Rain
Man
Kuna
maneno mawili kwenye hili, kuna Rai na kuna Man, tunapo zungumzia ‘RAIN’ tukija
kwenye fasiri ya kiswahili ni mvua, yaani kile chenye kutiririka kutoka
mawinguni baada ya kupitia utaratibu maalum. Tukienda kwenye Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008
Microsoft Corporation tunakuta
kuna maana kadha ya neno ‘RAIN’
NOUN
1,
|
water falling from clouds: water condensed from vapor in the
atmosphere and falling in drops from clouds
|
2.
|
period of wet weather: any storm, shower, or other quantity of
water falling from the sky
|
3.
|
rainy weather: weather marked by heavy or persistent
rainfall
VERB
|
4.
|
great number or flow: a great number of small individual
things coming in a steady flow or anything else flowing or falling like
rain
· A rain of dust fell from the crumbling
ceiling.
|
transitive and intransitive verb come in great number: to
come or fall in the form of a great number of units arriving separately
but in very quick succession or in a continuous stream, or drop or
deliver something in this way
· Missiles
rained down on us from the defenders on the battlements.
· Reporters
rained questions on the beleaguered police chief.
|
3.
|
transitive verb give something generously: to
give somebody something in large quantities, continuously, and over a
considerable period of time
· Generous
to a fault, they positively rained gifts on all their friends.
|
|
|
|
Hata
hivyo ‘RAIN’ inapotumika kama jina la mtu inakuwa na maana tofauti kidogo. Kutoka
kwenye ukurasa wa name-meanings.com tunajifunza kuwa jina hilo lina maana ya ‘ZAWADI ZISIZO NA IDADI
KUTOKA JUU’
Hivyo
basi tukichanganya RAIN+MAN, tunakuja na tafsiri zifuatazo.
1.
Yule ambaye
anatiririsha zawadi kutoka juu.
2.
Yule ambaye
anapenda ‘ku-make it rain’ kwa kurusha hela nyingi, kugawa hela nyingi bila
hesabu.
3.
Yule ambaye
anayo uwezo wa kukupatia mwanamke au mwanaume yeyote unaye mtaka.
4.
Yule ambaye
nayo uwezo wa kukupatia umaarufu au kukufanya tajiri.
Unapo tizama video ambazo neno hili limetumika, basi utaona
matumizi yake yanawiana na maana hizo nilizo orodhesha hapo juu.
Rudia kuzitizama nyimbo nilizo taja katika posti ya http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/freemason-na-muziki.html utaona baadhi ya nyimbo hizo zikiwiana na maana hio hapo juu. Utaona
katika nyimbo hizo pesa zikirushwa kwa wingi kutoka juu, hata hapa kwetu kunayo
baadhi ya wanamuziki wanafanya hivyo katika nyimbo zao, sina hakika kama
wanafahamu wanacho fanya au ni ile biashara ya ‘ku-copy na ku-paste’.
Wanapo fanya hivyo, hiyo ni alama mahususi inayo mwakilisha
SHETANI,
Kama nilivyo sema kwenye posti ya http://salimmsangi.blogspot.com/2013/05/je-kanumba-aliwahi-kuwa-ni-freemason_25.html wanamuziki wengi kwenye nchi zilizo endelea wanacho kitu
wanachokiita ‘SEL YOUR SELF TO THE DEVIL’ wanatumia njia mbalimbali kukubali au
kuthibitisha kwa umma kwamba wao wamezitoa roho zao kwa shetani, wanaweza
kukiri waziwazi kwa njia ya mahojiano, au mbele ya mashabiki wao wakati wanatoa
burudani au kwa kupitia nyimbo na vidio zake.
Katika hali kama hiyo baadhi ya wanamuziki wanakuwa ni ‘MIND CONTROL’
kabisa, wengine wanakuwa watumiaji wazuri wa mihadarati mbalimbali ili
waendelee kutawaliwa na maono ya kishetani na wakati wengine wanakuwa
wanamilikiwa na shetani kabisa huku kwetu tunasema kuwa na mapepo.
Jay Z Katika mahojiano amekiri kuwa ;RAIN MAN’ ndiye
anayemuongoza kuandika wimbo, pia RAIN MAN humfanya katika mashairi yake atiririshe
na kutaja nambari za ajabuajabu.
Kwenye wimbo wa RAIN MAN ulifanywa na Eminem, kabla wimbo huo
kumalizika, Eminem anasikika akitaja nambari za ajabuajabu ambazo hazina maana
yeyote kwa msikilizaji, unaweza ukutafuta wimbo huo na kuusikiliza.
Rain
Man anakuwa yupo kazini wakati huo ... Tchao
Hee hata celine dion kwenye new day
ReplyDelete