Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Tuesday, September 3, 2013

NI NANI RAIN MAN?

Rain Man

Posti hii ni mwendelezo kutoka kwenye posti ya FREEMASON NA MUZIKI, http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/freemason-na-muziki.html
Kuna maneno mawili kwenye hili, kuna Rai na kuna Man, tunapo zungumzia ‘RAIN’ tukija kwenye fasiri ya kiswahili ni mvua, yaani kile chenye kutiririka kutoka mawinguni baada ya kupitia utaratibu maalum. Tukienda kwenye Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008 Microsoft Corporation tunakuta kuna maana kadha ya neno ‘RAIN’


NOUN
1,
water falling from clouds: water condensed from vapor in the atmosphere and falling in drops from clouds
2.
period of wet weather: any storm, shower, or other quantity of water falling from the sky
3.
rainy weather: weather marked by heavy or persistent rainfall

VERB
4.
great number or flow: a great number of small individual things coming in a steady flow or anything else flowing or falling like rain
·  A rain of dust fell from the crumbling ceiling.
transitive and intransitive verb come in great number: to come or fall in the form of a great number of units arriving separately but in very quick succession or in a continuous stream, or drop or deliver something in this way
·  Missiles rained down on us from the defenders on the battlements.
·  Reporters rained questions on the beleaguered police chief.
3.
transitive verb give something generously: to give somebody something in large quantities, continuously, and over a considerable period of time
·  Generous to a fault, they positively rained gifts on all their friends.


Hata hivyo ‘RAIN’ inapotumika kama jina la mtu inakuwa na maana tofauti kidogo. Kutoka kwenye ukurasa wa name-meanings.com tunajifunza kuwa jina hilo lina maana ya ‘ZAWADI ZISIZO NA IDADI KUTOKA JUU’

Hivyo basi tukichanganya RAIN+MAN, tunakuja na tafsiri zifuatazo.

1. Yule ambaye anatiririsha zawadi kutoka juu.
2. Yule ambaye anapenda ‘ku-make it rain’ kwa kurusha hela nyingi, kugawa hela nyingi bila hesabu.
3. Yule ambaye anayo uwezo wa kukupatia mwanamke au mwanaume yeyote unaye mtaka.
4. Yule ambaye nayo uwezo wa kukupatia umaarufu au kukufanya tajiri.
Unapo tizama video ambazo neno hili limetumika, basi utaona matumizi yake yanawiana na maana hizo nilizo orodhesha hapo juu.

Rudia kuzitizama nyimbo nilizo taja katika posti ya  http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/freemason-na-muziki.html utaona baadhi ya nyimbo hizo zikiwiana na maana hio hapo juu. Utaona katika nyimbo hizo pesa zikirushwa kwa wingi kutoka juu, hata hapa kwetu kunayo baadhi ya wanamuziki wanafanya hivyo katika nyimbo zao, sina hakika kama wanafahamu wanacho fanya au ni ile biashara ya ‘ku-copy na ku-paste’.
Wanapo fanya hivyo, hiyo ni alama mahususi inayo mwakilisha SHETANI,


Kama nilivyo sema kwenye posti ya http://salimmsangi.blogspot.com/2013/05/je-kanumba-aliwahi-kuwa-ni-freemason_25.html wanamuziki wengi kwenye nchi zilizo endelea wanacho kitu wanachokiita ‘SEL YOUR SELF TO THE DEVIL’ wanatumia njia mbalimbali kukubali au kuthibitisha kwa umma kwamba wao wamezitoa roho zao kwa shetani, wanaweza kukiri waziwazi kwa njia ya mahojiano, au mbele ya mashabiki wao wakati wanatoa burudani au kwa kupitia nyimbo na vidio zake.
Katika hali kama hiyo baadhi ya wanamuziki wanakuwa ni ‘MIND CONTROL’ kabisa, wengine wanakuwa watumiaji wazuri wa mihadarati mbalimbali ili waendelee kutawaliwa na maono ya kishetani na wakati wengine wanakuwa wanamilikiwa na shetani kabisa huku kwetu tunasema kuwa na mapepo.


Jay Z Katika mahojiano amekiri kuwa ;RAIN MAN’ ndiye anayemuongoza kuandika wimbo, pia RAIN MAN humfanya katika mashairi yake atiririshe na kutaja nambari za ajabuajabu.
Kwenye wimbo wa RAIN MAN ulifanywa na Eminem, kabla wimbo huo kumalizika, Eminem anasikika akitaja nambari za ajabuajabu ambazo hazina maana yeyote kwa msikilizaji, unaweza ukutafuta wimbo huo na kuusikiliza.


Rain Man anakuwa yupo kazini wakati huo ... Tchao

1 comment: