KUTOKA KUSHOTO KWENDA KULIA: MYAHUDI WA ULAYA, MYAHUDI
MWARABU WA YEMEN NA MYAHUDI WA KIHINDI KUTOKA INDIA. HAWA WATATU NI KITU GANI
WANACHO FANANA ZAIDI YA DINI YAO YA UYAHUDI? MYAHUDI WA KIARABU ANAFANANA KILA KITU NA NDUGU ZAKE WA KIARABU, ISPOKUWA KWENYE
DINI TU, NA HANA
CHOCHOTE ANACHOFANANA NA
MYAHUDI WA INDIA NA WAULAYA ISPOKUWA DINI YAO TU. HUO NI UKWELI WA MSINGI.
WAYAHUDI WA TATU: MMOJA ASHKENAZI KULIA, MWINGINE KUTOKA
UGANDA NA WA MWISHO KULIA, MYAHUDI MWARABU KUTOKA YEMEN. WOTE HAO WANASEMA KUWA
WAO NI TAIFA TEULE. KAMA NI TAIFA TEULE NA SIYO DINI TEULE, KATI YA HAWA WATATU
HAPO JUU NI NANI NDIYE MWENYE HAKI HIYO ZAIDI YA KUWA TAIFA TEULE? MYAHUDI WA
ULAYA? MYAHUDI WA UGANDA AU MYAHUDI WA ARABUNI? NI KWELI KWAMBA WOTE HAWA
WATATU WANAYO DAMU YA JACOB, YAANI DAMU YA ISRAEL KIASI KWAMBA WAPEWE HAKI HIYO
YA TAIFA TEULE? AU NI TAIFA TEULE IMEGEUKA KUWA DINI TEULE?
GIDEON LEVY, MYAHUDI WA ULAYA KUTOKA NCHI YA UJERUMANI, LUGHA
YAKE YA ASILI NI KIJERUMANI, KATIKATI NI MYAHUDI KUTOKA ETHIOPIA, AMBAYE NAYE
LUGHA YAKE SI ASILI YAKE CAANAN, NA MWISHO NI MYAHUDI KUTOKA YEMEN AMBAYE LUGHA
YAKE NI KIARABU. NI KWA NAMNA GANI LEVY ANAHUSIANA NA MYAHAUDI WA YEMEN AU WA
ETHIOPIA? HAWANA MAHUSIANO YEYOTE ZAIDI YA DINI YAO YA KIYAHUDI. SASA HILO
TAIFA LA ISRAEL WANALIJENGAJE IKIWA HAWANA HIYO DAMU YA ISRAEL, AU NA HIYO DINI
NAYO IMEKUWA NI DINI TEULE?
MYAHUDI KUTOKA ULAYA, NA MYAHUDI KUTOKA ETHIOPIA, JE WOTE
HAWA WANAYO DAMU YA IBRAHIM AU WANAYO MAHUSIANO YEYOTE YA KIDAMU ZAIDI YA DINI
YAO? JE MUISLAMU WA TANZANIA ANAWEZA KUJIITA KUWA YEYE NI MWARABU KWA SABABU TU
YEYE NI MWIISLAMU? IKIHAWEZI KUFANYA HIVYO KWANINI BASI MYAHUDI KWA IMANI
KUTOKA ULAYA AITWE KUWA YEYE NI MUISRAELI NA AKINGIWE KIFUA KUWAFUKUZA WAKAZI
WA MJI AMBAO SI WAKE NA YEYE KUUKALIA KWA KISINGIZIO AMBACHO SOTE TUMEKIONA
HAKINA MSINGI?
WAYAHUDI WAWILI, MMOJA ASHEKNAZI NA MWINGINE KUTOKA
ETHIOPIA. JE WAYAHUDI HAWA WAWILI WANAYO DAMU YA WAARABU YA PALESTINE? AU
WANAYO DAMU YA IS-HAKI? AU DAMU KUTOKA KWENYE MILIMA YA JORDAN, DAMU KUTOKA
CAANAN? JE WANAYO HAKI YA KUITWA TAIFA TEULE? HAKI HIYO WANAITOLEA WAPI?
KUPITIA DAMU YAO AU DINI YAO? VITABU VINASEMA TAIFA TEULE NA SIYO DINI TEULE,
HIVYO WOTE HAWA HAWANA HAKI HIYO. MYAHUDI WA ASHKENAZI NI MTU MWENYE ASILI YA
ULAYA, AMBAYE UKARIBU WAKE NA DINI HIYO YA KIYAHUDI NI KUPITIA KHAZAIRI WATU
KUTOKA MILIMA YENYE BARAFU YA ULAYA NA ASIA, MYAHADI WA AFRIKA HANA CHOCHOTE NA
LUGHA YAKE YA ASILI NI KIBANTU, MYAHUDI WA ARABUNI NI MWARABU NA LUGHA YAKE NI
KIARABU, SASA HUO UTAIFA TEULE UNATOKA WAPI?
MICHAEL OREN KUSHOTO, MMAREKANI, ANASEMA YEYE DAMU YAKE
NI 100% YA KIYAHUDI. PEMBENI YAKE NI MYAHUDI KUTOKA YEMEN, JE NA YEYE DAMU NI
100% YA KIYAHUDI? LAKINI SOTE TUMEONA HAKUNA DAMU YA KIYAHUDI DUNIANI, SABABU
UYAHUDI NI DINI. NI SAWA NA MTU KUSEMA KUWA YEYE DAMU YAKE NI 100% YA KIKRISTO,
JE NI KWELI KUNAYO DAMU YA KIKRISTO? AU DAMU YA KIISLAM? SASA OREN ANATOLEA
WAPI DAI LAKUWA NA DAMU YA KIYAHUDI, TENA ASEME 100%? JE MYAHUDI WA ULAYA
ALIYEACHA IMANI ZA WAZEE WAKE NA KUINGIA KWENYE UYAHUDI ANAKUWA NA HAKI ZAIDI
NDANI YA PALESTINE KWA SABABU YA IMANI YAKE, AU NI MWARABU MKAZI WA PALESTINE,
ALIYEZALIWA KATIKA ARIDHI HIYO TANGU ENZI NA ENZI MABABU WA VIZAZI KWA VIZAZI
WAMEISHI HAPO? NA JE UYAHUDI NI DINI AU UTAIFA?
HUYU NI MYAHUDI KAMILI WA ULAYA. AKISIMAMA MBELE YA KIOO
NA KUJITAZAMA, HAKUNA ANAYE MDANGANYA ISPOKUWA NAFSI YAKE MWENYEWE KWAMBA YEYE
NI MUISRAEL. LAKINI HAWEZI HATA KUYAAMINI MACHO YAKE PALE NAPOJITAZAMA KWENYE
KIOO. ANAJILAZIMISHA KUAMINI KUWA YEYE NI TAIFA TEULE NA ASILI YAKE NI
PALESTINE, JAMANI HII INAWEZEKANA KWELI? HAIWEZEKANI MYAHUDI WA ULAYA NA
MYAHUDI WA ARABUNI WOTE WAKAWA NI ‘TAIFA TEULE’, KAMA NI HIVYO BASI HATA
MTANZANIA NAYEJIITA MYAHUDI NAYE NI TAIFA TEULE, NA KAMA HIVYO NDIVYO BASI
WAISLAMU WOTE DUNIANI BILA KUJALI WANATOKA WAPI NI WAARABU? LINAWEZEKANA HILO?
JIBU NI HAPANA? BASI VIPI MYAHUDI WA ULAYA AWE NI ‘TAIFA TEULE?’
HAWA HAPA TENA NI WAYAHUDI WAWILI. MMOJA MWEUSI NA
MWENGINE MWEUPE! JE HAWA WATU NI TAIFA MOJA. UTAONEKANA NI MWENDAWAZIMU ENDAPO
UTADAI KUWA WATU HAWA WAWILI ASILI YAO NI PALESTINE. KAMA ZILIVYO DINI NYINGINE
DUNIANI, HAWA NI WAFUASI WA DINI YA KIYAHUDI KIIMANI, LAKINI IMANI YAO HAIWEZI
KUBADILI DAMU YAO NA KUWA YA ISRAELI, IMANI YAO HAIWEZI KUBADILISHA ASILI YA
MABABU ZAO NA KUWA NI WAISRAELI. NI SAWA NA MNAIGERIA WA HAUSA KUSEMA YEYE
ASILI YAKE NI SWEDEN. HIVI INAWEZEKANA KWELI?
