Kipi ni kipi kwenye suala la chanjo,?
Madhara ya kuipokea ni makubwa
kushinda madhara ya kutoipokea?
Vipi kuhusu magonjwa, je usipo pokea
chanjo magonjwa yanayo taja yanaweza kuwa na balaa zaidi kwako kushinda hiyo
chanjo yenyewe?
Uwiano baina ya faida na madhara ya
chanjo ni muhimu kwa kila ambaye anadhania kufanya chanjo, ili kujiweka katika
nafasi iliyo nzuri ya kukubaliana au kutokukubaliana na zoezi zima la chanjo.
Ni muhimu tukafahamu ikiwa magonjwa
ya watoto tunao ambiwa kuwa yanahitaji chanjo kama ni kweli yanayo madhara au
kama ni makubwa kama ambavyo yanavyo elezwa na watu wanao fanya kampeni za
chanjo.
Pia kunatafiti ambazo zinafungiwa
macho na watu wanaoa fanya kampeni za chanjo ikiwa chanjo zina madhara makubwa
hata kushinda magonjwa ambayo inadai kuwa yanakwenda kutibu.
Mathalani USA madhara ya chanjo
yamekuwa makubwa kiasi kwamba zimtumika dola bilioni 1.8 kwa ajili ya kuwalipa
wale ambao wamepatwa na madhara kutokana na chanjo. (HRSA Statistics
report June 1, 2009, awards paid)
FDA (Food and Drug Administration)
imekiri kwamba ripoti 12,000 zinazo pokelewa kila mwaka kwa upande wa madhara
ya chanjo, inawakilisha sehemu ndogo sana ya kile ambacho kinachotokea kama
madhara ya chanjo hizo.( Reported by KM Severyn, R.Ph.D. in
the Dayton Daily News, May 28, 1993. Ohio
Parents for Vaccine Safety, 251 Ridgeway Dr., Dayton, OH 45459) Takeimu hizo
pia zimethibitishwa kuwa ndivyo na wachunguzi wa NVIC (National Vaccination
Information Center "Investigative Report on the Vaccine Adverse Event
Reporting System")
Taarifa ya NVIC imeripoti kuwa ni New
York peke yake, ambako ni mmoja kati ya madaktari 40 tu, yaani 2.5% ndiyo wanao
ripoti vifo na madhara ya chanjo.
Haina mashaka kabisa kuwa chanjo
zinayo madhara, sasa upo tayari kumtoa muhanga mtoto wako? Ingawa hujaambiwa
kuwa unamtoa mwanao mhanga, lakini hivyo ndivyo kila wakati unapo mpeleka
mwanao kuchukua chanjo.
Statistiki ni moja ya zana inayo
tumika kutuonesha kuwa chanjo inafanya kazi...
Majendwali yanakuwa yanatumika
kuonesha uwiano baina ya kitu kimoja na kingine kwenye vipindi tofauti vya
muda, lakini watu wa chanjo wamekuwa wakitumia majedwali ambayo yanaonesha kuwa
magonjwa fulani yamepungua na kunasibisha athari hizo na chanjo zao.
Wakati mwingine magonjwa yalishaanza
kutoweka kabla hata ya chanjo kuanza lakini wao watasingizia ni chanjo ndiyo
iliyo leta mageuzi hayo.
Njia nyingine wanayo tumia pale
wanapo weka ubaoni taarifa zao ni kuzitaja kiujumla wake zaidi, yaani kama vile
taarifa za ulimwengu kwa ujumla badala ya nchi au mkoa au kitongoji. Hii
hutumika mara nyingi mno, yaani taarifa za kiujumla zinazo tumika huenda hata
hazimgusi mtoto wako kwenye nchi, mkoa achilia mbali kitongoji chako, lakini
wanatumia ujumla huo kwa ajili ya kukutisha ili uweze kumsalimisha mwanao
kwenye kituo cha chanjo.
Mathalani wanaweza kusema watoto “242,000 wanakufa
kila mwaka kutokana na utapiamlo”. Hawato kuambia au hawatokupa takwimu za wapi na eneo
husika wanazitoa kwa ujumla wake tu.
