa cha habari “Chanjo ya ndui
imeleta UKIMWI” Makala hiyo iliandika uhusiano baiana ya chanjo ya Smallpox
iliyokuwa ikisimamiwa na shirika la afya duniani (WHO) na kuibuka kwa janga la
UKIMWI kwa watu milioni 50 mpaka milioni 70 wa sehemu mbalimbali za Afrika
ambao wamepatiwa chanjo hiyo iliyokuwa imedhaminiwa na shirika la misaada la
Marekani.
Tumsikilize mtu mwingine anayeitwa Bill Cooper aliyekuwa katika kitengo cha
Naval Intelligency Security akitoa ushuhuda wake kwa kila alichokipata katika
kitengo hicho cha ulinzi wa majini cha Marekani. Anasema hivi,
“Nimeshaelezea kuwa nimeona UKIMWI ukitengenezwa kwa malengo ya kuwapunguza
watu wa aina fulani katika makala zangu. Uchunguzi wa kwanza ulifanyika mwaka
1957 na wanasayansi waliokutana Huntsville, Alabama na uchunguzi mwingine
ulifanyika mwaka 1968 katika Club of Rome. Matokeo ya uchunguzi yalikuwa ni
idadi ya watu itaporomoka haraka sana baada ya mwaka 2000 labda binaadam
waamke. Mpango huo ukapitishwa kwa malengo kuwa watengenezwe bakteria ambao
watakao weza kushambulia mfumo wa ulinzi wa binaadam. Mpango huo pia ulipitisha
tiba ya maradhi hayo itengenezwe. Bakteria hao watatumiwa kumaliza kile
kinachoonekana ni tatizo la ongezeko la watu na watu watapatiwa virusi hivyo
kwa kupitia Shirika la afya duniani (WHO). Tiba itatumiwa na
Brotherhood/Illuminats/Freemasonry wa daraja la juu kabisa. Kisha tiba hiyo
itatolewa tena baadaye kwa watu wote walioathirika baada ya idadi inayotakiwa
kufa kutumia na hiyo itatangazwa kama maendeleo mapya na makubwa katika tiba”. (Milton William Cooper ‘BEHOLD A PALE HORSE’)
Bill anaendelea kueleza, Mpango huu uliitwa Global 2000. Dola za Kimarekani
milioni 10 zilitolewa kwa ajili ya kutengeneza bakteria hao mwaka 1969.
Bakteria ambao asilia hawakupata kuwepo na kwa hivyo hakuna tiba yoyote ya
kiasili itakayo weza kupambana nao. Kwa hiyo kwa muda wa miaka 5 mpaka 10 ijayo
kutakuwa na uwezekano wa kufanya maambukizo ya maradhi mapya ambayo bakteria
wake watatofautiana kwa namna fulani na aina nyingine ya bakteria wanao
sababisha maradhi. Kitu cha muhimu zaidi ni kuwa mfumo wa ulinzi wa maradhi wa
binaadam hautaweza kutawala au kupambana na maambukizo hayo kitu ambacho
tutaweza kuzilinda familia zetu na uhuru wa kutoambukizwa na maradhi hayo.
Mradi huo alianzishwa Fort Detrick, Maryland. Kwa sababu idadi inayotakiwa
kuangamizwa ni kubwa mno, viongozi wa Bloodline
Brotherhood/Illuminants/Freemasonry wakalenga watu wa aina fulani wasio takiwa
kuishi. Watu walio lengwa hasa ni Watu Weusi, Wahispania na Mashoga wa rangi
zote. Jina la Mradi uliotengeneza UKIMWI ni MKNAOMI. Bara la Afrika liliambukizwa kupitia chanjo ya
Smallpox mwaka 1977. Watu wa Marekani waliambukizwa kwa kupitia chanjo ya
Hepatitis B mwaka 1978. Hivi ndivyo hadithi yenyewe ilivyokuwa, anasema Bill
Cooper.
Mradi huo ulipo kamilika mwaka 1969, katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa
kipindi hicho U Thant alikuwa na haya ya kusema kwa wajumbe wake
“Nisingependa kuonekana kuwa ni mtu mwenye makuu, lakini naweza kuhitimisha
kwa taarifa nilizo nazo katika mikono yangu kama katibu Mkuu kwamba, wanachama
wa Baraza la Umoja wa Mataifa wana kama miaka 10 tu ya kumaliza tofauti zao na
kuanzisha ushirikiano, uhusiano na muungano wa kidunia kuweka msingi wa
kibaguzi kupunguza mpasuko wa ongezeko la watu na kutoa nguvu zinazohitajika
katika kuendeleza mapambano haya. Kama ushirikiano, uhusiano na muungano huo wa
kidunia hataweza hata kughushiwa katika miaka kumi ijayo, basi nina hofu sana
tatizo nililolitaja litafikia kiwango kikubwa na cha kutisha ambacho hatutaweza
kukitawala.”(ibid)
Bill anamalizia kwa kusema, nimezitoa hizi taarifa kwa watu wote duniani
nikitumai nitapata wale watakao niunga mkono na kusambaza hizi taarifa kwa
wengine na kunisaidia mimi kuwazuia Illuminants.Freemasonry/Brotherhood na
ajenda yao hii ya kutawala dunia. Tayari wamesha tawala sehemu kubwa ya dunia
na wametangaza vita kwa binaadam wote. Lazima tuwazuie kwa gharama zozote.
Kama tulivyoona kutoka mwanzo juu ya ushahidi wa matokeo ya uchaunguzi na
tafiti za watu mbali, mbali si kwamba tu UKIMWI hautokani na Greenmonkeys
lakini zaidi umetengenezwa maabara kwa makusudi ili kuangamiza watu wa namna
fulani wasiyo takiwa kuishi duniani na Brotherhood/Freemasonry/Illuminants.
Ikiwa UKIMWI hauna mahusiano na Greenmonkeys je suala la virusi vya HIV
kuambukiza UKIMWI linatoka wapi?
Wanasayansi wanao karibia mia tano wakiwemo madakitari wakubwa na wenye
heshima ya kweli katika fani hii kama vile Profesa wa Molecular Biology katika
chuo kikuu cha California bwana Peter Duesberg, Dr Charles Thomas aliyekuwa
profesa katika chuo cha Harvad kwenye kitengo cha Biochemistry Dr Kary Mullis
aliyeshinda zawadi ya heshima ya Nobeli mwaka 1993 kwenye chemistry, Dr Hank
Loman (Profesa wa Biophysical Chemistry katika chuo kinachojulikana kama Free
University of Amsterdam, na Dr Steven Lomas Profesa wa madawa ya kinga katika State University of
New York na wengineo wengi wanakubali kuwa Ukimwi hausababishwi na HIV.
Kwa takribani miaka 20 sasa madaktari, wanasayansi wa baiolojia, wauguzi
huru wa wagonjwa wa UKIMWI, wachunguzi wa mambo na watafiti wa maradhi haya
wameshindwa kupata uhusiano wa moja kwa moja kati ya virusi vya UKIMWI na
virusi vya HIV ambavyo ndivyo vinavyodaiwa kusababisha UKIMWI.
Kwa sababu watu wengi kama siyo wote wanaamini kuwa HIV inasababisha ukimwi
utakapo sema vinginevyo basi hapana shaka utakuwa kama mwendawazimu mbele ya
macho ya watu hao, kama ambavyo unavyo weza kuonekana mwendawazimu kwa
kuwaambia watu kuwa Hakuna Binaadam aliyekwenda mwezini.
Jarida la kila wiki la kisayansi New Scientist Magazine limeandika chini ya
kichwa cha habari HIV, pasina mashaka yoyote na pamoja ya kuwepo “mlima wa
ushahidi wa kisayansi” unaonesha kuwa HIV inasababisha UKIMWI, lakini wana
sayansi wachache na wapinzani wa nadharia hiyo bado wanaendelea kuhoji juu ya
kuwepo kwa uhusiano kati ya virusi vya HIV na ukimwi, na kwamba huo “mlima wa
ushahidi wa kisayansi” haujapata kuwepo. Kushindwa kupatikana kwa ushahidi ni
jinsi gani HIV inasababisha ukimwi ni suala la kuvunja moyo kwa wachunguzi na watafiti
wa mambo. Ushahidi unaotumika sasa ya kwamba mtu akipima afya yake na kukutwa
ni HIV-postive basi moja kwa moja inasemwa ana UKIMWI ni ushahidi usio na
uthibitisho lakini zaidi umeegemea
katika maono na mtizamo wa watu fulani ambao umefanywa kuwa ni mtazamo wa dunia
nzima.
Imefanywa kwa makusudi kabisa kuwa mtu anayekwenda kupima afya yake na
akawa ana malaria au kifua kikuu lakini ndani yake pia akapatikana ana virusi
vya HIV, basi hataambiwa ana malaria au kifua kikuu, bali ataambiwa ana virusi
vya ukimwi au ukimwi wenyewe, na mtu huyo, huyo endapo atapima na akaonekana
ana malaria tu au kifua kikuu na hana virusi vya HIV basi atambiwa na ugua
malaria au kifua kikuu , kwa nini, ni propaganda ya kutaka kumfanya kila
mtuamini kuwa HIV ndiyo inayosababisha ukimwi.
Mwaka 2000, rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki alisema kuwa CIA wanayo ajenda
ya siri ya kushabikia mawazo yanayo dai kuwa HIV ndiyo inayo sababisha ukimwi
ili makampuni ya madawa ya kimagharibi yapate kipato kikubwa zaidi kutona na
kuuza madawa hayo. Mbeki hakubaliani na mawazo kuwa HIV inasababisha UKIMWI
bali yeye anadai UKIMWI unasababishwa na kuwepo kwa magonjwa sugu, lishe duni
na umasikini.
Mtoa ushauri nasaha wa Eastern Oregon State College bwana Paul Lineback
anasema:
“Kuilinda na kuitangaza nadharia
ambayo haina uthibitisho ya HIV kama ndiyo msingi wa ukweli kuhusu UKIMWI, ni
sawa na kumpa mtu msongo wa mawazo usio hitajika, ambao utapelekea kupata
madhara ya kihisia na hata mtu kujiua kwa simanzi.”
Michael Elliner mtu ambaye amefanya kazi ya kuwahudumia maelfu ya wagonjwa
wa UKIMWI na kiongozi wa Health
Education AIDS Liaison (Heal) iliyoko New York, Marekani anasema,
“Nimekuwa nikiona utaratibu mbaya na wakutisha wakupata ugonjwa na mpaka kufa kwenye sura za
watu walio athirika na UKIMWI. Naamini kabisa majaribio ya muda mrefu ya
kutumiwa madawa ndiyo sababu kuu na ya msingi inayo sababisha UKIMWI na hii iko
wazi na inaweza kuthibitishwa kuliko nadharia iliyoshindwa kuthibitishwa ya
HIV”.
Dr. Fabio Franch mtaalam katika fani ya madawa ya kinga ya maradhi ya
kuambukizwa, anasema,
“Siyo kwamba mimi ni mbishi na mtu wa kupinga ila nakubali na ninaamini
bila wasiwasi kuwa HIV haina madhara na utumiaji mbaya wa madawa ya kuongeza
maisha ndiyo sababu hasa ya UKIMWI”.
Mtafiti na mhariri wa jarida la kisayansi la New York liitwalo Bio
Technology bwana Harvey Bialy anasema UKIMWI katika bara la Afrika unayo uhusiano
mkubwa na kuporomoka kwa uchumi, kuporomoka kwa huduma za afya na kuendelea
kuongezeka kwa madawa ya kuzuia maambukizo, vitu vyote hivi vinaweza kuelezea
kiuhakika na kwa upana zaidi kuhusu kile kinachoendelea kuhusiana na UKIMWI
kuliko kuwaambia kuwa maradhi hayo
yanasababishwa na HIV.
Daktari mmoja na muhadhiri ambaye
ametembea sehemu mbalimbali duniani kwa miaka thelathini na tano, Dr Robert E.
Wilner amekuwa akisema hadharani kuwa HIV haisababishi Ukimwi. Alipokuwa katika
kipindi cha televisheni nchini Spain kilichokuwa kikirushwa moja kwa moja
alijichoma sindano yenye virusi vya HIV kuthibitisha usemi kuwa HIV
haisababishi Ukimwi, ajabu tukio hili halikuripotiwa na kituo chochote cha
habari nje ya Spain. Katika vitabu vyake mbalimbali kikiwemo kile cha Deadly
Deception ameeleza na kusisitiza kuwa HIV ni virusi visivyo na madhara na kwamba
virusi hivi haviwezi kusambazwa kwa njia ya kujamiiana.(David Icke –AIDS the Great Medical Conspirancy’)
Wataalam na wachunguzi wa mambo wanakubaliana kuwa UKIMWI unasababishwa na
mengi lakini siyo, siyo virusi vya HIV ambavyo havina madhara, kitu chochote
ambacho kinavunja vunja mfumo wa ulinzi katika mwili wa binaadam basi
kinasababisha UKIMWI na hii inajumuisha madawa yenye sumu kali mwilini, madawa
yanayoitwa ya kuongeza muda wa kuishi kwa waathirika kama AZT ambayo yanatumika
kupambana na virusi vya HIV visivyo sababisha UKIMWI. Wagonjwa wengi wa UKIMWI
wanalazimika kufa kwa sababu wana lazimishwa kunywa sumu hizo wakiambiwa kuwa
ni dawa za kurefusha maisha, lakini hugeuka na kuwa jinamizi linalo wala
taratibu na kuwadhoofisha kidogo, kidogo mpaka wanakwisha kabisa.
kwaiyo unataka kuniambia kmba mama mwenye ukimwi anaweza kumnyonyesha mwanae bila mtt kuathirika
ReplyDeleteNadhani kwa kuanzia ni kwamba tafsiri ya NENO UKIMWI si sahihi na kile kinachoitwa kisababishi cha ukimwi, yaani virusi wa HIV. lAKINI UNAPOKUJA KWENYE TAFSIRI SAHIHI YA UKIMWI, YAANI UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, HEBU WEWE NIAMBIE NI VIPI 'UPUNGUFU WA KINGA MWILINI UNAWEZA KUSAFIRISHWA KUTOKA KWA MOTOT KWENDA KWA MAMA?
DeleteIKIWA UKIMWI NI GONJWA LA KUAMBUKIZWA KWANINI BASI MGONJWA MWENYE MALARIA ANAAMBIWA KUWA ANAYO MALARIA NA ANAPEWA DAWA YA MALARIA, LAKINI MGONJWA HUYOHUYO ANAPOKUWA NA MALARIA NA VIRUSI VYA HIV ANAAMBIWA KUWA ANAYO UKIMWI? SASA HAPA UKIMWI NI NINI?
IKIWA UKIMWI UNAMBUKIZWA KWA NAMNA WANAVYO SEMA NI VIPI KWA ZAIDI YA MIAKA 20 SASA WATU WANAO UGUA UKIMWI NI WATU KUTOKA KWENYE KUNDI FULANI MAALUM? KWA ULAYA WAATHIRIKA WAKUBWA NI MASHOGA NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYIA, KWA AFRIKA NI MCHANGANYIKO LAKINI SEHEMU KUBWA IKIWA NI WATU WENYE KIPATO DUNI, WENYE LISHE DUNI NA WANAO ISHI KATIKA MAZINGIRA YASIYO NA MIUNDO MBINU BORA YA USAFI.
ZIKUWAPI 'DATA' AU TAKWIMU ZINAZO ONESHA IDADI YA WATOTO WALIO AMBUKIZWA UKIMWI KWA NJIA YA KUNYONYA.?
ZIKUWAPI TAFITI ZINAZO ONESHA KUWA MTOTO ANAAMBUKIZWA UKIMWI KWA NJIA YA KUNYONYA?
AU MATANGAZO YA REDIO NA LUNINGA NDIYO YAMEKUWA TAFITI?
Wapo matajiri wengi wanaishi navyo sema hawajitangazi.........ukimwi/vvu hakika unaambukiza mtoto kwa kunyomya 100% kuna mama mtaani amemuambukiza mtoto wake na sasa mtoto anatumia dawa mwaka wa 5, wanaosema vvu havina madhara yawezekana kweli kwa baadhi ya watu tatizo hiki kitu watu wanakiona kama ukijitangaza ni aibu ndio maana hata wewe hupati takwimu sahihi,na ndo maana ukipata vvu kati ya miaka 10-15 bila kula vizuri unapata ukimwi 100% wao wanafanya utafiti kwa masokwe sijui huwezi shindana na Mungu kuna aina tofauti za watu na magonjwa
ReplyDeletehongera sana
ReplyDelete