WAYAHUDI WA ULAYA NDANI YA ARIDHI YA PALESTINE,
WANAONEKANA NI WATU KUTOKA KONA NYINGINE YA DUNIA, TIZAMA ASKARI HAWA WAWILI WA
KIYAHUDI, NA TIZAMA PICHA YA MTOTO MDOGO ALIYENYUMA YAO, YUPI NI MKAZI ASILI
YAKE HAPO NA YUPI NI MGENI, JE MGENI AMEKUWA NDIYO MKAZI NA MWENYEJI AMKUWA
MKIMBIZI? MYAHUDI WA ULAYA NDANI YA PALESTINE HANA TOFAUTI NA MUITALIANO NDANI
YA ETHIOPIA, WOTE NI WAKOLONI NA WAPO KWA AJILI YA KUFANYA UKOLONI WAO.
MTIZAME MYAHUD HUYU KUTOKA ULAYA. NDANI YA ARIDHI ISIYO
YAKE, LAKINI KWA SILAHA ALIZOBEBESHWA NA KWA IMANI ALIYO IMANISHWA, ANAWEZA
KUSIMAMA NA KUWAAMBIA WAKAZI HALALI, WENYE ASILI NA AMBAO MABABU ZAO NA VIZAZI
KWA VIZAZI WAMEISHI HAPO, LAKINI ANATHUBUTU KUWAAMBIA NYAMAZA! MTIZAME TENA.
ANACHO KITU GANI CHA KUMFANYA ASEME YEYE NI TAIFA TEULE NA NDIYE MWENYE UHALALI
NA ENEO HILO, WAKATI KILA KITU CHAKE KINASEMA MIMI NI MYAHUDI KUTOKA ULAYA?
HUYU HAPA MKONO WA KULIA NI MYAHUDI KUTOKA UGANDA. MWEUSI
TII, AKISIMAMA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA KUSEMA ASILI YAKE NI MASHARIKI YA
KATI, WALA ASISEME PALESTINE DUNIA NZIMA ITAMCHEKA NA KUMSHANGAA. LAKINI ALIYEPO
KUSHOTONI KWAKE NI MYAHUDI KUTOKA ULAYA AKISEMA ASILI YAKE NI PALESTINE, WATU
WANAOANA NI SAWA, NA HIVYO NDIVYO ANAVYO JINADI SASA, WALA HAWAPINGI,
HAWASHANGAI. JAMANI TUMEKUWA WAPOFU KIASI HICHO? WOTE NI WAYAHUDI KWA IMANI
SIYO KWA DAMU, MMOJA NATOKA ULAYA MWINGINE AFRIKA MASHARIKI, WOTE HAWANA MIZIZI
NDANI YA MASHARIKI YA KATI, MABABU ZAO HUENDA HATA HAWAFAHAMU HUO UYAHUDI NI
KITU GANI, VIPI LEO WAITWE NI WAISRAEL NA WAPORE ARIDHI ZA WATU NA KUFANYA
UHARIBIFU MKUBWA NA ULIMWENGU WOTE UWONE KUWA HIYO NI HAKI YAO?
Naweza kuweka picha zaidi na zaidi kukuonesha tofauti, ya nani ni nani
ndani ya Palestina lakini hizo zitoshe kwa uchache kukutambulisha hao wanao
jiita ni ‘taifa teule’ asili yao ni wapi.
Wayahudi kutoka Ulaya, yaani Ashkenazi ni asilimia 90 ya Wayahudi wote
wanao unda taifa la Wayahudi duniani. Lakini hakuna taifa ambalo kwa umoja wao,
limekana uasili wao, lakini Wayahudi wa Ulaya wameikana asili yao kwamba wao si
watu kutoka Poland na nchi zingine za Ulaya. Utawasikia Wayahudi hao wa Ulaya
wakiwaita Wayahudi wengine; ‘Wayahudi wa Irani,’ ‘Wayahudi wa Uganda’, ‘Wayahudi wa Morocco,’ ‘Wayahudi wa Yemen.’ Lakini
inapokuja kwa Wayahudi wa Ulaya utakuta wanaitwa ‘WAYAHUDI’ Bila kuingiza neno ULAYA, na sasa
wanaitwa ‘WAISRAELl’ jamani dunia hii imejaa viroja.
Picha hapo juu ni kwa ajili ya kukuelisha kwa namna ya ‘mwenye macho,
haambiwi tazama.’ Anayekwenda kwa jina la Myahudi leo duniani hana tofauti
kabisa na wale wanao kwenda kwa jina la Mkristo au Mwislamu, kwamba wote
utawakuta katika kila kona ya dunia, kutoka mataifa tofauti na rangi tofauti.
Utaona basi waumini wa dini zingine hawachanganyi asili yao, walipo zaliwa
na asili ya dini yao. Lakini hawa watu wanaojiita kuwa na imani ya Kiyahudi leo
wanang’ang’ania kuwa wao ndiyo ‘taifa teule’ lililotajwa ndani ya biblia.
Lakini hilo haliwezekani hata kidogo, sababu Myhaudi wa Ulaya ni mtu kutoka
Ulaya, anaweza kuwa katoka Ujerumani, Ufaransa Ubelgiji na kwengineko, na miaka
2000 au 40000 kabla ya leo mababu zake waliishi maelfu ya maili kutoka kwenye
hiyo aridhi ya Waarabu, waliishi katika eneo lililofahamika kama Khazari, hivyo
mababu zao hawakufahamu chochote kuhusiana na dini ya Uyahudi achilia mbali
lugha yenyewe ya Kiyahudi.
Sasa leo ni vipi watu hawa dunia inawaita Waisraeli? Basi tuseme kila
Mwislamu ni Mwarabu! Lakini hiyo siyo sawa, huwezi katu kuukana utaifa na asili
yako kwa sababu ya imani. Mchina atabakia kuwa Mwislamu na Uchina wake, Mganda
Mwisilamu atabakia na utaifa wake, halikadhalika kwa Mkristo naye atabakia na
utaifa wake. Sasa mbona Mkhazari leo anaitwa Mwiisrael kwa sababu tu ya imani
ya Kiyahudi?
Ili kuurubuni uma vizuri yapo maneno ambayo wanayatumia sana kama
ifuatavyo.
ANTI-SEMITIC
Katika posti ya kwanza nilishaeleza nini hasa maana ya neno SEMETIC na
inayo maana gani kuwa ANTI-SEMITIC.
Huwezi kuwa ANTI-SEMITIC dhidi ya watu ambao siyo SEMETIC, watu kutoka
Ulaya. Kama miaka 100 iliyopita, watu wa Ulaya walianza kuwabagua wenzao wa
Ulaya kwa vile walikuwa wakifuata imani ya kiyahudi. Ubaguzi huo haukuwahusisha
Wayahudi walio ishi nje ya Ulaya kama ushahidi wa historia unavyo thibitisha.
Wayahudi wa Ulaya wanapenda kulitumia neno ANTI-SEMITIC sababu SEMITIC ni neno
lililozaliwa mashariki ya kati na linawahusu wakazi wa asili wa eneo hilo,
hivyo hii ni tiketi kwa Wayahudi wa Ulaya, yaani Khazari kujinasibisha na eneo
hilo.
Lakini neno hilo halihusiani na watu, bali lugha ya watu wanao ishi eneo
hilo ambayo si nyingine isipokuwa ni Kiarabu. Kiamharic, Kitigrina na Kiyahudi.
Lugha ya kiyahudi ilitumiwa na watu wa eneo hilo. Khazari walipoingia kwenye
dini ya Kiyahudi na lugha pia ya Kiyahudi wakaichukua na wakaanza kuandika
herufi na tarakimu zao mfano wa kinavyo andikwa Kiyahudi.
LUGHA
Kwa namna fulani hili ni jambo la ajabu sana, watu wengi huwa wanazungumza
lugha yao ya asili na hawaichukui lugha inayotokana na dini wanayoifuata kuwa
ndiyo lugha yao ya asili. Lakini Wayahudi wa Ulaya wamefanya lugha ya Kiyahudi
kutoka Mashariki ya Kati kuwa ndiyo lugha yao ya asili. Wameitupilia mbali
lugha yao na hata sasa haijulikani kama palipatikana kuwa na kitu kinacho itwa
Khazari.
Kunayo mamilioni ya waumini wa Kiislamu kutoka Indonesia, lakini
hawajafanya Kiarabu kuwa ndiyo Lugha yao ya asili. Kunayo mamilioni ya Waafrika
wanao fuata dini ya Kiislam, lakini hawajafanya Kiarabu kuwa ndiyo lugha yao ya
asili, wanafuata lugha zao za sili, nenda kwa Wachina wa Kiislam utakutana na
hadithi ileile, ndiyo sababu nasema hili ni jambo la ajabu sana kwa Wayahudi wa
Ulaya kuacha lugha yao ya asili na kufanya lugha ya Kiyahudi kuwa ndiyo yao,
ili tu wawarubuni walimwengu kuwa na wao eti ni watu wa Palestina.
NI NDUGU YAKO, MDOGO WAKO, KWANI UTAMUACHA? INAHUZUNISHA SANA
ARIDHI YA AHADI
Mwanaharakati wa Kizayuni aliyekuja na wazo la kuunda taifa la ‘Wayahudi’,
Theodor Herzi, ambaye ni si mzaliwa wa Mashariki ya Kati, bali Hungary,
Budabest. Katika kitabu chake kilicho kusudia kuwaswaga Wayahudi wa Ulaya
kuelekea kwenye aridhi ya ‘Ahadi,’ alifikiria aridhi hiyo iwe ni kutoka eneo la
Afrika Mashariki. Yeye aliona hilo lingekuwa ni suluhu kwa Wayahudi wa Ulaya
kuepukana na madhila waliyo kuwa wakiyapata kila walipo geuza uso wao. Mpaka
mwaka 1945 kwenye ramani ya dunia hapakuwa na taifa la Israeli kokote pale.
Hata hivyo muasisi huyo wa Uzayuni mbali na magumu aliyo yaona katika
kupora aridhi za watu weusi wa Afrika Mashariki ni Lugha, sisi lugha yetu ni
kibantu, vipi waje kudai eneo hilo ni la kwao ikiwa wao wanazungumza lugha ya
Ulaya Mashariki iliyochanganywa na Kiyiddishi.
Ukitizama kwenye Wikipeida kuhusiana na lugha hii ya YIDDISHI, tunakuta
imeandikwa hivi, ‘Lugha hii asili yake ni kwenye utamaduni wa Ashkenazi, ambayo
iliendelezwa kuanzi kwenye karne ya 10 kwenye aridhi ya ‘Rhineland’ kisha
ikitapakaa mpaka Ulaya ya Kati na ile ya Mashariki na hata kwenye baa mengine.
Tofauti la lugha nyingine za Kijerumani, Yiddish iliandikwa na bado inaandikwa
kwa herufi za Kiyahudi badala ya zile za Kilatini.
Utaona hapo kwenye Wikipeida kuwa, muda ambao lugha hii ya Kiyyidish
imeanzishwa inawiana moja kwa moja na kipindi ambacho taifa la Khazari
linaingia katika dini ya Uyahudi. Pia wao kutumia herufi za Kiyahudi kwenye
lugha yo hii badala ya zile za Kilatini imewezesha kwa kiasi kikubwa kupoteza
asili ya Kiyyadishi kiasi watu wanadhani lugha hiyo asili yake ni Mashariki ya
Kati, kumbe ni Ulaya Mashariki.
Mwasisi huyu wa Uzayuni, Theodor Herzi alifikiria pia lugha ya Kijerumani
kama ndiyo lugha ya ‘Taifa teule,’ lakini sababu hakuwa na hakika ni eneo lipi
la dunia ndilo litakalo kuwa Wahanga wa kitimbi hichi, basi kwenye kitabu chake
alisalia kusema ‘PALE KWENYE ARIDHI ILE’. Hata hivyo kwenye orodha yake maeneo
ambayo yalikuwa yako juu kwenye orodha hiyo ni Argentina na Palestina, Cyprus,
Madagascar, Uganda na Kenya.
Lakini kama tulivyoona kwenye posti iliyopita aridhi ya Palestina
ikaangukiwa kwenye kitimbi cha Herzi na wenzake. Hii ni kwa sababu Lugha
wanayo zungumza ya Yiddishi huandikwa kwa herufi za Kiyahudi, basi na wao
wataonekana kuwa na mahusiano na aridhi ya Palestina, lakini kizazi ya Yakobo
hawakuwa wakizungumza Kiyyadishi, bali Kiyahudi haswa!
Hivyo basi Wayahudi wa Ulaya ambao asili yao ni Ashkenazi, wao ni waumini
tu wa dini ya Kiyahudi kama walivyo waumini wengine wa dini hiyo kokote walipo
duniani na wao hata kidogo hawahusiani chochote na aridhi hiyo wanayo ikalia
kwa mabavu na kufanya uharibifu wa kila namna na kujinadi kuwa wao ni kizazi
teule, hali ya kuwa wao wanatokea mbali kabisa na eneo hilo, Ulaya ya
Mashariki.
