Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, August 22, 2013

USHIRIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUSIMAMISHA NEW WORLD ORDER


“Katika kipindi ambacho ulimwengu umezamishwa kwenye ujinga na uwongo, kusema ukweli ni tendo la kimapinduzi” (George Orwell)

Vyombo vya habari vya kimataifa, kama TV na Magazeti, ‘vyombo vya freemason’. Haviwakilishi chochote zaidi ya maono ya wamiliki wake, freemason, illuminanti na juhudi za waziwazi za kuuzamisha umma katika ujinga, umbumbu, ubususa na upumbavu.


Utaona vyombo vya habari vya kimataifa (vyombo vya kimasonia) vinashindana kutoa habari zenye muelekeo mmoja ingawa vyombo hivyo vinaonekana vinawamiliki tofauti, ispokuwa utaratibu wao wa habari kana kwamba mmiliki wake ni mmoja. Tofauti ni ndogo mno katika maudhui ya habari zao.

Mpaka sasa tunafahamu kuwa 9-11 ilifanywa na utawala wa Bush mwenyewe, lakini pia tunajua kwamba shambulizi lile lilipangwa miaka kadhaa kabla na moja ya malengo yake ilikuwa ni kuweza kuivamia Afighanstan na kujenga bomba la mafuta kutoka Asia ya Kati kuelekea bahari ya hindi, na pia kuichukua biashara ya dawa za kulevyia ambayo ilidorora wakati wa Taliban. Lakini mpaka sasa Washigton na vyombo vingine vyote vya habari ulimwenguni, hata hapa nyumbani, bado vinamtaja Osama Bin Laden kama mshikiwa nambari moja na kila leo vinaweka ushahidi wa uwongo hadharani kwamba Osama kutoka mapangoni na Alqaeedah ndiyo wahusika wa tukio lile.


Tunajua kwamba Osama Bin Laden alishakufa tangu 2001, iko wazi, ushahidi upo, lakini vyombo vya habari vimekuwa vikitumiwa vidio feki na sauti feki za Osama zilizotengenezwa na CIA na washirika wao, kuthibitisha kwamba Osama kavamia hapa, Osama atavamia pale, Osama atamuua yule kwa kipindi chote ambacho tunajua Osama alisha kufa.


Lakini Hiyo haitoshi ili Obama kujihakikishia ushindi kwenye uchaguzi na kurudisha imani ya Wamarekani dhidi yake, alitangaza rasmi kifo cha Osama hivi majuzi na kwamba kimeuwawa ka kikosi maalum baada ya mapigano makali, na watu wote wameamini hivyo, vitabu vimeandikwa vya uwongo kuelezea tukio hilo, na watu wananunua, na hata hapa kwetu nimeona magazeti kadhaa ya kifasiri hicho kitabu, tena magazeti makubwa tu, wakati ushahidi upo wa waziwazi kuwa jamaa alishakufa miaka 10 kabla ya kifo chake kutangazwa rasmi hivi majuzi, na alikufa kutokana na ugonjwa wa ini na matatizo ya kibofu cha mkojo.

Lakini kwa vile hili halina tija kwa Illuminanti tunaambiwa hadithi tofauti na sisi tunaikubali.

Kiongozi wa Afighan, Hamid Karzai, aliajiriwa kama mshauri kwenye kampuni inayo fanya ujenzi wa mabomba ya mafuta. Condeleezza Rice alikuwa ni Director wa kampuni husika, Chevron kutoka mwaka 1991-2001. Mdau mkubwa wa Chevron katika sekta ya mafuta na kwenye mradi wa mafuta kwenye bahari ya Caspian ni Kazahkstan.

Taliban walipo kataa mradi ule wa mafuta, Marekani ilitishika, ndipo hapo yakasemwa maneno maarufu kwenye sakata hilo, 

Kama hatutaweza kuwazika kwa dhahabu, basi tutawazika kwa mabomu.”

Baada ya hapo kilichofuatia ni historia kila mtu anajua, mpaka leo wa Afighan wanazikwa kwa mabomu.



