Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Wednesday, May 1, 2013

FREEMASON AMA KATIKA LUGHA YETU 'WAJENZI HURU'

HII NI NEMBO KUU YA KIMASONIA


FREEMASON NI AKINA NANI?
FREEMASON NI NINI?
ILIANZIA WAPI?
WANAFANYA NINI?
MALENGO YAO NI YEPI?

JE NI SALAMA NA SAHIHI KUWA MWANACHAMA?

Hayo na mengine mengi ndiyo maswali yanayo waumiza vichwa wana Afrika Mashariki, na hata ulimwengu kwa ujumla, lakini pia kumekuwa na blanketi la kiza kwenye majibu ya maswali na mfano wa hayo, ni kima majibu wanayo yapata walimwengu hayakidhi haja ni kima kuna mabcho hakiwekwi wazi.


Kwenye mfululizo wa machapisho haya kwenye blog yako hii tutachambua maswali hayo na majibu yake kwa kina kadiri nitakavyo weza.


NDANI YA HEKALU LA KIMASONIA

4 comments:

  1. asante kaka tuandalie post kuhusu westgate kaka

    ReplyDelete
  2. Thanks for your comments,
    Hope nitakuja kuiandaa, lakini itachelewa kidogo, cose nimeshikiliwa na majukumu mengine na pia kuna series za post ambazo tayari nimesha ziandaa, hope nikishazitoa hizo, 'waste gate will follow'

    ReplyDelete
  3. Sasa kaka salim unawezaje kujiunga na haya majitu

    ReplyDelete