At last is TRUMP!
How did I get wrong?
But how the whole world get it wrong?
Imekuwa ni suprise kwa kila mtu!
Sikutabiri kuwa Hillary atakuwa rais; nilieleza viashiria vinavyo mpa nafasi
hiyo Hillary dhidi ya Trump. Lakini juu ya yote imekuja tofauti.
Kama nilivyo sisitiza kwenye posti za mfalme na posti za malkia, kile
wanacho kifanya wanachi kupiga kura ni kukamilisha kile ambacho mabwana wakubwa
walicho kifanya, au wanacho kitaka.
Je ndiyo kusema this time wananchi wamewazidi mabwana wakubwa?
Ili wanachi wawazidi mabwana wakubwa, au mashirika na taasisi kubwa ambazo
ndiyo haswa watawala wa dunia, ni lazima raisi atoke nje ya mfumo wa vyama vya
siasa vinavyo tumiwa kwenye uchaguzi, na kwa Marekani ni Republic na Democrat.
Kilicho tokea kwenye matokeo ya uchaguzi huu ni plani B.
Kwa sababu vyama na wagombea tayari viko chini ya ushawishi wa ‘mabwana
wakubwa’ haijalishi bado ni nani hasa atakuwa ‘mteule’, sababu kile ambacho
wapiga kura wanacho kitegemea kutoka kwa wagombea ni kinyume na kile wagombea
walicho waahidi ‘mabwana wakubwa’ watakitekeleza wakiwa ndani ya white house.
Ni kiasi gani Obama alihidi atafanya mabadiliko na kuifanya Marekani kubwa
bora kuliko alivyo fanya Bush? Je anapoondoka sasa, tathmini inasemaje?
Amefanya uozo maradufu ya alivyo fanya Bush.
Ingawa wanatoka vyama viwili tofauti lakini hapakuwa na tofauti kwenye
masuala ya vita baina ya vyama hivi.
Vyote vinaunga mkono vita, Obama alianzia pale Bush alipoishia, matumizi ya
fedha za serikali, kujali mahitaji ya raia na mengine hali ilizidi kwa ubaya
wakati wa Obama, kuliko Bush, ingawa Bush yeye alizidi kushinda Bill Clinton.
Haijalishi nani yuko pale, na hii siyo kwa Marekani peke yake ni kote
duniani, mpaka wananchi watakaporudi nyuma na kuacha kuviamini vyama vya siasa
na wanasiasa ndipo mabadiliko ya kweli na yenye maana utayaona kwenye maisha ya
wananchi.
Utaona hapa shirika, au taasisi moja lakini imeweka pesa zake kwa vyama na
wagombea wote wawili. Wakati wewe kura yako wanakuambia umpe mgombea mmoja, wao
wanapiga kura ya pesa na wanaipiga kwa wagombea wote wawili na vyama vyao.
Company
|
Total
|
$ from PACs
|
$ from Indivs
|
Democrat %
|
Republican %
|
Honeywell
International
|
$4,213,710
|
$4,161,100
|
$52,610
|
52%
|
48%
|
Berkshire
Hathaway
|
$2,284,531
|
$1,819,641
|
$464,890
|
48%
|
51%
|
Raytheon
Co
|
$2,283,837
|
$2,132,000
|
$151,837
|
54%
|
46%
|
Northrop
Grumman
|
$1,878,105
|
$1,563,150
|
$314,455
|
53%
|
45%
|
Verizon
Communications
|
$1,863,104
|
$1,551,200
|
$309,404
|
52%
|
47%
|
Wal-Mart
Stores
|
$1,764,827
|
$1,570,050
|
$194,777
|
46%
|
54%
|
Union
Pacific Corp
|
$1,683,550
|
$1,580,800
|
$102,750
|
52%
|
47%
|
Ernst
& Young
|
$1,427,641
|
$992,000
|
$435,641
|
50%
|
50%
|
JPMorgan
Chase
|
$1,418,846
|
$550,037
|
$868,809
|
47%
|
53%
|
Abbott
Laboratories
|
$1,392,751
|
$1,313,224
|
$79,527
|
46%
|
54%
|
FMR
Corp
|
$1,381,290
|
$783,000
|
$598,290
|
50%
|
50%
|
Credit
Suisse Group
|
$1,288,074
|
$796,000
|
$492,074
|
48%
|
52%
|
WPP
Group
|
$1,228,660
|
$144,250
|
$1,084,410
|
47%
|
51%
|
BAE
Systems
|
$1,142,822
|
$1,039,400
|
$103,422
|
53%
|
47%
|
Merck
& Co
|
$1,117,013
|
$962,000
|
$155,013
|
51%
|
48%
|
Citigroup
Inc
|
$1,114,008
|
$468,000
|
$646,008
|
47%
|
53%
|
Blackstone
Group
|
$1,040,498
|
$175,460
|
$855,038
|
53%
|
45%
|
AstraZeneca
PLC
|
$998,225
|
$921,400
|
$76,825
|
51%
|
48%
|
SAIC
Inc
|
$989,045
|
$806,000
|
$183,045
|
54%
|
46%
|
Northwestern
Mutual
|
$902,308
|
$628,150
|
$274,158
|
50%
|
49%
|
Ukiacha Makampuni hapo juu vyama vya wafanyakazi na ushirika navyo
vinapeleka kura zao, kabla wewe hujaenda kuidhinisha matakwa yao.
