Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, August 1, 2013

FREEMASON WANATUMIA FILAMU ZA NGONO NA USHOGA DHIDI YA FAMILIA



SAMAHANI POST HII HAITAKUWA NA PICHA NYINGI KAMA ZINAVYOKUWA POST NYINGINE....

Moja ya madhara makubwa ya luninga kwenye majumba yetu ni ‘kutuprogramu’ sisi watazamaji. Luninga ni zana kama ilivyo zana yeyote ile, na zana si mbaya, ila ni vipi zana hiyo inatumika, hapo ndipo palipo na matatizo. Nayo luninga imekuwa ni zana nzuri sana inayo tumiwa na maadui zetu kutuelekeza kule wanapo pataka wao.
Inautengeneza ufahamu wetu upya juu ya mambo mbalimbali, tunaita ‘brainwashing’ , tunakubaliana na kile kinacho oneshwa kila siku kwenye luninga yetu.
Kati ya mengi ambayo jamii ya leo au kizazi cha sasa tunachoaminisha katika luninga zetu na mitandao mingine ya habari ni kuwa ‘MAPENZI NI NGONO’
 Dada zetu wanajihisi wao si chochote wala lolote, si wakamilifu kama hawatofanya au kuonesha kile ambacho wanakiona kwenye vipindi mbalimbali vya luninga. Lakini mwisho wa siku gharama tunayo lipa kutikana na haya yote ni kuchanika chanika kwa familia na ndoa zetu.

Katika karne hii ya mapinduzi ya ‘internet’ ambayo nayo ni zana kama ilivyo luninga, maadui zetu hawapo nyuma, wanatiririsha kila sekunde ya kila dakika madudu na machafu ya ngono kupitia mimilioni ya mitandao yao kuja kwa umma kuwajengea zana kuwa ‘MAPENZI NI NGONO’ badala ya ‘MAPENZI NI FAMILIA.’ Hata watoto wetu hawapo salama na balaa hili ambalo ni hatari zaidi hata ukilinganisha na luninga kwa wakazi wa mijini, kama mafuta kwenye moto unao waka, sheria zinazo sema kuwa zinakuja kuwalinda watoto ndiyo kwanza zinawapa uhuru wa kuperuzi kwenye mitandao hiyo bila kubughudhiwa na mzazi.
Kampeni kubwa inayo fanyika sasa ni kuwaambia walimwengu kuwa USHOGA ni maumbile ya kibaiolojia na wanaweka nukta yao kwenye DNA. Hii ikiwaambia walimwengu kuwa huwezi kujizuia kuwa SHOGA kama DNA yako imebeba vichocheo hivyo.
Lakini wakati wakipaza sauti hizo, nyuma ya mapazia wanatiririsha katika kila kile ambacho tunaweza kukiona au kukisikia hadithi na habari za ushoga. Wanapandikiza dhana ya ushoga kuwa ni sawa na sahihi na haina haja kwa jamii kuwapinga wala kuwatenga.
Utaona kwenye mamilioni ya filamu za sasa, muziki ambavyo havihusiani kabisa na ngono wameweka viashiria vinavyo pigia debe ushoga, mpaka kwenye katuni maarufu za watoto hayo yanazungumziwa waziwazi. Ni kweli tupo makini na kile ambacho watoto wetu wanacho kitizama?
Playboy siyo kitu kilicho tokea kwa bahati mbaya, ni mpango wa kijamii uliwekwa vyema kupigia kampeni ushoga na kuichanachana familia.
Familia ni kikwazo kikubwa mno kwenye mipango ya Illuminanti, familia lazima ife, familia ni serikali kamili ambayo inatishia uwepo wa New World Order (NWO), Sababu familia inafundisha kuwa ‘MAPENZI NI FAMILIA’ inafundisha ‘THAMANI YA UTU DHIDI YA VITU’ familia ‘INAMTENGENEZA MTU NA SIYO MWANAJAMII’ familia, ‘INASIMAMISHA MISINGI NA KUJENGA MISINGI YA UTU DHIDI YA MISINGI YA KIJAMII’ FAMILIA ....
Hivyo familia lazima ivunjwe kwa bei yeyote ile, kampeni za haki sawa, kampeni za haki za wanawake, kampeni za ushoga, kampeni za uzazi wa mpango zote hizi ni risasi na mabomu dhidi ya familia, zote hizo zinalenga kitu kimoja, kuisambaratisha familia. Leo jiulize taasisi ya ndoa iko wapi? Jiulize kwa nini ndoa hazidumu? Kwanini vijana wa kileo wanao kuoana ni suala la kizamani?
AJENDA NI NINI KWENYE HILI?
Agenda kuu ya kampeni za ushoga ni kupindua akili na mawazo yetu katika kulikubali suala la kishoga kuwa ni suala la kijamii. Hili pia litawasaidia katika kampeni ya uzazi wa mpango kwa vile mashoga wanajiamiana lakini hawapati watoto. Lakini katika kuhakikisha kizazi cha mashoga kinaendelea sheria zinakuja, na kwenye baadhi ya nchi zimeshaanza kutumika, ambazo zinawaruhusu mashoga kuasili (adaptation) watoto, wawalee kama watoto wao, unadhani watoto hawa ambao wanachukuliwa na mashoga na kuishi nao watakuwa kama wanafamilia wengine?
Tafsiri ya ‘ushoga’ nayo wanaibadilisha, hivi sasa wanaita ni ‘mtindo tu wa maisha’ (lifestyle) au ‘uchaguzi wa aina ya mapenzi’, ili waweze kuuingiza umma kwenye mtego mchafu na uovu kabisa wa kijamii.
Haijalishi ni katikia mazingira gani umekuwa wewe ni shoga, tafsiri na dhana ya hali hiyo siyo kitu kinachokubalika kwenye jamii, haijalishi chakula kimepakuliwa katika sahani gani, hata kama kitawekwa kwenye sahani ya dhahabu, iliyonakshiwa na kile jiwe la thamani katika uso wa dunia, kamani mavi ni mavi tu, sahani hiyo haiwezi kubadilisha mavi hayo kuwa ni biriani.
Ngono baina ya mume na mke ni kwa ajili ya kupata watoto, na hili la kupata watoto ndiyo nambari moja kwenye orodha. Sasa tendo la ushoga linasimama wapi?
Ikiwa ngono kwa watu wenye jinsia mbili tofauti imekatazwa na kijamii imethibitika kuwa si jambo lenye kufaa kabla ya kufunga ndoa, na hapo ndipo thamani ya ngono kwa wanandoa inapoonekana, yaani ni tendo takatifu ambalo kuliendea lazima taratibu fulanifulani za kijamii na kifamilia zikamilike.
Bila ya hapo tendo hilo linakuwa limeshushwa thamani yake na kuwa si takatifu tena, bali ni uchafu na hata kinacho patikana katika mwingiliano huo, yaani mtoto naye hatakuwa na nafasi yeyote katika wawili hao zaidi ya mtoto wa mama, kwenye sheria za Kiislamu za mirathi mtoto huyu haruhusiwi kurithi chochote kutoka kwa baba yake, hatambuliwi kama ni mtoto wa baba, wala baba hawezi akamshika mkono mtoto huyu na kumuozesha kwa familia nyingine, huyu ni kama mtoto wa jamii.
Lakini hadithi ni tofauti mtoto huyu anapo patikana ndani ya ndoa halali. Hivyo utaona tendo la ndoa linayo thamani yake kubwa na takatifu kutokana na matokeo yake, matokeo ya kuleta mwanafamilia mwingine ndani ya nyumba.
Sasa utaona kitendo cha ushoga kuwa wala hakipo hata karibu na kile cha kuleta mtoto wa haramu ambacho nacho tunakijua kuwa ni uchafu, sasa ni vipi basi ushoga uwe ni ‘uchaguzi wa aina ya mapenzi’ au life style?
Maadui zetu wametumia ‘ukombozi wa kijinsia’ kuizamisha jamii na kusimamisha utawala wao dhidi ya familia. Kama alivyo sema mwanamapinduzi wa kimasonia, Giuseppe Mazzini, “Tunabomoa maadili ili tuweze kutawala”
Illuminanti mipango yao ni kusimamisha serikali ya dunia, lakini huwezi ukaisimamisha serikali hiyo chafu na ya kishetani kwa watu huru na walio wasafi, lazima uwapore uhuru wao kwanza, halafu uwavunjevunje kimaadili, na hichi hasa ndiyo maana ya ushoga, unadhani kuwa hawafahamu kuwa ushoga ni uchafu na uozo na kitu kisicho faa kwa umma? Wanajua hili, lakini hii ni biashara nzuri na zana nzuri ya kufanikisha malengo yao, kama kinyesi kilicho pakuliwa kwenye sahani ya dhahabu, unataka sahani hiyo, kula hayo mavi kwanza, na watu wanakula mavi na mwisho wa siku hata hiyo sahani hawaipati.
Filamu za ushoga zinazidi kumiminika kwenye soko la filamu za ngono. Wateja wa filamu za ngono wanaishia kwenye kupiga punyeto na kubeba dhana za uongo juu ya thamani ya tendo la ngono kwenye vichwa vyao. Wanaume hawakai tena kwenye ndoa zao.
Malengo ya wanaharakati za ushoga yapo wazi kabisa, malengo yao ni kuipindua mfumo wa ndoa za jinsia mbili tofauti (heterosexuality).
Kupitia filamu za ngono umma unaambiwa kuwa kabla hujafunga ndoa kuna mahala unaweza kwenda kujaribu kama ni sawa kuwa kwenye ndoa au la, yaani kufanya ngono ovyoovyo na watu tofautitofauti. Mwaka 2006 soko la filamu za ngono walikuwa wakitarajia kuvuna faida ya dola bilioni 12 kwa mwaka. Interenet inayo maelfu na maelfu ya mitandao ya ngono, tamthilia na filamuza lunimga na miziki ya kisasa ni mafuta kwenye moto unao waka, ngono, ngono. Ngono kila mahali.
Unaweza ukawa unaperuzi kwenye mitandao isiyo ya ngono kwa shughuli zako za kila siku na wala hauna mpango na mawazo hayop ya ngono, lakini ghafla bila idhini yako, ukurasa wa ngono unatokea kwenye kioo chako cha kompyuta na kukualika kutembelea ukurasa huo. Hali ni mbaya sana.
Mitandao hii inatubadilisha sisi wanaume namna vile tunavyo watizama wanawake, au inatubadilisha mitazamo yetu juu ya wanawake.
Tunafundishwa tusiwatizame tena kama mama na dada zetu, bali kama kifaa cha ngono au zana ya kufanyia ngono ambayo utaifanya upendavyo.  Wakati kampeni hizo zikiendelea kwa upande mmoja, kwa upande mwingie kama za kumfanya mwanamke sawa na mwanaume nazo zinashika moto, dada zetu wanaamini kuwa wao wapo kwa kazi moja tu, ‘kumfurahisha mwanaume’. Mavazi yaoa yanasema hivyo, mazungumzo yao na kila kile wanacho kifanya, wakati mama zetu wanapaza sauti kwa upande mwingine ‘Haki sawa’. Basi ilimradi ni vurugu tu mwanzo mwisho.
Leo hii kama unataka kuuza kitu chako harakaharaka basi kinasibishe na ngono, na kama unataka msaada wa harakaharaka kwenye jambo lako, basi linasibishe na haki sawa.
Mwanaume haoni kwanini afunge ndoa ikiwa akihitaji ‘huduma’ ya ngono ni kuruka tu barabara na kwenda mtaa wa pili na anapata huduma hiyo bila usumbufu. Majukumu ya kuwa na watoto yamepitwa na wakati. Mwanamke naye anaona yanini kuzaa na kujizeesha, kama ni pesa ni gari ni nyumba nitapata cha kufanya ni kumtimizia mwanaume kile anacho taka. Shoga naye anaona hana haja ya kijificha tena, Obama na Cameroon na Bankmoon wanawatetea vizuri hata serikali zetu zimelazimishwa kuwatambua? Jiulize kwenye vurugu hili familia iko wapi?

