Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Sunday, March 1, 2015

HATUKWENDA MWEZINI PT 4 (sesonal fenale)

NI KWELI HICHI NDICHO CHOMBO KILICHO KWENDA MWEZINI? PICHA YA KARIBU YA APOLLO, TIZAMA MAKARATASI, 'SOLETAPE' MH?

Hakuna picha ya rangi hata moja katika hizo zilizo pigwa ‘mwezini’, zote ni black and white na zikiwa na ubora finyu kabisa wa kuweza kuzichanganua. 


Ajabu sana wameweza kutumia mabilioni ya dola kufanikisha safari ya kihistoria na teknolojia kubwa, lakini wameshindwa kupeleka kamera ya rangi kunasa tukio muhimu kama hilo? 

Kila wanapo azimisha safari hiyo picha ni zile zile zinarudiwa kuoneshwa. Mara zote walivyo peleka vyombo hawajaweza kurikodi picha mpya kwenye maeneo mapya?
MAAJABU, MWANAANGA, KATIKA SAFARI MOJA YA MWEZINI LAKINI AKIWA NA AINA TOAUTI YA VIATU, GLOVES NA ANTENA! KUNA MUDA ALIUPATA WA KUBADILISHA VITU HIVYO, LABDA KWA AJILI YA PICHA AU? NASA WANAWEZAJE KUYAELEZEA MABADILIKO HAYO?

Jiwe wanalo sema wametoka nalo mwezini si chochote bali lilichukuliwa kutoka Antarctica. Mkurugenzi wa NASA, Werner Von Braun, ambaye ni mmoja kati ya wanasayansi wa NAZI walioingizwa Marekani baada ya WWII kupitia mpango wa paper clip, jamaa huyu aliyepaswa kushtakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uvunjaji wa haki za binaadam lakini alipewa ukuregenzi wa NASA. 
PAPER CLIP MPANGO WA CIA ULIWAINGIZA BRAUN NA WENZAKE MAREKANI, CANADA NA NCHI ZINGINE ZA ULAYA.

Miaka miwili kabla ya Apollo 11, Braun na wenzake walifanya safari ya kiajabu ajabu kuelekea kwenye bara la Antarctica ambako huko walikwenda kukusanya mawe ya ‘mwezini’.Duh!

Bill Kaysing muandishi wa kitabu cha We Never Went to the Moon: America’s Thirty Billion Dollar Swindle alimuajiri mchunguzi binafsi Paul Jacobs kuangalia kutoka kwenye kitengo cha miamba cha Washington na kuuliza kama wamefanyia tafiti jiwe hilo na kama kweli limetoka mwezini. Alichekwa na jiolojist wa kitengo hicho cha Wshington na kuambiwa kuwa wakubwa kwenye serikali ya Marekani wanajua kuwa ni uwongo na wamefunika kombe mwanaharam apite.

MFUMO WA LEO WA UPASHANAJI HABARI, HASA UNAOTUMIWA NA VYOMBO VYA MAREKANI NA ULAYA, NA AMBOA DUNIA NZIMA UNAUIGIZA NI KWAMBA, KWENYE MUMO HUO JAMBAZI ANAWEZWA KUFANYWA NABII NA NABII AKAFANYWA JAMBAZI NA YEYOTE POPOTE ASIHOJI CHOCHOTE NA DUNIA NZIMA IKAONA HIVYO NI SAWA.

Mtu wa pili mwezini Buzz Aldrin ambaye ni freemason wa daraja la 33, aliulizwa swali katika hafla ya chakula kwamba alijisikiaje kukanyaga kwenye uso wa mwezi. Alinyanyuka bila kusema neno lolote na kutoka kwenye ukumbi huku analia. Wakati mwingine alipo ambiwa na muandishi Bart Sibriel kuwa ni muongo na moga kwa kusema kuwa amekwenda mwezini wakati hakwenda, alimpiga ngumi nzuri tu muandishi huyo.  Inasikitisha sana, mtu uliyefanya safari ya kipekee na kihistoria unashindwa kuvumilia ukweli na badala yake unarusha ngumi mbele ya kamera. Unaweza kuiyona hiyo kwenye You Tube kaitafute.


 Edgar Mitchell, mwanaanga wa Marekani, aliyekwenda mwezini kupitia Apollo 14, Januari 1971 alipo kuwa anahojiwa na muandishi ambaye Buzz alimtwanga ngumi, muandishi Bart Sibriel ambaye alimletea kopi ya vidio zilizo vuja ambazo NASA na wana anga wengine walikuwa wakirokodi tukio la kwenda mwezini hapa duniani. Vidio hiyo ni pigo kubwa kwa yoyote alisimama mbele ya Luninga akapokea nishani za dhahabu na kuuambia uma kuwa ameukanyaga mwezi. Vidio hiyo inaonesha hatua kwa hatua walivyo kuwa wakighushi picha, sauti na vidio kwamba wako mwezini. Mitchell ambaye naye ni freemason alimtukana muandishi huyu matusi ya nguoni na kumsukuma kutoka nje ya nyumba yake wakati mtoto wa Mitchell akimuuliza baba yake kama yuko tayari akatoe bunduki na kuwauwa kabla hawajaondoka eneo hilo au awapigie simu CIA wamalize muandishi huyo na timu yake.

MUHESHIMIWA AKIONESHWA MUVI YAO WALIYO IITA NI YA MWEZINI.

Mitchell alitishia kumpeleka muandishi huyo mahakamani, Bart Sibriel  hakuwa na wasi wasi bali alimpatia kadi yake ya mawasiliano ili wawasiliane akiwa tayari kumpeleka mahakamani. Lakini Mitchell alichana kadi hiyo.

Neil Armstrong alipoombwa na muandishi Bart Sibriel aweke mkono wake juu ya biblia  na atoe kiapo kuwa alikanyaga kwenye mwezi, alikataa kutoa kiapo hicho.

YES. HAPO ANAOMBWA KUWEKA MKONO WAKE KWENYE BIBLIA IKIWA KAMA KWELI AMEKANYAGA MWEZINI, MUHESHIMIWA ALIKATAA, KATA, KATA.

Umewaona wanaanga hawa watu walipokuwa wanahojiwa na waandishi wa habari baada tu ya kurejea kutoka ‘mwezini’? Muda wote wa mahojiano ya takribani lisaa limoja na nusu walionesha moyo na sura ya kuto yafurahia mahojiano hayo. Watu walio rudi kutoka kwenye safari ya kihistoria na mashujaa kwa kwa taifa la Marekani walikuwa na sura zilizo jaa huzuni na kama watu walio lazimishwa kufanya mahojiano hayo. 


Wakati tunajua hata mtu aliyeshinda mbio za kukimbiza kuku akihojiwa furaha yake kila mtu ataiyona, lakini hawa ‘walishinda’ kitu chenye thamani ya mara bilioni kadhaa ukilinganisha na mbio za kuku lakini walikuwa wanakaribia kulia kwa huzuni kwenye mahojiano hayo. Kwa nini?

Kiongozi wa juu wa NASA alijiuzulu bila kutoa maelezo yoyote siku moja kabla ya Apollo 11 kuruka, tunajiuliza ni kipi kilicho mfanya mfanyakazi huyu wa NASA kujiuzulu siku moja kabla ya yeye kufikia kilele cha juu na kuweka rikodi kwenye ajira yake.


WAHESHIMIWA WAKIWA KWENYE MAHOJIANO BAADA YA KUREJEA.

 Siku moja kabla ya yeye kuitwa shujaa na kupigiwa simu za heshima kutoka kwa watu wa heshima kote duniani kumpongeza kwa kile atakacho kifanikisha siku itakayo fuata, kwa nini alijiuzulu kabla ya siku hiyo ambayo kwake ingekuwa ni siku ya ushindi na nzuri kukumbukwa daima. Kwa nini alijiuzulu kabla ya kupokea heshima yake. Kwa nini?

Wanaanga watatu wote wa Apollo 11walijiuzulu baada tu ya kurejea kutoka kwenye safari yao hiyo ya kihistoria ya ‘mwezini’. Kwa nini? Ni vitisho vya namna gani jamaa hawa walivyo pokea mpaka leo hii wanaushikilia uwongo huo na wengine hata hawataki kuhojiwa? Je familia zao zimetishiwa nini?

WAHESHIMIWA WATATU BAADA YA KUREJEA KUTOKA KWENYE SAFARI YA KARNE KAMA SIYO YA MILENIA NA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI WANAO TAKA KUJUA NINI WAMEKIONA HUKO, LAKINI TIZAMA NYUSO ZAO, KAMA WAMELAZIMISHWA KUFANYA HAYO MAHOJIANO! AU UCHOVU WA 'SAFARI'.

Wanaogopa juu ya maisha yao kutokana na viapo vya damu vya kimasonia walivyo chukua vya kutokusema ukweli wowote kuhusiana na safari hiyo. Wanaogopa mengi na hivyo ni bora kwa wao kumeza dawa chungu ya kukaa kimya kuliko kusema ukweli na kuwa huru. Wanaanga 11 walikufa kwenye chombo ambacho kilikuwa kinafanyiwa majaribio. 

Chombo hicho kililipuka moto baada ya kushindiliwa hewa ya Oxygen, hata hivyo watafiti huru wanadai waliuwawa na haikuwa bahati mbaya. Wanaanga wengine saba wa Marekani walikufa kwenye ajali ya ndege, nayo inasemwa ilipangwa, makusudi na mwengine kwenye ajali ya gari. Mazingira ya vifo vyao ni yale ya kutatanisha na inaokena ilikuwa ni zoezi la kimasonia kutafuta watu wanao faa kwa kazi na wale wenye mashaka waliondolewa kwa staili hiyo. 

Mpaka leo hakuna mwanaanga hata mmoja aliyekiri uwongo huo wala hakuna chombo chochote cha kiserikali cha Marekani kilicho kiri uwongo huo na kila leo wanazimisha safari hiyo ya kwenda mwezini.



Kiongozi mmoja tu wa taifa la Marekani, Bill Clinton katika kitabu chake alicho kiita, My Life, ndiyo ameonesha wasiwasi na tukio hilo la kwenda mwezini. Hakusema moja kwa moja, ila kwa mtu mwenye nafasi kama yake kusema maneno hayo kwenye kitabu kinacho husu historia na maisha yake binafsi inaonesha kuwa kile tunacho dai kuwa hakuna binadam aliyekanyaga mwezini kina ukweli ndani yake.



Kwa karne nyingi kumekuwa na hisia, nadharia na imani zinazozungumzia kuwepo kwa viumbe wengine katika sayari nyinginezo katika mfumo wa Jua na labda pia katika mifumo mingine ya Jua iliyomo katika Ulimwengu. Kwa mujibu wa nadharia hizo binaadam si kiumbe pekee mwenye uhuru katika ulimwengu huu, ikiwa yeye anaweza kwenda kwenye sayari nyingine na kurejea basi na viumbe wengine nao wana uwezo wakuja hapa duniani na kurejea walipo toka. 

Maswali ya msingi ni je viumbe hao wakija wataweza kuwiana na maisha yetu, je wataishi kwa amani na sisi?

Kaitka misingi ya Nadharia hizo ndipo ulipo ukweli wa safari ya kwenda mwezini. Hatua hiyo iliyoitwa ya mapinduzi makubwa katika historia ya binaadam kwa upande wa teknolojia. Safari hiyo inatupa tahadhari wanaadam wote tukae tayari kwani wakati wowote na sisi tunawezwa kutembelewa na wageni kutoka sayari nyingine.

 Ili kuhakikisha hili linaeleweka vyema katika akili zetu na linapandikizwa vizuri katika mawazo ya watoto wetu na vizazi vijavyo vitabu mbali mbali vimekuwa vikiandikwa vyenye maudhui haya, filam zenye kugharim mabilioni ya shilingi zimetengenezwa, michezo ya kompyuta nayo imebeba ujumbe huu mkubwa na katuni za watoto nazo zimejaa nadharia na maelezo kuhusu jamii kutoka sayari ya mbali.

Maudhui makubwa katika filam, tamthilia, katuni, michezo ya Kompyta na vitabu vyenye nadharia hii ni vita baina ya jamii mbili hizi, yaani binaadam na wageni kutoka katika sayari ya nyingine, kutokana na juhudi hizo kwa kiasi kikubwa binaadam tumeshakubali kuwepo kwa viumbe wa namna hiyo katika sayari nyingine, na pia tumeshakubali kunauwezekano wa kuvamiwa na viumbe hao ambao wanatajwa kama wenye teknolojia ya hali ya juu, wakati utakapo fika binaadam wakapambanishwa na kuuwana wenyewe kwa wenyewe kama tunavyoona sasa, ila hali itakuwa mbaya mara dufu katika kile kitakachoitwa Vita Vikuu Vya Tatu Vya Dunia ambapo ustaarabu mzima wa Binaadam utaporomoshwa kwa ajili ya kutengeneza njia ya ustaarabu mpya, ustaarabu kutoka kwa wageni watakao kuja kutoka sayari nyingine, wageni hao watakuwa na teknolojia ya hali ya juu, watakuwa na maumbo ya Reptilia, viongozi wetu watatuambia kuwa tushirikiane nao ili tuweze kupata teknolojia hiyo, na hatari ya kutoshirikiana nao itahatarisha uwepo wetu katika dunia hii, hivyo tutasaini mkataba huo wa mashirikiano na wageni hao tutawakabidhi tena Dunia yetu, ajenda itakuwa imekamilika na mashetani wataichukua tena dunia na kuitawalia kama mabvyo walivyo fanya kabla ya kuja Binaadam.


Safari ya kwenda mwezini ni moja ya ahadi Freemasonry walizoahidiwa na Mashetani, ahadi hiyo bado haija timizwa kwani Freemasonry hawakwenda mwezini, hakuna binaadam aliyekanyaga mwezini, bado ni ndoto za teknolojia tuliyonayo, hatujaenda mwezini.

Werner von Braun hakupata kukiri kuwa kutua mwezini ulikuwa ni uwongo, lakini kabla hajafa alipokuwa anahojiwa na Carol Rosin, alisema kwamba ili waweze kumiliki uwezo wa zana za kivita na viwanda vyake usio kuwa na kikomo, kwanza ilibidi watengeneze kitisho cha  ‘Cold War’. Akasema tena kitisho hicho kitakapo kwisha, patatengenezwa kitisho kingine, kitisho cha ‘ugaidi’. Kitisho hichi watarushiwa watu wacheze nacho. Kitisho hichi kitakapo malizika kitatengenezwa kitisho cha anga, uvamizi kutoka angani, uvamizi wa dunia kutoka kwenye sayari nyingine.

 Hiki ndicho kitakuwa kitisho cha mwisho kitakacho waleta walimwengu pamoja kuitaka pawepo na New Worl Order chini ya serikali oja ya dunia. Kiuhakika akili za watoto wetu na vijana zinaosha na kupandikizwa fikra na nadharia za vita hivi vya uvamizi kutoka kwenye sayari nyingine kupitia miradi ya sinema na mlolongo wa tamthilia maarufu kama ‘series’ zenye gharama za mamilioni mpaka mabilioni ya dola, ili kuweza kununua wazo hili mapema la kuwa hatuko salama na siku moja tutavamiwa. Watoto wengi sana hata wale wanao toka kwenye maisha duni utakuta wanamfahamu kikarogosi anayeitwa BEN 1O ambaye kazi zake zimetengenezwa kuelezea hicho kitisho, kuna kila kitu cha watoto kutoka saa mpaka kiatu, miwani mpaka chupi, toyi mpaka magari ya Ben 10. Watoto wetu ndiyo wanao lengwa kwani ndicho kizazi kitakacho pambana na kitisho hicho. Ndicho kizazi ambacho milango ya New World Order itafunguliwa.

Ikiwa utahitaji sababu ya kuitawala dunia yote mwenye kama mfalme asiye pingwa na yoyote, na ukaitawala kiuchumi, kijeshi, polisi na taasisi zake zingine zote hapana shaka utahitaji kitisho cha dunia nzima kitakacho wafanya walimwengu hao wasalimishe nguvu na madaraka yao kwako.


 Je kuna kitisho bora kama kuiambia dunia tumevamiwa kutoka angani na viumbe wasio julikana?

Kama tuliweza kwenda ‘mwezini’ basi ujue kuna viumbe wengine wanao weza kuja hapa duniani. Kuna baadhi ya mahojiano wanaanga wanakiri kuona dalili ya viumbe wengi kwenye ‘mwezi’. Hivyo kaa tayari, lengo la kudanganya watu kuwa tumekwenda mwezini ni kuwaweka sawa juu ya kitisho cha kutengeneza cha uvamizi kutoka kwa viumbe wengine, kitu ambacho kwa kiasi flani kimefanikiwa. Ilimradi watu wataendelea kukubali tumekwenda mwezini, basi watakubali kuna viumbe wengine pia wenye teknolojia ya kuweza kufika hapa kwetu na kufanya lolote watakalo, hivyo hatuna budi kuungana kupambana nao, na hapo tutawapa wanacho kitaka, serikali moja ya dunia.


Kataa uwongo huu mkubwa wa kisistoria kufanywa na serikali kubwa duniani, wafundishe wanao ukweli na wasimamie katika njia ili nyooka, wasipindishwe, wasiporwe na New World Order, kwani ni wao watakao pambana na mfumo huo na ndiyo wao wanao aandamwa kisaikolojia hivi sasa na maadui zetu kupitia luninga zetu wenyewe. Chukua jukumu lako kama mzazi na muongoze mtoto wako kule ambako ukweli utamuweka huru na dunia itajivunia kuwa na mtoto kama yeye.


1 comment: