Tangu Marekani ikikalie kiti hicho cha enzi cha dunia, advertise ya kwanza ni Japan, Hiroshima, na dunia nzima ilijua Malkia mpya ameingia kwenye kiti cha enzi, na tangu hapo dunia haijajua jema lolote kutoka Washington.
Kama wanavyo sema wahenge ‘ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga’ Exit ya Washington na kiti chake cha enzi
ni ‘another Hiroshima’, WWIII.
Marekani moja kwa moja, au kupitia kwa, imeigeuza dunia yote kuwa ni uwanja
wa vita, baada ya 9/11 ambayo ilipigwa na utawala wa Bush mwenyewe, sehemu ya
kupigania vita imekuwa haitoshi kwenye uso wa dunia, vita moja baada ya nyingine
na hakuna dalili ya vita hivyo kuisha leo wala kesho.
Vita ni biashara, lakini pia vita inaihakikishia Marekani uhakika wa
kuendelea kukalia kiti cha enzi, ni nani kati ya Trump na Hillary anaweza
kuendelea na njia hiyo.
Mpango wa Washington ulikuwa ni kuzivamia nchi saba, yaani Iraq,
halafu Syria, Lebanon, Libya, Somalia, Sudan halafu tunamalizia na, Iran”
Hii ndiyo sababu nasema Clinton ndiye atakaye pewa nchi hiyo.
Tunaona mchezo aliofanyiwa Mccain ndiyo ule ule anafanyiwa Trump leo. Chama
kimegawanyika wakati malkia akiendelea kuchanja mbuga kama alivyo fanya mfalme
Obama.
Wakati kampeni zinaanza, chama cha Trump kilichangisha $3.1 Milioni wakati
chama cha Clinton kilikuwa na $28 Milioni. Wakati wanaingia uwanjani mwezi Juni
Trump mkononi alikuwa na $1.3 Clintoni mkononi ana $42 Milioni. Kwanini? Watu
wazito, mabwana wakubwa, wapenda vita, walikuwa nyuma ya Clintoni.
Chanjo
Follow the money ...
Chanjo!
Ring the ball?
Mwaka 2008 wakati wa kampeni Clinton aliulizwa kuhusiana na chanjo na
usalama wake dhidi ya afya ya watoto. Clinton alisema kunauwezekano chanjo
zikawa zinasababisha ugonjwa wa Autisim.
Ghafla Clinton akabadilisha msimamo au akaonesha ngozi yake halisi.
Mashirika ya chanjo na madawa ni moja ya wachangiaji wakubwa kwenye kampeni,
lakini pia wenye ushawishi wa kutosha kuitishia safari ya Clinton kwenda White
House, hivyo msimamo ukabadilika. Akaandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter.
“The science is clear. The earth is round, the sky is blue, and #vaccineswork Let’s protect all our kids #GrandmothersKnowBest.”
Ukweli wa msingi ni kuwa chanjo zina madhara zaidi kuliko faida.
“The science is clear. The earth is round, the sky is blue, and #vaccineswork Let’s protect all our kids #GrandmothersKnowBest.”
Ukweli wa msingi ni kuwa chanjo zina madhara zaidi kuliko faida.
Haijawahi hata mara moja kwenye historia ya uchaguzi wa Marekani kwenye
ngazi ya uraisi, mgombea kugombea kiti hichi mara ya pili baada ya kupoteza
mara ya kwanza. Ni mara ya kwanza kwenye miaka ya karibuni tunamuona Clinton
anafanya hivyo. Alishindwa, au alichagua kushindwa, au aliambiwa asubiri zamu
yake bado wakati wa Obama 2008, amerudi tena, kwa nguvu na kasi mpya.
Kwa sababu ameambiwa na ‘mabwana wakubwa’ nenda, sasa hivi ni zamu yako, CV
yako ya Syria, Iraq, Libya, Afighanistani, msimamo wako wa kuipiga Iran, China,
Urussi unatuthibitishia kuwa ‘Your the Wo-man for the Job’ nenda unazo baraka
zetu, kachukue nchi hii.