                     THAT IS WHAT CAMEROON SAID
Ingawa makampuni ya kutengeneza filamu za ngono yanatengeneza mabilioni ya dola kila mwaka, lakini karibu asilimia tisini ya kazi zao zinapatikana bure kwenye mitandao mbalimbali, majarida yao yanatolewa bure kwenye klabu za usiku na makasino, ni wapi faida hiyo inapotokea ikiwa kila kitu chao ni karibu na bure, wapi wanapatia pesa za kuwalipa wachezaji wa filamu hizo, waongozaji na majumba ya kuchezea filamu hizo na juu ya yote waweze kulipa kodi kwa serikali kwa baadhi ya nchi?
Kuna ambaye anayelipa kwa ajili wewe utizame filamu hizo bure.
Kuna ambaye ananunua majarida hayo kisha anakugawia wewe bure.
Kuna ambaye anatoa pesa yake mfukoni kuwalipa wacheza filamu hizo ili wewe uzitizame bure.
Je yeye anakupenda sana?
Kama ambavyo yupo yule ambaye nailipia chanjo ili uweze kuipata bure, yupo yule ambaye anayelipia madawa ya kuongeza nguvu/ kurefusha maisha ili wewe uyapate bure, yupo yule anaye lipia vyandarua vilivyo tiwa dawa ili wewe uvipate bure na ... na .... na .... jiulize je hao wanakupanda sana?
No free lunch my friend.
Utakuja kulipa tu gharama ya vitu hivyo punde au baadaye kidogo, na tumeshaanza kuilipa gharama hizo, madhara ya madawa ya kurefusha maisha tunayaona, madhara ya chanjo halikadhalika, madhara ya vyandarua vilivyo tiwa dawa ndiyo usiseme, na madhara ya filamu hizi nayo yapo mbele yetu yanatutolea macho.

Hivyi ni vita na sisi ndiyo walengwa....

No comments:

Post a Comment