Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, July 11, 2013

TAHADHARI ... MBU KUTUMIKA KUCHOMA CHANJO!!!!!


Bill Gate kwenye enterview ya mwaka 2011 kwenye CNN, alizungumza kwa mapenzi makubwa naman ya kupunguza idadi ya watu duniani kwa njia ya chanjo, na akisisitiza namna gani chanjo itasaidia kupunguza idadi ya watu, na hali ya watu kuimarika kiafya na kiuchumi kama idadi yao itapungua.
Lakini Gate akaenda mbali zaidi ‘extra mile’ na kuzungumzia ubunifu ambao anadhani utakuwa na tija katika kufanikisha suala zima la chanjo, hasa kutokana na kuwa watu wengi, walengwa katika nchi zinazo endelea kama ya kwetu kugutuka na kuwa wabishi kupoeka chanjo.





Hivyo nia mbadala lazima itumike kuhakikisha kuwa, pamoja na yote hayo watu hao bado wanapata chanjo hata kwa mtutu bunduki kama ikibidi. Gate amependekeza wanasayansi waje pamoja na kwa kutumia mnyambulisho na uchakachuaji wa DNA watengeneze mbu ambaye atakuwa anawachoma wananchi chanjo moja kwa moja.

Kiukweli ni jamaa huyu ndiye anaye gharamika na kutoa mabilioni ya dola kupambana na ‘Malaria’ Afrika, lakini ndiye huyu hapa LIVE KWENYE CNN, Akitoa pendekezo la kutengenezwa mbu ambaye ataweza kutumika kuwachoma watu chanjo!!!!!!!


Kama kweli chanjo ni nzuri na salama kwa nini zitumike njia za lazima kama kuwatisha watu na bunduki, kama kuwatengenezea Mbu wa maabara awachome, kwani chanjo peke yake haitoshi kujieleza kuwa yenyewe ni salama na watu waikubali hata wakubali kuinunua? Lakini hapa inatolewa bure, ispokuwa mwanachi inabidi awekewe mtutu wa bunduki, atishiwe 


kwenda jela, awekewe mbu wa maajabu atakaye mdunga hiyo chanjo, jamani hivi ni kweli kwamba chanio ni salama????????????


Finland wamaethibitisha kuwepo kwa madhara ya moja kwa moja baina ya chanjo ya mafua waliyo ipokea na ugonjwa au matatizo kwenye ubongo. Bofya hapa kupata kina cha habari hii ya Finland. 


Bill Gate hebu tueleze kinagaubaga, malengo yako ni yepi, unataka kuponesha watu magonjwa kwa kutumia chanjo au unataka kuuwa watu kwa kutumia chanjo ili idadi yao ipungue kama ulivyo sema?

“Kama tukifanya kazi nzuri na chanjo basi hii idadi ya watu unayo iyona itapungua”

Duh, kumbe ndiyo mpango wako huo bwana mkubwa.

Binafsi nawapongeza wote wale ambao hawafanyi vitu kwa vile serikali inawataka wafanye, au kwa vile watu Fulani maarufu wamesema kwenye luninga au redio kuwa wafanye, bali wanahoji na wanapo ona ukweli hawasiti kuwapinga watu hao hadharani na kuwaonya wengine, nawapongeza sana, endeleni na moyo huo, endeleeni kufanya tafiti binafsi na semeni hapana kwa chanja hata kama watatutishia na mtutu wa bunduki.

BILL GATE ALIKUWA AKIFANYA 'PRESENTATION' NA AKAWEKA PICHA YENYE FORMULA UNAYO IYONA HAPO, NA AMBAPO 'P' ILISIMAMA BADALA YA POPULATION NA NDIPO ALIPO SISITIZA KUWA KWA AJILI YA KUOKOA MAZINGIRA IDADI YA WATU INABIDI KUPUNGUZWA ....

Lakini kama post hii inavyo sema Gate na wenzake wamejua kwamba tumejua kuwa chanjo zao ni risasi kwetu na mabomu ambayo baada ya muda yatatulipukia kwenye miili yetu na kutuchana vipandevipande kwa maradhi yasiyo eleweka, hivyo njia waliyo ona ni bora kwa wao kutuchanja ni Bill Gate kutoa mamilioni ya dola kwa wanasayansi wa Kijapani kuja na chanjo ambayo watachomwa nayo Mbu ambao nao wataweza kutuchoma sisi chanjo hiyo pale wanapo tung’ata. Hiyo ni changamoto kwetu …


Bill Gate mipesa hiyo kasha itoa, na siyo kwa wanasyansi wa Japani peke yake, bali kwa wanasayansi kutoka kwenye nchi zaidi ya 50!!!! Jamaa huyu yupo sereouse kweli kuona tunakufa. Miaka karibu mitatu sasa tangu atangaze wazo lake hilo na tangu awapatie ‘wanasayansi’ hao huo mshiko.

Je huu siyo wakati wa kujiuuliza kuwa MBU hao wameshaingizwa nchini au bado? Sababu zoezi hili lilishakamilika vyema, mbu hao walishatengenezwa, fanya utafiti wako ujue kama mbu hawa bado hawajabisha hodi kwenye nyumba yako. Hivi ni vita na wewe ndiye adui…..

Mbu hawa watakao toa chanjo watakuwa na madhara maradufu kushinda chanjo wanazo pokea watu kwenye vituo vya afya.

Mbu hawa wanaweza kukuchoma au kukung’ata zaidi ya mara moja ndani ya usiku mmoja, wanaweza kukupatia maradufu ya kiwango cha chanjo ambacho ungepeta kutoka kwenye kituo cha afya.


 Kwa taarifa yako tu ni kwamba Bill Gate amatengaza kutoka mwaka 2010 mpaka mwaka 2021 kuwa ni miaka kumi ya chanjo au mongo wa chanjo na ametenga Dola Bilioni 10 katika kufanikisha hilo. Kutakuwa na chanjo za iana mbalimbali, utakumbuka kulikuwa na chanjo za sindano, sasa tunazo za matone, kunayo hiyo inayo chomwa na mbu moja kwa moja, kutakuwa na chanjo za vidonge, ya unga ya pafiumu na .. na .. na … Bill Gate kasha weka dola Bilioni 10 kuona hilo linatokea ….


Kaa chonjo, hivi ni vita na wewe ndiye mlengwa.

No comments:

Post a Comment