Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Sunday, May 19, 2013

FREEMASONRY WANAFANYA NINI NA MALENGO YAO NI YEPI? Part IV

VIPI WAPENDWA WANGU, TUNAENDELEA TENA NA HADITHI YETU YA KUSISIMUA, LEO KATIKA SEHEMU YA NNE YA MTANANGE HUU TUTATUPIA JICHO MBINU CHACHE ZINAZO TUMIWA NA MAADUI ZETU KUFANIKISHA MPANGO WAO KAMAMBE DHIDI YETU ...


Wananchi hawawezi kusimama tu na kuwaachia watu wengine maaisha yao wayatawalie, kabisa haiwezekani kuona hilo linatokea, labda jambo hilo liwe linafanyika kwa namna ambayo binadam wenyewe hatulielewi. Sehemu ya ajenda hii ya kuwatawalia watu imewekwa kwa namna ambayo wanachi wenyewe, wanasukuma gurudumu la kuelekea kwenye kituo cha kuuza uhuru wao kwa hiyari. Kiuhakika kila tunapo peleka fedha zetu benki, ni kama tunawapatia maadui zetu nguvu zaidi uwezo wa kuendelea kutupora uhuru na mali zetu. Wametufanya tuamini kuwa si kwamba tu sisi hatuwezi kufanya chochote bila wao, lakini kile ambacho ni kizuri kwao ni kizuri kwetu pia.

Illuminanti pia wanatumia mianya na kutengeneza matukio ya kutisha kwa ajili ya kuendeleza au kutengeneza mazingira ya kufanikisha ajenda yao. Wanaweza kufanya hivyo kwa kutumia mbinu kama vile ‘PROBLEM-REACTION-SOLUTION’ na nyinginezo ambazo tuatazitupia jicho hapa.

Mathalani, njia ile ya Preoblem-reaction-solution, huwa inafanyika kwa namna ifuatayo, wanatengeneza tatizo, au wanalikuza tatizo kupitia vyombo vya habari au kwa kutokufanya chochote tatizo linapo tokea. Kisha baada ya hatua hiyo wanatumia vyombo vyao vya habari kuweka mazingira amabyo yatapaza sauti ya kutaka kuwepo na suluhu ya tatizo. Lakini suluhu ambayo wao walisha iandaa kabla ya tatizo kutokea, na wanacho fanya sasa ni kurubuni maawazo ya watu kukubaliana na suluhu hiyo. Kisha baada ya hatua hiyo ya kurubuni mawazo ya watu, kinacho fuata sasa ni kutekeleza suluhu ambayo wao wameipendekeza kwa wananchi na imeonekana kukubalika, lakini kinacho fanya suluhu hiyo ni kuwaongezea wao nguvu na madaraka zaidi juu ya maisha yetu ya kila siku, Mfano mzuri wa njia hii ni 9/11 ambayo baada ya hapo kilicho fuata ni VITA DHIDI YA UGAIDI.


KILA LEO, KILA AINA YA USHAHIDI UNAZIDI KUMIMINIKA AMBAO UNAPINGANA NA HADITHI YA SERIKALI YA MAREKANI, AMBAO UNASEMA NI UONGOZI WA BUSH MWENYEWE NDIYO ULIOSHUGHULIKIA NA KUFANIKISHWA KULIPULIWA KWA MINARA HIYO MIWILI, PENTAGON NA BUILDING 7.

NJIA NYINGINE WANAYO TUMIA MAADUI ZETU NI ‘FALSE FLAG OPEREATIONS’
Hii ni njia nyingine kali sana ya kurubuni mawazo ya watu na kuyapeleka kule ambako maadui zetu wanapo pataka, njia hii hutumika kufanya uvamizi, uhalifu na uharibifu kwa kutumia ‘NEMBO,’ ‘BENDERA,’ au ‘ALAMA YA ADUI YAKO’ Ilikuweza kupotosha jamii kuwa ni adui yako ndiye aliyefanya hivyo, ni adui yako ndiye aliyevamia pale, wakati KIUHAKIKA NI WEWE NDIYE uliyefanya hilo. Aaina hii ya mbinu huwawezesha maadui zetu kuweza kupora malighafi, kutengeneza faida kubwa kutokana na vita, na pia kutupora haki na uhuru wetu. Mfano wa mbinu hii ni,



9/11 Inaingia tena hapa.

WW1- Vita hivi vilianzidhwa kwa shambaulizi la ‘kigaidi’ la uwongo kwa vile walio fanya shambulizi hilo ni wao wenyewe kwa kumuuwa, Franz Ferdinand Archiduke wa Austria, muuwaji alikuwa ni Myahudi, freemasonry wa daraja la 33.


ARCHIDUKE MUDA MFUPI KABLA YA KUPIGWA RISASI ILIYO PELEKEA DUNIA KUTUMBUKIA KWENYE WWI.

The Lusitania – Meli ya Marekani ambayo mwaka 1915 ilisafiri na kupita kwenye eneo la maadui na ikiwa imebebeshwa vifaa vya kivita kutokwa kwa J.P Morgan. Meli hiyo iliposhambuliwa na boti za Ujerumani na kusababisha vifo vya maelfu ya abiria wa Marekani, hii ilikuwa ni sababu tosha ya kuisukuma Marekani kwenye vita hivyo, lakini huu ulikuwa ni mpango wa familia za kibenki kuhakikisha Marekani inashiriki vita hivyo vya Ulaya, kwa sababu kwa upande wao vita ni aina nyingine ya biashara nzuri tu.


THE LUSITANI IKIZAMA BAADA YA KUPIGWA


HITLER- Mwenye damu ya siri toka kwenye familia ya Rothschild, alilichoma moto jingo lake mwenyewe la kiserikali, mwaka 1933 na chama chake cha NAZI, kikapitisha sharia ya dharura kwa ajili ya kupambana na UGAIDI huo, sharia hiyo haikufanya chcochote zaidi ya kuwapora wananchi haki na uhuru wake.
WWII- Ilianza baada ya pale Ujerumani ilipo lipua moja ya redio zake na kuwarushia lawama maadui zake, kama alivyo fany kwenye jingo lake.


MJENGO WA HITLER UKITEKETEA KWA BOMU ALILOLIPUA HITLER MWENYEWE.


KIKARAGOSI HICHO KINAWAONESHA VIONGOZI WAWILI, KUTOKA NCHIMBILI TOFAUTI, KATIKA VIPINDI VIWILI TOFAUTI VYA HISTORIA, WAKITUMIA MBINU MOJA KUTEKELEZA AJENDA ZAO ZA SIRI.

OPEREATION NORTHWOODS- Mwaka 1962 CIA walikuwa na mango wao wa siri ambao sasa taarifa hizo ni ‘UNCLASSIFIED’ na zimeandikwa kwa kina kuwa CIA walipaka ndege kwa rangi za RED CROSS, na kasha wanazitungua zikiwa angani halafu wanamrushia lawama, Castro, ili wapate kisingizio cha kuivamia CUBA, Rais Kennedy hakukubalina na mpango huo, nah ii ni moja ya sababu nyingine tunayo weza kuiongeza kwenye kifo chake.


‘DAIMA NI RAHISI MNO KUWAVUTA WETU KWENYE MATAKWA YA VIONGOZI WA, UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUWAAMBIA KUWA TUMEVAMIWA, NATUMIA UFASHISIT KAMA NDIYO UZALENDO, NA IWEKE NCHI KWENYE HALI YA HATARI (NA WANACHI WATAKUUNGA MKONO)’ (Herman Goering, muhalifu wa kivita kutoka NAZI)


‘WATU NI VILEMA WA KUFIKIRI NA HAWEZI KUKUBALIANA NA KUWEPO KWA NJAMA HIZI, HATA PALE WANAPO KUTANA USO KWA USO NA USHAHIDI WA KUWEPO KWAKE, BADO HAWATOAMINI JUU YA KUWEPO KWAKE (J. Edgar Hoover, aliyekuwa kiongozi wa CIA, Katika mapambano dhidi ya watu weusi ndani ya Marekani, alihakikisha kila mtu mweusi anakuwa ni muathirika wa dawa za kulevyia, lengo ilikuwa ni kuhakikisha hapatikani kiongozi mmoja ambaye atasimama dhidi ya watu weusi ‘Black Masiah’ alihakikisha hazaliwi au hapatikani mtu huyo, na wale wachache walio epuka mtego wa dawa za kulevyia ulio wekwa na CIA, walikutwa na matundu ya risasi vichwani mwao kama Martin Luther King, Malcom X, 2Pac Shakur na wengine na wengine..)

ITAENDELEA ...


No comments:

Post a Comment