Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, May 16, 2013

FREEMASONRY WANAFANYA NINI NA MALENGO YAO NI YEPI? Part III


            WAPENDWA MTANANGE WETU BADO UNAENDELEA, MTANIWIA RADHI NINAPOSHINDWA KUPOST KWA WAKATI, HII NI KUTOKANA NA MAJUKUMU MENGINE YANAYO NI BANA, LAKINI TWENDE PAMOJA...... TUNAENDELEA TULIPOISHIA JANA ... 

             Leo hii, N.M Rothschild & Sons ni benki ya kuu ya uwekezaji ambayo ipo nje ya London. Ni moja kati ya 10 bora benki za uwezeshaji duniani. Mwaka 2007 benki hii iliweza kutengeneza faida ya kiasi cha dola bilioni 566. Hicho ni kile kinacho fahamika kama ‘taarifa rasmi’ lakini wanazo benki duniani kote, ambazo zinawawezesha kuwa na maamuzi ya kiuchumi kote duniani.

             Rockefellers wanamiizizi mirefu ndani ya Marekani, walianza kwenye karne ya 19, kwa msaada wa fedha toka kwa JP Morgan ambaye naye aliukwaa utajiri huo kupitia kwa ushawishi wa Rothschild. John D. Rockefeller alipewa fedha hizo kwa ajili ya kazi ya kusimamia na kuendeleza malighafi zihusianazo na mafuta.
Rockefeller fedha zao nyingi zinafichwa kwenye taasisi mbalimbali za kijamii walizo anzisha na ambazo zina majina na maaudhui ya kusaidia jamii, kama vile The Rockeffeller Foundation.

             Mwaka 1913 The Rockefeller Foundation ikawa moja wa wadhamini wakubwa kwenye tafiti za utabibu. Iliwachagua wanasayansi na madaktari ambao walionekana wanafaa kudhaminiwa kwenye tafiti hizo. Msisitizo ulikuwa ni kwenye madawa namna gani madawa yanafanya kazi mwilini na namna gani mwili unapata athari kutokana na madawa hayo. Tafiti hizo zikarudishwa vyuoni, hasa vyuo vya udaktari na kuwapatia madaktari matokeo ya tafiti hizo, yaani aina ya dawa zilizo patikana, nazo ziwe kwa ajili ya kutibu watu, LAKINI KILA MWENYE AKILI HAAMBIWI TIZAMA, LEO NI DAWA NDIYO ZINAZO UWA WATU. Mpaka leo tafiti hizo bado zinaendelea. Aina hii ya hadithi tuipata katika kila Nyanja au sekta ambazo ‘aina hizi’ za mashirika zimeweka fedha zao.



             Kwenye mambo ya kibenki Rockefeller nao ni wazima, walikuwa wanamiliki Chase Bank tangu 1930, halafu wakaja wakaigawanya, Rockefeller akapatiwa Equitable Trust Company ya New York pamoja na Chase National Bank. Kutoka mwaka 1970 mpaka 1980 Chase Manhattan ilisimamiwa na kuendeshwa na David Rockefeller.

“…Kuna ambao wanaamini kwamba sisi (familia ya Rockefeller) ni sehemu ya mtandao wa siri unao fanya kazi zake dhidi ya Marekani, kinyume cha matakwa ya Marekani, wanaitangaza familia yangu na mimi mwenyewe kama ‘internationalists’ na wenye njama tukishirikiana na wengine kote duniani kuunda aina ya mfumo wenye maingiliano ya kisiasa na kiuchumi – dunia moja (serikali moja ya dunia). Kama haya ndiyo mashtaka yangu, basi ni kweli ninakiri kuwa na hatia hiyo (nakubali mashtaka), na nina jivunia kuwa na hatia hiyo.”(David Rockeffelee, Memoirs, 2002)

“Tunawashukuru sana Washington Post, The New York Times, Time Magazine na wachapaji wengine wakubwa wa habari ambao wakurugenzi wao wamehudhuria vikao vyetu na wakatimiza ahadi zao za kutokuandika chochote kuhusiana na vikao hivyo kwa karibu miaka arobaini. Ingelikuwa vigumu sana kwa sisi kuendeleza mpango wetu wa kuitawala dunia kama tungekuwa tunamulikwa na kuandikwa na vyombo hivyo. Lakini sasa dunia imeshaiva na iko tayari kuelekea kwenye New World Order…” (David Rockeffeler, alipokuwa akizungumza kwenye mkutano wa asasi ya siri inayo kwenda kwa jina la Bilderberg Group, mkutano huo ulifanyikia Baden, Ujerumani)



