Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, July 28, 2016

MFALME OBAMA


Wadau!

Kweli mambo ni mengi, nilikuwa nataka kuiweka ubaoni posti inayo kwenda kwa jina la “Mfalme Obama kurithiwa na Malkia Hillary

Lakini kwenye kumbukumbu zangu nilishawahi kuandika posti ya ‘Mfalme Obama’ ambayo nilihitaji kuitaja kama reference kwenye posti hii mpya, kilicho ni shangaza ni kuwa posti hiyo sikuibandika hapa, nikapitia posti zote nilizo bandika sijaiyona.

Sasa itabidi niahirishe posti ya ‘Mfalme Obama kurithiwa na Malkia Hillary” ili niibandike kwanza hii ya ‘Mfalme Obama’, sababu hii inatoa picha nzuri na nafasi nzuri ya kuelewa namna gani mrithi anayefuata ni Hillary na siyo Trump.

Lakini kama posti hii nilishaiweka kwa jina jingine tafadhali nikumbusheni nami nitaitoa mara moja na kuiweka hii niliyo isubirisha, otherwise keep enjoy and being educated at the same time with this blog!!!


Kikaragosi kikimuonesha Obama mithili ya mtawala wa iliyo kuwa Dola ya Roma.


Serikali zinahitaji kuwa na hawa watu wawili, wachungaji na wachinjaji

Voltaire  mwanafalsafa wa kifaransa (1694 – 1778)



Nenda, kwani wanakuita wewe, u mchungaji, kutoka mlimani

Matthew Arnold (1822 – 1888)

Thursday, July 21, 2016

NAMTAFUTA MUNGU Ep: 6 (Episode Finale)



Kuna somo la mahesabu katika Quran, ningependa nalo hili tulitupie macho kidogo.

Mahesabu ndiyo lugha ya sayansi, na mahesabu ndiyo lugha moja inayowezwa kuzungumzwa kote ulimwenguni, na ndiyo lugha ambayo haiwezi kuathiriwa na muda.