Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Monday, February 1, 2016

DOLA YA KISHETANI NA USHOGA Ep. 5 Season finale



QUEEN LATIFAH! MADONA NA WASANII WENGINE WAKISHIRIKI KUFUNGISHA NDOA YA MASHOGA KWENYE 'GRAMMY AWARD.


Ukitaka kufanya uchafu wako hadharani na usipingwe na yeyote hata kwa kuoneshea kidole; ni kuirubuni jamii kiasi ione uchafu huo ni jambo la awaida, na siyo ‘big deal.’


Ukiufikisha umma hapo, kiasi cha kuona uchafu huo ni sehemu tu ya maisha na siyo kitu cha ajabu, basi utaweza uufanya uchafu wako mchana kweupe wala hakuna atakaye shughulika na wewe.
IKIWA UMESAHAU NI KWAMBA TULIPO FIKA NI ZAIDI YA HAPA ...

Yes, hicho ndicho kinacho fanywa na kazi za wasanii mbalimbali na kwa nafasi zao na kwenye maisha yao, uone mwanamke kujiweka kama mwanaume na kinyume chake ni ishu ndogo sana.
Na hivyo ushoga siyo deal, ni maamuzi ya mtu.

Ni sawa kabisa kusema ni maamuzi ya mtu, lakini si sawa maamuzi hayo kuyafanya yawe ni maamuzi ya kila mtu. Hicho ndicho wanacho fanya na ndicho ninacho kipinga katika mfululuzo wa post hizi.




Mfuasi wa dini ya kishetani, na aliyekuwa mmoja wa wafufuaji wa ‘NEW AGE MOVEMENT’ Alice Bailey, katika moja ya kazi zake, zinazo lenga kuuvnja maadili na kueneza maovu na machafu kwenye jamii alisema hivi.

“IVURUGE SANAA, IFANYE WENDAWAZIMU".
Kivipi? 
Ruhusu aina nyingine za kazi ya sanaa ambazo zitavuruga na uharibu mitazamo ya watu, sababu sanaa ni lugha ya roho, lugha ya kile kilicho ndani, ambacho kinawekwa bayana kwa michoro, muziki, maagizo n.k. Tizama filamu za leo, sikiliza mashairi ya muziki wa sasa, tizama kazi za michoro, kote huko utaona ni uwendawazimu.



Lakini uwendawazimu uko wazi kwa kila mtu kuona, kusikia na kuigiza, na hakuna nayesema chochote; sababu uchafu umeshafanywa kuwa ni sehemu ya maisha yetu, na sisi hatuoni tofauti.
Akaendelea kusema;

“TUMIA VYOMBO VYA HABARI NA MAWASILIANO KUTANGAZA NA KUBADILISHA MITAZAMO YA WATU”
Mfumo unaotumika kusambaza na kusafirisha taarifa ndiyo mfumo mkuu unao tumika kubadilisha mitazamo ya watu; redio, luninga, magazeti, filamu,  mitandao ya intaneti. Unaweza kuona ni kwakiaisi gani jamii ya leo imebadilisha na mfumo huu wa kukusanya na kusambaza taarifa. Ni nani anaye miliki vyombo vya habari? 
Tizama posti hii kwa kina http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/katikakipindi-ambacho-ulimwengu.html 


Matangazo ya picha za uchi ni kitu cha kawaida, masuala ya ngono nje ya ndoa ni kitu cha kawaida mno kwenye kazi yoyote ya sanaa unayoweza kuifikiria, vitendo vya ushoga katika filamu za kileo ni kachumbari katika kazi za sanaa, wanaionesha na wanazo njia zaidi ya milioni moja ya kukuonesha masuala ya kishoga kwenye filamu bila wewe kufahamu. Na kumbuka filamu hizo zinaonesha mchana, asubuhi, usiku na watoto wanayo nafasi kubwa ya kutizama machafu hayo.

Anaendelea kusema;

“UFANYE USHOGA NI MOJA KATI YA AINA YA MAISHA MTU ANAWEZA KUCHAGUA NA KUISHI”
YOUR FAVORITE MOVIE STAR IS A GAY. AMEKIRI HADHARANI KUWA ANASHIRIKI SODOMA NA GOMORA NA MWANAUME MWENZAKE. AMENYANYULIWA JUU KUPITIA KAZI MAARUFU YA PRISON BREAK, HAKUFAHAMIKA KWA WALIMWENGU KABLA YA KAZI HII. ALIPATA UMAARUFU MKUBWA NA KILA MTU ALITAMANI KUWA SCOLFIELD, JINA ALILOTUMIA KWENYE TAMTHILIA HIYO. HALAFU GHAFLA ANAJITOKEZA HADHARANI NA KUSEMA YEYE NI SHOGA, MAMILIONI WA MASHABIKI WAKE WATAENDELEA KUSIMAMA NAYE? WATAENDELEA KUTIZAM PRISON BREAK? MSTARI UNACHORWA, UNAPOENDELEA KUSIMAMA NAYE INAAMAANISHA SEHEMU FLANI YA USHOGA UNAKUBALIKA, UNAMAANISHA ULE UGUMU NA MSIMAMO ULIO KUWA NAO DHIDI YA USHOGA NA MASHOGA UMEANZA KULAANIKA. LENGO NI WEWE UKUBALI USHOGA NA MASHOGA NI OK, LAKINI UTAKUBALI HIVYO TARATIBU BILA KUJUA UNAFANYA HIVYO. KILLING THEM SOFTLY NDICHO KINACHO TOKEA. 

Ki vipi? Watu wa ruhusiwe kufanya ngono na kwa namna na jinsi yeyote ile wanayo taka. Wruhusiwe kisheria, serikali iruhusu na taasisi za kidini zitoe baraka kwenye hilo. Hivi sasa kuna nchi ambazo si ruhusa kuzungumza dhidi ya ushoga au kusoma maandishi matakatifu yanayo kataza ushoga. Kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na unaweza kwenda jela. Tizama Posti hii http://salimmsangi.blogspot.com/2015/11/dola-ya-kishetani-na-ushoga-ep-2.html

Nchi zetu ‘msikini’ hazipokei misaada kutoka nchi wahisani mpaka zikubali wanachi wake wapewe haki na uhuru wa kushiriki usodoma na ugomora. Na sasa yapo makanisa yanayo fungisha ndoa za jinsia moja.


MVULANA KWENYE FILAMU HII NI MAARUFU SANA KWENYE FILAMU ZA WATOTO NA KICHAWI, JINA LAKE KWENYE KAZI HIZO NI HERRY POTTER. ANAO MASHABIKI WENGI KOTE DUNIANI, HASA WATOTO NA WAPENZI WA FILAMU ZA KICHAWI, NA HAPA MASHABIKI WANAWEKWA NJIA PANDA, JE WATAENDELEA KUMUUNGA MKONO KWENYE HILI? TARATIBU AKILI ZA WATU ZINATENGENEZWA KUHUSISHA USHOGA NA WATU MAARUFU, USHOGA NA WATU WENYE 'MAFANIKIO' NA UNAWEKWA HADHARANI TARATIBU KUPITIA LUNINGA, TARATIBU WATU WANAONA NI JAMBO LA KAWAIDA SANA.

Wanamuziki maarufu, wacheza sinema maarufu, wanamichezo mbalimbali wenye majina makubwa, viongozi wa kidini na kisiasa, kwa nyakati tofauti wamekuwa wakijitokeza ima kuunga mkono ushoga kukiri kuwa wao ni mashoga. Lengo ni mtu wa kawaida akisikia shoga, ushoga, sodoma na gomoro viwe ni viti vidogo mno ambavyo havina hata haja ya kuzungumzia.

Hivi hatujafika hapo?

Nafasi yako ni ipi katika kufika au kutokufika?



WAMEPEWA HAKI YA KUOWANA NA HAKI YA KUPORA WATOTO, NA KUWAFUNDISHA WATOTO HAO CHOCHOTE WANACHO TAKA IKIWEMO HIZO HAKI ZA MASHOGA, KWA NJIA NYINGINE WANAANDAA KIZAZI KINGINE CHA MASHOGA, HAWAWEZI KUZAA, LAKINI SHERIA HII INAWAPA HAKI YA KUWAFUNDISHA USHOGA WATOTO WASIYO WAO.

Mtandao mpana wa filamu duniani, Hollywood kwenye kazi zake mbalimbali, moja kwa moja au kupitia kwenye mgongo wa kitu kingine wamekuwa wakiunga mkono ushoga na maaudhi yake yakawekwa katika filamu mbalimbali, zenye majina makubwa na wachezaji wenye sifa kubwa katika tasnia hiyo. Kutoka kwenye katuni za watoto mpaka kwenye filamu za kutisha na kugofya, kote huko hawakuacha kuweka maudhui ya Sodoma na Gomora.
HAPA NI KWENYE TAMTHILIA YA GRAYS ANOTOMY

Filamu kama Brokeback Mountain ambayo mwanzo mwisho maudhui yake ni usodama na gomora tupu, ilipewa hadhi ya filam bora ya mwaka. Tamthilia kama Friends, Grays Anotomy, An American Family, Ellen, Glee, Modern Family, The perfect family, X-Men, kutaja kwa uchache, zipo filamu nyingi hizo nilizo taja zinaonesha washiriki ambao wamecheza kama mashoga na wakati mwingine ni mashoga kama kwenye Ellen, lakini zipo nyingine nyingi ambazo zimewekwa vionjo vya kishoga, eidha kwenye maneno, vitendo, mavazi, mazingira n.k ambavyo ni vigumu kwa mtu wa kawaida kuving’amu. 
MCHEZA FILAM MAARUFU KWENYE SERIES YA 'HOW I MET YOU MOTHER' AKIWA JUKWAANI NA MWANAUME MWENZAKE AMBAYE WANASHIRIKI NAYE USODOMA NA UGOMORA, NA HAPA WANAUONESHA ULIMWENGU, KUWA NI SAWA KUWA SHOGA, NI SAWA MWANAUME KUINGILIWA NA MWANUME MWENZAKE, NI SAWA KUFANYA USODOMA NA UGOMORA, NA HAKUNA SHIDA YEYOTE KUTANGAZA HILO KWA ULIMWENGU NA KWA MABI WAKO. KUPITA WATU HAWA NA VYOMBO VYA HABARI NA BURUDANI MTU WA KAWAIDA ANAAMBIWA KUWA USHOGA NI KITU KIZURI NA MAARUFU.

Hizo ndizo zinazotengeneza njia za wewe kuja kutizama filamu zinazo onesha wanaume wawili au wanawake wawili wakibusiana na wewe usione tabu yeyote, na wakienda zaidi ya hapo utaona ni sawa tu, lakini kumbe kabla hawajaweka filamu hiyo walishaanza kukutengeneza akili yako kidogo kidogo kukubaliana na haya unayo yaona sasa.



Ukija kwa watoto napo hapajaachwa salama hata kidogo. Maaudhui ya ushoga yamejaa katika Kazi nyingi za watoto kutoka tamthilia mpaka sinema. Hizi ni kwa uchache, Family Guy, Freozen, Boxtrolls, ParaNorman, Coraline, How to train Your Dragon 2, SpongeBob Squarepants, Puss in Boot, kutaja kwa uchache ni nyingi sana.




KWENYE MTANDAO MAARUFU WA KATUNI, CARTOON NETWORK' NA LUNINGA AINA HIZI ZA FILAMU ZINAONESHWA KWA WATOTO WAKO. WAMESHINDWA KUKUPORA WATOTO WAKO KUPITIA SHERIA YA ADAPTION, WANAMPORA KUPITIA LUNINGA YAKO MWENYEWE. WATCH OUT NA KUWA MAKINI NA KILE ANACHO TIZAMA MTOTO WAKO. 

