Wanasema
ilianzia kwenye vidio ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’
Ujumbe
wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia
Illuminanti wao na yeye sasa ni basi.
Katika
wimbo huo Michael Jackson anaonekana akitakaswa na maji matakatifu, sauti ya
shetani akiwa amekasirika inasikika, Michael Jackson anazaliwa mara tatu kama
alama ya ‘kuzaliwa upya, kuwa mtu mpya na kuachana na mambo ya kale, kisha
najipongeza mwenyewe kwa hilo, anapiga magoti mbele ya Mungu na kuwa huru
kutoka kwenye mikono ya illuminanti.
Kisha kachukua maji matakatifu na
kuyamwagia kwenye alama ya ‘ROYAL ARMS’ na ‘Royal’ ikiwa na maana ya ‘Royal
Bloodline’ ambazo nazo zipo 13. Mwishowe Michael anabadilika na kuwa ‘panther’.
Lakini kabla ya hapo alivunja kioo cha gari kilicho andikwa ‘NIGGER GO HOME’ na
na ndani ya maneno hayo nambari ‘666’ ikiwa imefichwa ndani yake.
Akavunja bango
la ‘KKK’ ambapo ‘K’ ni herufi 11 kwenye alfabeti,hivyo 11x3=33, lakini pia ‘KKK’ inasimama
badala ya jina la Ku Klas Klan, ambalo ni jina la kikundi cha Illuminanti,
kilicho undwa na Albert Pike mwana masonia wa daraja la 33, kikundi hichi ni
cha kibaguzi na kinahusishwa na kila aina ya uchafu unao fanywa na Illuminanti
dhidi ya watoto, wanawake na watu wa matabaka mengine.
Mwishoni
Michael Jackson alipogeuka ‘Panther’ ambapo panther inawakilisha, nguvu, uhuru,
kuzaliwa upya baada ya mateso, yaani kuwa mtu mpya. Miaka 3 baada ya wimbo huo
hadithi ya Michael Jackson kwenye vyombo vya habari ikabadilika.
Miaka
17 iliyo fuata Illuminanti walikuwa kwenye vita kali na Michael Jackson, kwa
miaka yote hiyo walifanya kazi kubwa ya kuibomoa taswira yake kwenye vyombo vya
habari na kwenye macho ya walimwengu.
Hawakutaka
kumuua kipindi hicho kwa sababu hilo lingezindua watu, walimwengu wangeona kuna
ambacho hakipo sawa, hivyo ilihitaji mpaka muda maalum, wakati muafaka.
Ingawa
Michael Jackson hakung’ara na kupanda chati kwa sababu ya ‘ku-sale his sole to
the devil’ lakini kwa sababu ya kipaji chake, lakini hata hivyo Illuminanti
hawakupoteza malengo yao, walimtumia Michael Jackson kwenye kazi zake kutukuza
na kutangaza ushetani.
Wimbo
kama ule wa ‘Thriller’ na ‘Beat it’ utakuta kwenye mashairi yake kumebeba
vionjo vya kishetani.
Kwa
Illuminanti ‘mtu mweusi’ ni sawa na mnyama, yaani thamani yake ni ndogo, yaani
siyo binaadam kamili, hili linahitaji mtiririko wa post kadhaa iliuweze
kuelewa, lakini unapotizama filamu za Hollywood, unapotizama sera za nchi za
Ulaya dhidi ya nchi za kiafrika, unapotizama matukio ya ubaguzi kote duniani,
hutachelewa kuona kuna tatizo la makusudi la kutengenezwa dhidi ya matabaka na
rangi za watu.
Hivyo
Michael Jackson naye ‘weusi’ wake ulikuwa ni shida kwenye kipaji chake, ‘baniani
mbaya kiatu chake dawa.’
Vipi
basi mtu mweusi awe ‘KING OF POP’ na abakie kama kama mtu mweusi, na akumbukwe
kama mtu mweusi, hapana hili hata kidogo haliwezekani, hata kidogo haifai mtu
mweusi kuwa ‘king of pop’ kazi ya ziada ikafanyika na Michael Jackson
akaambukizwa au akatiwa ugonjwa wa ngozi unao fahamika kama ‘VITILIGO.’
Kwenye
mahojiano ya mwaka 1993, Michael akasema kuwa ‘Baba aliniambia kuwa ugonjwa wa
ngozi wa Vitiligo upo kwenye damu ya familia yetu”
Lakini
ajabu ugonjwa ulimpata Michael Jackson peke yake ambaye ametokea kuwa ni King of
Pop.
Kabla
ya ‘Thriller’ MTV, walikataa kuonesha kwa watazamaji wake wimbo wowote wa
Michael Jackson.
Kwanini?
Michael
Jackson ni MWEUSI.
Nafasi ya Walter iliwafanya MTV waanze kurusha vidio ya ‘Billie Jean’ na ‘Beat
it’.
Bahati
mbaya ni kuwa Thriller ilikuwa ni kama barabara ya kumfanya Michael kuwa
kikaragosi cha Illuminanti, kuanza kumtumia Michael na kipawa chake kuingiza
maono ya kishetani kwa umma. Safari hiyo ilikuwa ni muhimu kufanyika kabla
hawajamfanya Michael kuwa ‘White Man’ yaani kabla hawajampatia ugonjwa wa
vitiligo ulio badilisha ngozi yake.
Dada
yake na Michael, Latoya Jackson alikuwa na haya ya kusema kuhusu kifo cha kaka
yake.
"I believe Michael was
murdered," she said. "I felt that from the start. Not just one person
was involved, rather it was a conspiracy of people. He was surrounded by a bad
circle. Michael was a very meek, quiet, loving person. People took advantage of
that. People fought to be close to him, people who weren’t always on his
side."
"He had needle marks on his neck
and on his arms and more about those will emerge in the next few weeks,"
she said. " I cannot discuss that any further as I may jeopardize the
investigation. I can, however, say that I have not changed my mind about my
feeling that Michael was murdered."
"I am going to get down to the
bottom of this," she said. "I am not going to stop until I find out
who is responsible. Why did they keep the family away? It’s not about money. I
want justice for Michael. I won’t rest until I find out what -- and who --
killed my brother."
Michael
Jackson alifahamu kuwa Illuminanti wanataka kumuua. Mwili wake ulipatikana na
majeraha kadha ikiwemo shingoni na magotini, pia inaonesha kuwa alidondoka
sakafuni kabla ya kifo chake, yaani alikuwa akipambana dhidi ya muuaji kuokoa
uhai wake.
Latoya
alipoulizwa ni nani aliyemuuwa Michael alijibu ....
“Doctor
unaye muona, anaye tajwa kama msababishi wa kifo, ni kinga, yupo nyuma yake
watu waliotaka Michael Jackson afe.”
Wakati wa
shitaka la mara ya pili la Michael lililomalizika Juni 13 2005, wazazi wa
Michael walimuita rafiki yake na Michael Dick Gregory, ambaye alikuwa ni rafiki
mzuri wa Michael, walimuomba amtembelee Michael maana hayupo vizuri hata
kidogo.
Baada
ya siku chache Gregory alirudi na Michael kwenye jumba lake la Neverland.
Michael alimkumbatia na kumuambia tafadhali usiniache wanataka kuniuwa.
Gregory
akamuuliza Michael lini ilikuwa mara yake ya mwisho kula maana anaonekana
kudhoofu, Michael akamjibu, “ wanataka kuniuwa kwa sumu”, akamuuliza ni lini
mara ya mwisho amekunywa maji, Michael akamjibu, “Wanataka kuniua”
Gregory
akamchukua Michael na kwenda naye kwenye hospitali ya karibu lakini mbali na
Neverland bila kumuarifu mtu yeyote kwamba anakuja hapo na Michael Jackson, na
akatundikiwa dripi kutoka 11:30 jioni mpaka 11:30 asubuhi na siku iliyofuata
kwa masaa 24 akawa kwenye drip bila kupumzika, Dr. Aliyekuwa akimuhudumia
akasema lau asingefika kwa wakati basi masaa mengine 12 angelikufa.
Utaona
hapo kuwa Juni 2005, illuminanti walikuwa wakifanya jaribio la kumuuwa Michael
tena, lakini lilishindikana, lakini Juni 2009 walifanikiwa kutekeleza azma yao
baada ya kumtumia mtu ambaye Michael alimuamini zaidi, Daktari wake, Conrad
Murray.
Michael
alikuwa na nguvu za kutosha, dokumentari kadhaa zimetolewa zikimuonesha wiki
kabla ya kifo chake, alionekana yuko safi, na akifanya maandalizi ya ‘tour’
yake ya London aliyoipatia jina la ‘THIS IS IT’, Tetesi ni kuwa kwenye Tour
hiyo Michael kati ya mengi aliyo kuwa nayo ilikuwa ni kuufumbua macho ulimwengu
kuhusiana na madhila na ubaya wa Illuminanti, lakini jamaa nao walishaiona
hatari hiyo na hawakuwa na muda wa kupoteza, ndipo daktari ambaye pia ni
Freemason alipochukua jukumu hilo zito la kumuangusha King of Pop.
Very interesting story if u don't mind tell us more about him with fight of illuminate
ReplyDeleteI'll see on that.
ReplyDeleteDuh yan umenfumbua macho ila naomba uweke clip za mazoezi ya this is it a kuhusu kanumba na sharo uja2ekea habari zao
ReplyDeleteDuh yan umenfumbua macho ila naomba uweke clip za mazoezi ya this is it a kuhusu kanumba na sharo uja2ekea habari zao
ReplyDeletekwa faida ya wengine video ya black or white inayozungumziwa hapa siyo ile official yaani hii https://www.youtube.com/watch?v=F2AitTPI5U0
ReplyDeleteila ni ile nyingine ambayo utaiona ukibonyeza hapa....https://www.youtube.com/watch?v=-Z-88QcM0sA
Hichi ndicho nilichokizungumzia hapa
Deletehttps://www.youtube.com/watch?v=BaPVGimRnog
Enter your comment...it's so sad
ReplyDeletewaaaa! nyc
ReplyDelete