Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Tuesday, May 21, 2013

FREEMASONRY WANAFANYA NINI NA MALENGO YAO NI YEPI? Part V



Tunaendelea na safari, lakini leo tunatizama kwaenye upande wa KUPUNGUZA IDADI YA WATU


Wananchi hawawezi kusimama tu na kuwaachia watu wengine maaisha yao wayatawalie, kabisa
“Kama ningeweza kurudi tena duniani baada ya kufa, ningependa nirudi duniani kama kirusi kinacho uwa, ili niweze kuuwa watu na kupunguza idadi ya watu duniani. “– Prince Philip, Duke wa Edinburgh.
I dadi ya watu duniani ni kubwa mno kutokana na maelezo ya maadui zetu. Suluhisho lake ni kuwa wameandaa mpango ambao utahakikisha idadi hii inapungua na kuwiana na malengo yao.
Kunazo njia nyingi na mipango ambayo nafanyiwa kazi na kutekelezwa kikamilifu na maadui zetu ilikuweza kukamilisha mpango mzima, mipango hiyo inalenga kupunguza idadi ya watu na kufikia bilioni 2 mpaka milioni 500 ikiwezekana kutoka kwenye idadi iliyopo sasa ya watu bilioni 6-7.
Zipo njia kuu tatu ambazo maadui zetu wamekuwa wakizitumia kufikia malengo yao ya kupunguza idadi ya watu. Moja ni mazingira hasi ya kiuchumi na kijamii yanayo tengenezwa kwa kupitia serikali za kitaifa na mashirika ya kimataifa, mazingira hayo yanapelekea kuwepo kwa ukame mkubwa, upungufu wa chakula na njaa kwa kiasi kikubwa na kwenye maeneo makubwa ya watu. Taktibani watu milioni 40 hufa kwa njaa kila mwaka. Na hivi karibuni shirika la chakula duniani limetangaza na kuwashauri watu kuwa inafaa BINADAMU SASA KULA WADUDU KWASABABU HAKUNA CHAKULA.





WEWE NI SARATANI LAZIMA UFE, LAZIMA UONDOLEWE KWA GHARAMA YEYOTE, HAPO UNAAMBIWA UCHAGUE KUFA ILI WENGINE WAFE, 'SAVE THE PLANET' au 'MAKE SPACE FOR NATURE.'

Njia nyingine inayo tumiwa na maadui zetu ni vita. Wanatengeneza vita, chuki, majeshi na vikundi mbalimbali vya waasi. Madhila ya vita ni mengi, mbali na kuuwa watu lakini shughuli zote za uzalishaji ikiwemo kilimo vinazimika kabisa, hivyo kila mwaka mamilioni ya watu wanakufa, lakini pia kutokana na aina ya siloaha zinazo tumika mamilioni mengine nayo wanazaliwa walemavu wa aina kwa aina ambazo siku zao za kuishi ni zakuhesabika.
Mwisho kabisa wanatumia njia ya kutengeneza na kusambaza magonjwa ambayo nayo yanapelekea kuwepo kwa majanga mbalimbali kwa kiwango kikubwa mno.
Tumeshuhudia kwenye karne ya 20 ilivyo kuwa karne mbaya katika historia ya binadamu, njaa, ukame, magonjwa, yameweza kunyakua maisha ya mabilioni ya binadamu. WWI na II, uongozi wa kina Mao, Pol Pot, Stalin, Hitler, Reagan, Bush na wengine umeweza kuchukua uhai wa mamia ya mamilioni ya watu. Katika karne hii ya 21, tunaona majanga yale yale yakiendelea kutengenezewa barabara ya kuwamaliza binadamu, ambapo njaa, ukame na magonjwa yanaendelea kuvunjwa rikodi ya kuchukua uhai wa watu. Vita navyo vinaendelea kuvunja rikodi za kipindi cha nyuma kwa kuchukua maisha ya watu. Iraq peke yake uwanja wa vita umekula maisha ya watu zaidi ya milioni 2.



Lakini pia kunayo sehemu kubwa ya vifo vitokanavyo na njaa, ukame, vita ambavyo havijaripotiwa, au kupewa uzito unao stahili. Mathalani kile kinacho tokea Congo, zaidi ya watu milioni 4 maisha yao yamekwenda na mgogogoro huo, na bado vurugu hilo linaendelea, lakini hakuna juhudi za kutosha kuona mzozo huo unakwisha. Lakini ni vipi kwenye dunia hii ambayo silaha ni moja ya bidhaa zinazo uzika na moja ya biashara katika biashara kuu tatu zenye faida kubwa kuliko duniani, kwamba ate kwa moyo wa dhati kabisa watu watajitolea kumaliza mzozo wa kivita? 

Juu ya hapo ni mashindano ya mataifa mbalimbali kuja na silaha bora zaidi za maangamizi dhidi ya umma, tena silaha zenye faida kubwa mno kwenye soko la silaha, hamu na juhudi ya kuzitumia silaha hizo na juu ya kile kinacho itwa WWIII, ambacho kinasemekana kipo njiani, yote haya, yanatuhakikishia kuwa ripoti ya Karne ya 20, na karne zilizo tangulia kama ukipenda, hazitakuwa chcochote dhidi ya takwimu mpya zitakazo wekwa na malaa haya ya kutengeneza kama gharama ambayo haina budi kukubaliwa kwa manufaa ya ajenda.



Kutokana na maandishi ya asasi moja ya siri inayo kwenda kwa jina la Club of Rome au Committee of 300 ni kwamba idadi inayo tajwa ‘kuzidi’ kutokana na malengo ya ajenda ni kama ;walaji wasiyo na manufaa’, ambao kwa gharama yoyote ile lazima waondolewe, kadiri idadi ya watu inavyo zidi kupanda kwenye uso wa dunia, mbinu mbalimbali za kuimaliza idadi hiyo, zinabuniwa na kutekelezwa kila siku, mchana na usiku. Kumbuka idadi inayo takiwa kutoweka ni bilioni 4-5 ya watu wote duniani, kwa ajili ya kufikia huko, chanjo zinakaribia kufanywa ni lazima kwa baadhi ya nchi, Malawi watu wanalazimishwa kupokea chanjo kwa mtutu wa bunduki, Malawi mzazi mmoja maehukumiwa kwenda jekla miaka 2 pamoja na kazi nzito kwa kuzuia watoto wake wasipokee chanjo. Sote tunajua chanjo ni bomu linalo muuwa mtu taratibu, tunajua chanjo zimebeba wadudu na virusi mbalimbali ambao taratibu wanaumaliza mwili wa binadamu, zipo taarifa za kutosha ya namna gani chanjo zimetengenezwa na zinatumika kwa ajili ya kumaliza idadi ya watu duniani, huenda tukupata muda huko nbeleni tukaizungumzia chanjo peke yake na madhara yake.




Kwa ajili ya kufaniisha hilo wamekuja na magonjwa mbalimbali, Ukimwi na Ebola ni miongoni mwao, lakini pia inasemwa kipo kikubwa zaidi kinacho andaliwa ambacho punde kikiachiwa, kitafanikisha kwa kiasi kikubwa kumaliza idadi ya watu kwa kiwango wanacho kihitaji, kiuhakika kwenye mabitabu yao wewe huonekani kama binamu, bali wewe ni sawa na SARATANI, AMBAYO INAIMALIZA HII DUNIA, ILI DUNIA IPONE SARATANI LAZIMA IONDOLEWE, BINADAMU LAZIMA AONDOLEWE KWA IDADI KUBWA.

BILL GATE, MMOJA WA VINARA WA NWO, NA AMBAYE AMEAMUA KUTUMBUKIZA MABILIONI YAKE KUHAKIKISHA ANAONDOA KILA AINA YA UWEZEKANO WA UHAI KWENYE DUNIA HII.

Mwaka 1979, mahala panapoitwa Elbert Country, Georgia, Marekani, vilijengwa vitu vinavyo julikana kama ‘Stonehenge’, silabu hizo zenye urefu wa futi 20 kwenda juu, ilikuwa na kitu kingine cha ajabu kidogo, zilikuwa na kitu mfano wa amri kumi, lakini hizi zilikuwa si amri kumi za Mungu kwenda kwa Musa, ispokuwa mari kumi kutoka kwa maadui zetu kuja kwetu, nazo zinasomeka hivi,

1. Simamia idadi ya watu duniani isizidi watu 500,000,000, ilikuweza kuweka usawa baina ya idadi ya watu na rasilimali za asili.
2. Simamia uzalishaji kwa busara.
3. Waunganishe watu na lugha mpya iliyo hai.
4. Mataifa ya ishi kitaifa, matatizo yao yatatuliwe kimataifa.
5. Kuwepo na sharia kali.
6. Haki za mtu ziende sawa na majukumu yake kijamii.
7. Lakini usiwe SARATANI Duniani, acha nafasi kwa uoto wa asili= wacha nafasi kwa uoto wa asili.

 Kwa uchache tu ni kama hivyo hapo juu, kwanza idadi ya watu inatakiwa isizidi watu 500,000,000 na pia mwisho pamesisitiziwa kuacha nafasi kwa ajili ya mazingira, tusiewe SARATANI, yaani tusizaliane kwa wingi kama seli za saratani ambazo huzaliana kwa wingi na hakuna zinacho fanya ispokuwa maangamizi ya mwili husika.

Lakini pia maandalizi yametakiwa yafanyike kwa ajili ya lugha moja tu, watu wote watatakiwa kuzungumza lugha moja tu, lugha hiyo ipo na tayari imeshaanza kufanyiwa majaribio. Ujumbe kwenye silabu hizo umerudiwa mara 8 kwa lugha 8 tofauti, kichwa chake cha habari kimeandikwa na lugha nyingine nne tofauti, lakini ni lugha za kale mno, hakuna aliyejitokeza kusema kuwa sialabu hizo zimejengwa na nani au kwa malengo yapi, zimeachwa kama vile zimezuka zenyewe kutoka aridhini.





STONEHANGE OF GEORGIA, ALIYEWEKA NA SABABU ZA KUWEKWA KWAKE HAZIJULIKANI

Kwa sasa idadi ya watu inaongezeka kwa kasi … kwa sasa vita havina athari kubwa kwenye kupunguza idadi hiyo … sidanganyi ninapo sema kuwa uzazi wa mpango ni njia ya pekee ambayo ukuaji wa idadi ya watu unaweza kupunguzwa. Zipo nyingine pia … kama Black Death ingeweza kuja tena na kusambaa duniani kote, mara moja kwa kila baada ya kizazi kimoja, wale ambao wangebakia, wangeweza kuishi kwa uhuru bila kuifanya dunia kuwa ndogo kutokana na idadi kubwa ya watu … hali inaweza kuonekana ni mbaya … lakini hapa zipo njia tatu tunazo weza kuzitumia kupunguza idadi ya watu na kuhakikisha haiongezeki, Y akwanza ni UZAZI WA MPANGO, ya pili, ni VITA MABAVYO VITALETA MAANGAMIZI MAKUBWA, nay a tatu, ni UHARIBIFU NA MAJANGA YA KUTISHA KWA WATU WOTE ISPOKUWA KWA WATEULE WACHACHE. (Bertrand Russel -  The Impact of Science on Society, 1953)

1 comment: