Thursday, June 20, 2013

NGONO NA FREEMASON

Utaona kwamba, moja katika ibada za kishetani za Illuminanti na freemason kwa kiasi kikubwa ibada hizo huusisha na mambo ya ngono. Ngono kila mahali na kila kona, ngono, ngono, ngono ...
Lakini haijaishia hapo, alama na nembo za ngono utazikuta katika alama mbalimbali za kimasonia, lakini ili kuweza kuongeza au kutilia athari ya nguvu hizo au kuiharibu jamii, au kuifanya jamii na yenyewe isifikirie kingine zaidi ya ngono, utaona nembo na alama hizo za kishetani zenye maudhui ya ngono zinawekwa na kubandika katika kila njia, utaona ndiyo maudhui kwenye viwanda au tasnia ya filamu, ndiyo maudhui kwenye muziki, mdiyo maudhui kwenye vitabu vya hadithi, ndiyo maudhui mpaka kwenye mavazi ... n.k
Hizi hapa ni baadhi tu ya nembo za kimasonia ambazo kati ya mengi pia kiuhakika zinasimama kama alama au tendo la ngono baina ya mwanamke na mwanaume ....


COMPASS NA SQURE
Hii nayo ni miongoni mwa alama maarufu sana za freemason, kama utamuuliza freemason maana ya nembo hizo atakuambia zina wakilisha maarifa ya sayansi, mahesabu na fikra huru, lakini kiuhakika zina maana tofauti kabisa. Squre na compass zina maana mbili kwa pamoja yaani kutengeneza na kuzalisha, kama vile Waarian walivyoitumia kuwakilisha
miungu wawili yaani Brahm na Maya, Waegypt ni Osiris na Isis na Jua kama mungu mume na mwezi kama mungu mke na hicho ndicho wanacho maanisha freemason.
Albert Pike anawaambia ndugu zake katika umasonia walio kwenye daraja la 32 kuwa, Compass ni alama ya ki-Hermet inayo muhusu Mungu muumbaji, na Square inawakilisha Dunia au Ulimwengu.  Dunia huwakilisha mungu mke au kike, kwa vile dunia inazaa mazao na vingine, hivyo basi Freemason ile Compass ni mfano wa uume ulio simama, na Square ni uchi wa mwanamke, huyo unapo itazama nembo hii, utaona ni kiungo cha uzazi cha mwanaume, kikipenya kwenye kiungo cha uzazi cha mwanamke.


Tukiziacha hizo nembo za Illuminanti, tuzitizame nembo zinazo tumiwa na makampuni makubwa duniani, mashirika, nchi na mengineyo ambayo nayo yanatuma ujumbe ule ule unao takiwa na mabwana wakubwa ....

Kwenye mashindano ya Olimpic London, baada ya nembo mahususi ya mashindano hayo kuvumbuliwa, vitu viwili vikubwa vilionekana kwenye nembo hiyo, na kwamba vimewekwa kwa makusudi, cha kwanza ni ilionekana ile nembo ya Hitler, kwamba kwa naman fulani LOGO ya LONDON OLIMPIC INAWAKILISHA SWASTIKA YA HITLER.

LAKINI HILI HALIKUONEKANA SANA KAMA NI KWELI NEMBO HIYO INAWAKILISHA KITU HICHO, LAKINI CHA PILI AMBACHO NEMBO HIYO ILIONEKANA KUWAKILISHA ... NI TENDO LA NGONO ... 

MWANAMKE ANANYONYA ‘KONI’

HII NDIYO NEMBO YENYEWE ...

KATIKA KATUNI, IPO KATUNI MOJA MAARUFU SIMPSONS, KATUNI HII INATUMIWA SANA NA IILUMINANTI KUPITISHA UJUMBE NA MAFUNZO MABAYA KWA WATOTO WETU ...



WANAZO MPAKA KATUNI ZA NGONO ... SASA SIJUI NA HIZI NAZO NI KWA AJILI YA WATOTO AU VIPI ...



KATIKA KATUNI HII KUNAYAO ‘KARAKTA’ MMOJA NAYE FAHAMIKA KAMA LISA, HUYU NDIYE ALIYE TAJWA KUONEKANA KWENYE ILE LOGO YA OLIMPIC AKAFANYIZA VITENDO VICHAFU.



Ukiwa unafikiri hilo limetokea kwa bahati mbaya au labda hayo ni maoni ya watu tuu ... tizama logo hii inayofuata ...
Logo hii inasomeka kama ‘OK’ vizuri kabisa, lakini umeona hiyo OK ilivyo andikwa, ni picha, tena unaweza kusema ni wanaume wawili wakifanya tendo la watu wa LUTU (Mungu atuhifadhi.)

Kampuni: Kudawara Pharmacy
Dhana ya nembo: Watu wawili mmoja kainama mwingine kasimama kutengeneza herufi ‘K’
Kampuni inasemaje: "”DAIMA TUNASIMAMA NYUMA YA WATEJA WETU"
Kwa ajili ya kulinda soko na bidhaa kampuni zinapo gundua LOGO yake inakwenda kinyume na maadili au na watu ambao inawalenga kuwauzia bidhaa zake, nembo hufutwa au kurekebishwa ... lakini hizi sizo zinabaki vilevile.

Mwaka 1973, kanisa katoliki walitoa logo hii kwa ‘Archdiocesan Youth Commission’


Bado Unashangaa kwanini kanisa hilo linayo kashfa za ngono hasa kwa watoto wadogo ....

Arlington Pediatric Center


 Je hii nayo inahitaji maelezo ....

Sun Rise Sushi



Wanasema ni ‘SUN RISE’ LAKINI NINI UNACHO KIONA UNAPOKAZA MACHO YAKO KWENYE HIYO LOGO????
ANGALIA VIZURI, MAKALIO YA MWANAMKE ALIYE INAMA, NA SEHEMU YA PAA YA JENGO, NI UUME UNAO .... MBAYA KABISA, LAKINI HII NI LOGO YA ...
KAMPUNI: Rising Sun Sushi
DHANA YA LOGO: Kibanda cha chai na nyuma yake jua linachomoza.

A-Style

HII NAYO INAHITAJI MAELEZO JAMANII????



Doughboys

UMEKIONA KILE WANACHOTAKA UKIONE KWENYE NEMBO HIII?


HUU NI UUME NA KORODANI ZAKE, IKIWA HUJAONA HIKO TIZAMA TENA HAPA CHINI ...

Locum


UOMEONA LOGO YAOA INAVYO SEMA, AU INAVYO ANDIKWA ...



Kids Exchange

UMEONA LOGO YAKE INAVYO ANDIKWA ...

The Computer Doctors

UMEONA PICHA YA UUME KWENYE LOGO HII

Sausages?


 INAHITAJI MAELEZO ...?

NYONGEZA ...








No comments:

Post a Comment