MWENYEJI KAWA MKIMBIZI KWENYE ARIDHI YAKE MWENYEWE, NA MKIMBIZI KAWA NDIYO MMILIKI NA MWENYE KAULI YA MWISHO. HALI HII INAYO TOFAUTI GANI NA KIPINDI CHA UKOLONI?
Kama eneo ambalo Herzi amelitaja ‘ARIDHI ILE’ kwenye kitabu chake cha ‘The
Jewish State’ kama mara 10 lingekuwa ni Uganda je Wayahudi hawa wa Ulaya
wangeiita Uganda ‘ISRAEL?’ Jibu ni HAPANA. Lakini PALESTINA wameibadilisha na
kuiita ISREAL na dunia imenyamaa kimya, kana kwamba hilo ndilo sahihi. Na
Wayahudi wa Ulaya sasa wanaitwa ‘WAISRAEL’ na ulimwengu unakubali bila
pingamizi.
DIASPORA
Neno jingine wanalolitumia Wayahudi wa Ulaya kuulaghai Ulimwengu ni
DIASPORA. Lakini nini hasa maana ya neno hili? Linamaanisha ni Myahudi yeyote
yule, kokote alipo na hayupo ndani ya Palestina. Sasa Wayahudi wa Ulaya
wanasema wapo DIASPORA, ingawa kihakika wapo ndani ya aridhi zao walipo zaliwa
wao na mababu zao, na mababu wa babu zao, aridhi ya Ulaya. Hatakama utawakuta
wamezaliwa Canada, Ujerumani, Ufaransa au Uingereza na koo zao zimetoka hapo,
utawasikia bado wanajiita kuwa wapo DIASPORA. Ila wanapo kuwa ndani ya aridhi
ya Waarabu Palestina, basi hapo hawatumii jina DIASPORA, bali hapo wapo
nyumbani, jamani hayo ni kweli?
Wamarekani weusi wanaweza kuifuatilia asili yao mpaka sehemu fulani ndani
ya aridhi ya Afrika, lakini hata mara moja hawajapata kujiita kuwa wao wapo
kwenye aridhi ya DIASPORA.
Utaona basi Ashkenazi, Wayahudi wa Ulaya ndio watu wa pekee kukana asili
yao, na kuzusha kuwa Palestina ndiyo asili yao. Lakini hata wanapo simama mbele
ya kamera hakuna picha tofauti inayo toka zaidi ya mtu wa Ulaya. Lakini
hawakubali hata kile ambacho macho yao yanacho waambia kwamba wao ni watu
kutoka Ulaya na siyo Palestina.
HOLOCAUST
Neno hili wanalitumia kuuhadaa ulimwengu kwamba Wayahudi milioni 6
waliteswa na hatimaye kuwawa kwa kuchomwa kwenye vyumba vya gesi. Lakini kama
ulivyo uwongo mwingine wowote waliopata kuutengeneza huu nao umethibitika kuwa
ni uwongo mwingine.
