Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Wednesday, September 25, 2013

FILAMU YA WWZ NA MIPANGO YA KUPUNGUZA IDADI YA WATU



Jana usiku (juzi)niliipata filamu inayo kwenda kwa jina la ‘WORLD WAR Z’, jina WORLD WAR ndilo lililo nivutia kuitazama filamu yake, hasa nikitaka kujua ‘Z’ inasimama badala ya nini kwenye jina hilo. Baada ya kuimaliza kuitizama nilikuwa na machache ya kushea na wasomaji wa blogi hii kuhusiana na filamu yenyewe.
Lakini kwanza kabisa kabla ya kupena mawili matu ya filamu hii, kwanza tutambue nafasi na kazi ya Hollywood kwenye soko la filamu.

Tangu Hollywood ianzishe sehemu kubwa ya zake imekuwa ni kuwarubuni mawazo ya watu, kutengeneza mawazo ya umma kukubaliana na kile wanacho kitaka.

Wednesday, September 18, 2013

ILLUMINANTI NA KIFO CHA MICHAEL JACKSON


Wanasema ilianzia kwenye vidio ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’
Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminanti wao na yeye sasa ni basi.

Katika wimbo huo Michael Jackson anaonekana akitakaswa na maji matakatifu, sauti ya shetani akiwa amekasirika inasikika, Michael Jackson anazaliwa mara tatu kama alama ya ‘kuzaliwa upya, kuwa mtu mpya na kuachana na mambo ya kale, kisha najipongeza mwenyewe kwa hilo, anapiga magoti mbele ya Mungu na kuwa huru kutoka kwenye mikono ya illuminanti. 

Wednesday, September 11, 2013

NAMBARI NA VIFO VYA WASANII

Wanamuziki wengi, wanauwawa tarehe 25, au wakiwa kwenye umri wenye nambari 25.

Michael Jackson tarehe 25 Juni 2009


Farrah Fawcet  Tarehe 25 Juni 2009

Tuesday, September 3, 2013

NI NANI RAIN MAN?

Rain Man

Posti hii ni mwendelezo kutoka kwenye posti ya FREEMASON NA MUZIKI, http://salimmsangi.blogspot.com/2013/08/freemason-na-muziki.html
Kuna maneno mawili kwenye hili, kuna Rai na kuna Man, tunapo zungumzia ‘RAIN’ tukija kwenye fasiri ya kiswahili ni mvua, yaani kile chenye kutiririka kutoka mawinguni baada ya kupitia utaratibu maalum. Tukienda kwenye Microsoft® Encarta® 2009. © 1993-2008 Microsoft Corporation tunakuta kuna maana kadha ya neno ‘RAIN’