J.P Morgan

             J.P Moragan alikuwa kama wakala au ‘mpambe’ wa karibu wa Rothschild. Anayo historia nzuri ya kutajirika kutokana na majanga, yaani wengine wanapo kuwa kwenye maangamizi na maporomoko, eyey ndiye anapo tokea hapo, walisema waswahili, “Kufa kufaana..”, hivi sasa familia hiyo imejiweka vizuri au imo ndani au ndiyo wamiliki wa Chase Bank na CitiGroup. Bank hizi mbili zinatajwa vizuri kama ndiyo vinara wa anguko la uchumi la mwaka 2008, na wao walifaaidika vizuri sababu raisi waliyo muweka madarakani, Bush alikuja na ‘Bail Out’ ambayo ni kutoka kwenye kodi ya wananchi, benki zikalipwa iliziendelee na kazi nzuri ya kupora fedha za wananchi, na wakati huohuo walipa kodi wakipoteza nyumba zao, peshseni zao, kazi zao, na hilo halikuwa kwa bahati mbaya, historia ni kama inajirudia rudia, kila mara, kwa mikono ya watu wale wale, sura zile zile, mbinu zile zile, lakini wengi wetu tumelala fofofo …. Zzzzzzzzzzzzzz!

“Watu hamsini wameiendesha Marekani, na idadi hiyo ni kubwa mno” (Joseph Kennedy, baba wa JFK, KWENYE The New York Times, July 26, 1936)

“… Pale ambapo mapambano yataonekana kuhama na moja kwa moja kuonekana yanaelekea kwenye mfumo mpya wa kiutawala wa kidunia, bado kutakuwa na vikwazo vikubwa na ucheleweshwaji wa kufikia hatua hiyo, na kabla mfumo huo haujawa imara na wenye manufaa kwa walimwengu na ulimwengu. Watu wasio na idadi … wataichukia New World Order … na watakuawa tayari kufa kuipinga. Tunapo zichambua faida za New World Order, tuwe tunakumbuka kuwa na madhara gani yatawapata watu au kwa maneno mengine kundi la wapingaji wa mfumo huo, ambao wengi wao ni watu makini, wenye roho za kizalendo na ujasiri.”  (H. G Wells, kwenye kitabu alicho kiita The New World Order)

“Hii ni hatua nyingine katika maendeleo ya binaadam katika kipindi cha katika ya miaka 20 na 30 tutakuwa na serikali ya dunia hili ni jambo isilo weza kuzuilika”

Mwanamasonia mwingine wa daraja ya juu kabisa na mwanastratejia wa New World Order, bwana Zbigniew Brzezinski naye katika maka 1970 aliweka hili hadharani;

“Sina wasiwasi kuwa serikali ya dunia itatokea katika zama zetu .... hatuwezi tukaihamisha dunia yetu katika hatua moja na ya haraka ... hatua za muhimu kwa ajili ya kulifikia lengo hilo ni kuendelea kuanganisha mabara kwa njia hii tunaelekea katika kitu kimoja kikubwa chenye nguvu na chenye ushirikiano”

Maneno hayo ya Zbigniew Brzezinski hayatofautiani na maneno ya Freemasons mwenzake bwana Stalin aliposema;

“Baadaye maeneo tofauti (mabara) yataungana na kutengeneza dunia moja yenye utawala mmoja wa kidikteta”

            Masonia mwingine anayejulikana sana bwana James Paul Warburg alisema kwenye baraza la Seneti la Marekani la mwaka Februari 17 mwaka 1950 kuwa;

“Lazima tutakuwa na Serikali ya Dunia, ikiwa tunataka au hatutaki lazima tuwe nayo. Swali kuu ni moja tu ikiwa serikali ya dunia itapatikana kwa nguvu au kwa mashauriano lakini lazima iwepo”.



No comments:

Post a Comment