Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Showing posts with label pyramid. Show all posts
Showing posts with label pyramid. Show all posts

Friday, March 24, 2017

JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? S02, Ep7 (Nyayo za Wageni Kutoka Sayari Ya Mbali - Mexico )

Pyramid za Mexico


Kama utakumbuka tulikuwa Peru, tulipokutana na mapiramidi matatu yaliyo jengwa kule ndiyo tukaamua kuja Gaza ambako nako kuna mapiramidi mfano wa yale ya Nazca, hakuna tulichopata kuhusu wajenzi wa majengo hayo ila maajabu ya kazi zao. 

Thursday, March 16, 2017

JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? S02, Ep6 (Nyayo za Wageni Kutoka Sayari Ya Mbali - Egypt )

Mapiramidi matatu ndani ya Geza.

Bado tukiwa tunamtafuta mwandishi wa kazi hizi katika maeneo ya Marekani ya Kusini, tunakutana na kitu ambacho tumepata kukiona na kukusikia huku kwetu Afrika, Piramidi, kwenye eneo hili kuna mapiramidi kadhaa, lakini kuna matatu yanayo vutia zaidi ambayo mwonekano wake hautofautiani na ule wa mapiramidi matatu ya Gaza.

Monday, December 12, 2016

JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? S02, Ep3 (Nyayo za Wageni Kutoka Sayari Ya Mbali)

Kwenye kile kinacho itwa 'elimu' kutoka awali mpaka vyuoni, huu ndiyo mtazamo wa namna binamu alivyo anza kujitambua (evolve), ni kwenye mafunzo ya kidini tu ndiyo tunapata piacha tofauti na hii, lakini kwenye mfululuzo wa posti hizi tutaona mazingira yanavyo mkataa huyu binadam wa Darwin.

“Kupotoshwa kwa historia kume mpotosha binaadam kuliko kingine chochote kinacho julikana kwa mwanaadam”
Jean   Jacques    Rousseau

“Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi”
Karl Max
“Wanao tawala historia yetu, ndiyo wanao tawala hatma yetu, na wanao tawala wakati wetu ulio kuwepo ndiyo wanao tawala wakati wetu uliopita”
George Orwell

Monday, December 5, 2016

JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? S02, Ep2 (wageni ni akina nani?)

Swali hili limekuwa kwenye vichwa vya wanasayansi hasa upande wa materialistic, kwenye mfulululizo wa mabandiko haya nitajibu swali hilo.

Kama binaadam wenye uhuru na maamuzi kamili kuna viumbe wengine wanao ishi pamoja nasi wenye uhuru na maamuzi kamili kama sisi na kwa milenia nyingi viumbe hao wamekuwa washiriki wetu wakubwa, kwani wana sifa moja kuu kama tuliyo nayo sisi, inayo tutofautisha na viumbe wengine wote, sifa ya Uhuru, sisi na wao hatuishi kwa kufuata silka zetu kama waishivyo viumbe wengine, tu huru.