Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Friday, June 28, 2013

TAHADHARI NA CHANJO!!!!!!!! pt 3



tunaendelea ....

Miaka kadhaa nyuma jarida la Reuters liliripoti hivi:

Ugonjwa ambao unafanana na ukimwi umeuwa watu 60,0000 kusini mwa Sudani. Ugonjwa huu waliupa jina la MUUWAJI. Kutoka familia na wakati mwingine kijiji kizima kinatoweka, yaani wanakufa. Ugonjwa huu unaambatana na homa kali pamoja na kupungua uzito. Dalili zake ni sawa na zile za AIDS. Kinga ya mwili inapungua na mtu anakufa kwa chochote kile kinacho mpata.”



Unajua nchi zetu za Kiafrika zimejaaliwa utajiri usio na kikomo, kutoka nguvu kazi watu mpaka mali asili. Na ni utajiri huo ambao zama hadi zama umewatia wendawazimu viongozi na familia za Illuminanti, kuanzia kabla ya ukoloni, wakati wa ukoloni, baada ya ukoloni mpaka sasa katika zama wanazo ziita globalization na uwekezaji, Afrika hatujashuhudia chochote zaidi ya kubadilisha mbinu za uporaji, wanaiiba kwa nguvu au kwa mikataba sawa na ile ya kina Carl Peters.

Hivyo mataifa hayo wanatumia njia mbalimbali kutumaliza kabisa ili waweze kurithi utajiri huu, eidha kwa kuwaweka baadhi ya vibaraka wao, kama historia inavyo eleza au kwa kuikalia kimajeshi kabisa nchi husika, au kwa kuwapatia silaha wale wanao julikana kama waasi kwa ajili ya kuidhoofisha serikali na wao wapate kuchuma utajiri, lakini maeneo mengine hutumia mipango ya muda mrefu ya kudhoofisha wakazi wake, na moja ya mipango hiyo ni chanjo.

Chanjo pia hutumika kama jaribio la kisayansi (experiments) katika kufanyia majaribio bidhaa mpya kwenye namba kubwa ya watu ili kuweza kupata majibu ya haraka. Kwa kisingizio cha afya njema na uhai wa watu, binadam watu wanafanyiwa majaribio kama panya wa maabara bila wao kufahamu kuwa hilo ndilo lengo kuu. Lakini pia chanjo zinazalishwa na kutengenezwa kwa njia ya kubadilisha ‘genetic’ ambayo nayo hii ni hatari zaidi kwasababu ‘genetic; hizo za kutengenezwa zinakwenda kutafuta chumba ndani ya seli hai za mwanadamu, kama tujuavyo ‘genetic’ ndiyo msingi wa maumbile endapo msingi huo unabadilishwa kwa kuingiza ‘genetic’ mpya ndani ya mwili tujue basi kuna hatari ya kuzaliwa binadamu wenye maumbile ya ajabu mno, hili tunaliona kila siku kwenye jamii mbalimbali ambazo kwa muda mrefu wamekuwa eidha wakipokea chanjo au kutumia vichocheo vyenye kubadili genetic.


Unaweza kuliona hili kwa kina katika wovuti huu,
http //www.new-atlantean.com/global/ith_gulf.html

Mwaka 1978 chanjo mpya ilifanyiwa majaribio kwa mashoga wa New York na 1980, ilifanyiwa majaribio San Francisco, Los Angeles, Denver Chicago, na St Loiuis. Taarifa za kiserikali zilisema chanjo hiyo ni kwa ajili ya ‘homa ya manjano’, lakini kama tujuavyo chanjo hiyo pia iliwasababishia wengi walio ipokea kufa kwa ukimwi.

Chanjo kama hiyo ilitolewa kwa wakazi waliopo kusini mwa janga la sahara kwa ushirikiano wa USAID na WHO kwa ajili ya chanjo ya ndui, na matokeo yake ni kuwa wakazi ambao walipokea chanjo hizo, baadaye walithibitika kukumbwa na janga la ukimwi  ya chanjo hizo.

Chanjo ni silaha ya kibaiolojia dhidi ya walimwengu, dhidi ya watu wa maeneo fulani, dhidi ya watu wa matabaka fulani, dhidi ya jamii fulani, dhidi ya watu wa rangi fulani.

Kama zilivyo dawa zingine za kisasa, ni kwamba dawa moja itazaa tatizo jingine ambalo nalo litahitaji dawa nyingine, na nyingine nayo itahitaji nyingine ... mzunguko usio kwisha, ndivyo zilivyo chanjo nazo, kuwa aina moja ya chanjo itatengeneza tatizo ambalo nalo litahitaji aina nyingine ya chanjo kumaliza tatizo lililosababishwa na chanjo ya awali. Ni biashara nzuri tu. 

Kunazo taarifa kutoka kwa kapteni na mwana baiolojia wa jeshi la silaha za kibaiolojia kutoka kwenye maabara yao ya Fort Detrick, bwana Neil Levitt kuwa lita 2.35 za chanjo ya majaribio zimetoweka kwenye maabara hiyo. Dozi kama hiyo inatosha kabisa kuiambukiza dunia yote na magonjwa. Lengo nini basi kutangaza kuwa kiasi hicho kimepotea? Lengo ni wao kujivua na madhara yeyote yatokanayo au yatakayo tokana na chanjo hizo pale zitakapo tumika. Hata kama ni wao watakao zitumia, tayari wanayo mahali pa kushikia, kwamba zilishaporwa, huenda mwizi ndiye anayezitumia. Sasa unapo mpeleka mwanao au mke wako kuchukua chanjo unayo uhakika gani kuwa chanjo inayotumika siyo ile ‘iliyo potea’ kwenye maabara ya kivita ya Marekani?

Itaendelea ...

2 comments:

  1. magnіficеnt submit, verу іnfοrmativе.
    Ӏ'm wοndеring whу the other sρecіalists of this seсtor dο nοt notіce this.
    You muѕt continue уour writіng. I am sure, yοu
    have а great readers' base аlrеady!



    Also visit mу wеb blοg giffgaff sim activate

    ReplyDelete
  2. And your among who made that data base possible, keep it up.

    ReplyDelete