Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Saturday, May 25, 2013

JE KANUMBA ALIWAHI KUWA NI FREEMASON? Part II


TUENDELEE NA SEHEMU YETU YA PILI YA HADITHI YETU ...


JE HILI LINATOSHA KUMFANYA KANUMBA AWE NI FREEMASONRY? KWA SABABU ALIKUWA MAARUFU, ALIKUWA NA KIPAJI, ALIKUWA NA MVUTO KWENYE JAMII NA ALIKUWA NA USHAWISHI WA KIPEKEE KWENYE JAMII KUTOKANA NA KAZI ZAKE, JE HILI LINAWEZA KUMAPATI HIYO TIKETI YA UMASONIA?




FREEMASON WAPO MAKINI SANA KATIKA KUMPATIA MTU UANACHAMA KWENYE JUMUIYA YAO, KUNAZO HATUA MAHUSUSI AMBAZO WAO INABIDI KURIDHIKA NAZO JUU YAKO WEWE KABLA YA KUKUPATIA UANACHAMA KWENYE JUMUIYA YAO. LAKINI BADO UNAWEZA KUWA NA SIFA ZOTE HIZO NA KWA WAO BADO UKABAKIA KAMA ZANA WATAKAYO ITUMIKIA KUFANIKISHA MAMBO YAO MAHUSUSI BILA KUKUPATIA UANACHAMA, HIVYO UNAWEZA UKATUMIWA NA FREEMASONRY KATIKA SHUGHULI ZAKO ZA KILA SIKU BILA WEWE MWENYEWE KUWA NI FREEMASONRY, NA UNAWEZA KUTUMIWA KWA KUJUA AU KUTOKUJUA.

TUNAYO  MFANO MZURI KWENYE HILI JUU YA WANAMUZIKI NA WASANII WA KIMATAIFA AMBAO WAO WANATUMIKA KWENYE KAZI ZAO KAMA ZANA ZA KUFANIKISHA MAUDHUI YA KIMASONIA KWENYE KAZI ZAO BILA WAO WENYEWE KUWA NI FREEMASONRY.

KATIKA NCHI ZA ULAYA KUNAYO MSEMO MAARUFU WANAO UTUMIA ‘SELL YOUR SELF TO THE DEVIL’

MSEMO HUU ZAIDI UPO KWA WANAMUZIKI NA WACHEZA FILAMU HASA WAMAREKANI NA ULAYA, AMBAPO MSANII ANAAHIDIWA KUWA KAZI ZAKE ZITAUZWA KWA KIWANGO CHA JUU, UATAPATA UTAJIRI NA UMAARUFU LAKINI NI LAZIMA AIUZE ROHO YAKE KWA SHETENI KATIKA MISINGI NA TARATIBU ZINAZO WIANA NA IABDA ZA KISHETANI, WANAMUZIKI WENGI WAMEFANYA HIVYO NA KAZI ZAO ZIMEFANYA VIZURI MNO, LAKINI WAO SIYO FREEMASONRY.


Katika Picha hii, msanii Melyssa Ford alikuwa akizungumzia suala la wasanii kunaswa kwenye mtandaoo wa 'SELL YOUR SELF TO THE DEVIL' kwamba kitu hicho ni kweli kipo na wasanii wengi wanfanya hivyo kujipatia utajiri na umaarufu


MFANO WA WANA
MUZIKI HAO NI EMINEM, RIHANNA, LIL WAYNE, FAT JOE, SAVEGE, BLACKSTONE CHERRY, JAMIE FOX, THE GAME na wengine na wengine, utaona katika kazi za watu hawa kuna vionjo, maneno, picha za video ambazo hazikupaswa kuwepo kwenye nyimbo husika, na wala hazina maana yeyote ile kuwepo kwake, lakini zipi na kwa upande mwingine, picha, maneno hayo au vionjo hivyo vinayo maana pan asana na ujumbe muhimu sana kwa wafuasi wa kimasonia au ushetani. Huenda tukazitazama kazi hizo wakati mwingine.
Mkataba huo unaandikwa na kusainiwa kwa kutumia damu yako mwenyewe iliyo tolewa mwilini mwako.

Hapa kwetu hatuna hadithi ya ‘SELL YOU SELF TO THE DEVIL’ Ispokuwa tunayo hadithi inayofanana na hiyo, ambayo ni uchawi na ushirikina, tofauti na ile ya Ulaya ya kuiza roho yako kwa shetani, hii ya hapa kwetu ni kwa ajili ya kuupata utajiri au kuwa maarufu kwa kulipa gharama ambayo maganga wa ushirikina ataona inafaa kulipwa. Lakini kwa Ulaya moja ya masharti yake ni kuwa kazi zako zote unazo zifanya lazima zibebe maudhui hayo ya kishetani.


 Hili Kanumba alikuwa nalo lakini bado halitoshi kunfanya awe ni freemason, tuna watu wengi maarufu na wenye ushawishi kwenye jamii yetu ya kitanzania lakini kama Kanumba bado hatuwezi kuwaita ni freemason.

