Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Monday, May 13, 2013

FREEMASONRY WANAFANYA NINI NA MALENGO YAO NI YEPI?

Swali la kuwa Freemasonry wanafanya nini na malengo yao ni yepi, ni swali lenye jibu kepesi sana lakini lenye maelezo marefu n kwa kina chake.

Freemasonry lengo lao kuu ni kushirikiana na asasi zingine za siri kusimamisha utawala wa kishetani ulimwenguni kwa mataifa yote na watu wote duniani. Freemasonry wanacho kifanya sasa ni kushughulikia maono hayo kuona yanatimia kwa kiwango chake.

Kwa ufupi sana hayo ndiyo malengo na ndicho wanacho kifanya freemasonry.

Lakini kama nitaachia hapo inamaana kuwa msomaji unaweza kukubaliana na mimi ama la, unaweza kukubaliana na mimi kwa maana ya kuniamini kwa hayo niliyo yaeleza au kutokukubaliana kwa maana ya kutokuamini hayo niliyo yasema.

Lakini kwa muda mrefu sana maana na maudhui ya kazi zangu binfasi katika kuwaelimisha watu juu ya hili nimekuwa nikiepuka dhana ya kumfanya msomaji wangu AAMINI kile nilichoandika, bali kumuwezesha msomaji wangu KUELEWA kile nilicho andika. Kwa maana hiyo basi madai mawili niliyo yaeleza hapo juu ndiyo yatakuwa dhana kuu ya blogu hii, kukufanya UELEWE, malengo na kazi za freemasonry kwa kina. Hivyo kwa kiasi kikubwa sana kazi zitakazo fuata baada ya hapa ni kuelezea mambo hayo mawili kwa mapana yake.


MOYO WA FREEMASONRY NA WASHIRIKA WAKE NI KUICHUKUA DUNIA YOTE NA WENGINE TUWE WATUMWA

MUUNDO WA PIRAMIDI LA KIUTAWALA LA FREEMASONRY


Hayo kiuhakika ni madai mazito sana niliyo yaandika hapo dhidi ya freemasonry,

 Kwamba hii dunia tunayo ishi sasa, ambayo kila nchi inayo kiongozi na mtawala wake, serikali na wafanyakazi wake, taasisi za kiserikali na mashirika yake, kwamba UTAWALA HUO SIYO UNAO TAWALA DUNIA HIVI SASA, AU SERIKALI HIZO SIZO ZILIZO NA MAMLAKA YA NCHI ZAO NA DUNIA KWA UJUMLA .....

SWALI NI NANI HAO WENYE HAYO MAMLAKA??????????





Kwamba watu fulani hivi, watu wachahce mno, kama asilimia moja hivi ya watu wote duniani, hao ndiyo wanayo itawala dunia yote na serikali zote za dunia.


Ushahidi juu ya madai hayo ni kama haupo, nikimaanisha kuwa si kwamba haupo, hapana upo, lakini kama haupo, inahitaji juhudi ya ziada na uchanganuzi wa kina hasa kwa mtu mwenye akili huru kufikia kwenye hitimisho hilo kuwa ushahidi upo.
Lengo la hii post yetu ya leo ni kuyatizama madai hayo hapo juu kwa njia nyepesi na kwa ufupi, ingawa baadae tutakuwatukipitia nukta hizo moja baada ya nyingine kwa wakati wake ulikuujenga uelewa juu ya madai hayo kwa kila msomaji. Madai hayo hujumuishwa kwa manano machache kama 'NEW WORLD ORDER' au 'GLOBAL DOMINATION AGENDA' kutaja kwa uchache.
Maneno hayo yanapotumika na utakapo yakuta kokote  huwa yamebeba dhana zifuatazo,
1. Kwamba kunalo kikundi cha watu, taasisi, jumuiya, wafanyabiashara, familia au mashirika ambayo ndiyo wanao tawalia, kuamua, kusimamia, kuelekeza na kutekeleza mambo yote duniani yanayo husiana na UCHUMI, SIASA,VYOMBO VYA HABARI, AFYA, na mengineyo ambayo wigo wake yanagusa ulimwengu kwa ujumla wake.
2. Watu hao wanatafanya mambo hayo chini ya uongozi/maelekezo/dira moja yaani wote wanaelekeza juhudi zao katika nyanja na mazingira tofauti kwa wakati na nafasi zao kuelekea kwenye lengo moja kuu pekee yake, na 
3. Lengo lenyewe hilo moja na kuu kuliko yote ni KUWA WATAWALA WA DUNIA YOTE, JUU YA KILA KITU NA KILA MTU NA MAISHA YAKE YOTE.
JE UNAJUA NI VITA GANI KUBWA KUPATWA KUPIGANWA KWENYE USO WA DUNIA?
UNAJUA NA ULIZA??????
SIYO VITA YA KAGERA!!!!!!
SIYO VITA YA RWANDA NA BURUNDI!!!!!
SIYO VITA YA KWANZA AU YA PILI YA DUNIA!!!!!
SIYO VITA DHIDI YA IRAQ, VIETNAM, AFGHANISTAN,LIBYA, SYRIA AU KOKOTE KWENGINEKO KOTE DUNIANI.
VITA KUBWA KULIKO PUPATWA KUPIGWANA HAPA DUNIANI, NI VITA DHIDI YAKO WEWE!
NI VITA DHIDI YAKO WEWE!!!
DHIDI YAYAKO WEWE!!!!!!!!
Kama unataka kuamini hilo, hautokaa uamini, lakini kama unataka kulielewa hili, nadhani ndiyo sababu upo kwenye ukurasa huu, basi utalielewa, kuwa mvumilivu na leta akili yako huru ichanganue mambo.
Kama wewe, binafsi wakati naanza kukutana na aina hizi za taarifa mara kadhaa niliachwa njia panda, baada ya kipindi kirefu cha kutafiti na kuchanganua aina hizi za taarifa, hatimaye nimefikia kwenye suluhisho moja, NJAMA DHIDI YA ULIMWENGU MZIMA KUTOKA KWA WATU WA CHACHE NI ZAKWELI KABISA, NA VITA KUBWA KUPATWA KUPIGWANA KATIKA USO WA DUNIA NI VITA DHIDI YANGU/YAKO BINADAMU.
WATU HAO WACHACHE WANAAAMINI KUWA KUNA WATU AMBAO WANAFAA KUTAWALIWA NA KUNA AMBAO WANAO FAA KUTAWALA. WANAAMINI KUWA ASILIMIA TISINI NA NANE (98%) YA WATU WOTE DUNIANI HAWANA UWEZO WA KUJITAWALA, NI KAMA MAKONDOO NYUMA YA MCHUNGAJI WAO, NA ASILIMIA MBILI TU (2%) NDIYO WENYE UWEZO WA KUWATAWALA WENGINE, NA WAO NDIYO HIYO ASILIMIA MBILI, NA WAO NDIYO WAPO-ICHARGE KWA SASA, NA WANATAKA KULIFANYA HILO KUWA NDIYO MFUMO MPYA WA MAISHA AMBAO KILA MWANADUNIA ANAMPASA KUKUBALIANA NAO, NEW WORLD ORDER.
“Tutakuwa na serikali ya dunia, ima tunataka na au hatutaki. Swali ni moja tu serikali hiyo ya dunia itakuja kwa njia ya vita au makubaliano?” -  James Paul Warburg
“Tuko katika mazingira ya mpito kati ya vyote tunavyohitaji ni maporomoko na mvurugano, machafuko  makubwa na mataifa yote yatahitaji na yatakubali New World Order - David Rockfeller
 “Tunawashukuru sana Washington Post, The New York Times, Time Magazine na wachapaji wengine wakubwa wa habari ambao wakurugenzi wao wamehudhuria vikao vyetu na wakatimiza ahadi zao za kutokuandika chochote kuhusiana na vikao hivyo kwa karibu miaka arobaini. Ingelikuwa vigumu sana kwa sisi kuendeleza mpango wetu wa kuitawala dunia kama tungekuwa tunamulikwa na kuandikwa na vyombo hivyo. Lakini sasa dunia imeshaiva na iko tayari kuelekea kwenye New World Order… David Rockfeller
“Mpaka kufika mwaka 2025 serikali za umoja wa kitaifa hazitakuwa peke yake na hasa hazitakuwa na umuhimu kwenye jukwaa la dunia la mfumo wa kimataifa, matatizo ambayo yanatusukuma (tuende kwenye serikali moja) ni mabadiliko ya hali ya hewa (ongezeko la joto duniani) sharia mpya za masoko ya kidunia na uchumi, uhamiaji, mitandao ya uhalifu n.k.  matatizo haya hayawezi kutatulika kwa kiwango cha kitaifa. Haja ya kuwa na serikali ya dunia itakuwa kwa kasi zaidi kushinda vile ambavyo mazingira yanavyoweza kutuletea.”- NIC, Global Trends 2025: A Transformed World. The National Intelligence Council’s 2025 Project: November, 2008: Acknowledgements: http://www.dni.gov/nic/NIC_2025_project.html 
Watu hawa wachache wamejipanga kutupora mali zetu zote, rasilimali zetu zote, vyakula vyetu vyote na mengineyo na kusimamisha utawala wao wa kidunia na wao wakiwa ndiyi watawala. Wanatumia vyombo vya habari ambavyo 99% ya vyombo hivyo vipo katika mikono yao, wanatumia benki za kitaifa na kimataifa zilizo katika himaya yao, na benki zote duniani zinafuata aina hii moja ya mfumo wa kibenki ulio wekwa na wao. Wanatumia mashirika makubwa ya kimataifa, serikali, taasisi za kimataifa, IMF, World Bank, UN na wengine. Kwa ajili ya kukamilisha mpango huo mami ya serikali duniani zimefanywa vilema kiuchumi, kisiasa, kielimu, mfano wa hizo ni  Argentina, Chile, Ecuador, Tanzania, Indonesia, Brazil, Poland, Mexico,Bolivia, Thailand, Icelanda, Iliyokuwa USSR, Japan, Greece na nyenginezo nyingi 
Piramidi hilo hapo chini linaonesha muundu wa utawala unao tumiwa na watu hao. Bank zipo juu kwenye piramidi hilo, kwa vile Illuminanti wanatumia benki za kimataifa na kitaifa kutoa mikopo ambayo inaziweka serikali na mashirika makubwa katika minyororo ya madeni ambayo inatumika kumtawala kila raia.


Watu wa kawaida tunao fanya shughuli zetu eidha kwa kuajiri au kujiajiri ndiyo tunao zalisha utajiri halisi kwenye uso wa sunia, lakini kwenye Pyramidi hilo tupo chini kabisa huko 'uvunguni' kwa takwimu za mwaka 2007 zilionesha kuwa 2% ya matajiri wote wanamiliki zaidi ya 50% za aseti zote duniani na takwimu za mwaka 2010 zilithibitisha kuwa mtu mmoja katika kila watu saba hawezi kupata mlo wa uhakika.
Utajiri halisi na mali ghafi vinaendelea kutirirka kwenye mifuko ya watu wachache wanao endesha uchumi wa dunia, utajiri huo unawafuata kokote walipo kwa kutumia aina mbaya kabisa ya uchumi tulio nao ambao UTI WAKE WA MGONGO NI MFUMO WA KIBENKI.
Utaona kuwa kuwepoi kwetu chini katika piramidi hilo ndiko kunako ipa uhai aina hii ya mfumo wa kiutawala wa dunia mabo punde utakuwa mbele yetu, endapo basi tukafahamu ni nini tunapaswa kufanya na kujitoa katika kuwatumikia basi mfumo mzima utaanguka kama nyumba ya karata.
Blogu hii ipo kwa ajili ya kufanikisha hilo, kwa ajili ya kuona hilo linatookea please endela kutembelea ukurasa wetu huu wa blogu, rusha maoni yako, maswali na mengineyo ili kuweza kukupatia uhuru wako.... 
kuhusu Post inayo wahusu masupa staa wa hapa kwetu na kama ni freemasonry naomba niichelewesha kidogo, tuimalize kwanza hii unayoisoma sasa ......
Endelea kutembelea blogu hii kwa muendelzo wa NINI WANAFANYA FREEMASONRY NA MALENGO YAO

No comments:

Post a Comment