TUNAENDELEA
Lengo ni lipi kwa viongozi wa kidunia kuharibu afya za watu
kutoka wakazi wa nchi tajiri mpaka zile masikini?
Marekani ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwapatia wananchi wake chanjo, na ndiyo nchi yenye kesi nyingi za ugonjwa wa Autisim, ambao sababu za ugonjwa huu ni chanjo, yapo maandishi na kazi za kutosha zinazo onganisha ‘autisim’ na chanjo na hii ni kutokana na kile kinacho gahamika kama mercury ndani ya chanjo hizo.
Ni vigumu mno
kumdhania mwenzako kwa usahihi, kama ilivyo vigumu kudhani ni kwa nini jamaa
hawa wanatumiminia sisi na watoto wetu risasi za chanjo.
Lakini sidhani
kama tutakosea tunapo litizama wimbi la kampeni za chanjo katika wigo wa
biashara yenye malengo maalum.
Kuna ambaye
anaye tengeneza mabilioni ya dola kwa kuzalisha chanjo na kuzisambaza. Kuna
ambaye anakula maisha kama ‘mbinguni’ kwa kila chanjo inayo penyezwa katika
kona fulani ya dunia.
Lakini siyo
kwa faida zetu, ili kujua faida ni zakina nani chanjo inapo tumika, tujaribu
kutizama madhara ya kampeni na matokeo ya chanjo hizo.
1. Chanjo ni gharama kubwa na zinawakilisha gharama inayokadiriwa
kufikia dola bilioni moja kila mwaka. Hivyo basi yule ambaye anathubutu kuingia
gharama hii kila mwaka, kuna faida maradufu ya hiyo anayo izalisha kila mwaka.
‘Remember there is no such thing as free lunch’, ... tunapo toa chanjo sehemu fulani, ni sawa na kuwekeza baada
ya muda kidogo tutauza dawa zingine hapo, ni sawa na kuuza majani ya chai,
lazima na sukari nayo itatoka ... kawaida baada ya chanjo hizi kunakuwa na kile
kinacho fahamika kama ‘sideefect’ ambacho nacho kitahitaji dawa zingine
kukiweka sawa, hivyo faida yao inaendelea kuongezeka wakati kwetu sisi gharama
zinaongezeka...
·
Chanjo zinaichakachua
mfumo wa ulinzi, ‘immune system’. Unaporudia chanjo tena na tena zinaufanya
mfumo wa ulinzi uzidi kuchoka maradufu na kuufanya tegemezi kwa madawa na
kufanya hivyo kunafungua milango ya magonjwa mbalimbali yakiwemo yale yanayo
uwiana na ukimwi, ambayo kama tunavyo fahamu magonjwa hayo hupata nafasi pale
ambapo mfumo wa ulinzi unapo kuwa mashakani.
Hivyo chanjo inasababisha ukimwi kuchanua na maradhi mengine kuota mizizi kwenye mwili wa muhisika ... kwa wakati wako pitia ukurasa huu wa wovuti ujionee zaidi http //alt.medmarket.com/members/reiddds/h...nfo/immune.html
2. Chanjo hupelekea kwenye kulidumaza taifa. Kuna njia gani bora ya
kulidumaza taifa kushinda ile ya kuwatia vilema wananchi wake. Chanjo ya Polio
imethibitika kusababisha polio, balaa la ukimwi kwa nchi za Afrika liliingizwa
kwa kupitia chanjo ya ndui na ile ya homa ya manjano.
3. Chanjo inawafanya wanachi kuwategemezi kwenye madawa na kuwa na
dhana ya kwamba mwili ni dhaifu na magonjwa yanayo wazunguka yanaweza kuwauwa
mara moja na suluhisho lake ni chanjo. Inatengeneza watu ambao daima watahitaji
msaada, kama wagonjwa wa ‘autisim’ ambao huonekana kama mazezeta. Chanjo pia
humuingiza muhusika kwenye duara la magonjwa na maradhi mbalimbali.
4. Chanjo pia inatumika kama kiini macho cha kuwafanya wananchi
kuwa wapofu wa matatizo makubwa yanayo kabili taifa lao, kama umasikini,
uongozi mbaya, uchumi na mengineyo. Kauli za viongozi wote wa kiserikali na
wasio wa kiserikali, wa upinzani na chama tawala, wote utawasikia lao ni moja
kwenye ishu ya chanjo kana kwamba magonjwa wanayo yataja ni makubwa mno
kushinda matatizo ambayo nchi tayari inayo,
5. Vijinchi vyetu hudhani chanjo ni bure kwa vile mwananchi
hailipii, lakini serikali zetu zinaingia gharama kubwa kuhakikisha wewe
mwananchi unapata hiyo chanjo, ambayo kwa kuanzia tu, chanjo yenyewe ni tatizo,
lakini pili fedha ambazo serikali ingeweza kuboresha miundo mbinu, kujenga
madarasa, kutoa huduma fulani kwa gharama nafuu, fedha hizo zinakwenda kulipia
gharama za chanjo kwenye mabenki ya kimataifa, mabenki ambayo yanamilikiwa na
maadui zetu. Na hivyo kuzidi kutanua uwazi uliopo baina ya vijinchi vyetu
vinavyo jengewa mazingira ya kunyonywa na zile za wanyonyaji.
6. Chanjo zinamaliza nguvu kazi ya nchi, mathalani nusu ya
watanzania ni watoto, tuashumu kwamba nusu ya watoto hawa wamepatiwa chanjo,
zaidi ya mara tatu au tano. Hii inaamaanisha kuwa baada ya miaka kumi tayari
tutakuwa na mabomu ya maradhi yanayo tembea ambayo yakilipuka tutaanza kuwa na kesi
nyingi za watoto wenye mtindio wa ubongo, kesi za kansa, kesi za watoto wasiyo
weza kujieleza, mazezeta, mfumuko wa maradhi mbalimbali ambayo muhusika
atategemea dawa uhai wake wote na kizazi tegemezi. Hivyo kazi hicho hakitoweza
kusimamia rasilimali za nchi hatutakuwa na wahandisi, madaktari, walimu na
viongozi imara, unadhani nchi itakwenda wapi?
·
Chanjo inasaidia kupunguza
idadi ya watu. Kwenye vijinchi vyetu vinavyo endelea, chanjo ni bomu jingine
ambalo litakapo kuja kulipuka nchi itarikodi kesi nyingi mno za ugumba. Maadui
zetu kwa sasa wanatuita kuwa sisi ni kansa na inabidi tufe ilikuweza kuiokoa
dunia ‘SAVE THE PLANET’ na moja ya njia zilizo pendekezwa kuikoa dunia ni
kutumaliza kwa chanjo. Utamkumbuka mwanadiplomasia mmoja aliyekwenda kwa jina la
Robert McNamara, alipata kuwa raisi wa World Bank, alipata kuwa Secretary of
State in the United States, ambaye pia alitoa mari kwa mabomu kuwamiminikia
watu wa Vietnam na pia ni mshiriki kwenye kampeni za chanjo, alipata kusme
amaneno haya, “ Lazima zichukuliwe hatua za kinyama zaidi kupambana na tatizo
la ongezeko la watu duniani. Kupunguza idadi ya watoto wanao zaliwa inaonekana
kuwa jambo gumu mno na lisilo wezekana. Hivyo hapana budi kuongeza idadi ya
vifo. Kivipi? Kwa kutumia njia za asili. Njaa na magonjwa. (Je kuna njia bora
ya kuwapatia watu magonjwa kama chanjo?)
7. Chanjo inatoa mwanya kwa watu wa aina fulani wasiyo takiwa
kuuwawa kwa urahisi. Inafanikisha aina ya mauwaji ya kimbari, watu wenye rangi
fulani, nchi fulani wanaweza kuuwawa kwa urahisi au idadi yao kupunguzwa kwa
kutumia chanjo.
8. Unaweza kupitia wavuti hzi kwa ushahidi zaidi juu ya hili.
b.
http://www.new-atlantean.com/global/birthcon.html
itaendelea .....
Dunia Inamambo
ReplyDelete