Freemason wanapo kutaka uwe mwanachama kuna ambalo wameliona utawafanyia kwa faida yao, na hapa nazungumzia freemason zote mbili, freemason inayonekana (visible freemason) na freemason isiyonekana (invisible freemason) wasomaji wa makala zangu kwenye mtanzania wanafahamu kuwa hapa nazungumzia kitu gani. Karibu asiliamia 80 mpaka 95 ya freemason wote duniani ni freemason wanao onekana, mimi hawa nawaita ni mauwa yaliyo chorwa juu ya ukuta na kazi yao ni kuuficha ukuta halisi usifahamike umejengwa na nini na wale wasio fahamu wakiona mauwa hayo wanadhani ndiyo ukuta wenyewe, lakini siyo. Kwa hiyo hata Kanumba angekuwa ni freemason basi angeingia kwenye kundi hili, freemason wanaonekana, au kwa maneno mengine ni kundi hili ni ngozi ya kondoo kwenye mwili wa mbwa mwitu.

Je freemason kuna ambacho wangeweza kuwa wanakihitaji kutoka kwa Kanumba mpaka wamtake ajiunge nao? Kikubwa ambacho tunaona kingewafaa kutoka kwa ndugu yetu huyu ni kazi na kipaji chake. Lakini je kazi zake hizi zinaubunifu wa kutosha, kutoka kwenye maudhui mpaka kwenye kurikodi? Kama nilivyo sema awali moja ya kitu ambacho mimi binafsi kinanifanya nisiwe mpenzi wa filamu za kitanzania zikiwemo za ndugu yetu Kanumba ni ukosefu wa ubunifu na uhalisia wa filamu hizo.

 Kwa freemason tanzia ya filamu ni muhimu sana kwao kwa ajili ya kuiongoza jamii kule wanapo taka nah ii ndiyo sababu Hollywood ni moja ya silaha zao kubwa na yenye mafanikio makubwa mno. Kazitizame filamu hizi ambazo zimetoka Hollwood na zenye maudhi ya kimasonia, Filamu zote za Will Smith ispokuwa the Bad Boys, Seven years in Tibet ya Bradd Pitt, The Last Samurai ya Tom Cruise, The Affair of the Necklace (2001), Bad Boys II (2003), Conspiracy Theory (1997), The End of Days (1999), From Hell (2001), The Godfather Part III (1990), National Treasure (2004), na Things to Come (1936) nimezitaja kwa uchache ila ni nyingi mno. Ukitiza filamu hizo ambazo ni za kimasonia hasa, halafu ukilinganisha na filamu zetu hapa nyumbani na hasa za ndugu yetu Kanumba tofauti yake ni kubwa mno katika kila kitu.




HIZO HAPO JUU NI BAADHI TU YA FILAMU CHACHE SANA ZENYE MAADHUI YA KIMASONIA, UKIZITAZAMA FIALMU HIZI, UKIWATIZAMA WAAGIZAJI WAKE NA SIFA WALIZO NAZO KWENYE KAZI HIYO, MAUDHUI NA KIWANGO CHA UBORA KWENYE KAZI ZAO HIZO, KATU HUWEZI KUSEMA KAZI ZA KANUMBA ZILIFANYA NA USHAWISHI WA KIMASONIA, AU KAZI HIZO NDIYO MSINGI WA KUMSINGIZIA KUWA NI FREEMASON ...


 Filam hizo zimejaa alama za kimasonia na mafundisho yake na hata ujumbe wa siri ambao unaweza kufahamika kwa freemason tena wa daraja flani tu. Kitu kama hicho hakipo kwenye kazi za Kanumba.


JAY Z KWENYE POZI LAKE LA KIMASONIA.

JAY Z KAWAAMBUKIZA WENZAKE



Ukimtizama  mwanamuziki kama Jay Z, kumekuwa kuna tetesi kama ni freemason, ingawa mwenyewe hajakiri hadharani lakini kazi zake, mavazi yake, nembo na alama anazo tumia na mwisho kabisa nyimbo aliyo iachia mwaka 2009 zinamtambulisha kama ni freemason. Ukizitizama albam tatu za Jay Z, blue print I mpaka III zimebeba maudhi ya kimasonia na inaelezwa kuwa kila albam moja ilikuwa ni daraja moja baada ya jingine la kimasonia, yaani Jay , alikuwa akipandishwa, kikawaida inamchukua freemason wa kawaida miaka mitano kutoka daraja la I mpaka la III, lakini kwa mtirirko wa albam hizo tatu za Blue Print ilimchukua Jay Z miaka 8 kufikia daraja la tatu, na kumbuka madaraja haya matatu yanafahamika kama blue degrees sawa na majina ya albamu zote tatu, kwasababu ya kwanza iliitwa Bluee Print I, halafu Blue Print II na mwisho Blue Print III.
ALBUM TATU ZA JAY Z ZINAZO SIMAMA KAMA USHAHIDI WA JAY Z KUPANDISHWA DARAJA  LA I MPAKA LA III YA KIMASONIA

Hivyo tukimtizam Jay Z na hapo nimetaja kwa uchache sana kwani itahitaji makal zaidi ya  hii kumzungumzia huyo jamaana shughuli zake za kimasonia, hivyo  basi tunapo mtizam Jay Z tangu anatokea Colombia Record ambayo nayo iko chini ya mtandao wa kimasonia mpaka anaingia Rockeffeler ambayo nayo pia wanaimiliki freemason na mpaka anaanza kuchukua digirii ya kwanza hadi ya tatu ya kimasonia utaona si kitu ki rahisi au siyo kwa wepesi wepesi tu mtu anaweza kujiunga kwenye mtandao huu wa kishetani duniani. 

Mwingine anayehusishwa na mtandao huu ni Diamond, lakini mazingira ya kumuhusisha kwake hayana tofauti sana na yale ya Kanumba, lakini pia Diamondi mwenyewe amekiri kuwa yeye si mwanachama. Ushahidi unao jaribu kutajwa kama kigezo ni duni mno kushinda hata ule wa marehemu Kanumba. Kesi hiyo hiyo pia ni sawa kwa Mzee Yusuph na Marehemu Sharo, hakuna ushahidi wowote zaidi ya maneno ya mtaani kuwa watu hawa ni freemason, mahala pengine watu wamejaribu kuonesha picha ambazo baadhi ya wasanii wameonekana kutoa ishara za kimasonia, lakini ukiangalia picha hizo na mazingira yake utaoana kuwa hazihusiani na chochote kwa wao kuwa ni freemason. 
Hii ni Video ya Rihanna, mazingira ya video yamezungukwa na michoro ya draft kwa kiasi kikubwa, lakini tunajua michoro hiyo inayo maana gani kwenye ulimwengu wa kimasonia, Rihanna alitakiwa afanye video yake eneo hilo, sababu hivyo ndivyo yule ambaye 'anamsimamia' alivyo taka iwe.


 Jay Sean kwenye huu wimbo wake wa 'DOWN'  akiwa na wacheza show wake wameifanyia kwenye sakafu ya KIMASONIA, hili halikuwa kwa bahati mbaya.


Lady Gaga kwenye hii show yake ya Live kwenye steji, mtizame mtu anaye cheza naye nembo ya nguo aliyo vaa, ni Piramidi lenye jicho moja, Lady Gaga imebidi alale kwa mgongo kuruhusu 'taa' kubwa ionekane, taa hiyo inasimama badala ya JUA, Yote haya hayakuwa kwa bahati mbaya.


Kwenye Vidio hii ya Rihanna unapoitizama kwa haraka huwezi kuona hicho Rihanna anacho jaribu kukiweka wazi kwa kila mtu kuona, na imefanywa hivyo makusudi sababu picha hii ilitakiwa ieleweke kwenye ubongo wako wa nyuma na siyo wa mbele, kwa vile huna mamlaka yeyote na kile kinacho ingia kwenye ubongo wa nyuma.

Wakati ubongo wako wa mbele umeona picha ya kwanza, ubongo wako wa nyuma unaona zaidi ya hapo, na hichi ndicho ubongo wako wa nyuma unacho kiona, ndicho Rihanna alicho ambiwa akuoneshe, hicho ni kichwa cha shetani mwenyewe, Maarufu kama 'BOPHOMET' au 'KICHWA CHA MBUZI' zitizame pembe zinazo tengenezwa na mikono yake, macho yanayo tengenenezwa na mifupa ya mabega, kisha pua na mdomo. Aina hizi za picha inabidi 'kufanyiwa editi' ili kuweza kutengeneza taswira iliyo kusudiwa.

HII HAPA TENA VIDEO NYINGINE YA RIHANNA, AMBAPO ANATENGENEZA UMBO LA KITU FULANI AMBACHO KITATAMBULIWA NA UBONGO WAKO WA NYUMA TU. UBONGO WA MBELE UTAONA KITU KINGINE WAKATI UBONGO WAKO WA NYUMA UTAONA KITU KINGINE TOFAUTI. HICHO HAPO JUU NI KICHWA CHA SHETANI MWENYEWE AMBACHO RIHANNA ANATAKA KIONEKANE KWENYE UBONGO WAKO  WA NYUMA, KAMA ZILIVYO VIDIO ZINGINE NAYO HII IMEBIDI KUFANYIWA EDIT ILI KUWEZA KUFANIKISHA UMBO HILO.


AMBACHO UBONGO WAKO WA NYUMA UTAKINASA UNAPO TIZAMA VIDEO HII NI HICHO HAPO, KICHWA MBUZI AU KICHWA CHA BOPHOMET AU KICHWA CHA SHETANI

Hivyo kwa kuokoa muda tu, aliyekuwa msanii wetu na ndugu yetu Steven Charles Kanumba hafiti au haenei hata kidogo kwenye picha kubwa ya mtandao huu mpana wa kimasonia eitha kitaifa au kimataifa. Nakutakia safari Njema ndugu yetu huko uendako.

WAPENDWA TUKUTANE TENA HAPA HAPA KUENDELEZA MPAMBANO HUU

2 comments:

  1. Kazi nzuri sana tatizo la wabongo ndo hilo mtu akipata umaharufu basi ni freemason sasa hivi utasikia BaRaka mkinywa nae freemason

    ReplyDelete