Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Tuesday, July 29, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE Pt 4



KUTOKA KUSHOTO KWENDA KULIA: MYAHUDI WA ULAYA, MYAHUDI MWARABU WA YEMEN NA MYAHUDI WA KIHINDI KUTOKA INDIA. HAWA WATATU NI KITU GANI WANACHO FANANA ZAIDI YA DINI YAO YA UYAHUDI? MYAHUDI WA KIARABU ANAFANANA KILA KITU NA NDUGU ZAKE WA KIARABU, ISPOKUWA KWENYE DINI TU, NA HANA CHOCHOTE ANACHOFANANA NA MYAHUDI WA INDIA NA WAULAYA ISPOKUWA DINI YAO TU. HUO NI UKWELI WA MSINGI.




WAYAHUDI WA TATU: MMOJA ASHKENAZI KULIA, MWINGINE KUTOKA UGANDA NA WA MWISHO KULIA, MYAHUDI MWARABU KUTOKA YEMEN. WOTE HAO WANASEMA KUWA WAO NI TAIFA TEULE. KAMA NI TAIFA TEULE NA SIYO DINI TEULE, KATI YA HAWA WATATU HAPO JUU NI NANI NDIYE MWENYE HAKI HIYO ZAIDI YA KUWA TAIFA TEULE? MYAHUDI WA ULAYA? MYAHUDI WA UGANDA AU MYAHUDI WA ARABUNI? NI KWELI KWAMBA WOTE HAWA WATATU WANAYO DAMU YA JACOB, YAANI DAMU YA ISRAEL KIASI KWAMBA WAPEWE HAKI HIYO YA TAIFA TEULE? AU NI TAIFA TEULE IMEGEUKA KUWA DINI TEULE?



GIDEON LEVY, MYAHUDI WA ULAYA KUTOKA NCHI YA UJERUMANI, LUGHA YAKE YA ASILI NI KIJERUMANI, KATIKATI NI MYAHUDI KUTOKA ETHIOPIA, AMBAYE NAYE LUGHA YAKE SI ASILI YAKE CAANAN, NA MWISHO NI MYAHUDI KUTOKA YEMEN AMBAYE LUGHA YAKE NI KIARABU. NI KWA NAMNA GANI LEVY ANAHUSIANA NA MYAHAUDI WA YEMEN AU WA ETHIOPIA? HAWANA MAHUSIANO YEYOTE ZAIDI YA DINI YAO YA KIYAHUDI. SASA HILO TAIFA LA ISRAEL WANALIJENGAJE IKIWA HAWANA HIYO DAMU YA ISRAEL, AU NA HIYO DINI NAYO IMEKUWA NI DINI TEULE?



MYAHUDI KUTOKA ULAYA, NA MYAHUDI KUTOKA ETHIOPIA, JE WOTE HAWA WANAYO DAMU YA IBRAHIM AU WANAYO MAHUSIANO YEYOTE YA KIDAMU ZAIDI YA DINI YAO? JE MUISLAMU WA TANZANIA ANAWEZA KUJIITA KUWA YEYE NI MWARABU KWA SABABU TU YEYE NI MWIISLAMU? IKIHAWEZI KUFANYA HIVYO KWANINI BASI MYAHUDI KWA IMANI KUTOKA ULAYA AITWE KUWA YEYE NI MUISRAELI NA AKINGIWE KIFUA KUWAFUKUZA WAKAZI WA MJI AMBAO SI WAKE NA YEYE KUUKALIA KWA KISINGIZIO AMBACHO SOTE TUMEKIONA HAKINA MSINGI?



WAYAHUDI WAWILI, MMOJA ASHEKNAZI NA MWINGINE KUTOKA ETHIOPIA. JE WAYAHUDI HAWA WAWILI WANAYO DAMU YA WAARABU YA PALESTINE? AU WANAYO DAMU YA IS-HAKI? AU DAMU KUTOKA KWENYE MILIMA YA JORDAN, DAMU KUTOKA CAANAN? JE WANAYO HAKI YA KUITWA TAIFA TEULE? HAKI HIYO WANAITOLEA WAPI? KUPITIA DAMU YAO AU DINI YAO? VITABU VINASEMA TAIFA TEULE NA SIYO DINI TEULE, HIVYO WOTE HAWA HAWANA HAKI HIYO. MYAHUDI WA ASHKENAZI NI MTU MWENYE ASILI YA ULAYA, AMBAYE UKARIBU WAKE NA DINI HIYO YA KIYAHUDI NI KUPITIA KHAZAIRI WATU KUTOKA MILIMA YENYE BARAFU YA ULAYA NA ASIA, MYAHADI WA AFRIKA HANA CHOCHOTE NA LUGHA YAKE YA ASILI NI KIBANTU, MYAHUDI WA ARABUNI NI MWARABU NA LUGHA YAKE NI KIARABU, SASA HUO UTAIFA TEULE UNATOKA WAPI?



