Kawaida Mason huficha vitu vyao kweupe
hadharani, na watu wengi hawaoni walicho fichwa kwa kile kilicho mbele yao.
Lugha yao hii ni lugha ya 'ALAMA' na 'NEMBO', sasa hivi zimetapakaa kila kona
ya dunia, na hii ni zuri kwao, kwavile taratibu umma unaanza kuzikubali nembo
na alama hizo kama sehemu ya maisha yao, katika ukurasa huu tutakuwa tukitizama
maumbo na alama hizo na maana zake ikiwezekana.
LEO NINGEPENDA NIWALETEE NEMBO
YA 'TAJI LA MFALME'
Wakristo wengi hudhani na
kuamini kuwa 'crown' au 'taji la mfalme' katika nembo mbalimbali linawakilisha
taji la Yesu Kristo kama vile 1) Taji la miiba alilovishwa 2) Taji kama mfalme
wa wayahudi, na 3) taji kama mfalme wa wafalme.
Lakini yote hapo juu siyo
sahihi, kama tulivyo ona katika post nilizo weka hapo juu ni kuwa FREEMASON pia
wanayo mfalme wao ambaye wanamngojea, mfalme mwenye jicho moja.
Nembo hii ya chini ni beji
kwenye sare za polisi katika nchi za umoja wa kiarabu, kwenye nembo hiyo tizama
vizuri utaona 'crown' halafu chini yake ni 'nembo ya jicho moja', unadhani
viwili hivyo vimekutana hapo kwa nasibu, na nembo iliyo juu ya hiyo inaelezea
kitu kile kile, jicho moja na crown ni moja ya alama muhimu za Illuminanti.
Nembo hiyo wazi wazi inatangaza ufalme wa Mfalme mwenye jicho moja,
Masihdajjal/Mpinga Kristo/ au maarufu kama 666.
Hivyo basi crown haiwakilishi
chochote kinacho husian na kristo, bali kinyume chake na Dajjal ni kinyume cha
Kristo na ndiyo maana jina lake ni Mpinga Kristo au Masih wa Uongo.
Nembo hizo mbili hapo juu ni
mfano mzuri wa nembo za Illuminanti zinazo tumika kuwarubuni wakristo kuamini
kuwa 'crown' inasimama badal ya Kristo, lakini msalaba ambao ni 'alama' kuu ya
ukristo na wafuasi wa dini ya kikristo unaonekana kuelea kwenye duara la
'crown' ikimaanisha kuwa 'taji hilo la mfalme' ni kubwa mno kwa Yesu kulivaa,
halimtoshi, kuna ambaye linamtosha naye ni mfalme mwenye jicho moja, kama
tulivyo ona hapo juu, jicho limekaa sawia kabisa na 'crown' lakini mslaba,
unaelea kwenye 'crown' hata hivyo, nembo hizo zinaweza kuwa na maana tofauti
zaidi, nayo ni maana maarufu na inayo pendwa zaidi na freemasonry, alama ya
'uume' na 'uke' vikiingiliana, hapo msalaba ukisimama kama uume na 'crown' kama
uke ... hili nitalizungumza kwa kina huko mbeleni ...
TUITZAME CROWN 'TAJI LA MFALME'
Ama kwa freemasonry au Babiloni Brotherhood, taji huwa na maana
mbili na hii itategemea na namna gani taji hilo limeoneshwa, eidha katika
mchoro, kinyago ama kitu halisi.
Maana ya kwanza ya Taji ni 'nuru ya Jua', na maana ya pili
ni 'Taji la mfalme anaye ngojewa'.
Kikaragosi hicho hapo juu kinaonesha taji kwa maana ya
'Taji la Mfalme anaye ngojewa' au pia ujio wa ufalme wa Mflame mwenye jicho
moja, vikaragosi vya namna hii utaviona mara nyingi zaidi katika maudhui ya
filamu za watoto maarufu kama 'katuni' na hii ni muhimu sana kwa vile flamu
hizo zinatumika kuwaandaa watoto na jamii kwa ujumla kuanza kuukubali na
hatinaye kuupokea ufalme huo kwa mikono miwili.
Crown hizo mbili hapo juu zote zinawakilisha maana moja ya
crown, 'Miale ya Jua', alama hii nayo huoneshwa sehemu mbalimbali kwa namna
mbalimbali ambapo watu wa kawaida hawaonekani kung'amua kwamba alama hiyo anayo
maana zaidi ya 'miale ya jua'
Kifupi 'Jua' au 'Miale' yake inayo maana mahususi sana kwa
freemsonry na Illuminanti Brotherhood kwa ujumla, MAANA HIYO INATOKANA NA
KWAMBA moja ya WAUNGU ambao freemasonry na wenzao inawaabudu ni 'JUA' , na vipi
jamaa hawa wanaabudu jua, hiyo ni hadithi nyingine ndefu kidogo, huenda
tukaitizama huko baadae, ila wanaabudu jua kwa kiwango cha juu mno kupita
maelezo. Na hivyo basi mungu wao huyo humtangaza kwa njia mbalimbali.
Alamaa za kimasonia na
Mungu Jua naye akionekana.
Alamaa kuu ya kimasonia
Mungu Jua naye akionekana.
Alamaa za kimasonia
ikiwemo hekalu, nguzo kuu kuu mbili lakini na Mungu Jua naye akionekana.
Tukiiacha alama hiyo ya Mungu Jua kupitia Crown, lakini iliyo
mahususi zaidi ni ile ya crown kuwakilisha Ufalme wa Dajjal/Mpinga Kristo.
Crown kwenye majengo ya
Serikali, hapo ni London
Crown kwenye majengo ya
Serikali, hapo ni Australia
Crown kwenye majengo ya
Serikali, hapo ni Canada
Crown kwenye majengo ya
Serikali, hapo ni Scottish
Amini nakuambia ndugu msomaji nembo hizo za 'crown; hazipo hapo
kwa bahati mbaya, watu wapo tayari wamesha tandika zulia jekundu kwa ajili ya
Mmoja naye ngojewa, Dajjal.
Kampuni ya Shell tangu inaanza nembo yake ni crown, ingawa
imekuwa ikibadilikashwa kila mara maudhui yalibaki yale yale, 'crwon'.
Hizo hapo juu ni picha za mashirika na makampuni mbalimbali
yenye majina makubwa kila kona ya dunia na hawajachagua nembo yoyote kwa ajili
ya shughuli zao ispokuwa 'CRWON'. Hivyo utakapo ona mahala pengine alama ya
crwon itzame kwa umakini .... Tchaoo
No comments:
Post a Comment