Kwa
sasa filamu za ngono zinafanya kazi nzuri sana katika kile tunachoweza
kukifananisha na ‘MIND CONTROL’ kama hufahamu msamiati huo unayo maana gani
basi nenda kagoogle, na utapata somo.
Masaa yote sasa tunafikiria ngono, na kila
kazi yeyote ya sanaa inayofanywa haijakamilika kama ndani yake haijakuwa na maudhi
ya ngono, mavazi hayajauzika kama hayajabeba dhana ya ngono, ilimradi hakuna
kinachoweza kufanyika bila kuwekwa viashiria vya ngono, si kwenye siasa, wala
kwenye dini, si kwenye utamaduni wala kwenye sanaa. Ni kana kwamba jamii yetu
imegundua kitu kipya.
Hatufikiri
wala kutizama hata kuhoji ni namna gani uhuru wetu na haki zetu zinavyo porwa,
namna gani sheria zetu zimegeuzwa na kuwa ni fimbo kwa watu fulani na ngao kwa
wengine.
Jiulize
MWANAUME anaona nini, pale anapo mtazama MWANAMKE? Hakuna ambacho anacho kiona
zaidi ya kifaa cha ngono. Jarida la Playboy lilipoanzishwa kwanza lilianza na
kuwapandikiza wanaume fikra za ngono kwa msichana aliye jirani naye, ‘Girl Next
Door’ sasa hivi wamehamia kwa watoto, na kwenye mitandao ya ngono kumejaa picha
za ngono za watoto wadogo, na watoto wetu ambao bado hawajaweza hatakuumba
maneno wanayo ‘section’ yao ya ngono kwenye katuni mbalimbali.
Lengo
ni moja tu, kuleta fikra na mawazo yetu kwenye kitu kimoja tu, NGONO NA VIUNGO
VYETU VYA UZAZI.
Kama
kawaida PlayBoy inafanya kazi nzuri kwenye kupunguza idadi ya watu duniani, kwa
sababu mawazo na fikra za watu zimehamishwa kutoka kwenye, mahusiano ya muda
mrefu kwenye ndoa na familia na kuletwa kwenye mahusiano ya muda mfupi ya Boy Friend
na Girl Friend au mbaya zaidi mahusiano ya ngono kama bidhaa. Hivyo dhana nzima
ya ngono kama tendo la ndoa imeharibika na badala yake ni ngono kama bidhaa na
hapo huwezi kukuta msamiati unao itwa Familia.
Filamu
za ngono ni silaha ya maangamizi kwenye ndoa na mtazamo wa tendo la ndoa kwenye
jamii. Mpaka kwenye miaka ya 1950 bado jamii mbalimbali duniani ziliona tendo
la ndoa ni kitu kitakatifu na hakiwezi kufanyika kokote zaidi ya ndani ya ndoa,
kwa wanandoa wa jinsia mbili tofauti. Lakini baada ya bidhaa zenye maudhi ya
ngono na filamu zake kuanza kutiririka kwenye mitaa ya majiji mbalimbali
duniani na sasa hata vijijini, dhana ile imetoweka kabisa na sasa ubongo wa
wanaume wengi haufikiri chochote zaidi ya ngono wakati ule wa wanawake ukitumia
ngono kama zana ya kumshinda mwanaume.
Ndoa
nyingi zipo njia panda, na nyingi zimevunjika na vijana wengi suala la ndoa ni
suala la mwisho kabisa katika orodha ya malengo yao ama halipo kabisa, kutokana
na kwamba kazi kama za kina Play Boy na tasnia nzima ya filamu za ngono,
inawaambia wanaume wote duniani kwamba, ‘NDANI YA NDOA HAKUNA KILE UNACHO
KITAKA’, Wanaume sasa wapo radhi wapige punyeto wakitizama filamu za ngono kuliko
kulala na wake zao.
“Play Boy
ndiyo jarida la kwanza la kitaifa kuwa-brainwash vijana wa vyuo kuanza
kuwaogopa wanawake na kuiogopa ndoa na familia. Play Boy imekuwa ni mbadala wa
tendo la ndoa na burudani kwa wanandoa” ( Soft
Porn Plays Hardball, uk 47)
Jamii
imefika mahala pabaya sana kwa sasa, wanaume kwa wanaume wanaowana, na wakati
huohuo wanawake kwa wanawake wanaowana, Yaani wanaume wanafundishwa na
kuelekezwa jinsi na namna yakuwa wanawake kupitia kampeni za USHOGA na wanawake
nao wanafundinshwa na kuelekezwa jinsi ya kuwa wanaume kupitia kampeni za ‘Gender
Senstive’ haki sawa, haki za wanawake na lesbianisim (ushoga kwa wanawake).
Kwa
kasi sana kisaikolojia wanaume wa kizazi hiki wanageuzwa kuwa mashoga, mpaka
wengine wamefikia kujiita kuwa wao ni mashoga lakini bado ni bikira, yaani
mwanaume keshaikubali ile dhana ya yeye kuwa ni shoga ingawa bado hajaingiliwa
na mwanaume mwenzake, wengine wanaona hayo ni maumbile kazaliwa hivyo, kwa hiyo
hana makosa, siyo kosa lake, hivi ndivyo filamu za ngono, majarida ya ngono,
vitabu vya hadithi vilivyo na maudhi ya ngono, filamu za kawaida zilizobeba
vionjo vya ngono na ushoga, muziki, mavazi, katuni za watoto zinavyo itengeneze
jamii yetu ya sasa kuwa.
Leo thamani ya mwanamke ipo kwenye kutembea uchi
wakati ile ya mwanaume ipo kwenye kufanya ngono holela na wanawake wengi.
Kwa
sasa wanaume hawawatizami wanawake kama, Mama, dada au wake, bali kama kifaa
cha ngono. Wanaume wengine hawatizami wanaume wenzao kama Baba, kaka au ndugu,
lakini kama chombo cha kufanyia liwati.
Wanawake
ambao jamii inawaona kama ‘wabaya’ yaani wasio na mvuto, hawaonekani tena
kwenye macho ya wanaume; ila kama watajitoa mhanga na kuanza kutembea uchi na
kujirahisisha mbele ya wanawake, basi wataonekana na thamani yao kama chombo
cha ngono na starehe itaonekana.
Kuna
ambaye kwenye jamii ya leo anaweza kutafsiri au kutoa dhana ya MAPENZI ni nini
baina ya mke na mume?
Hakuna.
Lakini
si hivyo tu, huu ni ushindi kwa Illuminanti, huu ni ushindi kwa maadui zetu,
familia zimechanikachanika, vijana hawataki tena mambo ya ndoa, na wachache
wanao ingia wanawaogapa wa kupata watoto, na hata wakipata basi wasizidi
wawili.
Wanakuambia
maisha magumu, wanakuambia mtoto wako lazima umuandalie maisha mazuri, elimu
nzuri, ‘future nzuri’ wakiwa zaidi ya wawili hutaweza. Hii ndiyo inayo itwa ‘social
engnineer’ jamii inapangwa, inaundwa na kutengenezwa upya. Kuwa na mtoto
imekuwa ni sawa na kuwa na bomu mkononi muda wowote litakulipukia.
Lakini
sikweli, tangu lini binadamu tumekuwa MUNGU, Mbona tunajitwisha jukumu lisilo
letu. Hivi ni kweli kwamba tatizo ni kuwa na watoto wengi???????????????????
Kutokana
na juhudi mbalimbali za ‘social engineer’ kama vile haki za watoto, haki za
wanawake, haki za mashoga, haki za wanyama, harakati za wanamazingira, jamii
yetu haiwezi tena kufikiria tatizo ni nini, tumefanywa vilema wa kufikiri,
kuona, kusikia na kuchambua matatizo yetu kama watu huru. Tatizo si kuwa na
watu wengi, fanya homework yako mwenyewe na utajua tatizo nini!!!!!!!!!!!!!!
Porn
kama zana ya ‘social engineering’ inawageuza wanaume wote kuwa kama mashoga,
wanaume hawataki kuowa na wala hawataki watoto. Badala ya kuwa na familia,
tunakuwa na ‘ngono’ kuanzia tukuwa watoto kupitia katuni mbalimbali
tunazoachiwa kutizama tukiwa wadogo, tukiwa vijana kupitia mitandao mbalimbali
ya ngono na majarida yake na mashuleni kwetu siku hizi tunafundishwa elimu ya
ngono, mpaka tunaingia makaburini, ubongo wetu ni ngono, ngono, ngono, porno,
porno, porno. Ngono sasa ipo kila mahala unapotizama, kila wakati, ni kama
tumefungwa minyororo ya ngono, hatukui, hatuendelei, hatusogei.
Tumekwisha kabisa.
Tatizo ni
kubwa, na wewe unaweza kuwa ni sehemu ya tatizo au sehemu ya suluhisho la
tatizo. Kwakutizama picha za uchi unakuwa ni sehemu ya tatizo, unatia nguvu
kwenye tatizo, unakuwa ni mafuta kwenye moto unao waka, na kinyume chake ni
sahihi.
Hii ni
biashara kama zilivyo biashara nyingine. Hivi sasa biashara ya kwanza kwa
kutengeneza fedha duniani ni ‘HUMAN TRAFICK’. Hii ni kama ilivyo kuwa biashara
ya ‘UTUMWA’, Slave Trade, lakini sasa hakuna mashamba ya kulima, mashine na
maendeleo yake yamekuwa makubwa hata maofisini watu wanapunguzwa kwa ajili ya
mashine, sasa watu wanao safirishwa wanapelekwa wapi? Biashara hii ya
kusafirisha watu inakadiriwa kwa mwaka inazalisha faida ya dola za marekani
bilioni 32. Hii ni faida, yaani ikimaanisha gharama zote zimeisha ondolewa, hii
ni faida tu.
Watu
kutoka nchi masikini, watu kutoka kwenye maneno ya vita, waathirika wa dawa za kulevyea
na wahanga wengine wanapelekwa wapi?
Wengi
kati ya hawa wanao safirishwa hupelekwa kutumikishwa kwenye miradi mipya ya
Illuminanti ya ambayo inahusisha kujenga majiji makubwa, makubwa chini ya
aridhi. Jiji kama unavyoweza kuliona jiji la Dar es Salaam au Nairobi,
yanajengwa chini ya aridhi yakiwa na miundo mbinu mbalimbali, lakini wengi wao
huishia kwenye TASNIA YA FILAMU ZA NGONO.
Wengi
wao wakati wa kurekodiwa kwenye filamu hizo huwa tayari ni walemavu wa akili
kwa ajili ya kumezeeshwa dozi za kutosha za dawa za kulevya au tayari ni mtumwa
wa MIND CONTROL.
No comments:
Post a Comment