Leo tunatizama namna ushoga unavyo fundishwa kwa watoto...
WATOTO WANAFUNDISHWA USHOGA BILA IDHINI YA WAZAZI WAO.
Silka ya kumlinda mtoto ni imara kiasi ambacho hata mzazi ikibidi kutoa
uhai wake kwa ajili ya hilo, atafanya. Silka hiyo si tu kwenye uhai wa mtoto
lakini pia mpaka kwenye tabia za mtoto. Wazazi makini wanalitazama hili la
maadili ya watoto wao tangu wakiwa wachanga na kuweka msimamo ulio nyooka
kwamba njia tunayo taka upite ni hii na siyo ile.
Wazazi wa aina hii wako
makini sana na kitu gani watoto wao wanafundishwa, sababu wanafahamu shule si
mahala pa kupata maarifa tu, lakini pia ni mahala ambapo tabia na njia ya
maisha atakayo pita mtoto inatengenezwa.
Lakini kile ambacho watu wengi hawajakiona kuhusiana na suala zima la
ushoga ni kwamba, walengwa wakubwa vita hivi siyo watu wazima, kwa uchache na
kwenye mazingira maalum watu wazima wanalengwa kwenye mpambano huu. Lakini
mlengwa nambari moja kwenye hili la ushoga ni watoto wetu. Watoto WA UMRI
KUANZIA SIKU 1 MPAKA MIAKA 18-20.
Haki ya mtoto ya Privacy na kutafuta taarifa.
Mtu mzima mwenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea siyo tatizo sana kwenye
hili, hana muda mrefu nguvu zitakuwa zimemuishia, na hana muda mrefu hii dunia
atakuwa ameiacha. Lakini mtoto ambaye watampata kuanzia akiwa na umri mdogo
huyu ni muhimu sana sababu huyu ndiyo atakaye chukua nafasi ya wazee wake, huyu
akibadilishwa na vizazi vyake pia vitabadilika, huyu ndiye ndoto yao ya baadae.
Hivyo nguvu inayo tumika kuwarubuni watoto hawa na wazazi wao kwenye hili ni
kubwa zaidi kuliko nguvu inayo tumika kuwarubuni wazazi wenyewe.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Katika nchi za Ulaya na Marekani Ushoga upo kwenye silabasi zao kuanzia
watoto wanao soma chekechea mpaka sekondari. Katika nchi zetu ambazo hatuna
sauti zetu wenyewe bali kufuata tunayo ambiwa na mabwana wakubwa ni kwamba hivi
sasa tunayo elimu ya ngono mashuleni. Hili si jambo jipya, hata hapa Tanzania
elimu ya ngono inafundishwa kwenye mashule yetu kuanzia kwenye elimu ya msingi.
Tukumbuke hapo kabla hatukuwa na mitaala hii. Lakini tumeshinikiziwa na
mabwana wakubwa mpaka tumeibeba, unafikiri itawawia vigumu mabwana wakubwa
kutulazimisha kuwafundisha watoto wetu elimu ya ushoga?
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Nakumbuka kwenye miaka ya mwanzoni ya 90 wakati nipo shule ya msingi,
walikuja wataalam hawa, na kutufundisha kivitendo kabisa elimu ya ngono, hiyo
ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona uume wa bandia na kuambiwa kuwa
kondomu zinamafuta.
Watu hawa wanapiga vita sana unyago na jando, elimu ambayo makabila mengi
ya kiafrika yamekuwa yakiitumia kuwafundishia vijana wao masula ya makuzi,
majukumu na nafasi zao katika jamii. Elimu ambayo makabila hayo hayaitoi hovyio
hovyio bali kwa kila baada ya muda fulani kwa watu wa rika fulani.