Tangu vita dhidi ya ugaidi itangazwe, vikundi mbalimbali vya kigaidi vimezidi kujitokeza kila uchao, kila kona ya dunia kila mahali na vinakuwa harakaharaka na kwa nguvu kubwa kana kwamba ni mtaji ulio tiwa baraka zote. Hebu juilize ni vipi taifa kubwa kama la Marekani, taifa lililoweza ‘kumng’oa tajiri wa mafuta duniani, Saddam Hussein, linashindwa kukisambaratisha kikundi kama cha Alqaeeda, kikundi ambacho eti leo kinatishia Marekani kiasi kwamba taifa hilo kubwa kiuchumi, kisilaha, kiteknolojia linalazimika kufunga balozi zake kona mbalimbali za dunia, eti inaingia akilini?


Jiulize vikundi hivi vinapatia wapi pesa, ikiwa mitandao yote ya pesa ya kidunia inasimamiwa na mabenki ambayo kila leo yanawekewa sheria ngumu za kusimamia pesa hizo, hasa pesa zinazo kwenda nje ya nchi moja ama nyingine. NI wapi wanapatia silaha, ni wapi wanakutana na kuweka mipango yao ya kulifanya taifa zito kufunga balozi zake?


Lakini hizo ndizo hadithi kutoka kwenye vyombo vya maadui zetu, ambazo zinafanana kutoka chombo moja cha habari mpaka kingine, vyombo vyetu vya hapa nyumbani kazi yake ni kudakia tu kila kile kinachorushwa na mabwana wakubwa ‘Copy n Paste’.

Upo ushahidi usio nashaka kwamba wafadhili na wadhamini wakubwa wa vikundi hivyi ni Washinton, London, na washirika wake wengine. Kambi za mafunzo za magaidi zipo ndani ya majiji makubwa ya Ulaya na Marekani na zinasimamiwa vizuri na mabwana wakubwa. Mengine yote ni maagizo kwenye luninga ambayo sisi tunaamisha kila uchao kwamba ni kweli.

Hakuna vita dhidi ya Ugaidi, bali kunavita vikubwa dhidi yako wewe na familia yako. Hakuna vita wala ugomvi baina ya waislam na wakristo, bali kuna vita kubwa dhidi yako wewe. Tafakari ....

Watu wachache, wenye nguvu na utajiri unakaribia dola za Marekani Trilioni 300, watu walikwisha mfuta Muumba kwenye maisha yao, watu ambao hawaogopi wala kujali chochote kutokana na kiburi cha utajiri na ulafi wa madaraka uliowafanya vipofu, viziwi wa kiakili na kiroho, watu hawa wahajali ni watu wangapi watakufa, uharibifu gani utatokea, kwani wao ni wateule, watu hao wanataka kuiyona serikali ya dunia imesimama, kwa gharama yeyote, na watu hawa wametangaza na vita, na wanapigana vita hivyo dhidi yako na familia yako.

“Tunashukuru sana kwa Washington Post, NewYork Times, Times Magazine na majarida mengine makubwa ambayo wakurugenzi wake walihudhuria mikutano yetu na wakatunza ahadi zao za kutunza siri zetu kwa takribani miaka arobaini. Ama kwa hakika ingelikuwa ni vigumu kwa sisi kuweza kuuendeleza mpango wetu kama tungekuwa tunamulikwa na mwanga wa vyombo hivi vya habari kwa miaka hiyo yote. Lakini sasa kazi imefikia hatua bora na nzuri na tunajiandaa kuelekea kwenye serikali moja ya dunia nzima. Utawala wa kimataifa chini ya wasomi wateule wachache na mabenki teule ni utawala unaohitajika, unao pendelewa zaidi dhidi ya utawala wa kitaifa uliotumika karne zilizopita” (David Rockefeller, 1991 Trilateral Commission meeting)
Dunia inaongozwa na watu tofauti kabisa na wale tonao waona”
                                                              Na Benjamin Disrael


