Utaona kwamba,
moja katika ibada za kishetani za Illuminanti na freemason kwa kiasi kikubwa
ibada hizo huusisha na mambo ya ngono. Ngono kila mahali na kila kona, ngono,
ngono, ngono ...
Lakini
haijaishia hapo, alama na nembo za ngono utazikuta katika alama mbalimbali za
kimasonia, lakini ili kuweza kuongeza au kutilia athari ya nguvu hizo au
kuiharibu jamii, au kuifanya jamii na yenyewe isifikirie kingine zaidi ya
ngono, utaona nembo na alama hizo za kishetani zenye maudhui ya ngono zinawekwa
na kubandika katika kila njia, utaona ndiyo maudhui kwenye viwanda au tasnia ya
filamu, ndiyo maudhui kwenye muziki, mdiyo maudhui kwenye vitabu vya hadithi,
ndiyo maudhui mpaka kwenye mavazi ... n.k
Hizi hapa ni
baadhi tu ya nembo za kimasonia ambazo kati ya mengi pia kiuhakika zinasimama
kama alama au tendo la ngono baina ya mwanamke na mwanaume ....
COMPASS NA
SQURE
Hii nayo ni
miongoni mwa alama maarufu sana za freemason, kama utamuuliza freemason maana
ya nembo hizo atakuambia zina wakilisha maarifa ya sayansi, mahesabu na fikra
huru, lakini kiuhakika zina maana tofauti kabisa. Squre na compass zina maana
mbili kwa pamoja yaani kutengeneza na kuzalisha, kama vile Waarian
walivyoitumia kuwakilisha
miungu wawili
yaani Brahm na Maya, Waegypt ni Osiris na Isis na Jua kama mungu mume na mwezi
kama mungu mke na hicho ndicho wanacho maanisha freemason.
Albert Pike
anawaambia ndugu zake katika umasonia walio kwenye daraja la 32 kuwa, Compass
ni alama ya ki-Hermet inayo muhusu Mungu muumbaji, na Square inawakilisha Dunia
au Ulimwengu. Dunia huwakilisha mungu
mke au kike, kwa vile dunia inazaa mazao na vingine, hivyo basi Freemason ile
Compass ni mfano wa uume ulio simama, na Square ni uchi wa mwanamke, huyo unapo
itazama nembo hii, utaona ni kiungo cha uzazi cha mwanaume, kikipenya kwenye
kiungo cha uzazi cha mwanamke.
Tukiziacha
hizo nembo za Illuminanti, tuzitizame nembo zinazo tumiwa na makampuni makubwa
duniani, mashirika, nchi na mengineyo ambayo nayo yanatuma ujumbe ule ule unao
takiwa na mabwana wakubwa ....
Kwenye
mashindano ya Olimpic London, baada ya nembo mahususi ya mashindano hayo
kuvumbuliwa, vitu viwili vikubwa vilionekana kwenye nembo hiyo, na kwamba
vimewekwa kwa makusudi, cha kwanza ni ilionekana ile nembo ya Hitler, kwamba
kwa naman fulani LOGO ya LONDON OLIMPIC INAWAKILISHA SWASTIKA YA HITLER.
LAKINI HILI
HALIKUONEKANA SANA KAMA NI KWELI NEMBO HIYO INAWAKILISHA KITU HICHO, LAKINI CHA
PILI AMBACHO NEMBO HIYO ILIONEKANA KUWAKILISHA ... NI TENDO LA NGONO ...
MWANAMKE ANANYONYA ‘KONI’
HII NDIYO
NEMBO YENYEWE ...
KATIKA KATUNI,
IPO KATUNI MOJA MAARUFU SIMPSONS, KATUNI HII INATUMIWA SANA NA IILUMINANTI
KUPITISHA UJUMBE NA MAFUNZO MABAYA KWA WATOTO WETU ...
WANAZO MPAKA
KATUNI ZA NGONO ... SASA SIJUI NA HIZI NAZO NI KWA AJILI YA WATOTO AU VIPI ...
KATIKA KATUNI
HII KUNAYAO ‘KARAKTA’ MMOJA NAYE FAHAMIKA KAMA LISA, HUYU NDIYE ALIYE TAJWA
KUONEKANA KWENYE ILE LOGO YA OLIMPIC AKAFANYIZA VITENDO VICHAFU.
Ukiwa
unafikiri hilo limetokea kwa bahati mbaya au labda hayo ni maoni ya watu tuu
... tizama logo hii inayofuata ...
Logo hii inasomeka
kama ‘OK’ vizuri kabisa, lakini umeona hiyo OK ilivyo andikwa, ni picha, tena
unaweza kusema ni wanaume wawili wakifanya tendo la watu wa LUTU (Mungu atuhifadhi.)
Kampuni: Kudawara Pharmacy
Dhana ya nembo: Watu wawili mmoja kainama
mwingine kasimama kutengeneza herufi ‘K’
Kampuni
inasemaje: "”DAIMA TUNASIMAMA NYUMA YA WATEJA WETU"
Kwa ajili ya
kulinda soko na bidhaa kampuni zinapo gundua LOGO yake inakwenda kinyume na
maadili au na watu ambao inawalenga kuwauzia bidhaa zake, nembo hufutwa au
kurekebishwa ... lakini hizi sizo zinabaki vilevile.
Mwaka 1973,
kanisa katoliki walitoa logo hii kwa ‘Archdiocesan Youth Commission’
Bado Unashangaa
kwanini kanisa hilo linayo kashfa za ngono hasa kwa watoto wadogo ....
Arlington Pediatric Center
Je hii nayo inahitaji maelezo ....
Sun Rise Sushi
Wanasema ni ‘SUN
RISE’ LAKINI NINI UNACHO KIONA UNAPOKAZA MACHO YAKO KWENYE HIYO LOGO????
ANGALIA
VIZURI, MAKALIO YA MWANAMKE ALIYE INAMA, NA SEHEMU YA PAA YA JENGO, NI UUME
UNAO .... MBAYA KABISA, LAKINI HII NI LOGO YA ...
KAMPUNI: Rising Sun Sushi
DHANA YA LOGO: Kibanda cha chai na nyuma
yake jua linachomoza.
A-Style
HII NAYO
INAHITAJI MAELEZO JAMANII????
Doughboys
UMEKIONA KILE
WANACHOTAKA UKIONE KWENYE NEMBO HIII?
HUU NI UUME NA
KORODANI ZAKE, IKIWA HUJAONA HIKO TIZAMA TENA HAPA CHINI ...
Locum
UOMEONA LOGO
YAOA INAVYO SEMA, AU INAVYO ANDIKWA ...
Kids Exchange
UMEONA LOGO
YAKE INAVYO ANDIKWA ...
The Computer Doctors
UMEONA PICHA
YA UUME KWENYE LOGO HII
Sausages?
INAHITAJI MAELEZO ...?
NYONGEZA ...
No comments:
Post a Comment