Lakini wakati wanapiga vita unyago na jando kama njia mbaya zinazo
wafundisha watoto na vijana wadogo mambo yasiyo faa kwenye jamii. Nchi zao na
mashirika yao yakisaidiana na mashirika yasiyo ya kiserikali wamekuwa
wakifundisha ngono mashuleni, wakifundisha ngono mashuleni bila hata kujali
watoto hao wana umri gani, bila kujali mazingira. Waafrika tuna jando kwa
wanaume, na unyago kwa wanawake, lakini elimu ya ngono mashuleni haitenganishi,
sisi tulifundishwa tukiwa mchanganyiko na wakati huo kukiwa na sera ya kukaa
dawati moja wasichana wawili mwanaume mmoja katikati. Unaweza kudhani ni uwozo
wa namna gani unao endelea kwenye mashule yetu? Hiyo ni miaka ya mwanzoni ya
90! Unajua sasa wanafundishwa kwa kutumia njia gani?
WATOTO KWA LAZIMA WANAFUNDISHWA NA KUTENGENEZWA KUWA MASHOGA.
Sasa hivi watoto wetu wanapatiwa vitabu mahususi vinavyo elezea elimu ya
ngono na namna ya kupiga punyeto! Upo baba/Mama au unalipa tu ada?
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
SHIRIKA
la Kimataifa la Kutetea Uhai wa Binadamu, tawi la Tanzania (Prolife Tanzania),
limesema elimu ya ngono inayofundishwa shuleni, inapandikiza mbegu za uasi
dhidi ya uzazi na uzao.
Mkurugenzi wa shirika hilo Tanzania na Nchi za Afrika
zinazungungumza lugha ya Kingereza, Emil Hagamu alisema elimu hiyo, inahimiza
mauaji ya watoto wachanga kabla ya hawajazaliwa.
Aliyasema hayo mwishoni mwa wiki na kuhimiza kuwa, malezi
bora kwa watoto kulingana na mafundisho ya dini ni njia ya kuwaepusha na
vitendo vinavyochochea ngono na wala si vinginevyo.
“Katika elimu ya ngono watoto wanafundishwa viungo vya uzazi
na jinsi vinavyofanya kazi. Wanafundishwa ‘vitendo vya wakubwa’ na jinsi mimba
inavyotungwa,” alisema.
“Masomo hayo yanaamsha hisia za kingono miongoni mwa
wanafunzi na kuwajengea udadisi wa kutaka kujaribu,” alisema Hagamu.
Alisema baada ya kuamsha hisia na vionjo vyao vya ngono,
walimu wa somo la ngono wanawapatia wanafunzi zana za kufanyia ngono bila hofu.
“Wanawaeleza wanafunzi hao kuwa, wapo maadui wawili katika elimu
yao ambao ni mimba na magonjwa ya zinaa.
“Ili kuepuka mimba na magonjwa ya zinaa, lazima watumie
vidhibiti mimba. Kwa hiyo tangu utotoni wanafundishwa kuwa, mimba ni kitu
cha hatari kinachotakiwa kuepukwa kwa gharama zozote.
“Kwa vile vidhibiti mimba vina viwango vya kushindwa, basi
msichana anapopata mimba anashauriwa kwenda kutoa ili aendelee na masomo,”
alisema.
Alitolea mfano mhudumu mmoja aliwarubuni wanafunzi wa
sekondari fulani jijini Dar es Salaam kwa swali hili, “nani kati yenu yuko
tayari kuwaaibisha wazazi wake kwa kukosa masomo kutokana na mimba?”
Alisema kuwa, kila msichana alijibu kwa sauti kubwa, “hakuna”
basi yule mhudumu aliyetoka shirika fulani la nje lisilo la kiserikali
akawaambia chagueni moja ya njia zilizopo, vidonge vya majira, sindano za depo
provera, vipandikizi, vitanzi au kondomu.
Alifafanua kuwa, wanafunzi hao walichagua walichokitaka na
baada ya kutumia, licha ya kupata madhara, walifeli pia masomo, na wengine
walikosa uwezo wa kuzaa hadi sasa.
“Mbaya zaidi mhujumu yule aliwatengenezea wasichana hawa
mazingira mazuri ya kuwa waasherati na kuwaweka katika hatari ya kuambukizwa
magonjwa ya zinaa, ukiwemo ukimwi,” alisema.
