Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Friday, October 28, 2016

MALKIA HILLARY, MRITHI WA MFALME OBAMA Ep: 3 -Finale


Tangu Marekani ikikalie kiti hicho cha enzi cha dunia, advertise ya kwanza ni Japan, Hiroshima, na dunia nzima ilijua Malkia mpya ameingia kwenye kiti cha enzi, na tangu hapo dunia haijajua jema lolote kutoka Washington.
Kama wanavyo sema wahenge ‘ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga’ Exit ya Washington na kiti chake cha enzi ni ‘another Hiroshima’, WWIII.




Marekani moja kwa moja, au kupitia kwa, imeigeuza dunia yote kuwa ni uwanja wa vita, baada ya 9/11 ambayo ilipigwa na utawala wa Bush mwenyewe, sehemu ya kupigania vita imekuwa haitoshi kwenye uso wa dunia, vita moja baada ya nyingine na hakuna dalili ya vita hivyo kuisha leo wala kesho.

Vita ni biashara, lakini pia vita inaihakikishia Marekani uhakika wa kuendelea kukalia kiti cha enzi, ni nani kati ya Trump na Hillary anaweza kuendelea na njia hiyo.
Mpango wa Washington ulikuwa ni kuzivamia nchi saba, yaani Iraq, halafu Syria, Lebanon, Libya, Somalia, Sudan halafu tunamalizia na, Iran

Kwenye  hizo nchi saba zimeshaondoka tatu, zimebaki nne ambazo tatu kati ya hizo ziko kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, Iran ndiyo hot cake, haijaguswa, na malkia amesema yupo tayari kuitandika Iran ikibidi.
Hii ndiyo sababu nasema Clinton ndiye atakaye pewa nchi hiyo.


Tunaona mchezo aliofanyiwa Mccain ndiyo ule ule anafanyiwa Trump leo. Chama kimegawanyika wakati malkia akiendelea kuchanja mbuga kama alivyo fanya mfalme Obama.

Wakati kampeni zinaanza, chama cha Trump kilichangisha $3.1 Milioni wakati chama cha Clinton kilikuwa na $28 Milioni. Wakati wanaingia uwanjani mwezi Juni Trump mkononi alikuwa na $1.3 Clintoni mkononi ana $42 Milioni. Kwanini? Watu wazito, mabwana wakubwa, wapenda vita, walikuwa nyuma ya Clintoni.

Chanjo
Follow the money ...
Chanjo!
Ring the ball?

Mwaka 2008 wakati wa kampeni Clinton aliulizwa kuhusiana na chanjo na usalama wake dhidi ya afya ya watoto. Clinton alisema kunauwezekano chanjo zikawa zinasababisha ugonjwa wa Autisim.


Ghafla Clinton akabadilisha msimamo au akaonesha ngozi yake halisi. Mashirika ya chanjo na madawa ni moja ya wachangiaji wakubwa kwenye kampeni, lakini pia wenye ushawishi wa kutosha kuitishia safari ya Clinton kwenda White House, hivyo msimamo ukabadilika. Akaandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter. 
“The science is clear. The earth is round, the sky is blue, and #vaccineswork Let’s protect all our kids #GrandmothersKnowBest.” 

 Ukweli wa msingi ni kuwa chanjo zina madhara zaidi kuliko faida.

Vita, damu....

Haijawahi hata mara moja kwenye historia ya uchaguzi wa Marekani kwenye ngazi ya uraisi, mgombea kugombea kiti hichi mara ya pili baada ya kupoteza mara ya kwanza. Ni mara ya kwanza kwenye miaka ya karibuni tunamuona Clinton anafanya hivyo. Alishindwa, au alichagua kushindwa, au aliambiwa asubiri zamu yake bado wakati wa Obama 2008, amerudi tena, kwa nguvu na kasi mpya.

Kwa sababu ameambiwa na ‘mabwana wakubwa’ nenda, sasa hivi ni zamu yako, CV yako ya Syria, Iraq, Libya, Afighanistani, msimamo wako wa kuipiga Iran, China, Urussi unatuthibitishia kuwa ‘Your the Wo-man for the Job’ nenda unazo baraka zetu, kachukue nchi hii.

CV ya Clinton kwenye Arab Spring.
E-mail 30,000 zimeiandika CV yake vilivyo, email hizo zimeonesha nia ya uatawala wa mfalme Obama wa kutaka kuipindua serikali ya Syria tangu mwanzo.

Ukiachilia mbali rikodi yake ya karibuni kuhusu Syria na nchi iliyokuwa inaitwa Libya. Mwana mama huyu amekuwa mstari wa mbele kuunga vita tangu uatawala wa mume wake.

2002-2003 Hillary aliunga mkono uvamizi wa Iraq, alitoa speech kwenye bunge la Marekani akishawishi taifa hilo kuunga mkono safari ya kuivamia Iraq. Hillary alisema,
“Mimi naamini kile kilicho tusukumua katika maamuzi haya hakina wasiwasi hata chembe. Saddam Hussein ni dikteta mbaya sana ambaye amewatesa na kuwauwa watu wake mwenyewe, mpaka watu wa familia yake ili tu abakie madarakani. Alitumia kemikali dhidi ya wa Kurdi na wa Iran, ameuwa watu zaidi ya 20,000.”

Hakuishia hapo.

Akaelezea namna ambavyo Iraq imesha sambaratisha kwenye Gulf War, na vikwanzo vya kimataifa na UN, hivyo kazi iliyobakia ni ndogo tu. Kisha akasisitiza juu ya uwepo wa silaha za maangamizi Iraq, na umuhimu wa kuivamia na kuzikamata silaha hizo kabla hazijafika kwa Alqaedah. (Curl, Joseph. “Hillary Clinton Supported Iraq War – Before She Opposed It.” Washington Times. May 17, 2015.)

Sote tunajua mpaka sasa hakijapatikana hata kuchupa cha sindano cha silaha za kemikali.
Leo anasema “It was mistake”, lakini majeshi ya Marekani bado yako pale, “It was mistake”, lakini vikundi vya kigaidi wanavyo viunga mkono bado viko pale, “It was mistake”, lakini kimetokea tena Libya na Syria kwa asilimia 100 ya baraka zake, still, was it mistake or political zeal driven by big corporation who need OIL?

Vipi kuhusu Afighanstan? Mwaka wa kwanza ndani ya ofisi, mfalme Obama, akaelekea Afighanstan to finish unfinish business with Taliban, kumalizia pale Busha alipoishia kabla hajaanzisha moto wake. Nani alikuwa nyuma yake kwenye hili? Hillary Clinton.

Iran pia haipo salama kwake. Alihimiza Iran ivamiwe, lakini ilishindikana, kisha akasema kauli maarufu dhidi ya Iran ambayo Tehran haiwezi kuisahau,

“I want the Iranians to know that if I'm the president, we will attack Iran (if it attacks Israel).
In the next 10 years, during which they might foolishly consider launching an attack on Israel, we would be able to totally obliterate them.”

Assad
Kama Katibu Mkuu wa nchi (SS), na kama mgombea wa urais wa Marekani, msimamo wake ni ‘Assad Must Go’, kama alivyo fanya dhidi ya Ghadaffi na kuichana chana Libya, anaendelea kutumia mbinu hiyo hiyo dhidi ya Syria, Assad na utawala wake.

Nani anayenufaika na vita hivi?

Hillary?

Wanaye nufaika na vita hivi ni makampuni, taasisi na mashirika ambayo yanaiendesha dunia, kama tulivyo ona kwenye posti zilizotangulia. Clinton ni mwanasesere kama walivyokuwa watangulizi wake, anacho kifanya Clintoni si kupata sapoti na kura za wa Marekani, bali kupata sapoti na kura za hao mabwana wakubwa.  

Clinton kuunga mkono vita moja baada ya nyingine, kubadili misimamo yake na kusema uongo kila inapobidi, ni kwa ajili na kwasababu moja tu pekee yake, ‘kuwathibitishia mabwana wakubwa kwamba yeye ndiye anayestahiki kiti hicho, na atafanya kila wanacho taka kwa gharama yeyote ile.’

Hillary ndiye aliyemsukuma, mfalme Obama aendelee kuwapa msaada wa vifaa na fedha magaidi ambao wao waliwapa jina zuri, ‘magaidi wa msimamo wa kati.’ Magaidi hawa wa msimamo wa kati waliokuwa wakipokea msaada kutoka Washington, walichinja watu, walikula nyama zao, walilipua majengo, magari, watu na kila aina ya uharibifu kuhakikisha Assad anang’oka.

 lakini ndani ya Washington watu hao waliitwa ‘moderate rebel’ na walipokea misaada ya kijeshi, watu, silaha na hata Mcain aliwatembelea na kupiga nao picha.

Posti imebidi niifanye fupi, kutokana na muda kutokuwa rafiki kwangu, lakini siku zenyewe kuelekea uchaguzi ni za kuhesabika, na kile ninacho taka ni msomaji wangu kupata picha ya kile ninacho kizungumzia kwenye posti hizi na mfano wake, kwamba Historia inaandaliwa haitokei kwa nasibu.

Trump au Clinton haijalishi ni kiasi gani wanatofautiana, kiasi gani misimamo yao inakizana, kiasi gani wametoleana maneno makali, mwisho wa siku siyo Trump wala Hillary anaye amua juu ya sera za ndani au za nje za Marekani. Wanao amua hayo ni Mashirika, makampuni, taasisi kubwa ambao wamekuwa ndiyo watawala nyuma ya mapazia mazito ya siasa.

Akingia Trump atafanya kile ambacho angekifanya Hillary, na akingia Hillary atafanya kile ambacho Trump angetakiwa afanye.

Mwisho wa siku haijalishi ni nani anayechaguliwa kuiongoza nchi hiyo, na hiyo si kwa Marekani tu, bali kwa nchi zote duniani. Kuna wenye nchi na vivuli vya wenye nchi, wagombea na viongozi si wenye nchi, bali nyuma yao wapo wenye nchi, wanao amua hatma ya nchi na kuyapitisha kwenye midomo ya wanasiasa.


Kwa uchaguzi huu wa Marekani, wenye nchi, mabwana wakubwa, big corporations, big brothers, Illuminanti, au vyvovyote vile unavyotaka waitwe, mtu ambaye anaendana na maono yao, mtu ambaye anaonekana anayo nafasi nzuri ya kuyatekeleza yale wanayo yataka, mtu ambaye amekuwa kikamilifu akitengeneza njia na kuyafanya mepesi mambo na mipango yao miovu dhidi ya ulimwengu, mtu huyo amekuwa ni mwanamama Hillary Clinton.
Hivyo mrithi wa karibu wa mfalme Obama, ni malkia Hillary Clinton.

Kwa kumbukumbu tu, kuna kesi ya mapenzi ya jinsia moja, ambayo ni moja ya vitu vinavyo mpa mwana mama huyo nafasi ya juu dhidi ya Trump kwenye macho ya mabwana wa kubwa, lakini kesi hii, iweke pending kidogo, mama huyo akishapewa nchi nitakuja hapa na kutiririka nayo, hii ni moja ya ‘corner stone’ ya yeye kupewa nchi, just wait till you see the whole movie, ndiyo kwanza ina-load.

Catch me here next time with another hot post ....

No comments:

Post a Comment