Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Showing posts with label israel. Show all posts
Showing posts with label israel. Show all posts

Monday, April 11, 2016

NAMTAFUTA MUNGU Ep: 4


Silka ya kumtafuta MUUMBA iliyo ndani ya roho zetu, imekuwa ikisimamia katika vitu vitatu, mitume, vitabu na dini. Mitume au manabii wanatoa dai la kuwa wao wametumwa na MUNGU MMOJA. Katika hao baadhi yao huja na maandiko ambayo nayo hudai ni muongozo kutoka kwa MUNGU MMOJA, kwa ajili ya watu, na katika maandiko hayo kinapatikana kitu kinacho itwa ni dini.

Thursday, March 12, 2015

ISIS NA KHILAFAH YA OBAMA PT 2


Ushirika wa US-NATO 2011 ulianza kuwagawia silaha vikundi vya kigaidi wakiwemo Al Qaeda kwa ajili ya kuangusha utawala wa Libya. 

Sunday, March 8, 2015

ISIS NA KHILAFAH YA OBAMA



IS (Islamic State) inatoa upenyo sawia kwa majeshi ya NATO na Marekani kuwepo na kuendelea kuafanya ‘kazi’ zao ndani ya Mashariki ya Kati.

Tuesday, July 29, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE Pt 4



KUTOKA KUSHOTO KWENDA KULIA: MYAHUDI WA ULAYA, MYAHUDI MWARABU WA YEMEN NA MYAHUDI WA KIHINDI KUTOKA INDIA. HAWA WATATU NI KITU GANI WANACHO FANANA ZAIDI YA DINI YAO YA UYAHUDI? MYAHUDI WA KIARABU ANAFANANA KILA KITU NA NDUGU ZAKE WA KIARABU, ISPOKUWA KWENYE DINI TU, NA HANA CHOCHOTE ANACHOFANANA NA MYAHUDI WA INDIA NA WAULAYA ISPOKUWA DINI YAO TU. HUO NI UKWELI WA MSINGI.

Sunday, July 13, 2014

TAIFA TEULE na URONGO WA ZAMA ZOTE.


“Sema uwongo kwa sauti kubwa sana na rudi rudia mara kwa mara kwa muda mrefu na watu watauamini huo uwongo. – Adolf Hitler

“Ufuate ushahidi kokote unapoelekea” – Socrates

“Ukweli inapaswa urudiwe mara kwa mara kwa sababu uwongo nao unahubiriwa muda wote, wala siyo na wachache lakini na wengi. Uwongo unahubiriwa kwenye magazeti na kwenye encyclopedia, kwenye mashule na kwenye vyuo, kila mahala unaonekana kuwa wenye nguvu, unajisikia huru, raha na furaha kwa vile unaaminiwa na wengi. – Johann Wolfgang Von Goethe
 Mfumo tuliyo nao unatupotosha na kutujenga kukubali kuwa thamani yetu iko kwenye rangi ya ngozi zetu, ukoo au kabila fulani, na mmoja anaweza kuwa mtumwa na mwingine kuwa bwana.