CV ya Clinton kwenye Arab Spring.
E-mail 30,000 zimeiandika CV yake vilivyo, email hizo zimeonesha nia ya
uatawala wa mfalme Obama wa kutaka kuipindua serikali ya Syria tangu mwanzo.
Ukiachilia mbali rikodi yake ya karibuni kuhusu Syria na nchi iliyokuwa
inaitwa Libya. Mwana mama huyu amekuwa mstari wa mbele kuunga vita tangu uatawala
wa mume wake.
2002-2003 Hillary aliunga mkono uvamizi wa Iraq, alitoa speech kwenye bunge
la Marekani akishawishi taifa hilo kuunga mkono safari ya kuivamia Iraq.
Hillary alisema,
“Mimi naamini kile kilicho
tusukumua katika maamuzi haya hakina wasiwasi hata chembe. Saddam Hussein ni
dikteta mbaya sana ambaye amewatesa na kuwauwa watu wake mwenyewe, mpaka watu
wa familia yake ili tu abakie madarakani. Alitumia kemikali dhidi ya wa Kurdi
na wa Iran, ameuwa watu zaidi ya 20,000.”
Hakuishia hapo.
Akaelezea namna ambavyo Iraq imesha sambaratisha kwenye Gulf War, na
vikwanzo vya kimataifa na UN, hivyo kazi iliyobakia ni ndogo tu. Kisha
akasisitiza juu ya uwepo wa silaha za maangamizi Iraq, na umuhimu wa kuivamia
na kuzikamata silaha hizo kabla hazijafika kwa Alqaedah. (Curl,
Joseph. “Hillary Clinton Supported Iraq War – Before She Opposed It.”
Washington Times. May 17, 2015.)
Sote tunajua mpaka sasa hakijapatikana hata kuchupa cha sindano cha silaha
za kemikali.
Leo anasema “It was mistake”, lakini majeshi ya Marekani bado yako pale,
“It was mistake”, lakini vikundi vya kigaidi wanavyo viunga mkono bado viko pale, “It
was mistake”, lakini
kimetokea tena Libya na Syria kwa asilimia 100 ya baraka zake, still,
was it mistake or political zeal driven by big corporation who need OIL?
Vipi kuhusu Afighanstan? Mwaka wa kwanza ndani ya ofisi, mfalme Obama,
akaelekea Afighanstan to finish unfinish business with Taliban, kumalizia pale Busha alipoishia kabla
hajaanzisha moto wake. Nani alikuwa nyuma yake kwenye hili? Hillary Clinton.
Iran pia haipo salama kwake. Alihimiza Iran ivamiwe, lakini ilishindikana,
kisha akasema kauli maarufu dhidi ya Iran ambayo Tehran haiwezi kuisahau,
“I want the Iranians to know that if I'm the president, we will attack Iran (if it attacks Israel).
“I want the Iranians to know that if I'm the president, we will attack Iran (if it attacks Israel).
In the next 10 years, during
which they might foolishly consider launching an attack on Israel, we would be
able to totally obliterate them.”
Assad
Kama Katibu Mkuu wa nchi (SS), na kama mgombea wa urais wa Marekani,
msimamo wake ni ‘Assad Must Go’, kama alivyo fanya dhidi ya Ghadaffi na
kuichana chana Libya, anaendelea kutumia mbinu hiyo hiyo dhidi ya Syria, Assad
na utawala wake.
Nani anayenufaika na vita hivi?
Wanaye nufaika na vita hivi ni makampuni, taasisi na mashirika ambayo
yanaiendesha dunia, kama tulivyo ona kwenye posti zilizotangulia. Clinton ni
mwanasesere kama walivyokuwa watangulizi wake, anacho kifanya Clintoni si
kupata sapoti na kura za wa Marekani, bali kupata sapoti na kura za hao mabwana
wakubwa.
Clinton kuunga mkono vita moja baada ya nyingine, kubadili misimamo yake na kusema uongo kila inapobidi, ni kwa ajili na kwasababu moja tu pekee yake, ‘kuwathibitishia mabwana wakubwa kwamba yeye ndiye anayestahiki kiti hicho, na atafanya kila wanacho taka kwa gharama yeyote ile.’
Clinton kuunga mkono vita moja baada ya nyingine, kubadili misimamo yake na kusema uongo kila inapobidi, ni kwa ajili na kwasababu moja tu pekee yake, ‘kuwathibitishia mabwana wakubwa kwamba yeye ndiye anayestahiki kiti hicho, na atafanya kila wanacho taka kwa gharama yeyote ile.’
Hillary ndiye aliyemsukuma, mfalme Obama aendelee kuwapa msaada wa vifaa na fedha magaidi ambao wao waliwapa jina zuri, ‘magaidi wa msimamo wa kati.’ Magaidi hawa wa msimamo wa kati waliokuwa wakipokea msaada kutoka Washington, walichinja watu, walikula nyama zao, walilipua majengo, magari, watu na kila aina ya uharibifu kuhakikisha Assad anang’oka.
lakini ndani ya Washington watu hao waliitwa ‘moderate rebel’ na walipokea misaada ya kijeshi, watu, silaha na hata Mcain aliwatembelea na kupiga nao picha.
Posti imebidi niifanye fupi, kutokana na muda kutokuwa rafiki kwangu,
lakini siku zenyewe kuelekea uchaguzi ni za kuhesabika, na kile ninacho taka ni
msomaji wangu kupata picha ya kile ninacho kizungumzia kwenye posti hizi na
mfano wake, kwamba Historia inaandaliwa haitokei kwa nasibu.
Trump au Clinton haijalishi ni kiasi gani wanatofautiana, kiasi gani
misimamo yao inakizana, kiasi gani wametoleana maneno makali, mwisho wa siku
siyo Trump wala Hillary anaye amua juu ya sera za ndani au za nje za Marekani.
Wanao amua hayo ni Mashirika, makampuni, taasisi kubwa ambao wamekuwa ndiyo
watawala nyuma ya mapazia mazito ya siasa.
Akingia Trump atafanya kile ambacho angekifanya Hillary, na akingia Hillary
atafanya kile ambacho Trump angetakiwa afanye.
Mwisho wa siku haijalishi ni nani anayechaguliwa kuiongoza nchi hiyo, na
hiyo si kwa Marekani tu, bali kwa nchi zote duniani. Kuna wenye nchi na vivuli
vya wenye nchi, wagombea na viongozi si wenye nchi, bali nyuma yao wapo wenye
nchi, wanao amua hatma ya nchi na kuyapitisha kwenye midomo ya wanasiasa.
Kwa uchaguzi huu wa Marekani, wenye nchi, mabwana wakubwa, big
corporations, big brothers, Illuminanti, au vyvovyote vile unavyotaka waitwe,
mtu ambaye anaendana na maono yao, mtu ambaye anaonekana anayo nafasi nzuri ya
kuyatekeleza yale wanayo yataka, mtu ambaye amekuwa kikamilifu akitengeneza
njia na kuyafanya mepesi mambo na mipango yao miovu dhidi ya ulimwengu, mtu
huyo amekuwa ni mwanamama Hillary Clinton.
Kwa kumbukumbu tu, kuna kesi ya mapenzi ya jinsia moja, ambayo ni moja ya
vitu vinavyo mpa mwana mama huyo nafasi ya juu dhidi ya Trump kwenye macho ya
mabwana wa kubwa, lakini kesi hii, iweke pending kidogo, mama huyo akishapewa
nchi nitakuja hapa na kutiririka nayo, hii ni moja ya ‘corner stone’ ya yeye
kupewa nchi, just wait till you see the whole movie, ndiyo kwanza ina-load.
Catch me here next time with another hot post ....
No comments:
Post a Comment