Kama mtakumbuka ni tarehe 26 Novemba 2007, rais aliyemaliza muda wake wa Marekani
George W. Bush, alifungua mazungumzo ya amani baina ya Waisraeli na
Wapelistina, mazungumzo hayo yaliegemea katika kusimamisha dola mbili, Israeli
na Palestina ambazo zitaishi kwa pamoja, hutuba ilikuwa ndefu kiasi ila kuna
nukta moja ya msingi aliyoizungumza Bush kwamba, Marekani ikisaidiana na nchi
za Ulaya pamoja na Benki ya dunia zitaipatia Palestina fedha za kutosha ili
fedha hizo zitumike kulijenga jeshi la Palestina. Ni mamilioni ya dola
yaliyoahidiwa kutolewa hapo, lakini si kwa ajili ya kujenga miundo mbinu kama
bara, bara, viwanda, mashule, mahospitali na vituo vingine vya afya ambavyo
vyote hivyo kwa miongo kadhaa vimekuwa ni moja ya shabaha za wa Israeli na
vimeharibiwa vibaya, lakini zitakwenda kujenga jeshi la Palestina, kumbuka hapa
Bush alikuwa akihubiri amani na jinsi ya kulijenga taifa la Palestina, lakini
taifa hilo litajengwa kwa kupewa msaada wa vifaa vya kijeshi na bado
akisisitiza kuwa mataifa hayo mawili yataishi kwa amani. Kinachoshangaza zaidi
ni kuwa Marekani ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupiga kelele pale wanaharakati wa
Kipalestina walipokuwa wakipokea silaha kutoka nchi jirani lakini cha ajabu leo
Bush anauita ulimwengu uje kulijenga jeshi la Palestina katika wakati ambao
dola hiyo imeanza kutambulika duniani na nchi kadhaa za Kiarabu zinaliunga
mkono, wakati huo, huo mahasimu wao wakubwa wa Israeli wakigawanywa upande wa
pili na njia ikitengenezwa kuwepo na ushirika mzuri baina ya Israeli, Jordani,
Ututriki na Iraki ya sasa. Kama walivyozigawa pande mbili za vita katika vita
vya kwanza na vya pili vya dunia ndivyo wanavyo zigawanya sasa kwa ajili ya
vita vya tatu. (Taarifa ya Bush
kuisaidia Palestina kijeshi, ilirushwa moja kwa moja na CNN pale Bush
alipolitembelea eneo hilo mwaka 2007, lakini sijaliona tena kwenye chombo
chochote cha habari.)
Si kila aliye pachikwa jina la “Myahudi” anafurahishwa na kile
kinachofanywa na hao wanao jiita Wayahudi katika aridhi za wa Palestina.
Mwanaharakati mmoja wa “Kiyahudi” Rabbi Handelman anapinga vikali harakati hizo
za Kizayuni, katika makala yake aliyoiita “Because We Are Jews” ameonesha wazi msimamo wake huo. Wala
hayuko peke yake katika hili, Rabbi Weberman “Myahudi” mwingine anayepinga Uzayuni
anasema watu wengi wanamuuliza ni kwa nini anaibeba bendera ya Kipalestina, ni
kwa nini anaandamana pamoja na Wapalestina? Wewe ni “Myahudi” “Hivyo unavyo fanya ni makosa, jibu lake ni
huwa ni jepesi sana, (Arthur
Koestler, The Thirteenth Tribe)
“NI sawa na ni haki kufanya hivyo kwa sababu sisi Wayahudi tunao andamana
na Wapalestina na kubeba bendera yao ni haki sababu tuna taka Wapalestina
warudishwe kwenye makazi yao waliyotolewa, na warudishiwe mali zao
walizonyang’anywa, kwa sababu kwenye Taurati tumeamrishwa tuwe wa haki na
tuisimamie haki, na ni kitu gani kinacho kwenda kinyume na haki kama vugu, vugu
na sara za Kizayuni za kuvamia aridhi ya watu, kuwafukuza wakazi wake na
kuchukua mali zao?” (http://www.marchforjustice.com/Becausewearejews.php)
Anaendelea kusema katika makala yake hiyo kuwa ... wafuasi wa Uzayuni mwanzo walikuwa
wakinadi kuwa wao ni watu wasio kuwa na aridhi na hivyo wanakwenda katika
aridhi isiyo kuwa na watu, lakini ulikuwa ni uwongo mtupu Palestina ni aridhi
iliyo kuwa na watu, watu ambao walikuwa wakijivunia utaifa wao.... tunaposema tunawaunga mkono Wapelistina
hatumaanishi kingine zaidi ya kurudisha aridhi yote ya Wapelistina, ikiwemo
Jerusalem katika mamlaka ya Wapelistina, na hapo mamlaka ya Palestina ndiyo
itakayo amua kuwa ni kama kuna Wayahudi watakao bakia katika aridhi hiyo ni
wangapi wabakie ... na zaidi ya hapo kuwarudishia aridhi yao peke yao hakutoshi
kuna kuwaomba masamaha Wapelistina... Uzayuni ndiyo ulio wakosea, uzayuni ndiyo
uliwaibia aridhini yenu, uzayuni ndiyo wapora nyumba zenu... (Ibid)
Huu ni mfano mmoja kati ya mifano mingi ya juu ya watu wanao jiita
“Wayahudi” wasiokubaliana na kile kinachofanywa Palestina kwa kutumia jina la
“Uyahudi”. Ni vigumu kupata na kusikia habari kama hizi kwa sababu kama ambavyo
Uzayuni na taasisi zake mbalimbali ulivyo fanya kile liwezalo kufunika kwa
walimwengu uhusiano wake na chama cha Nazi kilichokuwa kikiongozwa na Hitler
ambaye walidai ni adui yao mkubwa kumbe ndiye mshirika wao mkubwa, ndivyo
ambavyo kinavyo endelea kuzizima na kuzificha taarifa za watu kama hawa. Na ni
mangapi umefichwa na kudanganywa mpaka hili liwe la kwanza kulishangaa.