Alitanabiasha kuwa, kuhusu madhara ya elimu ya ngono
shuleni,wataalamu mbalimbali waliwahi kusema, “vitendo vya ngono miongoni mwa
watoto vinaongezeka kwa kadiri elimu hiyo inavyofundishwa, kwa kadiri elimu
hiyo inavyotolewa katika umri mdogo ndivyo watoto wanavyojiingiza katika
vitendo vya ngono katika umri mdogo”.
Alisema vitendo holela vya ngono husababisha mimba katika
umri mdogo na kuongeza miongoni mwa watoto wa shule ndivyo, vitendo vya utoaji
mimba au utupaji wa watoto vinavyoongezeka.
Prolife inaamini kuwa, utaoji mimba ni mauaji kama yalivyo
mauaji mtu mzima. (chanzo: http://muniramadrasa.blogspot.com/2013/11/elimu-ya-ngono-mashuleni-ina-hamsha.html)
Kwahiyo utaona sasa si kwamba wanawafundisha elimu hii ya ngono lakini na
zana za kufanikisha tendo hilo pia wanawapatia.
Wanasema unyago na jando vinachangia ndoa za utotoni, mimba, udhalilishwaji
wa mwanamke, mtoto wa kike kukatizwa ndoto zake, lakini tumeona kwenye hiyo
taarifa hapo juu kuwa elimu ya ngono mashuleni madhara yake ni maradufu zaidi
ya yale wanayo sema yanapatikana kwenye unyago na jando.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Tafiti zinatuonesha kuwa ubongo wa binadamu umegawanyika katika sehemu kuu
4 katika ufanyaji wake kazi. Sehemu hizo ni frontal, temporal, occipital, na
parietal lobes. Sehemu inayo itwa ‘frontal’ au Frontal Lobes ndiyo sehemu inayo
husika na utambuzi, ufanyaji wa maamuzi, kutambua baya na
zuri, kuweka mipango ya baadae, kufikiri kutaja kwa
uchache. Sehemu hii ya ubongo inanza kukua na kukomaa taratibu na inafikia
ukamilifu wake mtu anapofikia miaka 20 mpaka 25. Mtoto anapokuwa kwenye miaka
10+ sehemu hii bado haijakomaa kabisa, bado muhusika ni mtoto.
Hii inamaanisha
kuwa kile ambacho watoto wetu wanacho fundishwa katika umri, hasa yale ambayo
yanawataka wafanya maamuzi wenyewe, kama elimu ya ngono, ni jambo baya na la
hatari sana dhidi yao, sababu unawafundisha kufanya maamuzi ya kufanya au
kutifanya ngono, wakati uwezo wao wa kufanya maamuzi haujakomaa kabisa na haupo
kabisa kwa wengine, lakini mbaya zaidi na zana za kufanyia ngono unawapatia.
Kwa maneno mengine watoto wetu hawafundishwi kufanya ngono, bali wanashurutishwa
wakafanye ngono sababu katika umri huo wao bado hawajawa na hiari ya kuchagua
kipi kibaya au kipi kizuri.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Wafanyaji wa jambo hili wanajua kabisa hicho na
wanatumia nafasi hii kuharibu vizazi vyetu vijavyo, sababu mwisho wa siku
wanawapa uhuru wa kuchagua, uwezo ambao hawana, nakuwarubuni wawe makini na
mimba na magonjwa ya zinaa.