NJIA AMBAZO WASANII WANATUMIKA KUTANGAZA NA KUSHAWISHI USHOGA KWA WENGINE.

1.          MAVAZI.
AINA MPYA YA MAVAZI KWA WANAUME, HAO WALIO VAA MAVAZI HAYO NI WANAUEME.

Wabunifu wa mavazi, industry nyingine hiyo ambayo inayo namba kubwa ya mashoga pia, wamekuwa wakibadilisha mweelekeo wa mavazi, hasa mavazi na kuyatikia nakshi za jinsia tofauti na inayo lengwa na mavazi hayo. Kutoka kofia mpaka kiatu.
WANAUME MAARUFU WAKIWA NA SKETI NA VIMINI.

Yote hayo ukiuliza na kujiuliza utaambiwa ni ‘fashion’ tu. Lakini ambao hatujashikiwa akili tunajua kuna namna zaidi ya ‘fashion’.


LIL WINE AMEVAA SKIN JEANS, SAWA KABISA NA SKIN ALIYOVAA MWANA DADA PEMBENI. JE LL WINE HAJUI HIYO NI NGUO YA KIKE?



 Taratibu watu wengine wanaona ni sawa hivyo, wanaume wanaanza kuvalishwa sketi. Mtangazaji wa kituo cha Luninga hapa nyumbani alitokeza kavali sketi, ni mtangazaji wa kiume, na sketi inaitwa sketi ya kiume. Ukistaajbu ya Musa utaona ya Firauni, kipindi anacho endesha kinamvuto zaidi kwa vijana wa rika la ‘teeneger’ unaweza kuona madhara yake.
MSANII HUYU NI MAARUFU HAPA NCHINI. VIATU ALIVYO VAA VILIZUA GUMZO KWENYE MITANDAO, REDIO NA LUNINGA. AKAJITETEA ALIVIKUTA KWENYE DUKA LA VITU VYA KIUME. VIATU NI VYA KIKE HAINA MJADALA, LAKINI VIMEKUWA MAARUFU SASA HIVI MPAKA KWA WANAUME!! UMEONA SURUALI ALIYO VAA, INATOFAUTI NA SKIN JEANS YA LL'L WINE? LAKINI ZAIDI TIZAMA RANGI YA SKIN HIYO. PINK, SOTE TUNAJUA RANGI YA PINK NI RANGI YA KIKE, LAKINI NDIYO RANGI AMBAYO MASHOGA WANAITUMIA KAMA RANGI YAO KUJITOFAUTISHA NA WANAUME WAKAWAIDA WANAO TUMIA RANGI YA BLUE. NA SURUALI HIYO ILIKUWA KWENYE DUKA LA VITU VYA KIUME?
UKISHANGAA MWANAUME KAVAA SKIN YA PINK NA VIATU VYA KIKE, MWINGINE HAPA HAPA NYUMBENI KAJITOKEZA KWENYE TV NA SKETI ALIYOIITA SKETI YA KIUME. UPO? UNAONA NI SAWA HIVYO? AU UTAITA FASHION? FASHION ISYO NA MIPAKA.

SKETI ZA KIUME, SIONI TOFAUTI KATI YA KE NA ZILE ZA KIKE, ISPOKUWA HIZI ZIMEVALIWA NA WANAUME, MASUPER STAR WA LEO, KWENYE MAJUKWAA KILA MTU AONE. KUNA NINI HAPA?

KABLA KANYE WEST HAJAVAA SKETI KWENYE JUKWAA, ALITOKA NA WIMBO WA 'JESUS WALKS' WIMBO HUU ULIPATA UMAARUFU MPAKA KWENYE MAKANISA YA MAREKANI ULICHEZWA NA KUIMBWA, HALAFU AKIWA NA SAPOTI HIYO KUBWA KUTOKA KWENYE NYUMBA ZA IBADA, AKAJA NA SKETI JUKWAANI, KILA MTU AONE. WATU WANAWEKWA NJIA PANDA, MAADUI ZETU WANAIPENDA SANA MBINU HII, JE MAKANISA NA WAUMINI WATAENDELEA KUMUUNGA MKONO KAMA WALIVYO FANYA KWENYE JESUS WALKS? HIVYO UTAONA WIMBO ULE ULIKUWA NI MTEGO, NA HAPO KWENYE SKETI NDIPO WANAPOTAKIWA WAINGIE.
SUPER STAR WA FILAM YA KARATE KID, NA MTOTO WA WACHEZA FILAM MAARUFU JADA NA WILL SMITH, AMEKUWA AKIJITOKEZA HADHARANI AKIWA AMEVAA SKETI NA MAVAZI MENGINE YENYE NAKSHI ZA KIKE.
SKIN KWA WANAUME, BLAUZI KWA WANAUME, VITOP KWA WANAUME, SKETI KWA WANAUME, POCHI NA VIATU KWA WANAUME, UPO?




Nikiwa Moshi stendi ya Mabasi, nikakutana na kijana wa kiume, kavaa suruali ya kubana, halafu ni ‘pedo’, ilikuwa na kila sifa ya kuvalishwa mwanadada, lakini huyu ni kijana wa kiume kwenye stendi ya mabasi na hana wasiwasi.

2.        MITINDO YA NYWELE.
Kusuka kwa wanume sasa hivi limekuwa ni jambo la kawaida kabisa kabisa, na sasa hivi wanaume wanasuka mitindo mbalimbali ya nywele. Ukiuliza utaambiwa ‘fashion’. Lakini tunajua kabisa kabisa kuwa mwanaume hasuki.



Sasa hivi anasuka, anatoga masikio na anavaa sketi, sijui unaelewa hii picha inapo elekea? Na mwisho anataka haki ya kuolewa na kuwekwa ndani.

Lakini haikuanza kwa ghafla, ilianza taratibu, taratibu na sasa hivi si jambo geni tena, watu hawawashangai tena kama ilivyokuwa awali.




Mwaka 1998 Ronaldo De Lima, alipokuja na staili yake ya kunyoa, kutokana na umaarufu wake staili ile ilichukuliwa na kila mtu, sijui kama yeye ndiye wa kwanza ‘kuivumbua’ au aliikopi mahala.




Staili ile imekuwa na umaarafu tangu hapo mpaka sasa, lakini ghafla staili ile ya nywele ikabebwa na mashoga, je Ronadlo aliichukua kutoka kwao au wao ndiyo walimkopi Ronaldo, sifahamu. Ninacho kijua ni kuwa staile ile ya nywele imekuwa kama moja ya nembo za mashoga, wakike na kiume, weusi kwa weupe, na sisi wazee wa kukopi tumeikopi kama ilivyo na tunaruka nayo mitaani kwa kujiamini. Lakini ni ‘Hair Style’ ya mashoga.
HUYU KAJITANGAZA KUWA NI SHOGA, ONA STAILI YAKE YA NYWELE


KAMA KAWAIDA HATUCHELEWI KU-COPY NA KU-PASTE BILA HATA KUTAKA KUJUA MAANA YAKE NI NINI? VIJANA WENGI HAPA NYUMBANI UTAWAONA WANAKIMBIZANA NA STAILI HII KAMA UNAVYO MUONA MSANII HUYU, WAKITAKA KWENDA NA FASHION, LAKINI SI KILA FASHION NI FASHION, ZINGINE NI AJENDA ZA WATU ZINAFANYIWA KAZI, USIBEBE KILA KILE UNACHO KIONA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO, KIFANYIE UCHUNGUZI KWANZA, WAKIKIFUATA WANAO JUA MAANA YA HIYO 'HAIR CUT' WAKIDHANI WEWE NI MWENZAO UTARUSHA NGUMI?



3.        KAZI ZAO ZA SANAA.


JINA KUBWA KWENYE FILAM DUNIANI, LAKINI KWENYE MUVI HIYO HAPO CHINI  WALIMVALISHA HIVI


Kama nilivyo eleza awali kazi nyingi za wasanii mbalimbali zimekuwa zikitiwa vionjo vya ushoga kila leo. Si kwenye muziki, wala filamu. Wanawake wamevalishwa kiume na wanaume wamevalishwa kike, ndiyo kazi inauzika.


JINA JINGINE KUBWA KABISA HOOLLYWOOD NA DUNIANI, WILL SMITH, AMBAYE MTOTO WAKE WA KIUME SASA ANAKIMBIZANA NA KUVAA NGUO NA VIPODOZI VYA KIKE NA WILL SMITH KWENYE FILAM HIYO HAPO ALIYOCHEZA WANAUME WAWILI WANAFANYA USODOMA NA GOMORA.


Dave Chappele ndiye msanii pekee ambaye mpaka sasa inafahamika kusema; uozo huu basi, inatosha, enough is enough, akawapa mgongo na kuondoka zake. Aliuvunja mkataba ambao angelipwa dola za marekani milioni hamsini!!! 

Alikataa kuvaa mavazi ya kike, Alikataa, akaja muandishi wa script, meneja, director na kila mwenye nafasi kumtaka vae hivyo, alikataa kata kata.

Lakini wasanii wa kiume kuvalishwa mavazi ya kike limekuwa ni jambo la kawaida mno kwenye tasnia ya filamu na muziki. Lakini ukitazama mahojiano ya Chappele na mchekeshaji na muigizaji mwingine anayefahamika kama Katt Williams, ambaye na yeye amefanya kama alivyo fanya Chappele utaona si bure, wasanii wa kiume kuvalishwa mavazi ya kike.


JINA JINGINE KUBWA NDANI YA HOLLYWOOD, LAKINI TIZAMA KAZI ZAKE HAPO CHINI.
ZOTE NI MWANAUME ALIYEVALIA MWANAMKE.

JINA JINGINE KUBWA, TIZAMA BAADHI YA KAZI ZAKE HAPO CHINI.
ANOTHER BIG NAME, LAKINI TIZAMA KAZI ZAKE ZINGINE HAPO CHINI
WHY A MAN LIKE HIM, WOULD ACCEPT TO DRESS LIKE A WOMAN, TIZAMA HAPO CHINI.
WHY?
YES, JAMIE FOXX, TIZAMA CHINI.

TIZAMA HAPO CHINI

NI NYINGI NA NI WENGI WENYE MAJINA MAKUBWA KWENYE FILAM WANFANYA HIVYO. SIWEZI KUZIMALIZA NA SIPENDI KUKUCHOSHA, FANYA UTAFITI WAKO MWENYEWE NA UTAONA KITU HICHO, UKITAZAMA WENGI NI EIDHA NI MTU MWEUSI AU MTU KUTOKA LATINI AMERIKA, NA HICHO NDICHO KILICHO MFANYA CHAPPELLE AZIPE MGONGO DOLA MILIONI HAMSINI, ALISEMA KWANINI KILA MWANAUME MWEUSI SEHEM FLANI KWENYE KAZI YAKE YA UIGIZAJI ATAAMBIWA AVAE NGUO ZA KIKE, KWANINI? UTAONA KUWA USHOGA KWA WATU WEUPE UMEKUWA NI KITU CHA KAWAIDA, NA IDADI YAO YA KUZALIANA SIYO KUBWA UKILINGANISHA NA WATU WA MATAIFA MENGINE, HII NI KUTOKANA NA ELIMU YA UZAZI WA MPANGO KUWASAMBARATISHA MAPEMA PAMOJA NA MAMBO YA HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO, HIVYO KWAO KUZAA SIYO ISHU KUBWA SANA, LAKINI WATU WEUSI NA MATAIFA MENGINE, WAKO VIZURI, PAMOJA NA UMASIKINI NA NJAA LAKINI IDADI YAO YA WATU INAKUWA KILA UCHAO, SERA ZA UTOAJI MIMBA, UZAZI WA MPANGO ZINAHITAJI USAIDIZI KUFIKIA MALENGO, USHOGA UKAONEKANA UNAWEZA KUSAIDIA, SASA UNAINGIZA KWA KASI KUPITIA WASANII WETU WENYEWE, WATU WEUSI, NA VIONGOZI WETU WA NCHI WANALAZIMISHWA KUPITISHA NA KUKUBALINA NA SERA HIZO AMA SIVYO TUTANYIMWA MISAADA. HIVYO PAMOJA NA KWAMBA USHOGA UNACHANGIA KUONGEZEKA KWA KILE KINACHO FAHAMIKA KAMA NEGATIVE ENERGY KWENYE UWANDA WETU HUU WA 3D AMBAYO NI HATUA MUHIMU KATIKA KUMTENGENISHA BINADAM NA MUUMBA WAKE, BINADAM NA MAZINGIRA YAKE ASILIA NA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI YA MPINGA KRISTO KUTOKEA, LAKINI PIA INASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA WATU, SABABU MASHOGA HAWATO ZAA, ILA WATAPORA WATOTO WA WATU WENGINE NA KUWAFUNDISHA USHOGA!!!!!!!!!!!


Ajenda ni ile ile, akili yako inatakiwa ukubali ni sawa mwanamke kuwa kama mwanaume, na ni sawa mwanaume kuwa kama mwanamke, iwe ni kimavazi, kuonge kiutendaji au kivyovyote vile, ni sawa, akili yako lazima ifikishwe hapo kwanza ili baadae ukiona mwanaume anafanya usodoma na ugomora uone kuwa ni sawa hivyo.



Kama ambavyo unaona ni sawa mwanaume kutoga masikio leo, ni sawa kuvaa sketi, ni sawa kusuka, basi hata kulawitiwa pia ni sawa.
IS HE OR SHE?

Ili ufike hapo kazi za sanaa na wasanii wenyewe lazima zitumike kulaanisha ugumu wako wa ‘kuelewa’ na kubadilisha mtazamo wako kama tunavyo ona sasa.

4.        MAISHA BINAFSI YA WASANII
Ni kitu gani mtu anakifanya ndani kwake au kokote akiwa haonekani na yeyote, hayo ni maisha binfsi ya muhusika, na hata kidogo hayahitaji uyafuatilie, kama wanavyo sema wenyewe, ‘Everyone has got h/her own skeloton’. Dhambi unayo ifanya chumbani kwako mwenyewe, ni yako wewe na Mungu wako. 

Lakini dhambi hii inayofanywa usiku au mchana pasina watu kujua, halafu kwa makusudi mazima inaletwa hadharani kila mtu aiyone, hii inakuwa ni shida, na madhara ya dhambi hii kupitia kwa jamii lazima muhusika atawajibishwa mbele ya Mola wake. Sababu amechochea wengine kufanya hivyo.
BIRDMAN ALIPOHOJIWA JUU YA KUMPIGA BUSU LA MDOMONI LL'L WYNE, HAKUJUTIA, HAKUSEMA NI BAHATI MBAYA, BALI ALISEMA HUO NDIYO MCHEZO WAO KWA SASA (THIS IS HOW WE ROLE NOW) KISHA AKASEMA ATARUDIA TENA, NA TENA. 
PUFF NA RICK, JE PICHA HII INASEMA MANENO AMBAYO HATUYATAMBUI? TIZAMA PICHA INAYO FUATA.
JE INAYO TOFAUTI NA ILE YA BIRD NA LL'L WINE?
HIVI NDIVYO MWANAUME ANAVYO CHEZA NA MWANUME MWENZAKE?
PICHA HII YA DRAKE IPO SAWA? JE PICHA INAYOFUATA?
MCHEZO NAO UFANYA DRAKE NI MCHEZO UNAO WEZWA KUFANYWA NA MWANAUME YEYOTE WA KAWAIDA?

ALIKUWA MWANAMICHEZO WA KIUME MAREKANI
NA MEDALI KADHAA ALISHINDA.
MKE PIA ALIKUWA NAYE.
WATOTO WA KUTOSHA ALIPATA.
MAAJABU YA KATOKEA, AKAANZA KUJINASIBISHA NA JINSIA YA KIKE NA KUANAZA KUJIONA YEYE NI MWANAMKE.
AKAFANYA UPASUAJI NA KUBADILISHA USO NA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI WAKE AONEKANE YEYE NI MWANAMKE NA MAVAZI AKABADILISHA.
ANAJITAMBUA KWAMBA YEYE NI MWANAMKE SIYO MWANAUME TENA.
MTIZAME HAPO, SI MWANUME TENA. USHOGA UMEFANYWA NI LIFE STYLE. ALISHAOWA, KAPATA WATOTO WANNE, NA MIAKA MINGI BAADAE AKAGUNDUA KWAMBA ANACHO 'KINASABA' CHA USHOGA. JAMANI HICHO NI KINASABA AU MAAMUZI YAKE MWENYEWE? NA UTAONA MASHOGA WENGI WALIANZA MAISHA YAO KAMA WANAUME WA KAWAIDA NA WAKAFANYA NGONO NA WANAWAKE NA HATA KUPATA WATOTO KAMA TUNAVYO MUONA HUYU, HALAFU BAADAE WANATULETEA HADITHI ZA DARWIN. HUYU ANAWEZA AKAMUOA MWANAMKE SABABU YEYE ANATAMBULIWA KAMA MWANAMKE, KISHA AKIMPA MIMBA MWANAMKE HUYO UTASIKIA 'MIRACLE' MASHOGA WAMEWEZA KUPATA MTOTO. UPUUUZI MTUPU.


Wasanii wengi wanao jihusisha na mambo ya ushoga wamekuwa wakijitangaza waziwazi kwenye maisha halisi, ukiacha na yale ya usaniii. Lengo lake hili ni kuwapa nguvu mashoga wengine ambao bado wako njia panda ya uovu wao huo kuwa wasiogope kujitangaza, mbona flani na flani ni wenzetu na wanajitangaza hadharani waziwazi? 
HUYU NI MTOTO WA KIUME. LAKINI TANGU AKIWA MDOGO KAMA UNAVYO ONA HAPO WAZAZI WAKE KWA SABABU WANAZOZIJUA WAO, WALIAANZA KUMVALISHA MAVAZI YA KIKE.
GAUNI WAKAMNUNULIA NA POCHI WAKAMPATIA PIA, HATA VIATU WAKAMPATIA VYA JINSIA YA KIKE.
MATOKEO YAKE AKAWA HIVI.
MUME PIA AKAPATA, INGAWA YEYE PIA NI MWANAUME.
UN NAKO AKAALIKWA KUKUTANA NA BAN KI MOON NA VIONGOZI WENGINE WA KIDUNIA ILIWA TAMBUE UWEPO WAKE, NA WATAMBUE UWEPO WA MASHOGA WENGINE KATIKA NCHI WANAZO TOKA ILI WAWAPE HESHIMA KAMA SHOGA HUYU ANAVYO PEWA HESHIMA MBELE YAO.
ILIMRADI NI KUFANYIWA KILA AINA YA PROPAGANDA ILI WATU WAONE NA TARATIBU WAANZA KULIKUBALI HILO.

Majina makubwa kwenye uliwengu wa sanaa yamejiweka hadharani kuwa wao wanashiriki ushoga na usodoma na gomora.


HUYO NI JOHN TRAVOLTA, WAPENZI WA FILAM LAZIMA MNAMFAHA HUYU, NA HAPA ANAANIKA UOZO WAKE KWA MASHABIKI WAKE WAONE KUWA YEYE NI NANI? JE WATAMFUATA MPAKA HUKO?

TILL NEXT TIME TCHAOOO, TUKUTANE HAPA HAPA KWA POSTI ZINGINE MOTO MOTO .... WAALIKE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI ..

No comments:

Post a Comment