“JACHIN”
MSHIKO WA
UTAMBULISHO KWA MFUASI WA DARAJA LA PILI
Mwanamasonia
atamshika mkono mwanamasonia mwenzake, kama watu wanavyo salimiana kawaida, na
kisha atalibonyeza dole gumba lake kwa nguvu kwenye nakozi ya pili, na masonia
mwenzake naye atafanya hivyohivyo dhidi yake.
Kisha maneno
ambayo WM na SD walibadilishana awali yatafanyika mpaka kufikia kwenye hatua ya
kutaja jina la mshiko huo, ambalo nalo litatajwa kwa herufi au kwa kuligawa
mara mbili.
SD: A
WM: J
SD: C
WM: H
SD: I
WM: N
Kisha
WM, ATASEMA MANENO HAYA KUMUAMBIA MWANAMASONIA ANAYE TARAJIWA KUINGIA DARAJA LA
PILI, “JACHIN, NDUGU YANGU NDILO JINA LA LA MSHIKO HUU. NA LAZIMA SIKU ZOTE
LITOLEWE AU KUTAMKWA KWA UTARATIBU HUU, KWA KULITAJA KWA HERUFI ZAKE AU KULIGAWA
MARA MBILI, NA UNAPO LITAJA KWA HERUFI SIKU ZOTE KUMBUKA KUANZA NA HERUFI ‘A’.
ALAMA YA MKONO
KATIKA DARAJA LA TATU (MASTER MASON DEGREE)
Wakati
mwanachama anapo chukua kiapo kwa ajili ya kuingia daraja la tatu, mikono yake
yote miwili anaweka juu ya kitabu cha imani ya dini yake, (Biblia, Quran n.k),
lakini pia kunakuwepo na alama kuu za kimasonia, yaani Bikari na Kipima pembe
ambavyo navyo mwanachama ataweka mkono juu yake.
ALAMA KWA
MASTER MASON
Alama ya
Master Mason inalenga kuonesha adhabu ambayo mwanachama ataipokea endapo
atakwenda kinyume na miiko ya jumuiya katika daraja hilo. Anapoweka alama hiyo
baada ya kuchukua kiapo, huwa anaamanisha au kutamaka maneno haya,
“Mwili wangu
ukatwe vipande viwili sawasawa, utumbo wangu utolewe na kisha uchomwe moto
mpaka uwe majivu ambayo yatawanywe kwenye kona nne za dunia”
Alama hii
yenye kuashiria kiapo cha kutisha, hufanyizwa
kwa ishara ambapo mwanachama, hupitisha kiganja cha mkono wa kulia,
kutoka kushoto kuja kulia na kwa kutumia dole gumba lake, kwa haraka sana,
baina ya tumbo na kiuno chake.
TUBALCAIN
MSHIKO WA
MASTER MASON
Mwanamasonia,
atasalimiana kwa kushikana mikono na masonia mwenzake, kama salamu ya kawaida,
kisha atapaswa kuweka dole gumba lake la mkono wa kulia, kwenye nafasi iliyopo
baina ya nakozi ya pili na ya tatu, na atabonyeza kwa nguvu kwa kutumia dole
gumba lake katika huo uwazi, na masoni mwenzake naye atafanya hivyohivyo.
KUMBUKA KATIKA
HATUA ZOTE HIZO, KUTOKA KWA MWANACHAMA MTARAJIWA, MPAKA MWANACHAMA ATAKAPO KUWA
ANAPANDA DARAJA MOJA BAADA YA JINGINE, MWANACHAMA HATOKUWA AKIFANYA HIZO
‘HANDSHAKE’ BALI WM na SD, NDIYO WATAKAO KUWA WAKIFANYA KWA MAANA YA
KUMUELEKEZA, MTARAJIWA WAO NINI CHA KUFANYA, ANAPO ATAKIWA KUFANYA HICHO CHA
KUFANYA, KATIKA WAKATI MAALUM, SEHEMU MAALUM NA MTU MAALUM.
HIVYO BASI,
MAJIBIZANO KAMA YALIYO TANGULIA AWALI, BAINA YA WM na SD, YATAENDELEA NA
KUFIKIA HATUA YA KUTAJA JINA LA AINA HIYO YA ‘HANDSHAKE’ NALO LITATOLEWA KWA
KANUNI ILE ILE, KWA HERUFI AU KULIGAWA NUSU KWA NUSU.
SD: Tu
WM: bal
SD: cain
WM: bal
SD: cain
KISHA BAADA YA
HAPO WM atamgeukia mtarajiwa na kumuambia hivi “TUBALCAIN, NDUGU YANGU, NDIYO
JINA LA MSHIKO HUU, (HANDSHAKE)
KUTOKA TEHRAN MPAKA CNN .... HATUACHI UTAMADUNI WETU ...
WAKUBWA WA DUNIA ...
VIONGOZI WA KIDINI ....
MUGABE NA WALE ANAO WAITA NI MAADUI ZAKE ....
OBAMA ENZI HIZOOOOO ....
No comments:
Post a Comment