Kama ajenda ilivyokuwa ikitaka kwa ushirika wa chama cha Nazi, Uzayuni na
vikundi vingine vya siri hatimaye taifa la Israeli limepatikana, watu kutoka
Urusi na kwenye milima ya Caucasus leo wanaitwa ni Wayahudi wamepewa makazi ya
kudumu katika nchi waliyokimbilia kuomba hifadhi kama wakimbizi, kwa sababu
karne nyingi nyuma Mfalme wao aliingia katika dini ya Kiyahudi, Judaism, hiyo
ikatosha kuwafanya kuwa na wao ni “Wayahudi” na utambulisho wao kutoka Khaizari
ukafutwa kwenye historia leo wanapora aridhi, mali na kufanya mauwaji kwa
kutumia jina lisilo lao.
Nadharia za kifreemasonry zimetupotosha na kutufanya sisi kuiona thamani
yetu katika vitu vinavyo onekana kama rangi ya ngozi, udini, ukabila, utajiri
cheo nakadhalika, lakini hivi ni vitu ambavyo havina lolote katika utukufu wa
mwanadamu, tunasema binaadamu wote mbele ya Mungu ni sawa, kwa sababu Mungu
hatuangalii rangi zetu za ngozi, wala utajiri, cheo wala chochote kile
unachofikiria, isipokuwa anaziangalia roho zetu, hakuna roho nyeupe wala
nyeusi, hakuna roho ya Kiarabu wala ya Kichina, hakuna roho kilema au ..
nakadhalika, roho zote ni sawa. Ila sisi tunaiangalia miili yetu na rangi zetu
na kisha tunajipa thamani au tunajishusha thamani kwa hilo, lakini miili yetu
na rangi zetu haya ni maumbo tu ambayo ni muhimu katika ulimwengu huu, baada ya
muda roho inahama kwenda ulimwengu mwingine na mwili hauna kazi unafukiwa
aridhini. Mwili ndiyo unao kufa lakini roho haifi, milele roho inahama toka
kituo kimoja kwenda kingine, hii ndiyo sababu majini wanaweza kuishi zaidi ya
miaka 2000 kwa sababu wao hawana mwili wana roho tu, sisi tuna mwili na miili
haichelewi kuchoka na inapochoka roho inahama kuelekea kituo kingine na mwili
unakufa hiyo roho ndiyo wewe na sio huo mwili.
Hivyo hakuna sababu ya kujitukuza, kujithaminisha, kujishusha na kujidharau
kwa sababu ya rangi yako, kazi yako elimu yako nakadhalika. Wahutu wamewachinja
Watusi kwa kuangalia ukabila, watu fulani wanataka kuichukua dunia leo na wao
wawe wafalme na wengine wote wawe watumwa kwa kuangalia damu yao, wengine
wanapora aridhi na kunyang’anya mali za wenzao kwa kudai wao ni kizazi teule,
suala la “Kizazi Teule” linatoka wapi, ikiwa sote mbele za Mungu tuko sawa
iweje basi wengine waseme wao ni wateule na kwa kutumia msimamo huo wasababishe
majanga kwa binaadamu wengine, hata hivyo tumegundua siyo wao hao wanaojiita Wayahudi
kuwa wanayo sifa za kuitwa ni watu wa Palestina, basi kwa nini binaadamu
hatuamki tutaendelea kurubuniwa, kudanganywa na kuuwana mpaka lini. Elimu
sahihi ni muhimu tuitafute tujifunze na tuwafundishe watoto wetu bado hatujachelewa
tunaweza kufanya kitu, tunaweza kuleta mabadiliko kwa kuwa na elimu sahihi, tunawaza
kuizuia ajenda.
Umefumbua hasa akili yangu. Loh!
ReplyDelete