Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Wednesday, August 21, 2013

TAFSIRI YA MOTO, MWENGE KWA FREEMASON


Baada ya raisi Kennedy kuuwawa mwaka 1969, Scottish Rite Freemasonry, walisimamisha mnara, ‘obelisk’ Dealey Plaza na juu yake wakaweka ‘moto wa kimasonia’ (mwenge). Lakini kama hilo halitoshi kwenye kaburi lake wamewasha moto ambao unawaka mpaka hivi leo, ‘eternal flame’.




Juu ya Pont de L’Alma, mahala ambapo Malkia Diana aliuwawa baada ya gari yake kugongezwa kwenye nguzo ya 13, Illuminanti wamesimamisha hapo ‘moto wa dhahabu wa kimasonia’, (mwenge). Mwenge huo umesimamishwa juu ya nyota yenye ncha tano.



Kwenye kaburi lake Diana nako wameweka mwenge. Kwenye eneo ambalo ilikuwepo minara miwili ya WTC, mara baada ya minara ile kwenda chini nako waliweka mfano wa mwenge kama walivyoweka kwenye kaburi la Diana.

Kwenye New York Harbor utaona sanamu la Statue of Liberty, ambalo nalo limesimama na limeshikilia ‘mwenge’ au moto wa kimasonia.
Dhana ya kutumia ‘mwenge’ kwa freemason, ni kuwa mwanga unatoa nuru, yaani wao wanaitikadi juu ya nuru hiyo kuwa na elimu iliyo porwa kutoka kwa waungu na kupewa binadamu wachache kutoka kwenye kiazi maalum.













Alama nyingine zinazotumiwa na Freemason ni Moto ambao kwa wao ina maana ya elimu mara nyingi sanamu la Libert lililoko New York linawakilisha alama hiyo, walipomua Kennedy na Malkia Diana wakaweka alama hiyo kwenye makaburi yao.



       “Lucifer, anaye beba nuru! Inashangaza na ni ajabu jina hili kupewa Roho ya Kiza! Lucifer, nyota ya alfajiri! Ni yeye ndiye abebaye nuru, na kwa miali yake mikali yenye kupenya, na kutia upofu macho ...”



       Mwanamasonia katika hatua yake ya mwanzo, katika daraja la kwanza, anahimizwa ;kuitafuta nuru!’ Mason wa kawaida ambaye yupo kwenye daraja la blue au aliye juu ya hapo lakini ni visible freemason, daima huwa anaitafuta nuru, na atatumia uhai wake kama mmasonia kuitafuta au kuifuata nuru. 

Wale ambao hawafahamu watadhani nuru ni mafundisho matakatifu ya MUNGU MMOJA, lakini tumemsikia invisible freemason, na mwanamasonia anaye abudiwa katika zama zote Albert Pike, akisema kuwa nuru ni Lucifer. Lakini pia Pike anasema mwanamasonia wa daraja la 18, anafundishwa kuwa Mungu ndiye mwenye kubeba nuru, lakini haambiwi kuwa Mungu ni nani mpaka atakapo fika kwenye daraja la 19, ndipo anapo ambiwa kuwa Lucifer ndiye anaye beba nuru.


Hivyo moto kama alama ambayo freemason huitumia na kuiweka katika maeneo na sehemu mbalimbali, na pia kuifanya kama nembo kwenye mashirika na makapuni pamoja na taasisi binfsi na zile za kiserikali, huwakilisha 'ELIMU MAALUM KWA WATU MAALUM, ELIMU AU MAARIFA AMBAYO MBEBA NURU ALIWALETEA KIZAZI TEULE KUTOKA KWA WAUNGU, MBEBA NURU HUYO SI MWINGINE BALI NI LUCIFER MWENYEWE.





No comments:

Post a Comment