Tukirudi kwenye
mada yetu ya ushoga na watoto, hivi sasa wanataka si kwamba watoto wafundishwe
elimu ya ngono tu, lakini wafundishwa kuwa kufanya tendo hilo na mtu wa jinsia
moja na yako ni sawa sawa kabisa. Kwa hiyo bado tupo palepale, mpaka miaka 25
ndiyo uwezo wa kufanya maamuzi sahihi au si sahihi ndiyo unakuwa umejengeka,
mtoto huyu kumfundisha kufanya ngono, lakini zaidi kufanya uchafu huo na mtu wa
jinsia sawa na yeke wakati ambao hajui kibaya na kizuri kwa mapana yake, hiyo
ndiyo haki yake au huko ndiko kumpokonya haki yake.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Lakini shetani huyu
nyuma ya mambo yote haya anafahamu fika kuwa ‘elimu’ si mafunzo tu, lakini
elimu kwa mtoto ni utaratibu wa kuyabadilisha maisha yake, kimtazamo,
kivitendo, kitabia na hisia pia. Anafahamu kuwa akiachiwa aendelee na utaratibu
huu kama anavyo fanya, mwisho wa siku huyo mtoto anakuwa ni mtumwa mzuri wa
shetani. Inamuhakikishia kuwa vizazi vitakavyo tukana na watoto wa aina hii ni
jeshi lake zuri kabisa.
Je mzazi unalipa
ada mtoto wako aje kuwa mwanajeshi wa adui yako? Think.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Wale wanao tetea
elimu ya ngono mashuleni, na elimu ya ushoga mashuleni, wanafahamu fika lengo
lao hili likifanikiwa, watoto hawa wanakuwa ni wa kwao. Elimu hii haina malengo
ya kufundisha haki sawa na kuvumiliana baina ya jamii ya mashoga na wasiyo
mashoga, haina lengo la kuzia mimba za utotoni, ndiyo kwanza zinazidi, haina
lengo la kuzioa maambukizi ya UKIMWI, na magonjwa ya zinaa, ndiyo kwanza
yanazidi, haina lengo la kuzuia ukatiliwa kijinsia kwa watoto wa jinsia zote
ndiyo kwanza unazidi, maneno yoye hayo matamu waliyo weka ni kwa ajili ya
kuwarubuni wazazi na jamii kwa ujumla.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Walimu wasiyo waerevu na wasimamizi wa
mashule wasiyo jua chochote au walio amua kwa makusudi kufumbia macho uozo huu,
na watu wabaya nyuma ya mpango huu wanajua kabisa mwisho wa siku kinacho tokea
ni kinyume cha hayo yote wanayo wasema.
Kinachotokea ni
kuongezeka kwa mimba za utotoni, kinacho tokea ni watoto wa kike kukatizwa
ndoto zao na kuishia kuwa machangudoa, kinacho tokea ni ukatiliwa kijinsia kwa
watoto wa jinsia zote mbili, kinacho tokea ni utoaji wa mimba ambao hauna
tofauti na mauwaji ya kinyama.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Starehe ufanye wewe
halafu uje kudhulumu uhai wa binadamu mwingine, kwa kuhofia, utamlisha nini, au
utamvisha nini, au atasoma wapi. Wewe
ulizaliwa na vyote hivyo? Wewe ndiye unaye gawa riziki siku hizi? Mbona unajipa
kazi zisizo zako?
Mtu wa kawaida
ambaye anaamini kazaliwa afanye kazi ili aishi, yaani yeye ni kuamaka
asubuhi-kazini-nyumbani, hamna jingine. Anafanya kazi ili alipe kodi, ada, na
kila aina ya bili inayo muhusu. Mtu huyu ni vigumu kuelewa kwamba pesa yake
anayo itoa, nchi yake anayo itumikia, inaweza kumsaliti kiasi cha kutumia kodi
na pesa zake kuwarubuni watoto wake kufanya yale ambayo anajua kwa akili ya
kawaida, anajua kwa mtazamo wa kijamii, anajua kwa mtazamo wa kidini hayafai.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Mtu huyu hawezi kuamini, kwanza ni vigumu kumkuta anasoma aina hii ya
maandishi. Lakini maneno ya mwisho kabisa na yaliyopigiwa mstari mnene chini
yake ndivyo yanavyo sema hivyo, mtoto wako ni bomu linalotengenezwa kwa gharama
yako mwenyewe kwa ajili ya kukulipua wewe na uzao wako utakao fuata.
Msimamizi wa sera
hizi anaandika kutoa mwongozo wa namna ya kushinda vita vyao hivi dhidi yetu
sisi. Kutoka kwenye Official Journal of the American Humanist Association bwana John Dunphy mwaka 1983 aliandika hivi;
“Nimejiridhisha kwamba
vita vya baadae dhidi ya umma lazima vipiganwe kwenye madarasa ya shule za umma
vikiongozwa na walimu kama wahubiri wa imani hiyo mpya … Madarasa yatakuwa
ndiyo uwanja wa mpambano baina ya mfumo wa zamani na mfumo mpya …”
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
Mwamapinduzi wa
ushoga, Mark Swift aliandika Februari 15, 1987 hivi;
“Tutawafanyia usodoma
watoto wenu, tutawalaghai na kuwalainisha kwenye mashule yenu, kwenye mabweni
yenu, kwenye vyumba vya mazoezi, kwenye makabati, kwenye vikundi vya vijana,
watoto wenu watakuwa watumwa wetu na kufanya matakwa yetu. Watatulilia,
kututamani na kutukubali. Sheria zote zinazo pinga ushoga zitafutwa, (nchi baada ya nchi zimeanza kufuta sheria hizo) na kinyume chake sheria zitapitishwa ambazo zitaruhusu ushoga (nchi baada ya nchi zimeanza kukubali sheria ya ushoga), waandishi wetu na wasanii wetu watafanya ushoga kuwa ni fasheni, (kazi mbalimbali za sanaa na wasanii zinafanya propaganda za
ushoga kama tutakavyo kwenye post itakayo fuata), tutanyanyuka na
jeshi kubwa kupambana na wewe (jeshi hilo linaandaliwa kwenye
mashule yetu kupitia elimu ya ngono kwa kutumia ada na kodi zetu), familia (mke mume watoto) zitafutwa (hili linafanyika kupitia haki za
watoto na haki za wanawake, mungu akipenda nitawaletea post yenye maudhui hayo.), vijana wazuri watazalishwa kupitia utaatibu wa kimaabara (hili ni sehemu ya jeshi lao, na wameshaanza kutengenezwa), … makanisa yote (na nyumba zingine za ibada) ambazo zinapinga ushoga zitafungwa (viongozi wa
kidini kadhaa wameshafunguliwa mashtaka kwa kuongea lugha kali dhidi ya mashoga
na vitendo vyao). Waungu wetu wa kipekee ni vijana
wazuri wa kiume. Wanaume wote ambao wabaki na ujinga wa kuwapinga mashoga
watapelekwa kwenye mahakama za mashoga na watapotezwa (hii ndiyo maana ya haki za mashoga, haki za binadam, na mambo
ya haki sawa, waulize Malawi watakuambia maana yake) …”
UNADHANI MTOTO WAKO YUPO SALAMA KWENYE HILI? UNAFANYA NINI KUHAKIKISHA USALAMA HUO?
Upo?
Ni kwa kiasi gani
yaliyo andikwa hapo yametokea?
Nafasi yako ni ipi
dhidi ya hayo?
Suluhisho au sehemu
ya tatizo?
……….
Kumekuwa na kesi
nyingi za mashoga kuwalawiti watoto wadogo wa kiume na vijana ambao bado
hawajabalehe. Ni kima Mashoga hao wanawaandaa watoto wadogo wa kiume kuwa
mashoga wa baadae.
MTOTO WAKO ANATIZAMA NINI KWENYE CHANELI UNAZOLIPIA KWA PESA YAKO?
Shimo la uovu daima
ni chini linakwenda, baada ya haki za mashoga nini kitafuata, haki za mashoga
kufanya ngono na watoto wadogo wa kiume na kike? Haki za kufanya ngono na
wanyama? Haki za kufanya ngono na maiti? Hawatoishia hapo juu.
Suluhisho ni moja
tu.
VITABU VYA MITAALA YA SOMO LA USHOGA KWA WATOTO.
KUONDOA UOVU HUU KWA
KILA NJIA INAYO WEZEKEKANA, KUUNDOA WOTE NA KWA PAMOJA.
MTOTO WAKO ANATIZAMA NINI KWENYE CHANELI UNAZOLIPIA KWA PESA YAKO?
No comments:
Post a Comment