Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Showing posts with label NASA. Show all posts
Showing posts with label NASA. Show all posts

Thursday, April 16, 2015

JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? pt 3


Lengo hasa ni kutengeneza kiu ya kutaka kujua juu hasa ya kuwepo kwa ‘wageni’ hao na kuwafanya watu wafikiri na kudhani kuwa ni kweli, viumbe hao kutoka sayari ya mbali wapo, ni kweli kuwa ‘wageni’ wamerudi tena. Mwaka 1947 aliyekuwa rais wa Marekani na Freemasons kwenye daraja la 33, Harry S. Truman alitengeneza kile kilicho itwa Majestic 12 au MJ12, kamati ya siri ya wanasayansi ikishirikiana na serikali, ilichaguliwa kulifanyia utafiti na uchunguzi suala Roswell, UFO na viumbe kutoka nje ya sayari yetu.

Sunday, March 1, 2015

HATUKWENDA MWEZINI PT 4 (sesonal fenale)

NI KWELI HICHI NDICHO CHOMBO KILICHO KWENDA MWEZINI? PICHA YA KARIBU YA APOLLO, TIZAMA MAKARATASI, 'SOLETAPE' MH?

Hakuna picha ya rangi hata moja katika hizo zilizo pigwa ‘mwezini’, zote ni black and white na zikiwa na ubora finyu kabisa wa kuweza kuzichanganua. 

Thursday, February 26, 2015

HATUKWENDA MWEZINI PT 3

Kama tunavyojua mwezi haujazungukwa na blanketi la hewa kama hili la kwetu hivyo anga zima (Space) linaonekana jeusi tii hivyo hakuna kitu chochote kitakachoweza kurikodiwa nyuma ya weusi huo mpaka miale ya kamera iwe na nguvu ya kupenya weusi huo, lakini cha ajabu baadhi ya picha baada ya kuchunguzwa zimekutwa na duara kubwa nyuma wa weusi huo wa anga, duara mbalo kwenye picha zingine limetumika kama jua au chanzo cha mwanga wa jua. 

Thursday, December 18, 2014

HATUKWENDA MWEZINI ... Pt 2



Laika ni mbwa wa kwanza kwenda mwezini kwa majaribio na alikufa baada ya masaa machache ya kuizunguka dunia nje ya anga lake kama ambavyo walivyokufa wanaanga wa Kirusi waliojaribu kufanya hivyo mpaka mwana anga mwingine wa Kirusi Yuri Alekseyevich Gagarian alipofanikiwa kutudanganya kuwa amefanikiwa kufanya hivyo mnamo mwaka 1961 baada ya kuruka katika upeo ambao ulikuwa ni salama, hakufika mwezini ila anahisabiwa kama binaadam wa kwanza kwenda kwenye anga (Space). Uwongo hata katika hilo anga hakufanikiwa kufika.