Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Tuesday, August 20, 2013

NAMBARI 13 INAVYO WEKWA HADHARANI KWA KILA MTU KUONA

Freemason huficha vitu vyao hadharani, kweupe pee, lakini ni wachache ndiyo tunao weza kuona, post hii inazungumzia namna ambavyo nambari 13 inavyo fichwa hadharani.

Katika mifumo mbalimbali ya mahesabu na utunzaji wa taarifa kuna kitu kinacho fahamika kama ‘CODE’. Hii huwa ni muunganiko au mwingiliano wa tarakimu, nambari, herufi na alama nyinginezo, inaweza kuwa vyote hivyo kwa pamoja au kimoja kati ya hivyo katika mpangilio maalum unao fahamika na mmiliki wa code hiyo.
Iliyo nyepesi kabisa katika hili ni ile code ya kutumia herufi kwa tarakimu ambapo herufi inapewa thamani ya tarakimu. Herufi A ni sawa na nambari 1 na kuendelea Z inaishia na nambari 26


Jedwali letu hapo chini linatupa picha ya hichi tunachozungumza.
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
A
B
C
D
E
F
G
H
I
J
K
L
M
N
O
P
Q
R
S
T
U
V
W
X
Y
Z

Hivyo basi, code hii ni moja ya code rahisi mno, unaweza kumuandikia mtu ujumbe mfupi wa maneno na ukatumia tarakimu hizo badala ya herufi na pia unaweza kuifanya kinyumenyume, A ikawa 26 na Z ikawa ni 1.o na mitandao ya serikali ya kimasonia, utakuta kwenye majina hayo nambari 13 na 33 zimefichwa kwa kutumia code hii.
Tizama kwa makini majina ya taasisi, bidhaa na mengineyo katika orodha hii.
Ø C B S  ni sawa na 3 219 = 13, Alama ya chombo hichi cha habari ni nembo ya jicho moja, maarufu kama, ‘The Eye of Horus’.


  
Ø Nembo hiyo ya jicho moja utaikuta imefichwa kinamna yake kwenye biadhaa nyingine inayo fahamika kama ‘Dairy Queen’


Ø Tizama CNN, nayo iko hivi, C N N =  3 14 14 =3+1+4+1+4=13

Haya njoo kwenye CIA
Ø C I A (Central Intelligence Agency )  = 3 9 1
3+9+1=13



Ø D H S (Department of Human Services) = 4 8 19
 4x8=32-19=13

Ø F B I = 6 2 9
 6- 2=4+9=13

Ø N S A = 14 19 1
 1+4=5-19=negative14+1=negative13 ?
(-14+1)= -13?

Ø A O L (America On-Line) =1 15 12
 1+15=16-1=15-2=13
Nembo yake ni jicho ndani ya Piramid.


Ø F E M A (Federal Emergency Management Association) = 6 5 13 1
6-5=1+13=14-1=13

Ø E P A (Environmental Protection Agency) = 5 16 1
5+1=6+6=12+1=
13
Ndiyo kusema sasa tunachajishwa pesa kwa ajili ya hewa tunayo vuta? Au maana yake ni nini hasa?

Ø M I 6 (British Intelligence) = 13 9 F
 1+3=4+9=13
F
 F=Freemason
Ø W H O (World Health Organization) = 23 8 15
2x3=6-8=-2+15=13
UMEMUONA NYOKA KWENYE LOGO HIYO, HUYO NI MUNGU WA KIGIRIKI, KUNASIKU TUTAMZUNGUMZIA INSHALLAH.


Ø K G B (Russian Intelligence) HII NI MATATA KIDOGO, IMEFANYWA KWA KINYUME.
K G B = 10 7 2
 2x7=14-01=13

Ø    N A T O (North Atlantic Treaties Organization) =14 1 20 15
 14-1=13-20=negative 7-1=negative 8-5=negative 13 ?

Ø T B N (Trinity Broadcasting Network) TRINITY = 20 2 14 20-2=18-1=17-4=13

UMEONA TAJI LA MFLAME ANAYENGOJEWA JUU YA LOGO HIYO, HILI NADHANI TUMESHA LIZUNGUMZIA, PERUZI KWENYE POST YA TAJI LA MFALME NA UTAJUA NI KWANINI TAJI HILO LIPO KWENYE LOGO HIYO.
Ø U S A = 21 19 1
 2x1=2+1=3+9=12+1=13

Unapo itizama logo ya McDonald, unaona kitu gani? Herufi kubwa ya rangi ya manjano, herufi ‘M’, ni ya herufi ya 13 kwenye alfbeti. Lakini kama hiyo haitoshi hata jinsi inavyo andikwa au kuwekwa inasimama kama 13. McDonald pia umekutikana kuwa ni moja kati ya familia 13 za kishetani. Tizama kazi ya Fritz Springmeier






Sijui umeona 13 kwenye hizi logo?

Kuwepo kwa nambari 13 kwenye logo kwenye majina ya mbalimbali inamaanisha nini? 

Ø N F L = 14 6 12 12
6=18-4=14-1=13

Ø N B A = 14 12 1
14-2=12+1=13

Hii inamaanisha wanayo mikono yao nyuma ya vitu vyote hivyo, na siyo hivyo tu, wanayo malengo yao maalum juu ya vitu hivyo, na kama tulivyoona kwenye post iliyopita ni kuwa nambari 13, ni nambari ya MABALAA, MAJANGA NA UASI, na pia tukajifunza pia kwamba nambari kama alama huwakilisha kitu Fulani au husaidia kile inachokiwakilisha kutokea, ikiwa hivyo ndivyo, kwa maneno mengine vyombo, taasisi, nyenzo, vyama, na vinginevyo vilivyo pewa nambari
13, kazi zake ni kuhakikisha vinaleta UASAI, MAJANGA, NA MABALAA KWA UMMA.

Wanamichezo mahiri, wanamuziki wa kimataifa na wenye majina makubwa, wote wanawatumikia wao kwa namna moja ama nyingine, na wamiliki wakubwa wa makampuni makubwa, vilabu vikubwa, mashirika makubwa na hata watu wenye majina makubwa ni eidha wanamilikiwa na Freemason, au wameruhusiwa kufika hapo walipofika na kufanya hayo wanayo yafanya kwa sababu na malengo maalum, au na wao ni miongoni mwa wanao simamia ajenda.

Herufi 'M' ni herufi ya 13 kwenye alfabeti, je unajua chombo mahiri kwenye burudani ya muziki kimataifa ...... unajuaa ..... ni 'M' tv

Michael Jackson aliliona hili ndiyo sababu aliuwawa, na aliyemuuwa Michael Jackson, yaani yule Daktari ni freemason, Eminemu ni miongoni mwa wanamuziki walio liona hilo, 

Haikufaa kwa mtu mweusi kuwa 'King of Pop', so ilibidi wambadilishe rangi awe mweupe, (mzungu) kwa vile alizidi kuwa mbishi, ilibidi wamuondoe ...



The coward who kill the King


wengine ni DMX,  na Wanapigana kutoka, utaona nyimbo zao nyingi za sasa zinazo ujumbe tofauti kabisa na ule wa awali.



 2Pac hakuuwawa kutokana na ‘BIF’ lake na BIG, lakini kutokana na kwamba alikuwa ni ‘YESU MWEUSI’ kwa utawala ambao ungependa kumuona mtu mweusi daraja lake ni la chini, BIG, ilikuwa ni kisingizio tu.


No comments:

Post a Comment