MICHAEL OREN KUSHOTO, MMAREKANI, ANASEMA YEYE DAMU YAKE NI 100% YA KIYAHUDI. PEMBENI YAKE NI MYAHUDI KUTOKA YEMEN, JE NA YEYE DAMU NI 100% YA KIYAHUDI? LAKINI SOTE TUMEONA HAKUNA DAMU YA KIYAHUDI DUNIANI, SABABU UYAHUDI NI DINI. NI SAWA NA MTU KUSEMA KUWA YEYE DAMU YAKE NI 100% YA KIKRISTO, JE NI KWELI KUNAYO DAMU YA KIKRISTO? AU DAMU YA KIISLAM? SASA OREN ANATOLEA WAPI DAI LAKUWA NA DAMU YA KIYAHUDI, TENA ASEME 100%? JE MYAHUDI WA ULAYA ALIYEACHA IMANI ZA WAZEE WAKE NA KUINGIA KWENYE UYAHUDI ANAKUWA NA HAKI ZAIDI NDANI YA PALESTINE KWA SABABU YA IMANI YAKE, AU NI MWARABU MKAZI WA PALESTINE, ALIYEZALIWA KATIKA ARIDHI HIYO TANGU ENZI NA ENZI MABABU WA VIZAZI KWA VIZAZI WAMEISHI HAPO? NA JE UYAHUDI NI DINI AU UTAIFA?



HUYU NI MYAHUDI KAMILI WA ULAYA. AKISIMAMA MBELE YA KIOO NA KUJITAZAMA, HAKUNA ANAYE MDANGANYA ISPOKUWA NAFSI YAKE MWENYEWE KWAMBA YEYE NI MUISRAEL. LAKINI HAWEZI HATA KUYAAMINI MACHO YAKE PALE NAPOJITAZAMA KWENYE KIOO. ANAJILAZIMISHA KUAMINI KUWA YEYE NI TAIFA TEULE NA ASILI YAKE NI PALESTINE, JAMANI HII INAWEZEKANA KWELI? HAIWEZEKANI MYAHUDI WA ULAYA NA MYAHUDI WA ARABUNI WOTE WAKAWA NI ‘TAIFA TEULE’, KAMA NI HIVYO BASI HATA MTANZANIA NAYEJIITA MYAHUDI NAYE NI TAIFA TEULE, NA KAMA HIVYO NDIVYO BASI WAISLAMU WOTE DUNIANI BILA KUJALI WANATOKA WAPI NI WAARABU? LINAWEZEKANA HILO? JIBU NI HAPANA? BASI VIPI MYAHUDI WA ULAYA AWE NI ‘TAIFA TEULE?’




HAWA HAPA TENA NI WAYAHUDI WAWILI. MMOJA MWEUSI NA MWENGINE MWEUPE! JE HAWA WATU NI TAIFA MOJA. UTAONEKANA NI MWENDAWAZIMU ENDAPO UTADAI KUWA WATU HAWA WAWILI ASILI YAO NI PALESTINE. KAMA ZILIVYO DINI NYINGINE DUNIANI, HAWA NI WAFUASI WA DINI YA KIYAHUDI KIIMANI, LAKINI IMANI YAO HAIWEZI KUBADILI DAMU YAO NA KUWA YA ISRAELI, IMANI YAO HAIWEZI KUBADILISHA ASILI YA MABABU ZAO NA KUWA NI WAISRAELI. NI SAWA NA MNAIGERIA WA HAUSA KUSEMA YEYE ASILI YAKE NI SWEDEN. HIVI INAWEZEKANA KWELI?


WAYAHUDI WA ULAYA NDANI YA ARIDHI YA PALESTINE, WANAONEKANA NI WATU KUTOKA KONA NYINGINE YA DUNIA, TIZAMA ASKARI HAWA WAWILI WA KIYAHUDI, NA TIZAMA PICHA YA MTOTO MDOGO ALIYENYUMA YAO, YUPI NI MKAZI ASILI YAKE HAPO NA YUPI NI MGENI, JE MGENI AMEKUWA NDIYO MKAZI NA MWENYEJI AMKUWA MKIMBIZI? MYAHUDI WA ULAYA NDANI YA PALESTINE HANA TOFAUTI NA MUITALIANO NDANI YA ETHIOPIA, WOTE NI WAKOLONI NA WAPO KWA AJILI YA KUFANYA UKOLONI WAO.


MTIZAME MYAHUD HUYU KUTOKA ULAYA. NDANI YA ARIDHI ISIYO YAKE, LAKINI KWA SILAHA ALIZOBEBESHWA NA KWA IMANI ALIYO IMANISHWA, ANAWEZA KUSIMAMA NA KUWAAMBIA WAKAZI HALALI, WENYE ASILI NA AMBAO MABABU ZAO NA VIZAZI KWA VIZAZI WAMEISHI HAPO, LAKINI ANATHUBUTU KUWAAMBIA NYAMAZA! MTIZAME TENA. ANACHO KITU GANI CHA KUMFANYA ASEME YEYE NI TAIFA TEULE NA NDIYE MWENYE UHALALI NA ENEO HILO, WAKATI KILA KITU CHAKE KINASEMA MIMI NI MYAHUDI KUTOKA ULAYA?


HUYU HAPA MKONO WA KULIA NI MYAHUDI KUTOKA UGANDA. MWEUSI TII, AKISIMAMA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA KUSEMA ASILI YAKE NI MASHARIKI YA KATI, WALA ASISEME PALESTINE DUNIA NZIMA ITAMCHEKA NA KUMSHANGAA. LAKINI ALIYEPO KUSHOTONI KWAKE NI MYAHUDI KUTOKA ULAYA AKISEMA ASILI YAKE NI PALESTINE, WATU WANAOANA NI SAWA, NA HIVYO NDIVYO ANAVYO JINADI SASA, WALA HAWAPINGI, HAWASHANGAI. JAMANI TUMEKUWA WAPOFU KIASI HICHO? WOTE NI WAYAHUDI KWA IMANI SIYO KWA DAMU, MMOJA NATOKA ULAYA MWINGINE AFRIKA MASHARIKI, WOTE HAWANA MIZIZI NDANI YA MASHARIKI YA KATI, MABABU ZAO HUENDA HATA HAWAFAHAMU HUO UYAHUDI NI KITU GANI, VIPI LEO WAITWE NI WAISRAEL NA WAPORE ARIDHI ZA WATU NA KUFANYA UHARIBIFU MKUBWA NA ULIMWENGU WOTE UWONE KUWA HIYO NI HAKI YAO?

Naweza kuweka picha zaidi na zaidi kukuonesha tofauti, ya nani ni nani ndani ya Palestina lakini hizo zitoshe kwa uchache kukutambulisha hao wanao jiita ni ‘taifa teule’ asili yao ni wapi.
Wayahudi kutoka Ulaya, yaani Ashkenazi ni asilimia 90 ya Wayahudi wote wanao unda taifa la Wayahudi duniani. Lakini hakuna taifa ambalo kwa umoja wao, limekana uasili wao, lakini Wayahudi wa Ulaya wameikana asili yao kwamba wao si watu kutoka Poland na nchi zingine za Ulaya. Utawasikia Wayahudi hao wa Ulaya wakiwaita Wayahudi wengine; ‘Wayahudi wa Irani,’ ‘Wayahudi wa Uganda’, ‘Wayahudi wa Morocco,’ ‘Wayahudi wa Yemen.’ Lakini inapokuja kwa Wayahudi wa Ulaya utakuta wanaitwa ‘WAYAHUDI’ Bila kuingiza neno ULAYA, na sasa wanaitwa ‘WAISRAELl’ jamani dunia hii imejaa viroja.

Picha hapo juu ni kwa ajili ya kukuelisha kwa namna ya ‘mwenye macho, haambiwi tazama.’ Anayekwenda kwa jina la Myahudi leo duniani hana tofauti kabisa na wale wanao kwenda kwa jina la Mkristo au Mwislamu, kwamba wote utawakuta katika kila kona ya dunia, kutoka mataifa tofauti na rangi tofauti.
Utaona basi waumini wa dini zingine hawachanganyi asili yao, walipo zaliwa na asili ya dini yao. Lakini hawa watu wanaojiita kuwa na imani ya Kiyahudi leo wanang’ang’ania kuwa wao ndiyo ‘taifa teule’ lililotajwa ndani ya biblia. Lakini hilo haliwezekani hata kidogo, sababu Myhaudi wa Ulaya ni mtu kutoka Ulaya, anaweza kuwa katoka Ujerumani, Ufaransa Ubelgiji na kwengineko, na miaka 2000 au 40000 kabla ya leo mababu zake waliishi maelfu ya maili kutoka kwenye hiyo aridhi ya Waarabu, waliishi katika eneo lililofahamika kama Khazari, hivyo mababu zao hawakufahamu chochote kuhusiana na dini ya Uyahudi achilia mbali lugha yenyewe ya Kiyahudi.

Sasa leo ni vipi watu hawa dunia inawaita Waisraeli? Basi tuseme kila Mwislamu ni Mwarabu! Lakini hiyo siyo sawa, huwezi katu kuukana utaifa na asili yako kwa sababu ya imani. Mchina atabakia kuwa Mwislamu na Uchina wake, Mganda Mwisilamu atabakia na utaifa wake, halikadhalika kwa Mkristo naye atabakia na utaifa wake. Sasa mbona Mkhazari leo anaitwa Mwiisrael kwa sababu tu ya imani ya Kiyahudi?

Ili kuurubuni uma vizuri yapo maneno ambayo wanayatumia sana kama ifuatavyo.

ANTI-SEMITIC
Katika posti ya kwanza nilishaeleza nini hasa maana ya neno SEMETIC na inayo maana gani kuwa ANTI-SEMITIC.
Huwezi kuwa ANTI-SEMITIC dhidi ya watu ambao siyo SEMETIC, watu kutoka Ulaya. Kama miaka 100 iliyopita, watu wa Ulaya walianza kuwabagua wenzao wa Ulaya kwa vile walikuwa wakifuata imani ya kiyahudi. Ubaguzi huo haukuwahusisha Wayahudi walio ishi nje ya Ulaya kama ushahidi wa historia unavyo thibitisha. Wayahudi wa Ulaya wanapenda kulitumia neno ANTI-SEMITIC sababu SEMITIC ni neno lililozaliwa mashariki ya kati na linawahusu wakazi wa asili wa eneo hilo, hivyo hii ni tiketi kwa Wayahudi wa Ulaya, yaani Khazari kujinasibisha na eneo hilo.
Lakini neno hilo halihusiani na watu, bali lugha ya watu wanao ishi eneo hilo ambayo si nyingine isipokuwa ni Kiarabu. Kiamharic, Kitigrina na Kiyahudi. Lugha ya kiyahudi ilitumiwa na watu wa eneo hilo. Khazari walipoingia kwenye dini ya Kiyahudi na lugha pia ya Kiyahudi wakaichukua na wakaanza kuandika herufi na tarakimu zao mfano wa kinavyo andikwa Kiyahudi.

LUGHA
Kwa namna fulani hili ni jambo la ajabu sana, watu wengi huwa wanazungumza lugha yao ya asili na hawaichukui lugha inayotokana na dini wanayoifuata kuwa ndiyo lugha yao ya asili. Lakini Wayahudi wa Ulaya wamefanya lugha ya Kiyahudi kutoka Mashariki ya Kati kuwa ndiyo lugha yao ya asili. Wameitupilia mbali lugha yao na hata sasa haijulikani kama palipatikana kuwa na kitu kinacho itwa Khazari.
Kunayo mamilioni ya waumini wa Kiislamu kutoka Indonesia, lakini hawajafanya Kiarabu kuwa ndiyo Lugha yao ya asili. Kunayo mamilioni ya Waafrika wanao fuata dini ya Kiislam, lakini hawajafanya Kiarabu kuwa ndiyo lugha yao ya asili, wanafuata lugha zao za sili, nenda kwa Wachina wa Kiislam utakutana na hadithi ileile, ndiyo sababu nasema hili ni jambo la ajabu sana kwa Wayahudi wa Ulaya kuacha lugha yao ya asili na kufanya lugha ya Kiyahudi kuwa ndiyo yao, ili tu wawarubuni walimwengu kuwa na wao eti ni watu wa Palestina.
NI NDUGU YAKO, MDOGO WAKO, KWANI UTAMUACHA? INAHUZUNISHA SANA

