Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Monday, May 12, 2014

PICHA ZA UCHI NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME!!!!

UNAIKUMBUKA HII PICHA?

Helo Guys!

Nadhani mpo vizuri, nami niko safi ila majukumu yanaongezeka, lakini si neno, napambana.

Leo kidogo mtaniwia radhi kwa posti hii, kuna post nyingine ambayo tayari kabisa ambayo inazungumzia ‘Ugaidi na Uislam,’ lakini imebidi niiweke ‘Pozi,’ kidogo niwaletee hii, halafu then nitawatupia na hiyo muda ukifika.

Nimewataka radhi si kwa sababu ‘posti’ hii haiendani na maudhui ya blogi yetu, hapana inawiana sawia, hasa ukiwatizama ni akina nani hao, wanao simamia mitandao ya porn duniani na madanguro ya kimataifa na biashara ya watumwa wa ngono, tupo sahihi kabisa, ila nimeomba radhi sababu posti hii ya leo inakwenda moja kwa moja kwenye maisha yetu ya kila siku.


KAMA VILE HATUNA KAZI ZINGINE ZA KUFANYA!!

Ukitizama kwenye Blogi hii sehemu palipo andikwa ‘ZILIZO VUNJA RIKODI’, nambari moja, na ambayo imeishikilia nambari hiyo kwa zaidi ya miezi sita sasa, ni posti yenye jina hili, ‘BALAA LA PICHA ZA NGONO NA KIZAZI CHETU.’ Ingawa ki ukweli kabisa sijapata MAONI yeyote kutoka kwa wasomaji wangu kuhusiana na posti hiyo zaidi ya maoni ya kiujumla kwa blogi nzima, hii inaniacha na maswali mengi, kwamba kwa nini Positi hii isomwe mara nyingi zaidi lakini asipatikane hata mtu mmoja wa kutoa maoni?

Je watu wanaogopa kwa kuhofia inawagusa maisha yao binafsi, na kama akitoa maoni itaonekana yeye ni mhanga wa janga hili?

Au tumeelewa vya kutosha aina sababu ya kutoa, maoni?

Lakini nahisi kunazo sababu mbili za hili, eidha wasomaji wangu wa siku zote hawapiti kwenye blogi hii isipokuwa wataipitia hiyo posti.
Au kwa bahati mbaya wakati wahanga wa janga jili wanapo ingiza neno ‘PORN’ kwenye ‘Engine Search Machine’ kama vile Geoogle, basi blogi yetu inatokea kwenye orodha na anapo bofya ana kwa ana anakutana na posti hiyo niliyo itaja hapo juu.


Lakini kwa sababu yeyote ile, imenilazimu kulitazama jambo hili kwa jicho jingine, na kwa maana ya kutoa suluhisho la tatizo kwa wasomaji.

LEO HII HAPA KWETU AFRIKA MASHARIKI, HUWEZI KUUZA DAWA YOYOTE ILE IWE YA MITISHAMBA AU YA ‘KIZUNGU’ KWA HARAKA ZAIDI KAMA DAWA HIYO HAINA SIFA MOJA KUU.

UNAIJUA NI SIFA GANI HIYO?

SIFA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME.

WEWE HATA NI GARI UNAUZA NA UKAANDIKA KUWA GARI HILI LINAUWEZO WA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME, AMINI USIAMINI, GARI HILO UTAUZA HATA KAMA NI BOVU KIASI GANI.

HII INATOSHA KUKUAMBIA JAMII LEO INATATIZO GANI KUBWA.

HAKUNA MFANYABIASHARA YEYOTE LEO ANAYEUZA DAWA ZA ASILI NA ASIUZE DAWA HIYO MAHUSUSI NA MAALUM KABISA.
NADHANI KUNA HAJA YA DAWA HIZO KUBADILISHWA JINA NA KUITWA 'PORN ADDICTION PILLS'

LAKINI SWALI LA KUJIULIZA TATIZO NI NINI?

MBONA HAPO KABLA UPEPO HUU HAUKUWEPO?

MBAYA ZAIDI MUUZAJI HATAKI AU HANA ELIMU KABISA YA KWANINI WATU WANATATIZO HILO, LAKINI PILI MNUNUAJI NAYE HATAKI KUMUELEZEA ‘DOCTA MUUZAJI’ KWAMBA KWANINI AU NI SHIDA GANI IMEMPATA MPAKA AKAWA HAPO. KIMYA KIMYA, ANATOA PESA KWA ISHARA ANAONESHE DAWA ANAYO TAKA, ANAPATIWA MZIGO WAKE, TARATIIIIBU KAMA HATAKI VILE ANATOWEKA.

Lakini utashangaa walio na tatizo hili ni vijana, ‘barubaru’ miaka kati ya 15 mpaka 40, na hata zaidi ya hapo, kwamba hata wazee nao wamo, msemo wa ‘NG’OMBE HAZEEKI MAINI’ Naona unaanza kupoteza maana kwenye janga hili.
Shida zao kuu ni,

-Ume kusimama, (Hausimami au unasimama kwa shida sana)
- Ume ukisimama basi unakuwa dhaifu (legelege) na baada ya muda unasinyaa.
- Hawafiki kileleni, (Yaani hata ukisimama, hamna kupumua sababu hawapigi bao, starehe inakuwa karaha)
- Hawana hamu ya tendo la ngono na wapenzi wao halisi.
NI AIBU NDANI YA NDOA!!!!!


KWA UCHACHE HIZO NDIZO SHIDA ZILIZOFICHIKA CHINI YA MIOYO YAO, NA NDANI YA MAJUMBA YETU LEO.

Watafiti huru tatizo hili wamelipatia msamiati mahususi au jina mahususi na ambalo nitalitumia kwenye posti hii, ‘ERECTILE DYSFUNCTION’ (ED).

Matatizo hayo yamekuwa hayaripotiwi uso kwa uso, lakini zaidi utakuta kwenye posti kama hizi wahusika wakituma maoni yao na kujaribu kuelekeza nini cha kufanya na wengi utakuta ni vijana ambao kiukweli wa kimaumbile hawakupaswa kuwa na tatizo hilo.
Watu wanataabika na janga hili, kutoka kwenye mataifa, utamaduni, utaifa, mbalimbali, watu waadhi mbalimbali kama wasomi, wafanyakazi, wafanyabiashara, waumini wa dini mbalimbali, walevi wa aina kwa aina, hakuna walioachwa na janga hili, wote wanatafuta msaada na kuifanya biashara ya kuuza ‘dawa za kuongeza nguvu za kiume’ kuwa moja ya biashara yenye wateja wengi bila kujali rika, cheo n.k.

HAKUNA ALIYE ACHWA NYUMA

Lakini watu hawa wote wanao udhaifu mmoja, ni ‘WATUMIAJI WA ZURI WA PORN, NA KILA SIKU WAPO KWENYE MTANDAO WAKITAFUTA VITU VIPYA VYA KUWAKOSHA NYOYO ZAO.

Wengi wamekwenda kwa madaktari, na wamefanyiwa uchunguzi wa aina kwa aina, vipimo na vipimo, kutoka kwa daktari mmoja mpaka kwa mwingine, na jibu limekuja ni moja tu, ‘WAPO SAFI NA HAWANA SHIDA YEYOTE KIAFYA.’ Lakini zaidi Daktari wao atawaambia, KUPIGA PUNYETO, hakusababishi tatizo hilo, lakini mgonjwa hasemi kwamba ana dozi ya kutizama picha za ngono kila siku, na wala dokta ahoji juu ya hilo.

 Mgonjwa anaondoka hajatatuliwa tatizo, na daktari anaendelea na kazi zake zingine siku imepita. Kama kuna ambacho daktari atashauri ni kuwa ‘punguza papara kwenye lile tendo, wala usilikamie sana, wala usiwe na mawazo mengine na mambo yatakwenda safi.
Lakini je ni papara na kulikamia tendo ndiko kunako sababisha shida hiyo?

SHIDA NI NYINGINE KABISA

Siyo zamani sana, mtaalam wa Kiitaliano wa Uroloji amethibitisha kuwa tatizo la (ED) linauhusiano wa moja kwa moja na matumizi ya ponography a.k.a sinema za uchi. Anasema wakati alipokuwa akifanya utafiti wake huo asilimia 70 ya vijana wa kiume waliofika kwenye kliniki yake kutokana na matatizo ya nguvu za kiume walikuwa ni watumiaji wakubwa wa porno.

Mhanga mmoja wa picha za uchi anaandika,

“Nina hakika kabisa kama utafiti ungefanyika kihaki kabisa, tungeona mahusiano kati ya watizamaji wa picha za uchi na tatizo la nguvu za kiume (ED). Wazalishaji wa picha za uchi wanatumia upenyo wa watu kutokuelewa na kutofahamu madhara ya sinema hizo kuzalisha mabilioni ya dola. Halafu makampuni ya madawa yanatuuzia sisi madawa ya kutibu nguvu za kiume na ED na wao wanatengeneza mabilioni ya dola.”

Mwingine huyu,

“Nimekuwa nikitazama picha za uchi tangu nilipoanza chuo miaka 13 iliyo pita. Nilipokuwa na miaka 24, niliona tatizo la kutopata msisimko wa ngono nikiwa na mpenzi wangu. Nikaanza kutumia dawa aina ya viagra na hii ilinisaidia kiasi kuupata msisimko huo wa ngono kutoka kwa wanawake bila matatizo mengi mpaka nilipofikisha miaka 29.
Hapo ikiwa ni vigumu kufanya ngono halisi hata nikitumia viagra. Nilipogundua mzizi wa tatizo ni nini, nilijaribu mara kadhaa kuachana na porno bila mafanikio. Muda mrefu nilioweza kukaa bila kutizama porno ni wiki 3 tu. Katika muda wote huo nilikuwa kama mwendawazimu, sikuweza kupata msisimko kabisa wa ngono halisi, usalama wangu ulikuwa ni kurudi kwenye kile kitu kinacho nipatia msisimko huo, porno. Hivyo nikarudi tena kwenye shimo hilo. Nahitaji kutibiwa juu ya hili.”

UNATAMANI UINGIE NDANI YA KOMPYUTA

At least ameona shida nini.

Kadiri ambavyo mitandao ya simu imeweza kushindana kwenye kuongeza kasi ya huduma ya internet, ndivyo kasi ya kupiga punyeto kutumia video za mitandaoni ilivyo weza kukua kwa vijana na watu wa marika mengine.

Huduma ya internet imetufungulia huduma nyingine maridadi na matata na iliyo tamu kuliko, ni rahisi na nyepesi kuipata kushinda jarida la Playboy. Lakini wataalam wengi hawalitazami jambo hili kama lenye madhara hasi kwenye ubongo na utaratibu wake wa kufanya kazi, zaidi ya kisaidizi cha kufanya punyeto. Hivyo basi kwenye jicho lao, hakuna madhara yeyote, na zaidi wanaweza kukuambia linayo faida.



Wanaume wengi tatizo hili linakuja baada ya kutizama porn kwa muda mrefu, kiasi kwamba sasa ubongo wake umekinai na picha za zamani na sasa yupo kwenye neti akitafuta picha mpya mahususi, za wacheza porno mahususi, kwenye mitindo mahususi. Yaani ubongo sasa picha za uchi ndiyo pekee zinazo weza kumsisimua, lakini nje ya hapo, zzzzzzzzzzzzzzz, hakuna kitu. Hatua hii wataalam waiita ADDICTION, kwenye lugha yetu tunaita TEJA. Yaani bila PICHA ZA UCHI, HUFANYI TENDO LA NDOA.

Lakini kunazo habari njema!

ACHA KUTIZAMA PICHA ZA UCHI.

Ingawa itakuchukua muda na hii ni kutegemeana na ukubwa wa tatizo, maumbile ya mtu na hasa ubongo, lakini baada muda ubongo utajifunza njia mpya ya kupata msisimko wa tendo la ndoa bila picha za uchi. Lakini kama alivyo teja wa kilevi chochote kile, hii nayo ni kazi kubwa inayo hitaji maamuzi na utendaji na hata msaada wa mke wako ikibidi.


YES! JIUZULU KUTIZAMA PICHA ZA UCHI

Tizama teja wa ngono akisema,

“Baada ya miaka kadhaa ya kutizama porno, nilipata matatizo ya ume kusimama. Ilikuwa hali ikizidi kuwa mbaya, mbaya sana kwa miaka kadhaa. Kila wakati nikihitaji aina nyingine na mpya ya msisimko wa ngono kupitia picha za uchi, lakini pia haikuwa ikisaidia. Kwa kweli niliogopa sana, lakini woga wangu nao ulizidi kunisukuma zaidi na zaidi kwenye picha za uchi. Ni vigumu kuamini, kutokana na hatua niliyofikia. Nilitumia kila aina ya picha ya uchi na sinema zilizokuwepo isipokuwa moja: Picha za uchi za watoto. Lakini kilicho kuwa kikiniogopesha ni kwamba, je siku moja nitapita hata njia hiyo pia?
Kadiri nilivyo acha kutizama picha za uchi, kufanya punyeto, ndivyo ilivyokuwa ngumu kwangu kusimamisha ume wangu.
Ngoja ni cheke kwa sauti. Hakuna tatizo la ED, au uume kusinyaa, kama nilivyokuwa hapo kabla. Mwili wangu umejiponya wenyewe. Hivyo basi, kama utaacha kutizama picha za uchi na kupiga punyeto, hamu yako ya ngono itaongezeka, itaongezeka vizuri. Kupumzika kwa muda mchache tu, kumekuwa ni hatua kubwa ya kujiponya kutokana na madhara niliyojisababishia.
Baada ya siku 90 za kutokutizama picha za uchi wala kpiga punyeto, nimegundua kwamba nimekuwa napatwa na msisimko haraka kuliko ilivyo kuwa kabla.

Kutoka kwa Sayikriastiki Norman Doidge anasema,

“ ... Wazalishaji wa filamu za ngono, wanashindana katika kutoa aina mpya za maudhi kwenye filamu hizo, kwa vile wateja wao nao wamejenga uvumilivu wa aina hizo za maudhui, uwezo wao wa kufanya tendo hilo kwenye dunia halisi nao unaporomoka. Lakini ilikuboresha biashara yao, utaoana kwenye mitandao hiyo kumejaa matangazo ya tembe za viagra. Taarifa wanazo toa ni kwamba, wanaume hao wanalo tatizo kwenye viungo vyao vya uzazi ndiyo sababu wana ED, lakini ukweli ni kuwa tatizo lipo kwenye bongo zao ....”

Suluhisho la tatizo ni kuacha kupiga punyeto kwenye sinema za ngono. Unapoacha kupiga punyeto kwa walau miezi miwili ni kwamba unaupatia ubongo wako njia mpya ya kupata msisimko wa tendo la ndoa, sababu awali msisimko huo uliujenga kwa kupitia picha za uchi. Ubongo kama kile kiungo kingine cha mwili wako unao uwezo wa kujitibu wenyewe, unachotakiwa ni kuupatia nafasi ya maisha bila porno kwa walau mwezi au zaidi, hii itategemeana na ukubwa wa tatizo, na bila ya kutumia dawa yeyote ya kuongeza nguvu za kiume, ubongo utaanza kujenga njia mpya za kukupatia msisimko wa tendo la ndoa, bila kuwa na haja ya picha za uchi.

NEXT TUTATIZAMA HATUA KWA HATUA NI VIPI UBONGO UNAATHIRIKA NA PICHA ZA UCHI KIASI KUSABABISHA ED au UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME, NA LILILO MUHIMU ZAIDI TUTATIMA PIA JINSI YA KUTOKA KWENYE MTEGO HUO....

PLEASE DONT DO IT!!!!!!!!!

TILL NEXT TIME GUYS, I SAID TCHAOOOOOO!!!!!!!!!!!




36 comments:

  1. Ukwel ni kua mimi ni muathirika wa pony tatizo ni kuwa ukitazama 2 muv ya porny punyeto lazma yan nashndwa kuacha kaka

    ReplyDelete
  2. Pole kaka 'muathirika' na haupo peke yako, lakini wewe umeweza kuliweka hili bayana, na hii ni kwasababu unahitaji msaada.

    Tambua tatizo ni ubongo wako ambao tayari umeshatengeneza njia ya wewe kujiridhisha iweni kwenye porno na mwisho masterbation.

    Niwe radhi wiki hii nitaposti issue mbili za Boko Harm then nitarudi huko kwenye mada yetu, ambapo tutakwenda hatua kwa hatua namna ubongo ulivyo athirika, then tutakuja kwenye nini ufanye kutoka hapo.

    ReplyDelete
  3. duuuuuuhhhhh waathirika ni wengi jamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Endelea kutembelea blog soon nitaenda deep kwenye mada husika

      Delete
  4. Replies
    1. Ni kwelie maoni yako, lakini pia tunaweza kuibadilisha hii hali

      Delete
  5. duuh vijana bas tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lakini tunaweza kufanya kitu kuibadilisha hii hali, soon tutaangalia ni vipi keep coming here

      Delete
  6. Mm Nina hili tatizo... kuangalia picha za ngono Na kufanya master nation saana... sasa sina nguvu za kiume nifanyeje? Plz don't judge me but help...

    ReplyDelete
  7. By master nation you mean masturbation? Any way ...
    Si kweli kwamba haina nguvu za kiume, unazo tele tena za kutosha tu, kilichotokea ni kwamba sehemu fulani kwenye ubongo wako ambako kunahusika na suala zima la uume wako kusimama na kufanya kazi yake pameathirika kutokana na kutizama porno kwa muda mrefu na kuona vitu ambavyo binadamu wa kawaisa hawezi kufanya.
    Unachotakiwa kufanya ni KUACHA KUTIZAMA PICHA ZA UCHI, KUACHA MASTERBATION KWA KIPINDI CHA MWEZI MMOJA AU ZAIDI NA BAADA YA HAPO TATIZO LAKO LITAANZA KUTATUKA LENYEWE.

    ReplyDelete
  8. Replies
    1. Dont say MMMMMMMMMMH, you just do what I advise and I wonder if you will say MMMMMMMH again.

      Delete
  9. mimi tatizo nikwamba napiga nyeto na pia kuna jambo lilinikuta but kabla,nilihis kuugua na mpaka nilipata dem chin changu nilikuwa cjapata chooo cku kama nne na kulikuwa na uvimbe kitu kama tez flan chin ya kitov changu na cku hiyo ham yangu haikuwa imara na ckuweza kushiriki kabsa tendo kitu kina legalega.baada ya hapo sik iyoiyo tumbo linaanza kuuma lina jaa ges chooo cpat so najiuliza nn tatz cjajua wot oz da prob.to me porno(masternation)au ugojwa au vyote kwa pamoja naomben ushaur maana nais kama nishaharibka na ata naogopa kutonza so najikuta na msongo wa mawazo mengi nifanyeje mkuuuuuuuuuuuu. plz heeeeeeelp me

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sijakuelewa vizuri swali lako. Ispokuwa inaonekana unataka kuyaelezea matatizo mawili tofauti, yaani una matatizo mawili tofauti yenye kuhitaji tiba tofauti, kuhusu tatizo la kwanza yaani porno na masterbation please pitia tena posti zinazo husiana na somo hilo, suluhisho lake liko wazi, badilisha maisha yako, achana na porno na masterbation, uume wako utarudi katika hali ya kawaida, lakini hilo la pili, inabidi kuonana na mtaalam wa afya, na hasa specialist uelezee tatizo lako vyema nadhani utapata msaada unao hitaji.

      Delete
  10. Mimi pia na tatizo hili hili la kupenda picha za ngono na kujichuwa , ila nahic tatizo langu kubwa zaidi mana nimeanza kujichuwa toka na miaka kumi na tatu mpka leo hi nakaribia ishrini na tano na pia nimeowa lakini kila ninapojaribu ku ishinda nafsi yangu yani kujiziwia kupiga nyeto nakuta ndani ya wiki moja tu narudia kiasi ambacho nahic kukata tamaa mana naona nimesha jiharibu maumbile yangu umee wangu umesinya na pia umeingia ndani mana siku hizi nikisimamisha haiko ka zamani hujiona na maumbile madogo na pia nimesafiri kikazi niko mbali na mke wangu bas najikuta ndio imekua kama kazi vile kwangu niki kaa kidogo tu nawaza kufanya hivyo na kinacho niumiza zaidi ni umee wangu ulivyo ingia ndani najiuliza hvi nitaweza kweli kurudisha katika hali ya kawaida hata nikiacha kujichuwa na pia hua napata tabu kusimamisha na pia napo kua katika kujianda na tendo nikiwa na muanda na mwenzangu pia bas ka nitachelewa tu kuanza tendo haraka ina nywea mpaka nakosa amani mana natamni iwe ktka hli yake huku namuanda mwenza wangu sijui ka nina hop yakurejea katika hali yangu ya kawaida kaka naomba msada wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole kiongozi. Tatizo lako ni moja tu, kwanza nikuulize je umepitia posti zote za blogi hii zinazohusiana na masuala ya picha za uchi? Kama hujafanya hivyo tafadhali harakisha sababu kwenye posti hizo lipo suluhisho la tatizo lako.
      Kifupi ni kuwa uume wako haujawa mdogo, ispokuwa kisaikolojia umeathrika sana na tatizo hilo kiasi kwamba unahisi hata uume wako umepungua, lakini hilo si kweli, maumbile yako yapo vilevile, ila ubongo wako umelewa na kujaa hofu mpaka unahisi hata uume umepungua, NOT.

      Tatizo la pili ni porno na masterbation, Stop it, that is the only way out! Fanya chcochote unachoweza kuachana na porno na masterbation, tafuta kwenye enternet topic zitakazo kusaidia kuacha hilo jambo. ama vinginevyo utaivunja ndoa yako mwenyewe.

      Delete
  11. MUATHIRIKA MWENYE HOFUFebruary 21, 2015 at 3:56 PM

    Ebana ee na hii pia ni chanzo cha kufifika kileleni haraka sana?
    Tafadhali kaka nijibu ili nijue kama tatizo hili limetokana na porn na punyeto na linahitaji tiba ya hospitalini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huhitaji kwenda hspitali badilisha maisha yako, achana na porn na masterbation na kila kitu kitarudi kuwa sawa.

      Delete
  12. MUATHIRIKA MWENYE HOFUFebruary 21, 2015 at 3:59 PM

    Hii inasabisha pia kumwaga mapema, saidia tafadhali!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yes, pitia posti zote zinazo husiana na somo la porno na picha za uchi nimelieleza hilo, achana na porno na masterbation.

      Delete
  13. mimi ni kijana wa miaka 25 niliaza kujiusisha na vitendo ivyo vyakuchek porno na kupiga punyeto 2007-2014 kwa miaka saba mfululizo kwa sasa nimepata mpez napata tatizo la kutosimamisha vizuri na kurudia round...na girlfriend anashindwa kunielewa kabisa...pls naomba unishauri katika hili

    ReplyDelete
    Replies
    1. David, pitia post zote zinazo husiano na mambo ya picha za uchi kwenye blogi hii na utapata suluhisho la tatizo lako.

      Delete
  14. Umesema ukweli mtupu. Cha msingi ni kufanyia kazi elimu uliyotupa. Pamoja sana bro

    ReplyDelete
  15. Alhamdulillahi mimi mwenyewe nilikuwa huko lkin nashukuru mungu nina kama mwez mmoja ss ivi nimeacha

    ReplyDelete
  16. Kweli kaka umespesholaiz kwenye vitu vingi sana nashukuru kwa elim yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unakaribishwa na endelea kutembelea blog yetu na wapashe habari njema hizi wengine ….

      Delete
  17. Alhamdulillahi mimi mwenyewe nilikuwa huko lkin nashukuru mungu nina kama mwez mmoja ss ivi nimeacha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big up sana ikiwa utaweza kuendelea hivyo kwa miezi mitano, bila masterbation, bila kutizama picha za uchi, THEN YOU WILL FIND WHAT YOU HAVE BEEN MISSING … YOU WILL DISCOVER A NEW YOU.

      Delete
  18. Shukrani kaka Salim,,,hili tatizo limenikumba Mimi pia kwa muda sasa,,, nimekuwa najaribu kuacha Mara moja ila inaniwia ugumu,,,ila nitajitahidi kuanzia sasa

    ReplyDelete
  19. akhasante sana ndugu kwa kuelimisha jamii. ila naomba kwa wale ambao mngehitaji msaada zaidi kwa namna ya kuongeza nguvu zetu za kiume kwa njia ya vyakula mbali mbali(kurudisha madini na virutubisho vilivyopotea mwilini) huku pia tukizingatia ushauri wa kaka SALIMU MSANGI ambao ndio muhimu sana .tafadhali tuwasiliane kupitia ushaurinasaha18@gmail.com

    ReplyDelete
  20. tatizo langu ni kwamba mm ninapofanya mapenz na msichana mwnzon huwa ninahu na hisia Kali sana lkn baada ya kutupia bao la kwanza tu hamu hupungua na sometimes uume hulala kwa kukosa hamu lakn binafsi si lidhiki na hali hiyo please naomba msaada

    ReplyDelete
  21. Please kiongozi nimekutumia ujumbe private ukipata muda ujibu please, hata mimi ni mmoja wa wenye kusumbuliwa na hili tatizo la porn naomba ushauri wako na maelekezo kiujumla, hili suala nilianza kitambo lakini sikujua madhara yake bali nilijua haifai kidini tu hivyo nilikuwa najaribu sana kuacha lkn ilinuia vigumu sana mpaka matokea yake niliapata siku niliyoshiriki mapenzi ndipo niliona udhaifu kama mlivyoeleza niliogopa sana lkn sikuacha kusema kweli mpaka saivi nina woga juu ya suala hil baada ya kujua madhara tofauti na maudhi kwake manani

    ReplyDelete
  22. Umenipa elimu ya kotosha sasa nimeanza kuacha tabia chafu na asante kwa kunipa elimu kuhusu mpango wa freemason na ajenda zake mbaya

    ReplyDelete