Yule pale mfuasi ambaye kwa kujitia mpofu amekataa kuona hatari yoyote inayo ikabili jamii yetu, ambaye ana amini kuwa kama ataendelea kuwa mpofu juu ya hatari hiyo, akanyamaza kimya na kuitunza familia yake, basi United Nation, European Union na au Universal Declaration of Human Rights watamuhakikishia kuwa hakuna madhara yoyote yatakayomfika, kwake yeye, gharama yoyote inayostahiki kulipwa kwa ajili ya uhuru ni lugha iliyopitwa na wakati (haina maana). Mtu huyu anayeonekana kuwa na maarifa, anaamini kuwa kama kweli kuna njama zakuwafanya walimwengu wote kuwa watumwa basi angezipata kupitia luninga. Kwa moyo mkunjufu kabisa anasoma gazeti lake, anakubaliana na taarifa zake pamoja na maoni yaliyomo humo. Anajisemea mwenyewe kama haya ninayo soma si ya kweli imakuaje ya kachapishwa?... juu ya yote kile ambacho watu wa magharibi wanakiita demokrasia ni mzizi wa uhuru na uvumilivu kwa ajili ya kuleta amani ya dunia na hivyo ndivyo watu alio wapigia kura na vyombo vya habari walivyo muaminisha. Sahau wanayoyasema, pumzika leo usiku kwenye luninga kuna kipindi cha “Who wants to be a Millionaire” ... (hapa nyumbani tuna Maisha Plus na mfano wa hivyo),na kesho Man United wanacheza na Arsenal”


                                                                     Na J.S Gibb
“Hakuna kitu kinachoitwa uhuru wa vyombo vya habari. unalijua hilo nami najua hilo... biashara ya uandishi wa habari ni kuuharibu ukweli, kudanganya moja kwa moja, kubadilisha habari... unajua hilo nami nalijua hilo. Hakuna kati yenu anaye thubutu kuandika ukweli wa maoni yake, na kama ukiandika unajua kabisa hayata chapishwa.Nalipwa kwa kutoandika ukweli halisi wa maoni yangu kwenye gazeti, na nyie wengine mnalipwa mishahara kwa kazi hiyo pia, na yoyote atakaye kuwa mpumbavu kiasi cha kuandika ukweli halisi kuhusu maoni yake, atajikuta yuko mtaani akitafuta kazi nyingine. Tu vifaa na watumishi wa watu walio nyuma ya mapazia... wanavuta kamba walizotufunga kama wana sesere nasi tunacheza”.
John Swinton aliyekuwa chief Staff wa New York Times


       Kile kinachoitwa taarifa ya vyombo za habari kiko mbali na kile ambacho watu wanapaswa kufahamu kupitia vyombo hivyo kinyume chake taarifa hzo zimegeuka na kuwa ni shule ya kuwaambia walimwengu kipi wafanye na kipi wasifanye, tuvae vipi, tule vipi na lisiti zinaendelea na kuendelea. Vipindi vingi vya kwenye luninga vimegeuzwa kuwa ni mafunzo ya kufundisha namna ya kuishi kwa mnasaba wa watu fulani. Luninga zinarusha picha ya namna gani mwanamke wa leo anapaswa kuwa na hali kadhalika mwanaume wa leo. Zimejaa matangazo ya bidhaa wanazo dai tutakuwa na furaha tukizitumia na kuzifanya sehemu ya maisha yetu. Gharama ya bidhaa hizo ni kubwa hatuwezi kuzimudu nao wanatuambia usihofu chukua mkopo na ghafla tunakuwa masikini maradufu kuliko kabla ya kuchukua huo mkopo.



       Jiulize ni kwa nini mpango wa New World Order haupo kwenye vyombo vya habari? Rothschild anamiliki Associated Press na Reuters ambazo ni kampuni mbili kubwa za habari duniani. Mashirika haya mawli ya habari ndiyo uti wa mgongo wa vyombo vyote vya habari duniani. Maelfu ya magazeti ya kila siku, redio, luninga na mitandao ya habari kwenye internet ya njia za sauti, picha, vidio na maandishi vyote hivyo vyanzo vyao vikubwa na vyenye kuaminika vya habari ni Reuters na Associated Press.



       Vituo vya luninga kama NBC, CBS na ABC vinamilikiwa na Rockefeller, ambapo CBS peke yake inamiliki zaidi ya redio 255 na inaushirika na vituo vya luninga vipatavyo 200. ABC ina mitandao ya luninga ipatayo 150. Time Inc ambayo inamilikuwa na Skull and Bones na CFR inamiliki magazeti, vituo vya kurikodia sinema, majarida, vitabu na vituo vya luninga zaidi ya 30.
Mpaka mwaka 2002 hii ilikuwa ni lisiti ya vyombo vya habari vinavyomilikuwa na asasi za siri. 

   I.      Cable na Satellite TV:
             1.      HBO,
             2.      Cinemax,
             3.      Time Warner Sports,
             4.      CNN,
             5.      Time Warner Cable,
             6.      Road Runner,
             7.      Time Warner Communications,
             8.      New York City Cable Group,
             9.      New York 1,
          10.      Time Warner Home Theater,
          11.      Time Warner:Security,
          12.      CourtTV,
          13.      Comedy Central
 II.      Luninga na Kampuni za Sinema:
             1.      Warner Brothers,
             2.      WB studios,
             3.      WB Television,
             4.      HannaBarbera Cartoons,
             5.      Telepictures Production,
             6.      WittThomas Productions,
             7.      Castle Rock Entertainment,
             8.      Warner Home Video,
             9.      WB Domestic PayTV,
          10.      WB Domestic TV Distribution,
          11.      WB International TV Distribution,
          12.      The Warner Channel
          13.      WB International Theaters in 12 countries.
III.      Wachapishaji:
             1.      TimeLife International Books,
             2.      TimeLife Education,
             3.      TimeLife Music,
             4.      Time Life Audio Books,
             5.      BookoftheMonth Club,
             6.      Paperback Book Club,
             7.      History Book Club,
             8.      Money Book Club,
             9.      Home Style Books,
          10.      Crafter's Choice,
          11.      One Spirit,
          12.      Little Brown,
          13.      Bullfinch Press,
          14.      Back Bay Books,
          15.      Warner Books,
          16.      Warner Vision,
          17.      The Mysterious Press,
          18.      Warner Aspect;
          19.      Warner Treasures,
          20.      Oxmoor House,
          21.      Leisure Arts,
          22.      Sunset Books and TW Kids.
IV.      Majarida:
             1.      Time,
             2.      Time Asia,
             3.      Time Atlantic,
             4.      Time Canada,
             5.      Time Latin America,
             6.      Time South Pacific,
             7.      Time Money,
             8.      Time For Kids,
             9.      Fortune,
          10.      Life,
          11.      Sports Illustrated,
          12.      Women/Sport,
          13.      International,
          14.      For Kids,
          15.      Inside Stuff,
          16.      Money,
          17.      Your Company
          18.      Your Future
          19.      People
          20.      Who Weekly (Australia
          21.      People en Espanol
          22.      Teen People
          23.      Entertainment Weekly
          24.      EW Metro
          25.      The Ticket
          26.      In Style
          27.      Southern Living
          28.      Progressive Farmer
          29.      South~ Accents
          30.      Cooking Light
          31.      Travel Leisure
          32.      Food & Wine
          33.      Departures
          34.      Sky Guide
          35.      Vertigo
          36.      Paradox
          37.      Milestone
          38.      Mad Magazine
          39.      Parenting
          40.      Baby Talk
          41.      Baby on the Way
          42.      This Old House
          43.      Sunset
          44.      Sunset Garden Guide
          45.      Health
          46.      Hippocrates
          47.      Costal Living
          48.      Weight Watchers
          49.      Real Simple
          50.      President (Japan
          51.      Dancyu (Japan)
          52.      Ongezea na majarida mengine 80 ndani ya UK.
 V.      Lebo za kurikodia:
                               1            Atlantic Group
                               2            Atlantic Classics
                               3            Atlantic Jazz
                               4            Atlantic Nashville
                               5            Atlantic Theater
                               6            Big Beat
                               7            Background
                               8            Breaking
                               9            Curb
                          10            Igloo
                          11            Lava
                          12            MesajBlueMoon
                          13            Modern
                          14            Rhino Records
                          15            Elektra
                          16            East West
                          17            Asylum
                          18            Elektra Sire
                          19            Warner Brothers Records
                          20            Warner Nashville
                          21            Warner Alliance
                          22            Warner Resound
                          23            Warner Sunset
                          24            Reprise
                          25            Reprise Nashville
                          26            American Recordings
                          27            Giant
                          28            Maverick
                          29            Revolution
                          30            Qwest
                          31            Warner Music International
                          32            WEA Telegram
                          33            East West ZTT
                          34            Coalition
                          35            CGO East West
                          36            China
                          37            Continental
                          38            ORO Fast West
                          39            Erato
                          40            Fazer
                          41            Rnlandia
                          42            MCM
                          43            Nonesuch
                          44            Teldec


Rupert Murdoch anamiliki soko la vyombo vya habari vya Marekani, Uingereza, na Mashariki ya Kati. Anamiliki magazeti yapatayo 175 yakiwemo Times of London na New York Post, chaneli zipatazo 100 za luninga ikiwemo Fox na chaneli za michezo zipatazo 19, anamiliki sateliti 9 na mitandao ya vituo vya  luninga za kawaida zifikazo 40, anamiliki kampuni za kuchapishia vitabu zipatazo 40 na sutudio za kurikodia sinema. 

Dola lake la vyombo vya habari limepanuka mpakakwenye mabara matano, anawafikia watazamaji wa luninga wapatao milioni 280 kwa Marekani peke yake na milioni 300 kwenye bara la Asia. Majarida yake yanawafikia watu milioni 28. Mtandao wake mzima kwa pamoja unawafikia watu bilioni 4.7 sawa na ¾ na au kwa kiswahili sanifu sawa na robo tatu ya watu wote duniani. Huyu ni mtume wa maisha ya watu leo duniani, hapana shaka ni mtu hatari zaidi duniani.

Kuhusu nchi zetu za dunia ya tatu hakuna cha kusema kwani wanacho fanya ni ‘copy n paste’ kutoka kwenye mitandao niliyoielezea hapo juu. Bado utajiuliza ni kwa nini Obama alishinda urais, bado utajiuliza ni kwa nini kila mwaka Marekani inaadhimisha 9/11 na ikirushia lawama zote kwa Osama Bin Laden wakati iko bayana kuwa ni Bush na uongozi wake ndiyo walio lipua majengo yale na kuipiga Pentagon. Bado Unajiuliza ni kwa nini Osama anatafutwa? Wakati uwezekano wa kuwa alisha uwawa ni mkubwa kuliko wa kuwa hai. Ni kwa sababu mtandao wa vyombo vya habari unao milikiwa na asasi za siri umekuambia hivyo na wewe hutafahamu tofauti mpaka wakuambie tofauti kitu ambacho katu hakita kaa kitokee.


“Kazi yetu si kuwapatia watu kile wanacho hitaji, bali kile ambacho sisi tunataka wapate”
                                Richard Salant aliyekuwa rais wa CBS News

Kwa sasa umefahamu kuwa viongozi ulio wapiga kuria siyo viongozi wanao tawala,bali kutoka kizani, nyuma ya mapazia ya siri mkono wa asasi za siri ndiyo watawala wa ukweli, wanatawalia mambo ya kiuchumi, siasa za ndani na nje ya nchi, ndiyo waamuzi wa timu gani ishinde katika mashindano mbalimbali duniani,sinema gani na au muziki gani ushike tuzo nani ahukumiwe na nani awe huru na yote yanayo ihusu jamii. 

Watu wachache wameona ukweli huo na wamejitolea kuwaonya walimwengu dhidi ya njama hizi, idadi kubwa ya watu hawajali kabisa na au wanaogopa kufahamu ukweli, kwa wao kufahamu ukweli haina tofauti na kosa la uhaini.
Ni kweli hatuwezi kubadilisha hali hii? Hapana, wamefanya mengi mabaya yasiyo hisabika na hakuna wa kuwagusa, wanatufundisha hakuna aliye juu ya sheria, na wakati huo huo wakithibitisha kuwa wao wako juu ya sheria na wanafanya wanavyotaka. Wanatupora mali zetu kupitia kodi mbalimbali, mikopo tunayoishia kuisoma kupitia vyombo vya habari, wanazimaliza familia zetu kwa vita visivyo mnufaisha yoyote, nyuso zao hazifahamiki kwa walimwengu lakini kazi zao zimefunika ratiba za vyombo vyote vya habari duniani kote.


Kama tulivyo ona watendaji wa kawaida wa asasi hizi za siri ni watu maarufu na tunao wafahamu, matajiri wa dunia na vingozi wa nchi. Watu nadhifu na makini lakini ni wachafu na wabaya kuliko mizimu wanayo tuonesha katika filamu zao za kutisha. Kama tulivyo ona wao ndiyo wanao kunywa damu na nyama za binaadam. Usiwatafute vempire kwenye filam za holywood, vempire tunatembea nao huku barabarani wakiwa nadhifu na wapole kama mwana kondoo. Hawa ndiyo wafanyakazi wa New World Order, hawa ndiyo wako nyuma ya kila sera na sheria zinazo uangamiza ulimwengu wetu leo, kwao hakuna katiba ya nchi wala kitabu kitakaifu, kwanza ni New World Order na vingine vitafuata. 

1 comment: