Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Wednesday, June 26, 2013

TAHADHARI NA CHANJO!!!!!!!! pt 2

TUNAENDELEA
Lengo ni lipi kwa viongozi wa kidunia kuharibu afya za watu kutoka wakazi wa nchi tajiri mpaka zile masikini?


Marekani ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwapatia wananchi wake chanjo, na ndiyo nchi yenye kesi nyingi za ugonjwa wa Autisim, ambao sababu za ugonjwa huu ni chanjo, yapo maandishi na kazi za kutosha zinazo onganisha ‘
autisim’ na chanjo na hii ni kutokana na kile kinacho gahamika kama mercury ndani ya chanjo hizo.



Ni vigumu mno kumdhania mwenzako kwa usahihi, kama ilivyo vigumu kudhani ni kwa nini jamaa hawa wanatumiminia sisi na watoto wetu risasi za chanjo.

Lakini sidhani kama tutakosea tunapo litizama wimbi la kampeni za chanjo katika wigo wa biashara yenye malengo maalum.
Kuna ambaye anaye tengeneza mabilioni ya dola kwa kuzalisha chanjo na kuzisambaza. Kuna ambaye anakula maisha kama ‘mbinguni’ kwa kila chanjo inayo penyezwa katika kona fulani ya dunia.

Lakini siyo kwa faida zetu, ili kujua faida ni zakina nani chanjo inapo tumika, tujaribu kutizama madhara ya kampeni na matokeo ya chanjo hizo.
1. Chanjo ni gharama kubwa na zinawakilisha gharama inayokadiriwa kufikia dola bilioni moja kila mwaka. Hivyo basi yule ambaye anathubutu kuingia gharama hii kila mwaka, kuna faida maradufu ya hiyo anayo izalisha kila mwaka. ‘Remember there is no such thing as free lunch’, ... tunapo toa chanjo sehemu fulani, ni sawa na kuwekeza baada ya muda kidogo tutauza dawa zingine hapo, ni sawa na kuuza majani ya chai, lazima na sukari nayo itatoka ... kawaida baada ya chanjo hizi kunakuwa na kile kinacho fahamika kama ‘sideefect’ ambacho nacho kitahitaji dawa zingine kukiweka sawa, hivyo faida yao inaendelea kuongezeka wakati kwetu sisi gharama zinaongezeka...


·         Chanjo zinaichakachua mfumo wa ulinzi, ‘immune system’. Unaporudia chanjo tena na tena zinaufanya mfumo wa ulinzi uzidi kuchoka maradufu na kuufanya tegemezi kwa madawa na kufanya hivyo kunafungua milango ya magonjwa mbalimbali yakiwemo yale yanayo uwiana na ukimwi, ambayo kama tunavyo fahamu magonjwa hayo hupata nafasi pale ambapo mfumo wa ulinzi unapo kuwa mashakani.

Hivyo chanjo inasababisha ukimwi kuchanua na maradhi mengine kuota mizizi kwenye mwili wa muhisika ... kwa wakati wako pitia ukurasa huu wa wovuti ujionee zaidi http //alt.medmarket.com/members/reiddds/h...nfo/immune.html
 
2. Chanjo hupelekea kwenye kulidumaza taifa. Kuna njia gani bora ya kulidumaza taifa kushinda ile ya kuwatia vilema wananchi wake. Chanjo ya Polio imethibitika kusababisha polio, balaa la ukimwi kwa nchi za Afrika liliingizwa kwa kupitia chanjo ya ndui na ile ya homa ya manjano.

3. Chanjo inawafanya wanachi kuwategemezi kwenye madawa na kuwa na dhana ya kwamba mwili ni dhaifu na magonjwa yanayo wazunguka yanaweza kuwauwa mara moja na suluhisho lake ni chanjo. Inatengeneza watu ambao daima watahitaji msaada, kama wagonjwa wa ‘autisim’ ambao huonekana kama mazezeta. Chanjo pia humuingiza muhusika kwenye duara la magonjwa na maradhi mbalimbali.

4. Chanjo pia inatumika kama kiini macho cha kuwafanya wananchi kuwa wapofu wa matatizo makubwa yanayo kabili taifa lao, kama umasikini, uongozi mbaya, uchumi na mengineyo. Kauli za viongozi wote wa kiserikali na wasio wa kiserikali, wa upinzani na chama tawala, wote utawasikia lao ni moja kwenye ishu ya chanjo kana kwamba magonjwa wanayo yataja ni makubwa mno kushinda matatizo ambayo nchi tayari inayo,

5. Vijinchi vyetu hudhani chanjo ni bure kwa vile mwananchi hailipii, lakini serikali zetu zinaingia gharama kubwa kuhakikisha wewe mwananchi unapata hiyo chanjo, ambayo kwa kuanzia tu, chanjo yenyewe ni tatizo, lakini pili fedha ambazo serikali ingeweza kuboresha miundo mbinu, kujenga madarasa, kutoa huduma fulani kwa gharama nafuu, fedha hizo zinakwenda kulipia gharama za chanjo kwenye mabenki ya kimataifa, mabenki ambayo yanamilikiwa na maadui zetu. Na hivyo kuzidi kutanua uwazi uliopo baina ya vijinchi vyetu vinavyo jengewa mazingira ya kunyonywa na zile za wanyonyaji.

6. Chanjo zinamaliza nguvu kazi ya nchi, mathalani nusu ya watanzania ni watoto, tuashumu kwamba nusu ya watoto hawa wamepatiwa chanjo, zaidi ya mara tatu au tano. Hii inaamaanisha kuwa baada ya miaka kumi tayari tutakuwa na mabomu ya maradhi yanayo tembea ambayo yakilipuka tutaanza kuwa na kesi nyingi za watoto wenye mtindio wa ubongo, kesi za kansa, kesi za watoto wasiyo weza kujieleza, mazezeta, mfumuko wa maradhi mbalimbali ambayo muhusika atategemea dawa uhai wake wote na kizazi tegemezi. Hivyo kazi hicho hakitoweza kusimamia rasilimali za nchi hatutakuwa na wahandisi, madaktari, walimu na viongozi imara, unadhani nchi itakwenda wapi?


·         Chanjo inasaidia kupunguza idadi ya watu. Kwenye vijinchi vyetu vinavyo endelea, chanjo ni bomu jingine ambalo litakapo kuja kulipuka nchi itarikodi kesi nyingi mno za ugumba. Maadui zetu kwa sasa wanatuita kuwa sisi ni kansa na inabidi tufe ilikuweza kuiokoa dunia ‘SAVE THE PLANET’ na moja ya njia zilizo pendekezwa kuikoa dunia ni kutumaliza kwa chanjo. Utamkumbuka mwanadiplomasia mmoja aliyekwenda kwa jina la Robert McNamara, alipata kuwa raisi wa World Bank, alipata kuwa Secretary of State in the United States, ambaye pia alitoa mari kwa mabomu kuwamiminikia watu wa Vietnam na pia ni mshiriki kwenye kampeni za chanjo, alipata kusme amaneno haya, “ Lazima zichukuliwe hatua za kinyama zaidi kupambana na tatizo la ongezeko la watu duniani. Kupunguza idadi ya watoto wanao zaliwa inaonekana kuwa jambo gumu mno na lisilo wezekana. Hivyo hapana budi kuongeza idadi ya vifo. Kivipi? Kwa kutumia njia za asili. Njaa na magonjwa. (Je kuna njia bora ya kuwapatia watu magonjwa kama chanjo?)
7. Chanjo inatoa mwanya kwa watu wa aina fulani wasiyo takiwa kuuwawa kwa urahisi. Inafanikisha aina ya mauwaji ya kimbari, watu wenye rangi fulani, nchi fulani wanaweza kuuwawa kwa urahisi au idadi yao kupunguzwa kwa kutumia chanjo.
8. Unaweza kupitia wavuti hzi kwa ushahidi zaidi juu ya hili. 

b.       http://www.new-atlantean.com/global/birthcon.html

itaendelea .....

1 comment: