Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Tuesday, July 29, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE Pt 4



KUTOKA KUSHOTO KWENDA KULIA: MYAHUDI WA ULAYA, MYAHUDI MWARABU WA YEMEN NA MYAHUDI WA KIHINDI KUTOKA INDIA. HAWA WATATU NI KITU GANI WANACHO FANANA ZAIDI YA DINI YAO YA UYAHUDI? MYAHUDI WA KIARABU ANAFANANA KILA KITU NA NDUGU ZAKE WA KIARABU, ISPOKUWA KWENYE DINI TU, NA HANA CHOCHOTE ANACHOFANANA NA MYAHUDI WA INDIA NA WAULAYA ISPOKUWA DINI YAO TU. HUO NI UKWELI WA MSINGI.

Saturday, July 19, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE Pt 3


Watu wa kwanza wa Khazairi walijulikana kama Ashkenazi na Sephardic. Wa Khazairi wa Ashkenazi ambao ni sehemu ya watu wanaojiita Wayahudi leo na ambo ndani ya Israeli ni wengi kulinganisha na wenzao na ndiyo wao wanaoshikilia madaraka tangu nchi ya Israeli ilipoanzishwa mwaka 1948 hawahusiani chochote na Wayahudi waliotajwa katika Biblia.

Wednesday, July 16, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE Pt 2


Katika karne ya saba Waislamu waliichukua maeneo ya dola ya Byzantine yaliyokuwepo Mashariki ya Kati na Afrika ya kaskazini, wakaiangusha na dola ya wa Persia na kuchukua pia sehemu kubwa ya Spain. Wayahudi ambao mwanzo walikuwa wamegawanywa dola kubwa mbili, yaani Byzantine na Persia wakajikuta wanaunganishwa katika dola nyingine kubwa zaidi ya Kiislamu, hapa tuna Wayahudi wachache kwa maana ya wa Israeli, na tuna kundi kubwa la wanaojiita Wayahudi pia kwa maana ya Khazair, ndani ya dola hili kubwa wote waliitwa Wayahudi na walipewa haki zote walizopata wenzao wa Kristo.

Sunday, July 13, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE.


“Sema uwongo kwa sauti kubwa sana na rudi rudia mara kwa mara kwa muda mrefu na watu watauamini huo uwongo.Adolf Hitler

“Ufuate ushahidi kokote unapoelekea”Socrates

“Ukweli inapaswa urudiwe mara kwa mara kwa sababu uwongo nao unahubiriwa muda wote, wala siyo na wachache lakini na wengi. Uwongo unahubiriwa kwenye magazeti na kwenye encyclopedia, kwenye mashule na kwenye vyuo, kila mahala unaonekana kuwa wenye nguvu, unajisikia huru, raha na furaha kwa vile unaaminiwa na wengi. Johann Wolfgang Von Goethe
 Mfumo tuliyo nao unatupotosha na kutujenga kukubali kuwa thamani yetu iko kwenye rangi ya ngozi zetu, ukoo au kabila fulani, na mmoja anaweza kuwa mtumwa na mwingine kuwa bwana.

Wednesday, July 9, 2014

PICHA ZA UCHI NI SHIDA KWA JOGOO WAKO!!!



Porno kwenye mtandao si sawa na picha za Playboy. 
1. Picha za uchi kwenye mtandao zinasisimua kingono zaidi kuliko picha za kwenye majarida. Hii ni kwa sababu picha za uchi kwenye mtandao zinakila aina ya kile ambacho unaweza kufikiria kuhusiana na suala zima la ngono. Mtazamaji wa picha za uchi kwenye mtandao anazama katika kila aina ya uchafu wa kutisha na kugofua ambao anaufikiri.

Thursday, July 3, 2014

USICHO KIJUA KUHUSU VITA DHIDI YA UGAIDI NA UISLAM Pt 4

THREE ... TWO ... ONE ... ACTION!!! YES CIA WAKIPROJUZI MUVI ZA BIN LADEN.

Hadithi ya Osama ni moja ya hadithi zilizofanywa ni za kusisimua kwelikweli na vyombo vya magharibi, nami kuielezea kwa kina chake itahitaji makala nyingine kama na ninahofia muda haupo upande wangu. Isipokuwa Osama alishakufa tangu 2001, lakini kwa takribani miaka 10, CIA wamekuwa wakirusha kaseti ‘mpya’ za audio na vidio za Osama Bin Laden, na kila CIA ‘walipozindua’ kaseti hizo zilipata mauzo ya kutosha kwenye vyombo vya habari vya magharibi na muuzaji wa ‘jumla’ wa kaseti hizo walikuwa ni Al-jazeera. Tizama posti hii salimmsangi.blogspot.com/2013/07/obama-alazimika-kumfufua-osama-bin-laden.html

Kwa muda wote huo hakuna kiongozi wowote wa Talibani au wa Al-Qaeedah aliyejitokeza hadharani na kusema kaseti hizo ni uzushi na urongo, walikaa kimya kama ambavyo Washington walivyo taka wawe kimya.