Freemason huficha vitu vyao hadharani, kweupe pee, lakini ni wachache ndiyo tunao weza kuona, post hii inazungumzia namna ambavyo nambari 13 inavyo fichwa hadharani.
Katika
mifumo mbalimbali ya mahesabu na utunzaji wa taarifa kuna kitu kinacho fahamika
kama ‘CODE’. Hii huwa ni muunganiko au mwingiliano wa tarakimu, nambari, herufi
na alama nyinginezo, inaweza kuwa vyote hivyo kwa pamoja au kimoja kati ya
hivyo katika mpangilio maalum unao fahamika na mmiliki wa code hiyo.
Iliyo
nyepesi kabisa katika hili ni ile code ya kutumia herufi kwa tarakimu ambapo
herufi inapewa thamani ya tarakimu. Herufi A ni sawa na nambari 1 na kuendelea
Z inaishia na nambari 26
Jedwali
letu hapo chini linatupa picha ya hichi tunachozungumza.
1
|
2
|
3
|
4
|
5
|
6
|
7
|
8
|
9
|
10
|
11
|
12
|
13
|
14
|
15
|
16
|
17
|
18
|
19
|
20
|
21
|
22
|
23
|
24
|
25
|
26
|
A
|
B
|
C
|
D
|
E
|
F
|
G
|
H
|
I
|
J
|
K
|
L
|
M
|
N
|
O
|
P
|
Q
|
R
|
S
|
T
|
U
|
V
|
W
|
X
|
Y
|
Z
|
Hivyo
basi, code hii ni moja ya code rahisi mno, unaweza kumuandikia mtu ujumbe mfupi
wa maneno na ukatumia tarakimu hizo badala ya herufi na pia unaweza kuifanya
kinyumenyume, A ikawa 26 na Z ikawa ni 1.o na mitandao ya serikali ya
kimasonia, utakuta kwenye majina hayo nambari 13 na 33 zimefichwa kwa kutumia
code hii.
Tizama
kwa makini majina ya taasisi, bidhaa na mengineyo katika orodha hii.
Ø C B S ni sawa na 3 2 – 19 = 13, Alama ya chombo hichi cha habari ni nembo ya jicho moja, maarufu kama, ‘The
Eye of Horus’.
Ø Nembo hiyo ya jicho moja utaikuta
imefichwa kinamna yake kwenye biadhaa nyingine inayo fahamika kama ‘Dairy
Queen’
Ø Tizama
CNN, nayo iko hivi, C N N
= 3 14 14
=3+1+4+1+4=13
Haya njoo kwenye CIA
Ø C
I A (Central Intelligence Agency ) = 3 9 1
3+9+1=13
Ø D
H S (Department of Human Services) = 4 8 19
4x8=32-19=13
Ø F
B I = 6
2 9
6- 2=4+9=13
Ø N
S A = 14
19 1
1+4=5-19=negative14+1=negative13 ?
(-14+1)=
-13?
Ø A
O L (America On-Line) =1 15 12
1+15=16-1=15-2=13
Nembo
yake ni jicho ndani ya Piramid.
Ø F
E M A (Federal Emergency Management
Association) = 6 5 13 1
6-5=1+13=14-1=13
Ø E
P A (Environmental Protection Agency) = 5
16 1
5+1=6+6=12+1=13
Ndiyo kusema sasa tunachajishwa pesa kwa
ajili ya hewa tunayo vuta? Au maana yake ni nini hasa?
Ø M
I 6 (British Intelligence) = 13 9 F
1+3=4+9=13F
F=Freemason
Ø W
H O (World Health Organization) = 23 8 15
2x3=6-8=-2+15=13
UMEMUONA NYOKA KWENYE LOGO HIYO, HUYO NI MUNGU WA KIGIRIKI, KUNASIKU TUTAMZUNGUMZIA INSHALLAH.
Ø K
G B (Russian Intelligence) HII NI MATATA
KIDOGO, IMEFANYWA KWA KINYUME.
