Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Friday, August 30, 2013

KWANINI FREEMASON WANAFICHA SIRI HADHARANI?


Freemason wanaficha siri zao hadharani, yaani wanacho ficha wanakiweka hadharani, kweupe, kila mtu aone, lakini ni wachache wanao ona, ni kima kuficha mbao kwenye msitu, au kama wanavyo sema Waswahili, ‘mchawi mpe mwanao amlee,’ alama, majina na maumbo yaliyo fichwafichwa, lakini kweupe hadharani yanakuwa yameandaliwa kwa ajili ya kupokelewa na ubongo wa nyuma ambao hufanya kazi bila idhini ya muhusika, na hii ndiyo sababu vitu hivyo huwa havionekani au kung’amuliwa na wahusika sababu ni vitu ambavyo kwenye macho na kwenye akili vinaonekana kuwa havina maana, lakini haimanishi kuwa kwenye ubongo wa nyuma havijarikodiwa, vipo vimekaa vizuri.



Katika vidio au sauti ya muziki alama hizi za siri hutokea au husikika kama kitu kilicho ingia hapo kwa bahati mbaya na hakina maana yeyote, ni sawa na kusiliza muziki kisha katikati ya wimbo jina ‘RAIN MAN’ linatajwa, kiukweli si kitu chenye maana kwa msikilizaji wa kawaida, au picha ya kichwa cha mbuzi mwanzoni mwa nyimbo ya Rihhana, lakini ingawa kwenye ubongo wa mbele hakuna kilicho rekodiwa, ubongo wa nyuma ni kama ‘BLACK HOLE’ Hakuna kinacho pita kisirekodiwe hapo uwe macho au umelala, hakikitatizi kitu hapo, na nyingi ya alama za kimasoni hulenga kwenye ubongo wa nyuma.

Wakati mwingine maumbo na alama hizo huwekwa wazi mbele ya macho yetu, lakini maana yake inakuwa haifahamiki na wanao tizama, mara kadhaa alama ya jicho moja huwekwa mbele ya hadhara, na kila mtu anaiona, lakini si kila mtu anayefahamu maana ya nembo hiyo. Utasikia neno ‘NEW WORLD ORDER’ katikati ya wimbo lakini huwezi jua maana halisi ya neno hilo ni nini.


Wakati mwingine alama, nembo na maneno na majina huwekwa kweupe hadharani lakini kwa ajili ya mawasiliano baina ya wanachama wa jumuiya hizi tofauti za siri. Hivyo hulazimika kufanya hivyo, kama walipo fanya wakati walipo mchinja Nick Berg live kwenye luninga, ule ulikuwa ni ujumbe mahususi kwa Illuminanti na mason wote duniani kuanza kutekeleza majukumu yao kuelekea kwenye NWO, tizama post hii kwa kina zaidi http://salimmsangi.blogspot.com/p/leotutazungumziaalama-nembo-za_27.html 





Kwenye hii vidio ya Rihanna, kile kinacho onekana kama maji yaliyo rushwa kwa mikono na kutengeneza mfano wa kichwa cha mbuzi, ni wazi kuwa umbo hilo haliwezi likaja kwa kitendo cha mwanamuziki huyo kuirusha mikono yake hivyo, ISPOKUWA MTU FULANI ANAYEFAHAMU NINI ANACHO KIFANYA, NA ANAYELIPWA VIZURI TU KWA KUFANYA KAZI HIYO, ALIFANYA KILE KINACHO ITWA ‘edit’ KWENYE VIDIO HIYO NA KUTENGENEZA UMBO HILO LA KICHWA CHA MBUZI, ambalo kama tulivyo ona haliwezi kunaswana ubongo wa mbele, bali wa nyuma.


Kumbuka kwamba vidio hizi zinatengenezwa kwa macho yote, yaani chini ya uangalizi na usimamizi mkubwa na wa umakinifu, hivyo basi chochote unacho kiona kwenye vidio hizo, ujue hakipo hapo kwa bahati mbaya, bali kimedhamiriwa kiwepo hapo.
Kwanini basi Freemason wanaficha mambo yao kweupe hadharani?


Utaona kwamba Illuminanti na freemason na asasi zingine za siri na zile za kishetani hawakatai juu ya kuwepo kwa MUNGU MMOJA, isipokuwa wameona kuna ambaye anastahiki haki na sifa hiyo zaidi ya MUNGU MMOJA (Najilinda kwa Allah kutokana na hayo) naye ni shetani, na hii ndiyo maana ya nambari 101 au 11 kama nilivyo zungumzia kwenye posti hii http://salimmsangi.blogspot.com/p/blog-page.html
 hivyo basi alama hizo za kishetani wanaamini zikitumiwa ipasavyo na haswa kinacho lengwa ni ubongo wa nyuma, inakuwa ni rahisi sana kurubuni umma kuanza kufuata na kushabikia na hatimaye kukubali vitu hivyo kuwa ni vitu vya kawaida kwenye kijamii.
Illuminanti wanapo weka alama hizi kwenye vyombo vya habari wanavyo miliki, makampuni, mashirika, filamu na muziki ni kumkashifu Mungu, lakini zaidi wanawaambia walimwengu kwamba wao ni ‘mungu’ kwamba wanaweza kufanya lolote. Kokote vyovyote na asiseme yeyote chochote. 


Kwamba shetani yupo pamoja na wao, na anawasaidia wao kwa kila hali. Lakini zaidi, Illuminanati wanapo tandaza alama zao za kishetani kwa kila mtu kuona, huwa na malengo mengine mabaya, Illuminanti wanafahamu kuwa ulimwengu wote umeumbwa kwenye misingi ya nishati (energy) nishati hizi zimegawanyika katika makundi makuu mawili, hasi na chanya, lakini zaidi wanafahamu ni kwa namna gani wanaweza kuzichezea hizo nishati kwa manufaa yao binafsi, lakini pia dhidi ya umma.


Elimu hii ni moja ya elimu zao za siri zinazo fahamika kwa wateule wachache. Ili wao waendelee kuwa na nguvu, na ili waendelee kusimama dhidi ya umma, nishati hasi lazima zitiririke kwa wingi kwenye uso wa dunia, utaona basi majengo yanayo jengwa sasa na aina nyingine za miundo mbinu zinabeba maumbile mahususi ambayo malengo yake ni kutiririsha ‘nishati hasi’ dhidi ya umma, mauajia yanayo shabikiwa kote duniani, maasi na maovu mengine kupitia vyombo vya habari na michezo ya kompyuta, yote ni mahususi kwa ajili ya kufungua milango hasi ya nishati dhidi ya umma, ili wao waendelee kuwa na nguvu dhidi ya nguvu chanya ambazo zinazalishwa na walimwengu wengine wanao ishi kwa kufuata njia sahihi ya maisha iliyo elekezwa na MUUMBA mwenyewe.


Elimu hii mahususi imekusanywa na illuminanti kutoka kizazi hadi kizazi kwa kushirikiana na mashetani, wanafahamu njia za nishati zote mbili kwenye uso wa dunia, na jinsi ya kuzitumia, wanafahamu ni maumbo gani yakitumiwa na yakitumiwa vipi yataleta madhara au tija gani kwa umma, wanafahamu vitu kama ‘star gate’, elimu maalum ya nambari na mengine mengi ya kucheza na fikra za watu kwa kutumia nishati hizi.
HII NI RAMANI KATIKA MOJA YA MAENEO YA WASHGTON DC, UKITAZAMA VIZURI NA KULINGANISHA NUKTA ZA MAJENGO KADHAA YA SERIKALI UNAPATA PICHA YA BUNDI, NA PIA PYRAMID NA HATA NYOTA YENYE NCHA TANO!!!!!!!!!!!!!!!!


Lakini pia Illuminanti wanapo weka alama hizi katika kona mbalimbali, kama vile kwenye vituo vya luninga, kwenye mashirika, majumba ya serikali, siku maalum katika mwaka na kwengineko, wanamaanisha kukuambia kuwa wao ndiyo wanao miliki maisha yako na hatma yako, wanakuambia kuwa wao ndiyo watawala, wanatazama na kuona kila kitu, lakini yote hayo si kweli ila wanajitahidi wawe kwenye mamlaka kiasi kwamba mtu akipiga chafya wajue fulani mahala fulani kwenye nyumba fulani kapiga chafya, huko ndipo wanapo taka kwenda ... 



LAKINI NI MIMI NA WEWE NDIYO TUTAKAO AMUA KUWA WAO WAFANIKIWE AMA LA, TUPO WENGI NA WAPO WACHACHE NA TAARIFA KAMA HIZI ZINALENGA KUKUAMBAI KUWA CHUKUA MAMLAKA YA MAISHA YAKO MWENYEWE, SIMAMA DHIDI YA NEW WORLD ORDER ... NAKUMBUKA NILIKUAMBIA KUWA NITAKUAMBIA MAANA YA ‘RAIN MAN’ SIJASAHAU, TUENDELEE KUWA PAMOJA HAPAHAPA ....

No comments:

Post a Comment