Unapo ona takwimu za mlipuko wa
magonjwa kuwa makini nambari ya idadi inayo tajwa, ni nadra sana kusema ni
wangapi katika waliopata magonjwa hayo ya mlipuko kuwa wamepatiwa chanjo.
Chanjo haikupatii wewe kinga.
Utakuta kuwa magonjwa au ugonjwa
ulishaanza kupungua kabla ya chanjo kutolewa lakini watoa chanjo hawawezi
kukiri hilo. Pia watoa chanjo baada tu yakufanya zoezi lao moja kwa moja
wanakimbilia kusema kuwa ugonjwa umepungua kutokana na chanjo. Lakini kile
ambacho hawakisemi ni kuwa chanjo haiwezi kufanya kazi mpaka baada ya mwaka
mmoja ndiyo takwimu zitizamwe ilikuweza kuona kama kweli chanjo zimeleta
mabadiliko yoyote.
Bado wapo wale
ambao wanao amini kuwa juu ya chanjo. Kawaida huwa ni wakali mno unapo jaribu
kuwaelezea ubaya wa chanjo. Imani kuu watu wengi waliyo nayo ni kwamba haya
magonjwa ni hatari yanauwa na chanjo ndiyo pekee inayo weza kubadilisha hali
hiyo. Mtu yupo tayari mtoto wake apate madhara ya chanjo, lakini asimnyime
chanjo kwa vile dakitari kasema, kwa vile imetangazwa kwenye luninga, kwa vile
kiongozi filani kasema ...
Kikubwa unapo
kutana na mtu wa aina hii kama hana ushahidi wowote wa namna gani chanjo
inasaidia kinga ya mwili zaidi ya maneno aliyo msikia fulani kasema, basi
jaribu kumuelimisha au achana naye ...
Ukweli hauwezi
kuogopa upekuzi pekuzi, kama kweli chanjo zinaleta tija kwa watoto wetu na mama
wajawazito, basi madaktari na viongozi wanaogopa nini na kuwatishia watu pale
wanapo hoji uhalali wa chanjo?
Dakatari
atakuambia mimi ni dr. Na nimekwenda shule miaka kadhaa kusomea hichi kitu so
hufahamu chochote wewe... lakini hili
halimafanyi dr kuwa juu ya kila kitu, hapa siyo ishu ya umesomea nini na
umesomea miaka mingapi, hapa ni ishu ya fact na ukweli, hii ni ishu ya uhai na
kifo ...
Ni watu
wangapi kila mwaka wanakufa kutokana na makosa ya madaktari?
Makala moja
kwenye ‘Journal of the American Medical Association (JAMA) inasema kuwa madaktari
ndani ya USA wanashikilia nafasi ya tatu kwa kuuwa watu, kila mwaka wanauwa
watu 225,000 na 106,000 ya vifo hivyo ni kutokana na madhara ya dawa wanazo pewa
wagonjwa.
Watu hao
wameuwawa na madakatari ambao wamfenya makosa, suala la afya ni biashara kwa
sasa, na daktari hakutizami kama mgonjwa, bali mteja ambaye atapenda uende na
urudi tena kwake, ukipona atapata wapi pesa?
Takwimu hizo
ni za mwaka 2000, kwa sasa ndani ya Marekani madaktari wanashikilia nafasi ya
kwanza kwa kuuwa watu, wanauwa watu kushinda hata watu wanao kufa kutokana na
kupigwa risasi!
Bado unaamini
kuwa ni sawa kwa mtoto wako kupokea chanjo kwa vile Dr. Kasema hivyo?
ITAENDELEA ...
Binafsi sina mtazamo tofauti na kile ulichoeleza. Nimevutiwa sana na mtu kama wewe. Naogopa tuu kwamba watakuondoa mapema. Na huenda tayari walishakuondoa duniani, maana sijui. Lakini kama ungalipo hai, basi jikabidhi kwa Mungu aliye hai ili akulinde kila utokapo na uiingiapo.
ReplyDelete