K G B = 10 7 2
2x7=14-01=13
Ø
N A T O (North Atlantic Treaties Organization) =14 1 20 15
14-1=13-20=negative 7-1=negative 8-5=negative 13 ?
Ø T
B N (Trinity Broadcasting Network) TRINITY
= 20 2 14 20-2=18-1=17-4=13
UMEONA TAJI LA MFLAME ANAYENGOJEWA JUU YA LOGO HIYO, HILI NADHANI TUMESHA LIZUNGUMZIA, PERUZI KWENYE POST YA TAJI LA MFALME NA UTAJUA NI KWANINI TAJI HILO LIPO KWENYE LOGO HIYO.
Ø U
S A = 21
19 1
2x1=2+1=3+9=12+1=13
Unapo
itizama logo ya McDonald, unaona kitu gani? Herufi kubwa ya rangi ya manjano,
herufi ‘M’, ni ya herufi ya 13 kwenye alfbeti. Lakini kama hiyo haitoshi hata
jinsi inavyo andikwa au kuwekwa inasimama kama 13. McDonald pia umekutikana kuwa ni moja kati ya familia 13 za kishetani.
Tizama kazi ya Fritz Springmeier
Sijui umeona 13 kwenye hizi logo?
Kuwepo kwa nambari 13 kwenye logo kwenye majina ya mbalimbali
inamaanisha nini?
Ø N
F L = 14
6 12 12
6=18-4=14-1=13
Ø N
B A = 14
12 1
14-2=12+1=13
Hii inamaanisha wanayo mikono yao nyuma ya vitu vyote hivyo, na siyo hivyo tu,
wanayo malengo yao maalum juu ya vitu hivyo, na kama tulivyoona kwenye post
iliyopita ni kuwa nambari 13, ni nambari ya MABALAA, MAJANGA NA UASI, na pia
tukajifunza pia kwamba nambari kama alama huwakilisha kitu Fulani au husaidia
kile inachokiwakilisha kutokea, ikiwa hivyo ndivyo, kwa maneno mengine vyombo,
taasisi, nyenzo, vyama, na vinginevyo vilivyo pewa nambari 13, kazi zake ni kuhakikisha vinaleta UASAI, MAJANGA, NA MABALAA KWA UMMA.
Wanamichezo mahiri, wanamuziki wa kimataifa
na wenye majina makubwa, wote wanawatumikia wao kwa namna moja ama nyingine, na
wamiliki wakubwa wa makampuni makubwa, vilabu vikubwa, mashirika makubwa na
hata watu wenye majina makubwa ni eidha wanamilikiwa na Freemason, au
wameruhusiwa kufika hapo walipofika na kufanya hayo wanayo yafanya kwa sababu
na malengo maalum, au na wao ni miongoni mwa wanao simamia ajenda.
Herufi 'M' ni herufi ya 13 kwenye alfabeti, je unajua chombo mahiri kwenye burudani ya muziki kimataifa ...... unajuaa ..... ni 'M' tv
Michael Jackson aliliona hili ndiyo
sababu aliuwawa, na aliyemuuwa Michael Jackson, yaani yule Daktari ni
freemason, Eminemu ni miongoni mwa wanamuziki walio liona hilo,
Haikufaa kwa mtu mweusi kuwa 'King of Pop', so ilibidi wambadilishe rangi awe mweupe, (mzungu) kwa vile alizidi kuwa mbishi, ilibidi wamuondoe ...
The coward who kill the King
wengine ni
DMX, na Wanapigana kutoka, utaona nyimbo
zao nyingi za sasa zinazo ujumbe tofauti kabisa na ule wa awali.
2Pac hakuuwawa
kutokana na ‘BIF’ lake na BIG, lakini kutokana na kwamba alikuwa ni ‘YESU
MWEUSI’ kwa utawala ambao ungependa kumuona mtu mweusi daraja lake ni la chini,
BIG, ilikuwa ni kisingizio tu.
No comments:
Post a Comment