“Katika
kipindi ambacho ulimwengu umezamishwa kwenye ujinga na uwongo, kusema ukweli ni
tendo la kimapinduzi” (George Orwell)
Vyombo
vya habari vya kimataifa, kama TV na Magazeti, ‘vyombo vya freemason’. Haviwakilishi
chochote zaidi ya maono ya wamiliki wake, freemason, illuminanti na juhudi za
waziwazi za kuuzamisha umma katika ujinga, umbumbu, ubususa na upumbavu.
Utaona
vyombo vya habari vya kimataifa (vyombo vya kimasonia) vinashindana kutoa
habari zenye muelekeo mmoja ingawa vyombo hivyo vinaonekana vinawamiliki
tofauti, ispokuwa utaratibu wao wa habari kana kwamba mmiliki wake ni mmoja.
Tofauti ni ndogo mno katika maudhui ya habari zao.
Mpaka
sasa tunafahamu kuwa 9-11 ilifanywa na utawala wa Bush mwenyewe, lakini pia
tunajua kwamba shambulizi lile lilipangwa miaka kadhaa kabla na moja ya malengo
yake ilikuwa ni kuweza kuivamia Afighanstan na kujenga bomba la mafuta kutoka
Asia ya Kati kuelekea bahari ya hindi, na pia kuichukua biashara ya dawa za
kulevyia ambayo ilidorora wakati wa Taliban. Lakini mpaka sasa Washigton na
vyombo vingine vyote vya habari ulimwenguni, hata hapa nyumbani, bado vinamtaja
Osama Bin Laden kama mshikiwa nambari moja na kila leo vinaweka ushahidi wa
uwongo hadharani kwamba Osama kutoka mapangoni na Alqaeedah ndiyo wahusika wa
tukio lile.
Tunajua
kwamba Osama Bin Laden alishakufa tangu 2001, iko wazi, ushahidi upo, lakini
vyombo vya habari vimekuwa vikitumiwa vidio feki na sauti feki za Osama
zilizotengenezwa na CIA na washirika wao, kuthibitisha kwamba Osama kavamia
hapa, Osama atavamia pale, Osama atamuua yule kwa kipindi chote ambacho tunajua
Osama alisha kufa.
Lakini
Hiyo haitoshi ili Obama kujihakikishia ushindi kwenye uchaguzi na kurudisha
imani ya Wamarekani dhidi yake, alitangaza rasmi kifo cha Osama hivi majuzi na
kwamba kimeuwawa ka kikosi maalum baada ya mapigano makali, na watu wote
wameamini hivyo, vitabu vimeandikwa vya uwongo kuelezea tukio hilo, na watu
wananunua, na hata hapa kwetu nimeona magazeti kadhaa ya kifasiri hicho kitabu,
tena magazeti makubwa tu, wakati ushahidi upo wa waziwazi kuwa jamaa alishakufa
miaka 10 kabla ya kifo chake kutangazwa rasmi hivi majuzi, na alikufa kutokana
na ugonjwa wa ini na matatizo ya kibofu cha mkojo.
Lakini
kwa vile hili halina tija kwa Illuminanti tunaambiwa hadithi tofauti na sisi
tunaikubali.
Kiongozi
wa Afighan, Hamid Karzai, aliajiriwa kama mshauri kwenye kampuni inayo fanya
ujenzi wa mabomba ya mafuta. Condeleezza Rice alikuwa ni Director wa kampuni
husika, Chevron kutoka mwaka 1991-2001. Mdau mkubwa wa Chevron katika sekta ya
mafuta na kwenye mradi wa mafuta kwenye bahari ya Caspian ni Kazahkstan.
Taliban
walipo kataa mradi ule wa mafuta, Marekani ilitishika, ndipo hapo yakasemwa
maneno maarufu kwenye sakata hilo,
“Kama
hatutaweza kuwazika kwa dhahabu, basi tutawazika kwa mabomu.”
Baada
ya hapo kilichofuatia ni historia kila mtu anajua, mpaka leo wa Afighan
wanazikwa kwa mabomu.
Tangu
vita dhidi ya ugaidi itangazwe, vikundi mbalimbali vya kigaidi vimezidi
kujitokeza kila uchao, kila kona ya dunia kila mahali na vinakuwa harakaharaka
na kwa nguvu kubwa kana kwamba ni mtaji ulio tiwa baraka zote. Hebu juilize ni
vipi taifa kubwa kama la Marekani, taifa lililoweza ‘kumng’oa tajiri wa mafuta
duniani, Saddam Hussein, linashindwa kukisambaratisha kikundi kama cha
Alqaeeda, kikundi ambacho eti leo kinatishia Marekani kiasi kwamba taifa hilo
kubwa kiuchumi, kisilaha, kiteknolojia linalazimika kufunga balozi zake kona mbalimbali
za dunia, eti inaingia akilini?
Jiulize
vikundi hivi vinapatia wapi pesa, ikiwa mitandao yote ya pesa ya kidunia
inasimamiwa na mabenki ambayo kila leo yanawekewa sheria ngumu za kusimamia pesa
hizo, hasa pesa zinazo kwenda nje ya nchi moja ama nyingine. NI wapi wanapatia
silaha, ni wapi wanakutana na kuweka mipango yao ya kulifanya taifa zito
kufunga balozi zake?
Lakini
hizo ndizo hadithi kutoka kwenye vyombo vya maadui zetu, ambazo zinafanana
kutoka chombo moja cha habari mpaka kingine, vyombo vyetu vya hapa nyumbani
kazi yake ni kudakia tu kila kile kinachorushwa na mabwana wakubwa ‘Copy n
Paste’.
Upo
ushahidi usio nashaka kwamba wafadhili na wadhamini wakubwa wa vikundi hivyi ni
Washinton, London, na washirika wake wengine. Kambi za mafunzo za magaidi zipo
ndani ya majiji makubwa ya Ulaya na Marekani na zinasimamiwa vizuri na mabwana
wakubwa. Mengine yote ni maagizo kwenye luninga ambayo sisi tunaamisha kila
uchao kwamba ni kweli.
Hakuna
vita dhidi ya Ugaidi, bali kunavita vikubwa dhidi yako wewe na familia yako.
Hakuna vita wala ugomvi baina ya waislam na wakristo, bali kuna vita kubwa
dhidi yako wewe. Tafakari ....
Watu
wachache, wenye nguvu na utajiri unakaribia dola za Marekani Trilioni 300, watu
walikwisha mfuta Muumba kwenye maisha yao, watu ambao hawaogopi wala kujali
chochote kutokana na kiburi cha utajiri na ulafi wa madaraka uliowafanya
vipofu, viziwi wa kiakili na kiroho, watu hawa wahajali ni watu wangapi
watakufa, uharibifu gani utatokea, kwani wao ni wateule, watu hao wanataka
kuiyona serikali ya dunia imesimama, kwa gharama yeyote, na watu hawa
wametangaza na vita, na wanapigana vita hivyo dhidi yako na familia yako.
“Tunashukuru
sana kwa Washington Post, NewYork Times, Times Magazine na majarida mengine
makubwa ambayo wakurugenzi wake walihudhuria mikutano yetu na wakatunza ahadi
zao za kutunza siri zetu kwa takribani miaka arobaini. Ama kwa hakika
ingelikuwa ni vigumu kwa sisi kuweza kuuendeleza mpango wetu kama tungekuwa
tunamulikwa na mwanga wa vyombo hivi vya habari kwa miaka hiyo yote. Lakini
sasa kazi imefikia hatua bora na nzuri na tunajiandaa kuelekea kwenye serikali
moja ya dunia nzima. Utawala wa kimataifa chini ya wasomi wateule wachache na
mabenki teule ni utawala unaohitajika, unao pendelewa zaidi dhidi ya utawala wa
kitaifa uliotumika karne zilizopita” (David Rockefeller, 1991 Trilateral Commission meeting)
“Dunia inaongozwa na watu tofauti kabisa na wale tonao waona”
Na Benjamin Disrael
“Yule pale mfuasi ambaye kwa kujitia mpofu amekataa kuona hatari
yoyote inayo ikabili jamii yetu, ambaye ana amini kuwa kama ataendelea kuwa
mpofu juu ya hatari hiyo, akanyamaza kimya na kuitunza familia yake, basi
United Nation, European Union na au Universal Declaration of Human Rights
watamuhakikishia kuwa hakuna madhara yoyote yatakayomfika, kwake yeye, gharama
yoyote inayostahiki kulipwa kwa ajili ya uhuru ni lugha iliyopitwa na wakati
(haina maana). Mtu huyu anayeonekana kuwa na maarifa, anaamini kuwa kama kweli
kuna njama zakuwafanya walimwengu wote kuwa watumwa basi angezipata kupitia
luninga. Kwa moyo mkunjufu kabisa anasoma gazeti lake, anakubaliana na taarifa
zake pamoja na maoni yaliyomo humo. Anajisemea mwenyewe kama haya ninayo soma
si ya kweli imakuaje ya kachapishwa?... juu ya yote kile ambacho watu wa
magharibi wanakiita demokrasia ni mzizi wa uhuru na uvumilivu kwa ajili ya
kuleta amani ya dunia na hivyo ndivyo watu alio wapigia kura na vyombo vya
habari walivyo muaminisha. Sahau wanayoyasema, pumzika leo usiku kwenye luninga
kuna kipindi cha “Who wants to be a Millionaire” ... (hapa nyumbani tuna Maisha
Plus na mfano wa hivyo),na kesho Man United wanacheza na Arsenal”
Na
J.S Gibb
“Hakuna
kitu kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari. unalijua hilo nami najua hilo...
biashara ya uandishi wa habari ni kuuharibu ukweli, kudanganya moja kwa moja,
kubadilisha habari... unajua hilo nami nalijua hilo. Hakuna kati yenu anaye
thubutu kuandika ukweli wa maoni yake, na kama ukiandika unajua kabisa hayata
chapishwa.Nalipwa kwa kutoandika ukweli halisi wa maoni yangu kwenye gazeti, na
nyie wengine mnalipwa mishahara kwa kazi hiyo pia, na yoyote atakaye kuwa mpumbavu
kiasi cha kuandika ukweli halisi kuhusu maoni yake, atajikuta yuko mtaani
akitafuta kazi nyingine. Tu vifaa na watumishi wa watu walio nyuma ya
mapazia... wanavuta kamba walizotufunga kama wana sesere nasi tunacheza”.
John
Swinton aliyekuwa chief Staff wa New York Times
Kile
kinachoitwa taarifa ya vyombo za habari kiko mbali na kile ambacho watu
wanapaswa kufahamu kupitia vyombo hivyo kinyume chake taarifa hzo zimegeuka na
kuwa ni shule ya kuwaambia walimwengu kipi wafanye na kipi wasifanye, tuvae vipi,
tule vipi na lisiti zinaendelea na kuendelea. Vipindi vingi vya kwenye luninga
vimegeuzwa kuwa ni mafunzo ya kufundisha namna ya kuishi kwa mnasaba wa watu
fulani. Luninga zinarusha picha ya namna gani mwanamke wa leo anapaswa kuwa na
hali kadhalika mwanaume wa leo. Zimejaa matangazo ya bidhaa wanazo dai tutakuwa
na furaha tukizitumia na kuzifanya sehemu ya maisha yetu. Gharama ya bidhaa
hizo ni kubwa hatuwezi kuzimudu nao wanatuambia usihofu chukua mkopo na ghafla
tunakuwa masikini maradufu kuliko kabla ya kuchukua huo mkopo.
Jiulize ni
kwa nini mpango wa New World Order haupo kwenye vyombo vya habari? Rothschild
anamiliki Associated Press na Reuters ambazo ni kampuni mbili kubwa za habari
duniani. Mashirika haya mawli ya habari ndiyo uti wa mgongo wa vyombo vyote vya
habari duniani. Maelfu ya magazeti ya kila siku, redio, luninga na mitandao ya
habari kwenye internet ya njia za sauti, picha, vidio na maandishi vyote hivyo
vyanzo vyao vikubwa na vyenye kuaminika vya habari ni Reuters na Associated Press.
Vituo vya
luninga kama NBC, CBS na ABC vinamilikiwa na Rockefeller, ambapo CBS peke yake
inamiliki zaidi ya redio 255 na inaushirika na vituo vya luninga vipatavyo 200.
ABC ina mitandao ya luninga ipatayo 150. Time Inc ambayo inamilikuwa na Skull
and Bones na CFR inamiliki magazeti, vituo vya kurikodia sinema, majarida,
vitabu na vituo vya luninga zaidi ya 30.
Mpaka mwaka 2002 hii ilikuwa ni lisiti ya vyombo vya
habari vinavyomilikuwa na asasi za siri.
I.
Cable na Satellite TV:
1.
HBO,
2.
Cinemax,
3.
Time Warner Sports,
4.
CNN,
5.
Time Warner Cable,
6.
Road Runner,
7.
Time Warner Communications,
8.
New York City Cable Group,
9.
New York 1,
10.
Time Warner Home Theater,
11.
Time Warner:Security,
12.
CourtTV,
13.
Comedy Central
II. Luninga na
Kampuni za Sinema:
1.
Warner
Brothers,
2.
WB studios,
3.
WB
Television,
4.
HannaBarbera
Cartoons,
5.
Telepictures
Production,
6.
WittThomas
Productions,
7.
Castle Rock
Entertainment,
8.
Warner Home
Video,
9.
WB Domestic
PayTV,
10.
WB Domestic
TV Distribution,
11.
WB
International TV Distribution,
12.
The Warner
Channel
13.
WB
International Theaters in 12 countries.
III.
Wachapishaji:
1.
TimeLife International Books,
2.
TimeLife Education,
3.
TimeLife Music,
4.
Time Life Audio Books,
5.
BookoftheMonth Club,
6.
Paperback Book Club,
7.
History Book Club,
8.
Money Book Club,
9.
Home Style Books,
10.
Crafter's Choice,
11.
One Spirit,
12.
Little Brown,
13.
Bullfinch Press,
14.
Back Bay Books,
15.
Warner Books,
16.
Warner Vision,
17.
The Mysterious Press,
18.
Warner Aspect;
19.
Warner Treasures,
20.
Oxmoor House,
21.
Leisure Arts,
22.
Sunset Books and TW Kids.
|
IV. Majarida:
1.
Time,
2.
Time Asia,
3.
Time Atlantic,
4.
Time Canada,
5.
Time Latin
America,
6.
Time South
Pacific,
7.
Time Money,
8.
Time For Kids,
9.
Fortune,
10.
Life,
11.
Sports
Illustrated,
12.
Women/Sport,
13.
International,
14.
For Kids,
15.
Inside Stuff,
16.
Money,
17.
Your Company
18.
Your Future
19.
People
20.
Who Weekly
(Australia
21.
People en
Espanol
22.
Teen People
23.
Entertainment
Weekly
24.
EW Metro
25.
The Ticket
26.
In Style
27.
Southern Living
28.
Progressive
Farmer
29.
South~ Accents
30.
Cooking Light
31.
Travel Leisure
32.
Food & Wine
33.
Departures
34.
Sky Guide
35.
Vertigo
36.
Paradox
37.
Milestone
38.
Mad Magazine
39.
Parenting
40.
Baby Talk
41.
Baby on the Way
42.
This Old House
43.
Sunset
44.
Sunset Garden
Guide
45.
Health
46.
Hippocrates
47.
Costal Living
48.
Weight Watchers
49.
Real Simple
50.
President
(Japan
51.
Dancyu (Japan)
52.
Ongezea na
majarida mengine 80 ndani ya UK.
|
V. Lebo za
kurikodia:
1
Atlantic Group
2
Atlantic
Classics
3
Atlantic Jazz
4
Atlantic
Nashville
5
Atlantic Theater
6
Big Beat
7
Background
8
Breaking
9
Curb
10
Igloo
11
Lava
12
MesajBlueMoon
13
Modern
14
Rhino Records
15
Elektra
16
East West
17
Asylum
18
Elektra Sire
19
Warner Brothers
Records
20
Warner Nashville
21
Warner Alliance
22
Warner Resound
23
Warner Sunset
24
Reprise
25
Reprise
Nashville
26
American
Recordings
27
Giant
28
Maverick
29
Revolution
30
Qwest
31
Warner Music
International
32
WEA Telegram
33
East West ZTT
34
Coalition
35
CGO East West
36
China
37
Continental
38
ORO Fast West
39
Erato
40
Fazer
41
Rnlandia
42
MCM
43
Nonesuch
44
Teldec
|
Rupert
Murdoch anamiliki soko la vyombo vya habari vya Marekani, Uingereza, na
Mashariki ya Kati. Anamiliki magazeti yapatayo 175 yakiwemo Times of London na
New York Post, chaneli zipatazo 100 za luninga ikiwemo Fox na chaneli za
michezo zipatazo 19, anamiliki sateliti 9 na mitandao ya vituo vya luninga za kawaida zifikazo 40, anamiliki
kampuni za kuchapishia vitabu zipatazo 40 na sutudio za kurikodia sinema.
Dola
lake la vyombo vya habari limepanuka mpakakwenye mabara matano, anawafikia
watazamaji wa luninga wapatao milioni 280 kwa Marekani peke yake na milioni 300
kwenye bara la Asia. Majarida yake yanawafikia watu milioni 28. Mtandao wake
mzima kwa pamoja unawafikia watu bilioni 4.7 sawa na ¾ na au kwa kiswahili
sanifu sawa na robo tatu ya watu wote duniani. Huyu ni mtume wa maisha ya watu
leo duniani, hapana shaka ni mtu hatari zaidi duniani.
Kuhusu nchi
zetu za dunia ya tatu hakuna cha kusema kwani wanacho fanya ni ‘copy n paste’
kutoka kwenye mitandao niliyoielezea hapo juu. Bado utajiuliza ni kwa nini
Obama alishinda urais, bado utajiuliza ni kwa nini kila mwaka Marekani
inaadhimisha 9/11 na ikirushia lawama zote kwa Osama Bin Laden wakati iko
bayana kuwa ni Bush na uongozi wake ndiyo walio lipua majengo yale na kuipiga
Pentagon. Bado Unajiuliza ni kwa nini Osama anatafutwa? Wakati uwezekano wa
kuwa alisha uwawa ni mkubwa kuliko wa kuwa hai. Ni kwa sababu mtandao wa vyombo
vya habari unao milikiwa na asasi za siri umekuambia hivyo na wewe hutafahamu
tofauti mpaka wakuambie tofauti kitu ambacho katu hakita kaa kitokee.
“Kazi yetu
si kuwapatia watu kile wanacho hitaji, bali kile ambacho sisi tunataka wapate”
Richard Salant
aliyekuwa rais wa CBS News
Kwa sasa umefahamu kuwa viongozi ulio wapiga
kuria siyo viongozi wanao tawala,bali kutoka kizani, nyuma ya mapazia ya siri
mkono wa asasi za siri ndiyo watawala wa ukweli, wanatawalia mambo ya kiuchumi,
siasa za ndani na nje ya nchi, ndiyo waamuzi wa timu gani ishinde katika
mashindano mbalimbali duniani,sinema gani na au muziki gani ushike tuzo nani ahukumiwe
na nani awe huru na yote yanayo ihusu jamii.
Watu wachache wameona ukweli huo
na wamejitolea kuwaonya walimwengu dhidi ya njama hizi, idadi kubwa ya watu
hawajali kabisa na au wanaogopa kufahamu ukweli, kwa wao kufahamu ukweli haina
tofauti na kosa la uhaini.
Ni kweli hatuwezi kubadilisha hali hii? Hapana,
wamefanya mengi mabaya yasiyo hisabika na hakuna wa kuwagusa, wanatufundisha
hakuna aliye juu ya sheria, na wakati huo huo wakithibitisha kuwa wao wako juu
ya sheria na wanafanya wanavyotaka. Wanatupora mali zetu kupitia kodi
mbalimbali, mikopo tunayoishia kuisoma kupitia vyombo vya habari, wanazimaliza
familia zetu kwa vita visivyo mnufaisha yoyote, nyuso zao hazifahamiki kwa
walimwengu lakini kazi zao zimefunika ratiba za vyombo vyote vya habari duniani
kote.
Kama tulivyo ona watendaji wa kawaida wa asasi
hizi za siri ni watu maarufu na tunao wafahamu, matajiri wa dunia na vingozi wa
nchi. Watu nadhifu na makini lakini ni wachafu na wabaya kuliko mizimu wanayo
tuonesha katika filamu zao za kutisha. Kama tulivyo ona wao ndiyo wanao kunywa
damu na nyama za binaadam. Usiwatafute vempire kwenye filam za holywood,
vempire tunatembea nao huku barabarani wakiwa nadhifu na wapole kama mwana
kondoo. Hawa ndiyo wafanyakazi wa New World Order, hawa ndiyo wako nyuma ya
kila sera na sheria zinazo uangamiza ulimwengu wetu leo, kwao hakuna katiba ya
nchi wala kitabu kitakaifu, kwanza ni New World Order na vingine vitafuata.
tuwachore tu
ReplyDelete