Donor
|
Total
|
$ from PACs
|
$ from Indivs
|
$ to Dems
|
$ to GOP
|
% Dem
|
% GOP
|
Credit
Union National Assn
|
$2,275,093
|
$2,243,296
|
$31,797
|
$1,230,597
|
$1,034,496
|
54%
|
45%
|
American
Dental Assn
|
$1,987,600
|
$1,970,600
|
$7,000
|
$1,007,650
|
$973,950
|
51%
|
49%
|
National
Auto Dealers Assn
|
$1,938,650
|
$1,938,400
|
$250
|
$946,750
|
$981,900
|
49%
|
51%
|
American
College of Radiology
|
$1,533,000
|
$1,533,000
|
$0
|
$760,000
|
$766,500
|
50%
|
50%
|
National
Rural Electric Cooperative Assn
|
$1,532,100
|
$1,530,600
|
$1,500
|
$799,700
|
$723,400
|
52%
|
47%
|
Aircraft
Owners & Pilots Assn
|
$1,253,777
|
$1,251,500
|
$2,277
|
$654,500
|
$594,277
|
52%
|
47%
|
Investment
Co Institute
|
$1,192,675
|
$1,153,250
|
$39,425
|
$634,650
|
$556,025
|
53%
|
47%
|
American
Academy of Ophthalmology
|
$1,165,670
|
$1,160,670
|
$5,000
|
$636,500
|
$529,170
|
55%
|
45%
|
Natl
Assn/Insurance & Financial Advisors
|
$1,112,449
|
$1,112,449
|
$0
|
$541,950
|
$569,499
|
49%
|
51%
|
Wine
& Spirits Wholesalers of America
|
$1,063,444
|
$1,063,444
|
$0
|
$533,784
|
$523,660
|
50%
|
49%
|
American
Resort Development Assn
|
$950,575
|
$950,575
|
$0
|
$462,075
|
$488,500
|
49%
|
51%
|
American
Medical Assn
|
$769,509
|
$748,459
|
$21,050
|
$401,800
|
$366,709
|
52%
|
48%
|
Council
of Insurance Agents & Brokers
|
$740,554
|
$739,554
|
$1,000
|
$377,371
|
$363,183
|
51%
|
49%
|
American
Council of Engineering Cos
|
$682,400
|
$675,900
|
$6,500
|
$349,000
|
$320,600
|
51%
|
47%
|
Property
Casualty Insurers Assn/America
|
$627,850
|
$627,850
|
$0
|
$310,000
|
$317,850
|
49%
|
51%
|
International
Council of Shopping Cntrs
|
$624,412
|
$624,412
|
$0
|
$281,199
|
$334,213
|
45%
|
54%
|
Sasa unaitaje huu ni uchaguzi wakati unayekwenda kumchagua alishapigiwa
kura ya pesa? Kuna wengine wanao changia ambao wao majina au mashirika yao
hayatajwi, na michango yao ni mafungu ya maana.
Karne na karne, miaka na miaka, mbinu ile ile inaendelea kutumika.
Tunaaminisha kuwa chama fulani ni bora kuliko fulani na mgombea fulani anaweza
kufanya mabadiliko n.k. Wakati wafuasi wa vyama wanaposhindwa kula kwa simanzi
ya kushindwa mgombea au chama chao, na wanapo uwana wakati mwingine, wagombea
wa vyama tofauti wapo ‘at peace’, shake hand smile, doing business together,
working together, wakati wewe na jirani yako hamsemeshani.
Kama tulivyoona kwenye posti zilizo tangulia, wengi wa wagombea hawa kwa
uapnde wa Marekani na nchi za Ulaya ni ndugu kwa namna moja ama nyingine, hivyo
kwa wao ni family business.
Bill na Hillary walikuwa wageni kwenye mstari wa mbele wakati wa ndoa ya
Trump 2005. Trump amesha mchangia Hillary Clinton kwenye kampeni alipokuwa
akiwania useneta, amesha dondosha senti zake kwenye Clinton Foundation.
Hivyo haijalishi watatukanana mara ngapi, watatishiana mara ngapi, Trump
alisema Hillary inafaa aende jela, kitu ambacho ni kweli, lakini unadhani
atafanya hivyo, thubutu. Its a familly business, and your just a loser
competitor.
Trump kama alivyoingia Obama, President na ku-Exit as a King, nalitegemea
sana hilo kwa Trump, kwa sababu Trump kama Obama au kama ambavyo ingekuwa ni
Hillary ni mwanasesere, na juu yake ipo mikono mizito inayo muongoza, na mikono
hiyo siyo kura za wananchi.
Unadhani atakuwa raisi wa kwanza tu Exit as Hero?
Historia imejaa visa vya wale ambao walitaka kujifanya ni Hero, na
kuwasikiliza wapiga kura. Kifupi walichowekeza mabwana wakubwa, na wanacho
kitaka ni kikubwa kushinda Trump. Ni kikubwa kushinda yeyote yule atakaye kalia
kiti hicho, and time will tell.
Sababu baada ya kelele za vyombo vya habari na kampeni, kinachofuata ni
kutekeleza ahadi. Trump ni mfanyabiashara mahiri. Tizama documentary inayo
kwenda kwa jina la ‘The Make of Trump’, anajua ni njia gani apite akamilishe
anachotaka, anajua nini aseme na nini afanye na kwanini afikie malengo yake.
Lakini kama kawaida ‘connection’ kubwa na za maana kutoka kwenye watu wazito
zinakuwa nyuma yake, ndiyo maana ameweza kufika hapo alipo.
Trump huru, bila hizo ‘super connection’ ni mtu sahihi wa kuweza kufanya
mabadiliko makubwa sana kwenye siasa za mambo ya nje za Marekani. Lakini siasa
hizo ni kubwa kushinda Trump, kushinda yeyote yule.
Hatuwezi kumshikilia dhidi ya maneno yake kama kitanzi kuona atafanya ama
la, lakini kwa Personality ya Trump tunatumai atafanya kadiri atakavyo weza,
lakini sote tunajua HE WONT DARE TO CROSS THE LINE?
WWIII
Itakuwepo?
Kama Trump atasimamia yale aliyo yasema, si kwamba tu movie hiyo itachelewa
kuzinduliwa, lakini huenda hata Syria kukapoa, lakini hii itamaanisha Slow
Death to America.
Tunajua kile kinacho endelea Syria, na kile ambacho kitapelekea WWIII ni
harakati za mfa maji haachi kutapatapa. Marekani inapigana dhidi ya China,
Urrusi na mataifa ya Asia kujihakikishia inaendelea kushikilia sehemu kubwa ya
nishati ya dunia, na kuibana China pumzi isipumue na kuimaliza taratibu kupitia
majirani zake kama ilivyo kuwa ikitaka kufanya hivyo kwa Urrusi.
Mabwana wakubwa watamuachia Trump airuhusu China iendelee kutanua ushawishi
wake. Wataendelea kumuachi Mturuki aendelee kujikomba kwa Urussi na kuipa NATO
mgongo? Watamuachia Mrussi aendelea kufanya biashara na Irani iliyo pewa ‘green
light’ za kuendelea na mradi wake wa nyuklia. Vyote hivyo kuendelea kwake
vinamaanisha KIFO kwa Marekani, na kuzaliwa kwa Super Power nyingine. Kitu
ambacho Hillary alisema hatakiruhusu, wakati Trump sera zake zilionekana
zingekiruhusu hicho, hasa alipokuwa akisisitiza kuanzisha mahusiano mapya na
Putini, ambaye kesha mpigia simu ya kumpongeza.
Ni wapi dunia nakwenda?
Ni nini hatma ya Marekani itakuwa?
Je Muungano wa China na Urrusi ndiyo ujio wa new Super power?
Still we have a miles to go, and all we wish is the best, though its not
wrong to prepare for the worst.
Tuendelea kubanana hapahapa mpaka kieleweke .... catch you next time ....
Tchao ...
naomba post ya juju na maajuju kwa ukweli na maana yake brother naitaji kuelewa zaidi
ReplyDeleteSpeechless
DeleteNi rekebishe niielewe
Delete