GUYS NIMEKUWA KIMYA MUDA KIDOGO, KUTOKANA NA HITILAFU ZA KIUFUNDI, HASA 'SECURITY' ESSUE ZA KIMTANDAO KWENYE BLOGGER YANGU, NA NAONA GOOGLE HAWANA USHIRIKIANO KABISA KWENYE HILI.
NAFIKIRIA KUHAMIA PLATFORM NYINGINE, LAKINI KWANZA NIKAONA NI VYEMA KUWASHIRIKISHA WADAU WANGU.
UWANJA NI WENU KWA MICHANGO NA MAONI .....
NAFIKIRIA KUHAMIA PLATFORM NYINGINE, LAKINI KWANZA NIKAONA NI VYEMA KUWASHIRIKISHA WADAU WANGU.
UWANJA NI WENU KWA MICHANGO NA MAONI .....
Assalaaam alaykum warahmatu llaaah wabarakaatuh,hebu Hama maana kila siku nachungulia sioni kitu,nasema vp tena Hama ss tunataka Hayo maarifa Kaka
ReplyDeleteTuhame tuu,tumechoka kusubiri Wallah
ReplyDeleteAngalia njia nzur kwako kisha utujuulishe
ReplyDeleteTupo pa1
Kaka hamisha contents kwenda Wordpress kama Google wanasumbua....nadhani itakua sehemu nzuri kwa sasa.
ReplyDeleteIkoje hiyo hali broo
ReplyDeleteKoz namna hii sisi wengi tumeshazoea so Fanya juu chini tusikupoteze.....
Ila hatutaki kukukosa Inshallah
ReplyDeleteWe Fanya uliwezalo ila ukihama hama na sisi wote.
kutengeneza app haiwezekani?
ReplyDelete