ARIDHI YA AHADI
Mwanaharakati wa Kizayuni aliyekuja na wazo la kuunda taifa la ‘Wayahudi’, Theodor Herzi, ambaye ni si mzaliwa wa Mashariki ya Kati, bali Hungary, Budabest. Katika kitabu chake kilicho kusudia kuwaswaga Wayahudi wa Ulaya kuelekea kwenye aridhi ya ‘Ahadi,’ alifikiria aridhi hiyo iwe ni kutoka eneo la Afrika Mashariki. Yeye aliona hilo lingekuwa ni suluhu kwa Wayahudi wa Ulaya kuepukana na madhila waliyo kuwa wakiyapata kila walipo geuza uso wao. Mpaka mwaka 1945 kwenye ramani ya dunia hapakuwa na taifa la Israeli kokote pale.

Hata hivyo muasisi huyo wa Uzayuni mbali na magumu aliyo yaona katika kupora aridhi za watu weusi wa Afrika Mashariki ni Lugha, sisi lugha yetu ni kibantu, vipi waje kudai eneo hilo ni la kwao ikiwa wao wanazungumza lugha ya Ulaya Mashariki iliyochanganywa na Kiyiddishi.
Ukitizama kwenye Wikipeida kuhusiana na lugha hii ya YIDDISHI, tunakuta imeandikwa hivi, ‘Lugha hii asili yake ni kwenye utamaduni wa Ashkenazi, ambayo iliendelezwa kuanzi kwenye karne ya 10 kwenye aridhi ya ‘Rhineland’ kisha ikitapakaa mpaka Ulaya ya Kati na ile ya Mashariki na hata kwenye baa mengine. Tofauti la lugha nyingine za Kijerumani, Yiddish iliandikwa na bado inaandikwa kwa herufi za Kiyahudi badala ya zile za Kilatini.

Utaona hapo kwenye Wikipeida kuwa, muda ambao lugha hii ya Kiyyidish imeanzishwa inawiana moja kwa moja na kipindi ambacho taifa la Khazari linaingia katika dini ya Uyahudi. Pia wao kutumia herufi za Kiyahudi kwenye lugha yo hii badala ya zile za Kilatini imewezesha kwa kiasi kikubwa kupoteza asili ya Kiyyadishi kiasi watu wanadhani lugha hiyo asili yake ni Mashariki ya Kati, kumbe ni Ulaya Mashariki.

Mwasisi huyu wa Uzayuni, Theodor Herzi alifikiria pia lugha ya Kijerumani kama ndiyo lugha ya ‘Taifa teule,’ lakini sababu hakuwa na hakika ni eneo lipi la dunia ndilo litakalo kuwa Wahanga wa kitimbi hichi, basi kwenye kitabu chake alisalia kusema ‘PALE KWENYE ARIDHI ILE’. Hata hivyo kwenye orodha yake maeneo ambayo yalikuwa yako juu kwenye orodha hiyo ni Argentina na Palestina, Cyprus, Madagascar, Uganda na Kenya.
Lakini kama tulivyoona kwenye posti iliyopita aridhi ya Palestina ikaangukiwa kwenye kitimbi cha Herzi na wenzake. Hii ni kwa sababu Lugha wanayo zungumza ya Yiddishi huandikwa kwa herufi za Kiyahudi, basi na wao wataonekana kuwa na mahusiano na aridhi ya Palestina, lakini kizazi ya Yakobo hawakuwa wakizungumza Kiyyadishi, bali Kiyahudi haswa!

Hivyo basi Wayahudi wa Ulaya ambao asili yao ni Ashkenazi, wao ni waumini tu wa dini ya Kiyahudi kama walivyo waumini wengine wa dini hiyo kokote walipo duniani na wao hata kidogo hawahusiani chochote na aridhi hiyo wanayo ikalia kwa mabavu na kufanya uharibifu wa kila namna na kujinadi kuwa wao ni kizazi teule, hali ya kuwa wao wanatokea mbali kabisa na eneo hilo, Ulaya ya Mashariki.
MWENYEJI KAWA MKIMBIZI KWENYE ARIDHI YAKE MWENYEWE, NA MKIMBIZI KAWA NDIYO MMILIKI NA MWENYE KAULI YA MWISHO. HALI HII INAYO TOFAUTI GANI NA KIPINDI CHA UKOLONI?


Kama eneo ambalo Herzi amelitaja ‘ARIDHI ILE’ kwenye kitabu chake cha ‘The Jewish State’ kama mara 10 lingekuwa ni Uganda je Wayahudi hawa wa Ulaya wangeiita Uganda ‘ISRAEL?’ Jibu ni HAPANA. Lakini PALESTINA wameibadilisha na kuiita ISREAL na dunia imenyamaa kimya, kana kwamba hilo ndilo sahihi. Na Wayahudi wa Ulaya sasa wanaitwa ‘WAISRAEL’ na ulimwengu unakubali bila pingamizi.

DIASPORA
Neno jingine wanalolitumia Wayahudi wa Ulaya kuulaghai Ulimwengu ni DIASPORA. Lakini nini hasa maana ya neno hili? Linamaanisha ni Myahudi yeyote yule, kokote alipo na hayupo ndani ya Palestina. Sasa Wayahudi wa Ulaya wanasema wapo DIASPORA, ingawa kihakika wapo ndani ya aridhi zao walipo zaliwa wao na mababu zao, na mababu wa babu zao, aridhi ya Ulaya. Hatakama utawakuta wamezaliwa Canada, Ujerumani, Ufaransa au Uingereza na koo zao zimetoka hapo, utawasikia bado wanajiita kuwa wapo DIASPORA. Ila wanapo kuwa ndani ya aridhi ya Waarabu Palestina, basi hapo hawatumii jina DIASPORA, bali hapo wapo nyumbani, jamani hayo ni kweli?

Wamarekani weusi wanaweza kuifuatilia asili yao mpaka sehemu fulani ndani ya aridhi ya Afrika, lakini hata mara moja hawajapata kujiita kuwa wao wapo kwenye aridhi ya DIASPORA.
Utaona basi Ashkenazi, Wayahudi wa Ulaya ndio watu wa pekee kukana asili yao, na kuzusha kuwa Palestina ndiyo asili yao. Lakini hata wanapo simama mbele ya kamera hakuna picha tofauti inayo toka zaidi ya mtu wa Ulaya. Lakini hawakubali hata kile ambacho macho yao yanacho waambia kwamba wao ni watu kutoka Ulaya na siyo Palestina.

HOLOCAUST
Neno hili wanalitumia kuuhadaa ulimwengu kwamba Wayahudi milioni 6 waliteswa na hatimaye kuwawa kwa kuchomwa kwenye vyumba vya gesi. Lakini kama ulivyo uwongo mwingine wowote waliopata kuutengeneza huu nao umethibitika kuwa ni uwongo mwingine.


Kama mtakumbuka ni tarehe 26 Novemba 2007, rais aliyemaliza muda wake wa Marekani George W. Bush, alifungua mazungumzo ya amani baina ya Waisraeli na Wapelistina, mazungumzo hayo yaliegemea katika kusimamisha dola mbili, Israeli na Palestina ambazo zitaishi kwa pamoja, hutuba ilikuwa ndefu kiasi ila kuna nukta moja ya msingi aliyoizungumza Bush kwamba, Marekani ikisaidiana na nchi za Ulaya pamoja na Benki ya dunia zitaipatia Palestina fedha za kutosha ili fedha hizo zitumike kulijenga jeshi la Palestina. Ni mamilioni ya dola yaliyoahidiwa kutolewa hapo, lakini si kwa ajili ya kujenga miundo mbinu kama bara, bara, viwanda, mashule, mahospitali na vituo vingine vya afya ambavyo vyote hivyo kwa miongo kadhaa vimekuwa ni moja ya shabaha za wa Israeli na vimeharibiwa vibaya, lakini zitakwenda kujenga jeshi la Palestina, kumbuka hapa Bush alikuwa akihubiri amani na jinsi ya kulijenga taifa la Palestina, lakini taifa hilo litajengwa kwa kupewa msaada wa vifaa vya kijeshi na bado akisisitiza kuwa mataifa hayo mawili yataishi kwa amani. Kinachoshangaza zaidi ni kuwa Marekani ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupiga kelele pale wanaharakati wa Kipalestina walipokuwa wakipokea silaha kutoka nchi jirani lakini cha ajabu leo Bush anauita ulimwengu uje kulijenga jeshi la Palestina katika wakati ambao dola hiyo imeanza kutambulika duniani na nchi kadhaa za Kiarabu zinaliunga mkono, wakati huo, huo mahasimu wao wakubwa wa Israeli wakigawanywa upande wa pili na njia ikitengenezwa kuwepo na ushirika mzuri baina ya Israeli, Jordani, Ututriki na Iraki ya sasa. Kama walivyozigawa pande mbili za vita katika vita vya kwanza na vya pili vya dunia ndivyo wanavyo zigawanya sasa kwa ajili ya vita vya tatu. (Taarifa ya Bush kuisaidia Palestina kijeshi, ilirushwa moja kwa moja na CNN pale Bush alipolitembelea eneo hilo mwaka 2007, lakini sijaliona tena kwenye chombo chochote cha habari.)

Si kila aliye pachikwa jina la “Myahudi” anafurahishwa na kile kinachofanywa na hao wanao jiita Wayahudi katika aridhi za wa Palestina. Mwanaharakati mmoja wa “Kiyahudi” Rabbi Handelman anapinga vikali harakati hizo za Kizayuni, katika makala yake aliyoiita “Because We Are Jews” ameonesha wazi msimamo wake huo. Wala hayuko peke yake katika hili, Rabbi Weberman “Myahudi” mwingine anayepinga Uzayuni anasema watu wengi wanamuuliza ni kwa nini anaibeba bendera ya Kipalestina, ni kwa nini anaandamana pamoja na Wapalestina? Wewe ni “Myahudi”  “Hivyo unavyo fanya ni makosa, jibu lake ni huwa ni jepesi sana, (Arthur Koestler, The Thirteenth Tribe)


“NI sawa na ni haki kufanya hivyo kwa sababu sisi Wayahudi tunao andamana na Wapalestina na kubeba bendera yao ni haki sababu tuna taka Wapalestina warudishwe kwenye makazi yao waliyotolewa, na warudishiwe mali zao walizonyang’anywa, kwa sababu kwenye Taurati tumeamrishwa tuwe wa haki na tuisimamie haki, na ni kitu gani kinacho kwenda kinyume na haki kama vugu, vugu na sara za Kizayuni za kuvamia aridhi ya watu, kuwafukuza wakazi wake na kuchukua mali zao?” (http://www.marchforjustice.com/Becausewearejews.php)
Anaendelea kusema katika makala yake hiyo kuwa ... wafuasi wa Uzayuni mwanzo walikuwa wakinadi kuwa wao ni watu wasio kuwa na aridhi na hivyo wanakwenda katika aridhi isiyo kuwa na watu, lakini ulikuwa ni uwongo mtupu Palestina ni aridhi iliyo kuwa na watu, watu ambao walikuwa wakijivunia utaifa wao....  tunaposema tunawaunga mkono Wapelistina hatumaanishi kingine zaidi ya kurudisha aridhi yote ya Wapelistina, ikiwemo Jerusalem katika mamlaka ya Wapelistina, na hapo mamlaka ya Palestina ndiyo itakayo amua kuwa ni kama kuna Wayahudi watakao bakia katika aridhi hiyo ni wangapi wabakie ... na zaidi ya hapo kuwarudishia aridhi yao peke yao hakutoshi kuna kuwaomba masamaha Wapelistina... Uzayuni ndiyo ulio wakosea, uzayuni ndiyo uliwaibia aridhini yenu, uzayuni ndiyo wapora nyumba zenu... (Ibid)


Huu ni mfano mmoja kati ya mifano mingi ya juu ya watu wanao jiita “Wayahudi” wasiokubaliana na kile kinachofanywa Palestina kwa kutumia jina la “Uyahudi”. Ni vigumu kupata na kusikia habari kama hizi kwa sababu kama ambavyo Uzayuni na taasisi zake mbalimbali ulivyo fanya kile liwezalo kufunika kwa walimwengu uhusiano wake na chama cha Nazi kilichokuwa kikiongozwa na Hitler ambaye walidai ni adui yao mkubwa kumbe ndiye mshirika wao mkubwa, ndivyo ambavyo kinavyo endelea kuzizima na kuzificha taarifa za watu kama hawa. Na ni mangapi umefichwa na kudanganywa mpaka hili liwe la kwanza kulishangaa.

Kama ajenda ilivyokuwa ikitaka kwa ushirika wa chama cha Nazi, Uzayuni na vikundi vingine vya siri hatimaye taifa la Israeli limepatikana, watu kutoka Urusi na kwenye milima ya Caucasus leo wanaitwa ni Wayahudi wamepewa makazi ya kudumu katika nchi waliyokimbilia kuomba hifadhi kama wakimbizi, kwa sababu karne nyingi nyuma Mfalme wao aliingia katika dini ya Kiyahudi, Judaism, hiyo ikatosha kuwafanya kuwa na wao ni “Wayahudi” na utambulisho wao kutoka Khaizari ukafutwa kwenye historia leo wanapora aridhi, mali na kufanya mauwaji kwa kutumia jina lisilo lao.

Nadharia za kifreemasonry zimetupotosha na kutufanya sisi kuiona thamani yetu katika vitu vinavyo onekana kama rangi ya ngozi, udini, ukabila, utajiri cheo nakadhalika, lakini hivi ni vitu ambavyo havina lolote katika utukufu wa mwanadamu, tunasema binaadamu wote mbele ya Mungu ni sawa, kwa sababu Mungu hatuangalii rangi zetu za ngozi, wala utajiri, cheo wala chochote kile unachofikiria, isipokuwa anaziangalia roho zetu, hakuna roho nyeupe wala nyeusi, hakuna roho ya Kiarabu wala ya Kichina, hakuna roho kilema au .. nakadhalika, roho zote ni sawa. Ila sisi tunaiangalia miili yetu na rangi zetu na kisha tunajipa thamani au tunajishusha thamani kwa hilo, lakini miili yetu na rangi zetu haya ni maumbo tu ambayo ni muhimu katika ulimwengu huu, baada ya muda roho inahama kwenda ulimwengu mwingine na mwili hauna kazi unafukiwa aridhini. Mwili ndiyo unao kufa lakini roho haifi, milele roho inahama toka kituo kimoja kwenda kingine, hii ndiyo sababu majini wanaweza kuishi zaidi ya miaka 2000 kwa sababu wao hawana mwili wana roho tu, sisi tuna mwili na miili haichelewi kuchoka na inapochoka roho inahama kuelekea kituo kingine na mwili unakufa hiyo roho ndiyo wewe na sio huo mwili.
Hivyo hakuna sababu ya kujitukuza, kujithaminisha, kujishusha na kujidharau kwa sababu ya rangi yako, kazi yako elimu yako nakadhalika. Wahutu wamewachinja Watusi kwa kuangalia ukabila, watu fulani wanataka kuichukua dunia leo na wao wawe wafalme na wengine wote wawe watumwa kwa kuangalia damu yao, wengine wanapora aridhi na kunyang’anya mali za wenzao kwa kudai wao ni kizazi teule, suala la “Kizazi Teule” linatoka wapi, ikiwa sote mbele za Mungu tuko sawa iweje basi wengine waseme wao ni wateule na kwa kutumia msimamo huo wasababishe majanga kwa binaadamu wengine, hata hivyo tumegundua siyo wao hao wanaojiita Wayahudi kuwa wanayo sifa za kuitwa ni watu wa Palestina, basi kwa nini binaadamu hatuamki tutaendelea kurubuniwa, kudanganywa na kuuwana mpaka lini. Elimu sahihi ni muhimu tuitafute tujifunze na tuwafundishe watoto wetu bado hatujachelewa tunaweza kufanya kitu, tunaweza kuleta mabadiliko kwa kuwa na elimu sahihi, tunawaza kuizuia ajenda.








1 comment: