“Nimekuwa nikitazama picha za uchi kwa kiasi kikubwa sana tangu nikiwa
‘teeneger’ na nimekuwa na tatizo la ED tangu miaka ya ishirini, lakini ni
kwenye miaka ya thelathini ndiyo tatizo la ED limekuwa jinamizi. Nimekuwa
nikiwalaumu wanawake au mwenza kwa kukosa mvuto, au nikisingizia hili na lile
kuhusiana na afya yangu, chakula, uchovu, umri n.k.
Lakini iliofikia wakati
kwamba hata siwezi kupata nyege mshindo kwenye punyeto bila kutizama mtandao wa
picha za uchi, kitu kikanigonga kwenye akili yangu..."
Imekuwa ni kawaida kwa mtumiaji mkubwa wa picha za uchi kushinda kuhusisha
tatizo la ED na filamu hizo. Hii hapa ni hadithi nyingine ya mwaathirika wa
picha za uchi.
“Nina miaka 24 na kwa miaka kadhaa nimekuwa nikipambana na tatizo la ED, na
hivi karibuni tu ndiyo nimeweza kuona uhusiano baina ya tatizo langu na picha
za uchi kwenye mitandao. Nilikuwa kwenye wakati mgumu kisaikolojia wakati
nikijaribu kutafuta mzizi wa tatizo langu ni nini. Kilicho kuwa kikifanya suala
kuwa gumu zaidi ni kwamba unafahamu lazima upate msisimko wa ngono unapokuwa na
mwanamke pembeni yako, lakini kwa sababu ambazo huzijui ni kwamba hupati
msisimko huo. Sasa unajaribu na kulazimisha kupata msisimko huo lakini
unashindwa, na unaishia kupata majonzi, kudhalilika na kuaibika. Wataalam
kiuhakika wanapaswa kulitazama jambo hili kwenye upande mwingine.”
Utashangaa kijana barubaru kabisa anatafuta dawa ya kuongeza nguvu za
kiume, shida nini? Hakuna anayetaka kujua, muuza dawa anataka pesa, mgonjwa
anataka dawa, kwisha hakuna anayetaka kufahamu zaidi. Lakini ukweli ni kwamba
waathirika wengi wa tatizo hili ni watumiaji wa kubwa wa mitandao ya ngono,
sababu wanapo acha kutizama filamu hizo kwa muda hata usio zidi mwezi mpaka
miezi miwili hali ya ulijali wao kwenye tendo la ndoa unatengemaa na kupona
kabisa bila kutumia dawa yeyote. Wengine hata ndani ya wiki mbili tu, mambo
yanakuwa mazuri kabisa.
Unapokuwa unaendelea kutizama picha za uchi ni kwamba ubongo nao
unabadilisha matumizi ya uume wako, ubongo sasa umepata mwongozo mpya kutoka
kwenye picha za uchi kwamba ni wakati gani, katika hali gani ndiyo uruhusu uume
wako kusimama, picha za uchi zinaupatia ubongo wako ‘katalogi’ mpya.
Mabadiliko yenyewe ni kama ifuatavyo ...
·
Alfajiri jogoo hawiki, ni kawaida kwa mwanaume lijali alfajiri akishtuka
usingizini uume wako unakuwa umesimama imara hata wakati mwingine kumpa taabu.
·
Hupati msisimko wa ngono kwa kutizama picha ya uchi ileile kila wakati bali
unahitaji tukio na staili mpya iliuwezea kupata msisimko haraka, hii ni dalili
ya kuuwa teja kwenye picha hizo.
·
Unachelewa au unawahi sana kufika kileleni unapokuwa na mwenza wako.
·
Huwezi tena kusimamisha uume wako kwa muda mrefu unapokuwaa na mwenza wako.
·
Dawa za kuongeza nguvu za kiume nazo zinapoteza makali yake, zinakuwa
hazileti tija yeyote ile, sababu tatizo lipo kwenye ubongo wako na siyo kwenye
uume wako.
KWANINI BASI WATAALAM WA AFYA YA UZAZI HAWASEMI CHOCHOTE JUU YA HILI?
Hii ni kwa sababu mitandao ya picha za uchi za video na ambazo ni bure
kabisa kuzipata limekuwa ni jambo jipya na geni kwa jamii yetu.
Pia inachukua muda kidogo kwa ED
kuanza kuonekana. Watu tunatofautiana sana, lakini kwa vile kila siku maelfu
kwa mamilioni ya mitandao hiyo inafunguliwa na picha zake kutiririshwa na
ukijumlisha na wepesi wa upatikanaji wake, sasa inachukua miaka michache tu kwa
mtu kuwa na ED.
Mtumiaji pia anakuwa hafahamu kwamba kila anapotizama picha hizo ni kwamba
anazama zaidi na zaidi kwenye kaburi analojichimbia mwenyewe, sababu kila
wakati atahitaji kitu kipya kwenye filamu hizo na ndivyo ubongo wake unavyo
zidi kuathirika.
Waathirika hawazungumzii kabisa kuhusiana na tatizo hili, isipokuwa kutumia
dawa za kuongeza nguvu za kiume imekuwa ndiyo habari ya mjini. Hata kidogo
haigongi kwenye vichwa vyao kwamba utumiaji wa mitandao ya ngono ndiyo mzizi wa
tatizo lenyewe.
Matangazo ya mara kwa mara juu ya dawa za kuongeza au kutibu tatizo la
nguvu za kiume, yamejenga taswira kwamba ED ni jambo la kawaida kabisa. Lakini
kabla mambo ya mitandao hayajaanza, ilikuwa ni vigumu kulikuta tatizo hili kwa
mtu wenye chini ya miaka 40.
Ukitaka kujua ni namna gani picha za uchi kwenye mitandao zinaweza
kubadilisha bongo zetu, tizama upande mwingine wa shilingi namna ambavyo
vyakula vya kisasa, uchezaji kamari wa kupindukia, michezo ya video yanavyo
badilisha ubongo na kumfanya muhusika kuwa ni teja kwenye vitu hivyo.
Carlo Foresta, profesa wa University of Padua, anakadiria kuwa
asilimia sabini ya vijana alikuwa
akiwatibu ED, tatizo lao lilitokana na matumizi ya picha za uchi kwenye
mitandao.
Mwana saikriatisti Norman Doidge kwenye kitabu chake cha ‘The Brain That
Changes Itself’, amesema,
1.
Hali ya kuwa teja kwa picha za uchi za mitandaoni ni kweli kabisa.
2.
Kutizama picha za uchi kwenye mitandao kunaweza kusababisha ED. Anasema,
“Nimewachunguza na hatimaye kuwatibu idadi kubwa ya wanaume wenye hadithi
zinazofanana. Wanazungumza kuhusu kuzidi kushindwa kupata msisimko wa ngono
wakiwa na wenza wao, ingawa wanawaona kuwa wenza hao wanawavutia ... badala ya
kufurahia tendo la ngono na wenza wao inabidi wahangaike kuilazimisha akili zao
kwa kujifikirisha kwamba anacho fanya ni sehemu fulani ya ‘scene’ ya filamu ya
uchi aliyotizama ili aweze kupata msisimko ..."
Tatizo halipo kwenye uume wako, halipo kwenye uchovu, wala siyo woga wa
tendo lenyewe, wala siyo mishipa yako kusafirisha damu, tatizo lipo kwenye
ubongo wako kutokana na katalogi mpya uliyo pokea kutoka kwenye mitandao ya
ngono, jipatie muda wa wiki tatu mpaka mwezi bila kupiga punyeto, bila kutizama
picha za uchi kwenye mitandao, kisha jisikie huru kurusha maoni yako juu ya
kile utakacho kiona baada ya muda ...
Till Next time tutaendelea na mada yetu ....
shukran sana bro ivi hawa jamaa kwenye sports hawana mikono yao kama wapo embu tudodose kidogo kaka
ReplyDeleteNinapo zungumzia kuhusu FREEMASON, ni kwamba nazungumzia sehemu ndogo sana kwenye mtandao mpana wa muunganiko wa asasi mbalimbali za siri, ni sawa na kusema kwamba nazungumzia kuhusu tafari kwenye jengo lililokamili.
DeleteHivyo basi ukiwatizama jamaa hawa kwa mapana yake utaona kwamba si suala la kuuliza ikiwa Wapo kwenye SPORTS. Hilo ni jibu, na kwenye sport umeenda mbali sana, wapo kwenye chakula unacho kula, kwenye fedha unayotumia kununulia hicho chakula, kwenye dawa unazo kunywa unapougua. LENGO LAO KUU NI KUITAWALA DUNIA NA KILA KILICHOMO, HIVYOCHOCHOTE AMBACHO KITAWAFIKISHA KWENYE LANGO LAO HILO, LAZIMA WAKITUMIE, WATAKITUMIA MOJA KWA MOJA AU KWA KUPITIA KWA... ILA NI LAZIMA WAWEKE MIKONO YAO HAPO.