tunaendelea ....
Miaka kadhaa
nyuma jarida la Reuters liliripoti hivi:
“Ugonjwa ambao
unafanana na ukimwi umeuwa watu 60,0000 kusini mwa Sudani. Ugonjwa huu waliupa
jina la MUUWAJI. Kutoka familia na wakati mwingine kijiji kizima kinatoweka,
yaani wanakufa. Ugonjwa huu unaambatana na homa kali pamoja na kupungua uzito.
Dalili zake ni sawa na zile za AIDS. Kinga ya mwili inapungua na mtu anakufa
kwa chochote kile kinacho mpata.”
Unajua nchi
zetu za Kiafrika zimejaaliwa utajiri usio na kikomo, kutoka nguvu kazi watu
mpaka mali asili. Na ni utajiri huo ambao zama hadi zama umewatia wendawazimu
viongozi na familia za Illuminanti, kuanzia kabla ya ukoloni, wakati wa
ukoloni, baada ya ukoloni mpaka sasa katika zama wanazo ziita globalization na
uwekezaji, Afrika hatujashuhudia chochote zaidi ya kubadilisha mbinu za
uporaji, wanaiiba kwa nguvu au kwa mikataba sawa na ile ya kina Carl Peters.
Hivyo mataifa
hayo wanatumia njia mbalimbali kutumaliza kabisa ili waweze kurithi utajiri huu,
eidha kwa kuwaweka baadhi ya vibaraka wao, kama historia inavyo eleza au kwa
kuikalia kimajeshi kabisa nchi husika, au kwa kuwapatia silaha wale wanao
julikana kama waasi kwa ajili ya kuidhoofisha serikali na wao wapate kuchuma
utajiri, lakini maeneo mengine hutumia mipango ya muda mrefu ya kudhoofisha
wakazi wake, na moja ya mipango hiyo ni chanjo.
Chanjo pia
hutumika kama jaribio la kisayansi (experiments) katika kufanyia majaribio
bidhaa mpya kwenye namba kubwa ya watu ili kuweza kupata majibu ya haraka. Kwa
kisingizio cha afya njema na uhai wa watu, binadam watu wanafanyiwa majaribio
kama panya wa maabara bila wao kufahamu kuwa hilo ndilo lengo kuu. Lakini pia
chanjo zinazalishwa na kutengenezwa kwa njia ya kubadilisha ‘genetic’ ambayo
nayo hii ni hatari zaidi kwasababu ‘genetic; hizo za kutengenezwa zinakwenda
kutafuta chumba ndani ya seli hai za mwanadamu, kama tujuavyo ‘genetic’ ndiyo
msingi wa maumbile endapo msingi huo unabadilishwa kwa kuingiza ‘genetic’ mpya
ndani ya mwili tujue basi kuna hatari ya kuzaliwa binadamu wenye maumbile ya
ajabu mno, hili tunaliona kila siku kwenye jamii mbalimbali ambazo kwa muda
mrefu wamekuwa eidha wakipokea chanjo au kutumia vichocheo vyenye kubadili
genetic.
Mwaka 1978
chanjo mpya ilifanyiwa majaribio kwa mashoga wa New York na 1980, ilifanyiwa
majaribio San Francisco, Los Angeles, Denver Chicago, na St Loiuis. Taarifa za
kiserikali zilisema chanjo hiyo ni kwa ajili ya ‘homa ya manjano’, lakini kama
tujuavyo chanjo hiyo pia iliwasababishia wengi walio ipokea kufa kwa ukimwi.
Chanjo kama
hiyo ilitolewa kwa wakazi waliopo kusini mwa janga la sahara kwa ushirikiano wa
USAID na WHO kwa ajili ya chanjo ya ndui, na matokeo yake ni kuwa wakazi ambao
walipokea chanjo hizo, baadaye walithibitika kukumbwa na janga la ukimwi ya chanjo hizo.
Chanjo ni
silaha ya kibaiolojia dhidi ya walimwengu, dhidi ya watu wa maeneo fulani,
dhidi ya watu wa matabaka fulani, dhidi ya jamii fulani, dhidi ya watu wa rangi
fulani.
Kama zilivyo
dawa zingine za kisasa, ni kwamba dawa moja itazaa tatizo jingine ambalo nalo
litahitaji dawa nyingine, na nyingine nayo itahitaji nyingine ... mzunguko usio
kwisha, ndivyo zilivyo chanjo nazo, kuwa aina moja ya chanjo itatengeneza
tatizo ambalo nalo litahitaji aina nyingine ya chanjo kumaliza tatizo
lililosababishwa na chanjo ya awali. Ni biashara nzuri tu.
Kunazo taarifa
kutoka kwa kapteni na mwana baiolojia wa jeshi la silaha za kibaiolojia kutoka
kwenye maabara yao ya Fort Detrick, bwana Neil Levitt kuwa lita 2.35 za chanjo
ya majaribio zimetoweka kwenye maabara hiyo. Dozi kama hiyo inatosha kabisa
kuiambukiza dunia yote na magonjwa. Lengo nini basi kutangaza kuwa kiasi hicho
kimepotea? Lengo ni wao kujivua na madhara yeyote yatokanayo au yatakayo tokana
na chanjo hizo pale zitakapo tumika. Hata kama ni wao watakao zitumia, tayari
wanayo mahali pa kushikia, kwamba zilishaporwa, huenda mwizi ndiye
anayezitumia. Sasa unapo mpeleka mwanao au mke wako kuchukua chanjo unayo
uhakika gani kuwa chanjo inayotumika siyo ile ‘iliyo potea’ kwenye maabara ya
kivita ya Marekani?
Itaendelea ...
magnіficеnt submit, verу іnfοrmativе.
ReplyDeleteӀ'm wοndеring whу the other sρecіalists of this seсtor dο nοt notіce this.
You muѕt continue уour writіng. I am sure, yοu
have а great readers' base аlrеady!
Also visit mу wеb blοg giffgaff sim activate
And your among who made that data base possible, keep it up.
ReplyDelete