Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Wednesday, July 16, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE Pt 2


Katika karne ya saba Waislamu waliichukua maeneo ya dola ya Byzantine yaliyokuwepo Mashariki ya Kati na Afrika ya kaskazini, wakaiangusha na dola ya wa Persia na kuchukua pia sehemu kubwa ya Spain. Wayahudi ambao mwanzo walikuwa wamegawanywa dola kubwa mbili, yaani Byzantine na Persia wakajikuta wanaunganishwa katika dola nyingine kubwa zaidi ya Kiislamu, hapa tuna Wayahudi wachache kwa maana ya wa Israeli, na tuna kundi kubwa la wanaojiita Wayahudi pia kwa maana ya Khazair, ndani ya dola hili kubwa wote waliitwa Wayahudi na walipewa haki zote walizopata wenzao wa Kristo.


 Palestina nayo ikaangukia katika mikono ya wa Islamu, sheria kali dhidi ya Wayahudi zilizokuwa zikifanyiwa kazi mashariki ya kati yote na hata Ulaya hazikuwa na nafasi katika dola hii mpya ya Kiislamu, walichukuliwa kama raia wengine, na wala wa Kristo hawakunyooshewa kidole kutokana na imani yao, na hivi ndivyo ambavyo idadi kubwa ya Wayahudi wakaingia katika Uislamu pamoja na Wakristo. 

Endapo dola la Kiislamu lingevamiwa basi hawakuwa na wasiwasi juu ya mali zao na familia zao kutokana na kuwa wao ni Wayahudi au Wakristo bali walikuwa na wasiwasi kwa maana wao ni raia katika dola hilo, tofauti zao za kidini zilizikwa na dola mpya, kila mtu alikuwa huru kuabudu anacho abudu kwa kuzingatia sheria za nchi.

     Arthur Koestler katika kitabu chake cha Thirteenth Tribe, anasema ni wachache sana kati ya hao wanao jiita Wayahudi wanaweza kuwa na mahusiano ya kidamu na mababu wa Sumeri tangu kipindi cha Mtume Nuhu, na kuwa na mahusiano na damu hiyo katika kipindi cha mtume Yesu. Lakini wengi damu yao inahusiana na mababu wa Turuki-Mongoli-Nordic walioitwa Khazairi

Hivyo tunaona Rothschild na ukoo wake umekuja duniani miaka 1000 baadae, miaka 1000 baada ya mfalme wa Khazairi kuingia kwenye dini ya Uyahudi na taifa zima kuitwa Wayahudi ambapo kiimani ni sahihi lakini kidamu wao ni Khazair na siyo wa Israel, ni makosa kuwaita wao ni wa Israel kwani hawana damu ya Israel (Yakobo) na hivyo siyo kizazi cha nyumba ya Daud, wala Solomon (Suleiman), wala Yesu na hivyo dai la kuwa wao ni warithi wa aridhi ya Palestina kwa maana ya kuwa wana damu ya Yakobo, ni uwongo mkubwa katika historia ya zama zote ya binaadam.

“… Khazairi wanawakilisha asilimia 90 ya Wayahudi wote duniani, wanajiita Wayahudi wa Ashkenazi, wakati kihakika si Wayahudi ila watu wa Asia…”[1]
Kati ya jamii ambazo historia yake zimepotoshwa na hatimaye kufutwa katika vitabu vingi vya kihistoria ni jamii ya watu walioitwa Khazairi. Jamii hii inatokana na kabila liliojulikana kama Huns au Hun ambalo linatokana na ukoo wa Kituruki ambao kwenye miaka ya 450 A.D lilivamia Ulaya na Asia. Mipaka ya kabila hili kwa wakati huo ilipanuka kutoka Asia ya kati mpaka Ulaya ya Kati, kutoka India ya Kaskazini, Serbia Mpaka China. 

Kabila hili lilichanganya damu tofauti za Wachina na Wasumeria. Kiongozi wa kabila hili alipata umaarufu katika zama zake na alijulikana kwa jina la Attila the Hun, watu wa kabila hilo kama walivyo Wakhazairi nao pia wanazungumza Kituruki. Khaizari walikuwa wakitawala dola kubwa ya kipagani katika sehemu kubwa ya Urusi kupita milima ya Mashariki ya Ural mpaka milima ya Kusini ya Caucasua. Ushawishi wao katika nchi za Ulaya unapatikana mpaka sasa kwenye nchi za Poland na Czechoslovakia. Austria, Hungary, Roman na Bulgaria.[2]

Mnamo mwaka 740 A.D, mfalme wa kipindi hicho wa Wakhazairi aliingia katika dini ya Kiyahudi (Judaism) na kuiacha ile ya kipagani ya mababu zake. Sababu kuu ya maamuzi hayo ni ushawishi mkubwa wa kisiasa ambao kiongozi huyo alikuwa akiuepuka, hakutaka dola yake iangukie katika mikono ya dini ya Kikristo na wala hakuwa tayari idondokee kwenye mikono ya dini ya Kiislamu, kama ilivyo ada zama hizo dini ya mfalme ndiyo dini ya wote na wa Khazairi wote wakaingia dini ya Kiyahudi, hawa ndiyo mababu wa watu ambao asilimia tisini wanatengeneza kizazi cha watu wanaojiita “Wayahudi” au “Kizazi Teule” kama wanavyojinadi. Nyumbani kwao si kwenye bahari inayoitwa Dead Sea bali katika Bahari inayoitwa Caspian Sea, ambayo ilikuja kujulikana kama bahari ya Khazairi. [3]

Dola hii ya Khazairi kama zilivyokuwa dola nyingine katika historia nayo ilipitia changamoto za uvamizi na vita toka kwa dola nyingine na hasa uvamizi wa watu waliojulikana kama Mongol “Golden Horde” ambao walisababisha kusambaratika kwa dola ya Khazairi na watu wake wakaanza kuhamia sehemu tofauti, tofauti, watu hawa walihama pamoja na dini ya Kiyahudi (Judaiism) pamoja na mafundisho ya Talmudi, ila hawakuwa Wayahudi ila wafuasi wa dini ya Kiyahudi. Walikwenda kuweka makazi yao katika Ulaya ya kati na kwenye aridhi ya Alpine, hasa maeneo ya Poland. Ndiyo maana kuna maeneo mengi ya kale katika nchi ya Poland na Ukraine ambayo yanayo athari ya majina kama “Khazar” au “Zhid” maeneo hayo ni Kozarzewek, Kozara, Kozarzow na Zydowo majina mbayo asili yake ni maneno ya Kiyahudi. Kwa hiyo baada ya kuvunjika kwa dola la Khazairi makabila mengi yatokanayo na dola hiyo yaliungana na kutengeneza dola ya Poland.

Watu hawa walikuwa na ushawishi mkubwa kwa jamii za wa Polish na wa Hangarian, kazi za kiserikali, ukusanyaji wa kodi na ukopeshaji walikuwa wamezishikilia wao kutokana na ushawishi mkubwa wa mafunzo ya dini ya Kiyahudi, kutokana na ushawishi huo na wao kushikilia vizuri mafunzo ya Judaism na Talmudi taratibu jamii zinazowazunguka zikaanza kuwachukulia wao kama ni Wayahudi. Kwa hiyo watu ambao kwa karne nyingi walikuwa wakijulikana kama Khazairi ghafla wakageuka na kuanza kuitwa Wayahudi kwa maana ya wa Israeli, asili na historia yao ikatoweka, viongozi wao wakauza historia ya uwongo kwa Walimwengu kuwa wao ni “Wayahudi”, ambao wametajwa katika Biblia, uwongo unaoshikiliwa mpaka sasa ambao matokeo yake ni kuwa Mashariki ya Kati kumekuwa uwanja wa mapigano kati ya Khazairi na wa Palestina.

Kujihakikishia wanafanya uporaji wa aridhi isiyo kuwa yao wakajinadi kwa sauti kuwa wao ni “Semites” . Neno hili kwenye kamusi ya 1944, ya Oxford Universal Dictionary lina maanisha watu ambao wanatokana na makabila ya watu walio tajwa kwenye kitabu cha “Mwanzo” ndani ya Biblia yaani watu wa Shem, mtoto wa Noah ambapo tuna wakuta ni Waarabu, Wayahudi, Waasiria na Waaramea na lugha waliyokuwa wakizungumza kama lugha yao ya asili ilikuwa ni ya kisemitik. Kwa hiyo na Wayahudi nao bila ubishi ni Wasemitik na yule anaye wapinga wao na shughuli zao wanaitwa “anti-semitic”, lakini je wanao jiita Wayahudi leo na wao ni Wasemitik?

Najua wengi mtajibu ndiyo, kwa sababu hivyo ndivyo ulivyo fundishwa na ndivyo unavyoendelea kuambiwa na vyombo mbali, mbali vya habari na mfumo wake wa elimu ambao unashikiliwa na wale watu ambao wana amua ni kipi na kwa kiasi gani uambiwe na au usiambiwe.
Wayahudi wa leo siyo Wasemitik.
Wanao jiita Wayahudi leo hawana chochote cha kuwahusisha na Wayahudi walio tajwa katika Biblia. Asilimia 90 ya Wayahudi wa leo hawana uhusiano wa kidamu na mababu wa aridhi ile ya Palestina, hivyo si katika kundi la Semitik kama wanavyo jinadi, bali wao wanatokea Uturiki katika ukoo wa Khazairi. Hii ni sehemu ya kile ambacho hukutakiwa ukifahamu, jiulize ni mangapi umefichwa?

Wayahudi wa leo wana gawanyika katika makundi makubwa mawili. Sephardim na Ashkenazim. Sephardim hawa ndiyo wanao tokana na makabila ya Semitik uliotajwa kwenye Biblia, hata kabla ya zama za kati Sphardim walikuwa wakiishi katika nchi ya Uhispania mpaka pale walipo fukuzwa mnamo katikati ya karne ya kumi na tano. Mpaka kwenye miaka ya 1960 idadi ya wa Sphardim ilikuwa inafikia 500,000.[4]
Kundi jingine ambalo ni la Ashkenazim ambalo wao ni wa Khazairi wa damu na Wayahudi kwa maana ya imani idadi yao ilikuwa inafikia milioni 11 kwenye miaka hiyo.[5]

Kwenye kipindi cha baina ya karne ya saba mpaka karne ya kumi na nane, ili kuwa ni kipindi muhimu kwa watu hawa. Kiongozi wao mwingine aliyeitwa Obadiah aliye rithi madaraka kutoka kwa Bulan aliweka mizizi imara ya Kiyahudi ndani ya Khazairi kwa jina la imani ya Kiyahudi. Aliwaalika wasomi wa Kiyahudi katika kutatua masuala mbalimbali ya kijamii, akajenga shule na masinagogi. Kwenye shule hizo watu walifundishwa kupitia vitabu kama vile Biblia, Mishnah na Talmud.

Tangu karne ya 17 Khazar walikuwa na mazingira magumu kutokana na mauwaji yaliyofanyika Ukraine dhidi yao kitu kilichosababisha wao kuhamia Hungary, Bohemia. Rumania na Ujerumani na kwa takribani karne tatu wao wakawa ni watu wa kuhama hama wakawa na dini ambayo mfalme wao aliifanya kuwa dini ya wote karne nyingi nyuma, dini ya Kiyahudi, Judaism na mafunzo ya kimila ya Kiyahudi, Talmudi na kila wanako kwenda wako nayo na hivyo ikawa rahisi kuwarubuni na kuwashawishi wanajamii kuwa wao ni Wayahudi.

 Mwandishi mmoja wa Khazairi ambao sasa wanajulikana kama Wayahudi, anayetokea Budabest, maeneo ambayo karne nyingi nyuma dola ya Khazairi ilitawala, na jina Budabest linatokana na jina la mmoja wa wafalme wa Khazairi aliyeitwa Buda, mwandishi huyu ambaye hakubaliani na historia ya Uwongo ya wa Khazairi wanaojiita Wayahudi sasa anasema,
“Mababu wa Khazairi hawatokei Canaan nchi ya ukame na joto, bali wanatokea Caucasus maeneo ya baridi, hawatokei Jordani ila wanatokea Volga ambako kabila tukufu la kizazi cha Nyoka, Aryan liliishi kabla ya kuhamia sehemu nyingine za dunia, na hivyo Khazairi kibaiolojia wanayo uhusiano zaidi na watu wanao julikana kama Hun, Uigur na Magyara kutoka Asia ya kati zaidi kuliko Ibrahim, Isaka na Jakobo.[6]
Ukitizama pua za hawa wanaojiita Wayahudi utaona zilivyochonga na hii si asili ya watu kutoka Sumeri katika kipindi cha Mtume Nuhu wala Yesu. Bali zinafanana na za watu kutoka Caucasua. Picha maarufu ya kufikirika ya mtume Yesu nayo haiwezi kabisa kufanana na yeye kwa sababu Mtume huyu hatokei kwenye milima ya Caucasua ambako tunawapata watu wenye sura mfano wa hiyo. Wanapaza sauti kwa watu kupinga kubaguliwa wakati wao wamejijenga katika misingi mizito ya ubaguzi na kujiita ‘kizazi teule’ na wakati hawana hata mahusiano na watu hao waliotajwa katika Biblia.
Mwandishi mwingine katika hao wanaojiita Wayahudi lakini yeye akiwa na mtazamo tofauti na walio wengi bwana Alfred M. Lilienthal anasema kuwa hakuna ‘taifa’ la ‘Wayahudi’. Kuwa ‘Myahudi’ ni kufuata imani ya dini ya Kiyahudi na hili halihusiani chochote na utaifa au rangi na au ukoo kwa sababu kuna mataifa na koo mbalimbali kwa maelfu ya miaka wamekuwa wakiingia kwenye imani ya dini ya Kiyahudi na hivyo kutengeneza mchanganyiko mkubwa wa kimaumbile, damu na utaifa wa hao wanaojiita Wayahudi.[7]

Benjamin H. Freedman aliyejulikana kama mfanyabiashara mkubwa wa “Kiyahudi” New York ingawa yeye kama ilivyo asilimia tisini ya hao wanaojiita Wayahudi ni Mkhazairi, jamaa huyu alikuwa na uhusiano wa karibu wa kikazi na viongozi kama Bernard Baruch, Woodrow Wilson, Franklin Roosevelt, Joseph Kennedy, John F. Kennedy na pua yake ilikuwa ikinusa mambo ya siri yanayoendelea nyuma ya mapazia kutokana na kuwa karibu na jama hao na pia inachukuliwa kuwa alikuwa ni miongoni mwa wanao yapika mambo hayo ya siri, ajenda za Freemasons na wenzao. Lakini wakati mmoja baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia Freedman alikorofishana na wakubwa zake na kuanza kuzimwaga siri za ndani nje bila kujali na alizungumza hivi alipozungumza kuhusu watu ambao ulimwengu umedanganywa kuwa ni Wayahudi.
“Ukweli nini kuhusu Wayahudi? Hakuna hata mmoja kati yao, hawana hata babu mmoja kati ya mababu zao aliyetajwa katika Agano la kale na wala aliye wahi kuweka kidole chake cha mguu katika aridhi takatifu, lakini bado wanakuja kuwaambia Wakristo na kuwaambia “Je uta wasaidia  “Kizazi teule” kuichukua aridhi yao ya Ahadi, aridhi ya mababu zao...’[8]
Jamaa huyu anasema huu ni uwendawazim kuwaita wao kuwa ni watu wa aridhi takatifu, ‘hii itakuwa na sawa kuwaita Wachina Milioni 54 kuwa wao ni Waarabu kwa sababu tu wao ni Waislamu, haiingii akilini..”[9]
Anaendelea kusema kuwa mwaka 1948, mwaka ambao taifa linaloitwa la Israeli liliundwa, alihubiria mkutano mkubwa ndani ya Pentagon wa viongozi wenye vyeo vikubwa katika jeshi la Marekani na kuwaelezea kuhusiana na Wakhazairi na uhusiano wao na hicho kinachoitwa Israeli. Baada ya hapo anasema alifuatwa na Luteni Kanali wa kitengo cha historia kinachofahamika kama History Department II, ambacho ni moja ya kitengo kikubwa na chenye hadhi kubwa katika sekta ya elimu ya Marekani. Kanali huyo amefundisha historia kwa miaka 16 lakini, akamuambia Freedman kuwa katika fani yake hiyo hajawahi kusikia neno ‘Khazairi’ kabla ya siku hiyo ambayo Freedman alihubiria. Freedman anauliza 

“Tafiti zinaonesha kuwa Khazar (Wayahudi kwa maana ya imani) hawakupata kuwa ni watu wa Semitik, wala siyo na wala hapana uwezekano wa kuwa hivyo baadae, utafiti pia unakataa kwamba Wayahudi hawa wa Ulaya ni ‘Taifa teule’ kama inavyoaminika na Wakristo wengi. Labda mpendwa Dr. Goldstein unaweza kunielezea ni kwa nini historia ya asili ya watu wa Khazar na dola yao kwa umakini mkubwa imeweza kufutwa kwenye uso wa dunia kwa karne zote hizi? Ni nguvu gani ya siri na ya kimaajabu iliyo weza kuifuta historia ya Khazar kwenye  na dola yao kwenye vitabu vyote vya historia duniani na kuifuta kwenye mitaala yote na kwenye madarasa yote ya historia duniani kote?”[10]

“Historia ya asili ya Khazar na dola lake vinapingana na historia ya watu wanao jiita Wayahudi kutoka Ulaya Mashariki na moja ya siri ambayo ilifichwa vizuri mpaka ilipoanza kuwekwa hadharani hivi karibuni … je hufikiri kwamba huu ndiyo wakati ambao suala zima la Khazar kuwekwa hadharani?”[11]

Jamaa mmoja, mwanamuziki maarufu wa rege Bob Marley, alipata kusema maneno haya ambayo historia inathibitisha kwamba alicho sema ni kweli
 Time will Tell, kisha akasema tena , You can fool some people some times, but you can’t fool all the people all the time”[12]




KEEP COMING ITAENDELEA HAPA HAPA ... INSHALLAH ...


[1]Arthur Koestler ‘The Thirteenth Tibe’
[2] Ibid
[3] Ibid
[4] David Icke, ‘The Biggest Secret’
[5] Ibid
[6] Arthur Koestler, The Thirteenth Tribe
[7] David Icke, ‘And The Truth Shall Set You Free’
[8] "A Jewish Defector Warns America", by Benjamin H, Freedman, a speech given at the Willard
Hotel in Washington, DC in 1961, http://www.themodemreligion.com/jihad/freedman.html
[9] Ibid
[10] Ibid
[11] Ibid
[12] Bob Marley - Get Up Stand lyrics (aliyetamka maneno hayo ni Peter Tosh)

10 comments:

  1. duuh maskin sasa hawa ndugu zetu palestina c itafikia kipindi wapotea kabisa ktk ardfhi yao na kusambaa kama hao wakhazair

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hicho ndicho ambacho Khazairi (Wazayuni) na washirika wake wangependa kitokee, lakini ni jambo lisilowezekana kulifuta taifa, Illuminanti wamelijaribu hili sehemu mbalimbali duniani, lakini halikuwa ni jambo jepesi, kumbuka pia kabla ya kiama palestine itakombolewa na Khazairi wataadhibiwa humo mpaka wakose sehemu ya kujifichia, sababu hata watakapo jificha chini ya mawe, basi mawe yatasema, ewe muislam, njoo huyu hapa myahudi ... time will come ...

      Delete
  2. kweli new world order imeshika kasi mno

    ReplyDelete
    Replies
    1. ... Hivyo ni vyema ukawa na elimu sahihi juu ya adui yako, na hapo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kumshinda, jielimishe na waelimishe wenzako juu ya hili. Karibu sana kwenye blogi hii ...

      Delete
  3. Hongera ndg. Kazi nzuri mungu akupe shufaa. Kupitia taaluma yako nilikuwa nataka kujua Wakaanani ndio wakinani? Na chimbuko lao wapi? Hivi hao waIsrael damu hawana mahali maalum pa kuishi?. Mungu awalani mayahudi.

    ReplyDelete
  4. Wakaanan au 'CAANAN' ndiyo wakazi wa mwanzo kabisa katika eneo hilo la Mashariki ya kati zama hizo ikijumuisha Syria, Lebanon, Phalestina, Egypty na maeneo ya Jirani. Israel nao ndicho kizazi cha Isaak ndugu yake na Ismail, Historia yao iliharibika baada ya kupelekwa utumwani Egypt, na baadae kurudishwa kwenye aridhi ya ahadi. Lakini baada ya kuacha mafunzo ya Mungu Mmoja walisambatarika na kutawaliwa na dola mbalimbali na juu ya yote kudhalilishwa kila mahla walipotia mguu. Damu yao ikichanganyikana na damu ya ataifa mengine na hata ikiwa ni ngumu sasa kusema yupi ni 'MUISRAEL' kwa maana ya damu ya ISAACK. Kama ulivyoona tunao 'waisrael' lakini si kwa maan aya kuwa na damu ya ISAAK NA JACOB bali kwa maana ya IMANI, ambapo sasa inakuwa si sahihi kuwaita hao ni 'WAISRAEL' sababu ISRAEL ni taifa linalotokana na damu ya ISAAK, Damu ambayo ilishapotea kwenye mwingiliano na mchanganyiko wa mataifa mengine. Hivyo basi ni sahihi kuwaita hao ni 'WAYAHUDI' kwa maana ya dini na imani yao, lakini si kwamaana ya TAIFA, hakuna taifa linaloitwa 'ISRAEL' bali kiini macho na propaganda ndiyo zinazo waaminisha watu kuwa taifa hilo lipo. Asilimia 95 ya hao wanao jiita ni 'WAISRAEL' asili yao ni Ulaya kwenye milima ya baridi na barafu, baada ya kuingia kwenye imani ya 'KIYAHUDI' Basi wakajiita ni 'WAISRAEL' inawezekanaje MPARE AJIITE MWARABU KISA TU NI MUISLAMU?

    ReplyDelete
  5. @Salimu Msangi.Mungu alimwambia ibrahimu kuwa baba wa Mataifa,na hata Ismail na Isack ni damu ya ibrahimu,na alipowaumba Ada na Eva!Tunaweza kufahamu walikuwa na ngozi yenye rangi gani? Kama walikuwa na Ngozi nyeupe! kwa nini sisi ni weusi?inamaana sisi sio asili ya damu yao?.Na kama walikuwa weusi! kwa nini kuna watu wenye rangi nyeupe? ina maana wao sio asili ya damu zao?


    sasa unavyosema????????????????

    ReplyDelete
  6. @Salimu Msangi.Mungu alimwambia ibrahimu kuwa baba wa Mataifa,na hata Ismail na Isack ni damu ya ibrahimu,na alipowaumba Ada na Eva!Tunaweza kufahamu walikuwa na ngozi yenye rangi gani? Kama walikuwa na Ngozi nyeupe! kwa nini sisi ni weusi?inamaana sisi sio asili ya damu yao?.Na kama walikuwa weusi! kwa nini kuna watu wenye rangi nyeupe? ina maana wao sio asili ya damu zao?


    sasa unavyosema????????????????

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbele ya Mola wako, rangi cheo au chochote kile unachoweza kujifagharisha nacho katika ulimwengu wa vitu si kitu, Mola wako aliyetukuka anatizama nafsi/roho/mioyo yetu.
      Hata hivyo mbele kwenye mfululizo wa series hii nitagusia asili ya binadam, kama ilivyo posti yenyewe huwezi kuipatia majibu kama hutaangalia asili ya binadam, hasa muda ambao aliingia hapa duniani, tukiwa hapo tutatupia jicho kidogo kwenye ngozi yake ya asili ni ipi, lakini hiyo haimaanishi kama ni 'nyeusi' au 'nyeupe' basi huo ndiyo ubora, hapana, just kukupa dondoo of who you are, till then stay put.

      Delete
    2. jibu lako lifuatilie kwenye mfulilizo wa posi hii http://salimmsangi.blogspot.com/2017/04/je-tupo-wenyewe-kwenye-ulimwengu-s02_9.html

      Delete