SAMAHANI POST HII HAITAKUWA NA PICHA NYINGI KAMA ZINAVYOKUWA POST NYINGINE....
Moja ya
madhara makubwa ya luninga kwenye majumba yetu ni ‘kutuprogramu’ sisi
watazamaji. Luninga ni zana kama ilivyo zana yeyote ile, na zana si mbaya, ila
ni vipi zana hiyo inatumika, hapo ndipo palipo na matatizo. Nayo luninga
imekuwa ni zana nzuri sana inayo tumiwa na maadui zetu kutuelekeza kule wanapo
pataka wao.
Inautengeneza
ufahamu wetu upya juu ya mambo mbalimbali, tunaita ‘brainwashing’ ,
tunakubaliana na kile kinacho oneshwa kila siku kwenye luninga yetu.
Kati ya
mengi ambayo jamii ya leo au kizazi cha sasa tunachoaminisha katika luninga
zetu na mitandao mingine ya habari ni kuwa ‘MAPENZI NI NGONO’
Dada zetu wanajihisi wao si chochote wala
lolote, si wakamilifu kama hawatofanya au kuonesha kile ambacho wanakiona
kwenye vipindi mbalimbali vya luninga. Lakini mwisho wa siku gharama tunayo
lipa kutikana na haya yote ni kuchanika chanika kwa familia na ndoa zetu.
Katika
karne hii ya mapinduzi ya ‘internet’ ambayo nayo ni zana kama ilivyo luninga,
maadui zetu hawapo nyuma, wanatiririsha kila sekunde ya kila dakika madudu na
machafu ya ngono kupitia mimilioni ya mitandao yao kuja kwa umma kuwajengea
zana kuwa ‘MAPENZI NI NGONO’ badala ya ‘MAPENZI NI FAMILIA.’ Hata watoto wetu
hawapo salama na balaa hili ambalo ni hatari zaidi hata ukilinganisha na
luninga kwa wakazi wa mijini, kama mafuta kwenye moto unao waka, sheria zinazo
sema kuwa zinakuja kuwalinda watoto ndiyo kwanza zinawapa uhuru wa kuperuzi
kwenye mitandao hiyo bila kubughudhiwa na mzazi.
Kampeni
kubwa inayo fanyika sasa ni kuwaambia walimwengu kuwa USHOGA ni maumbile ya
kibaiolojia na wanaweka nukta yao kwenye DNA. Hii ikiwaambia walimwengu kuwa
huwezi kujizuia kuwa SHOGA kama DNA yako imebeba vichocheo hivyo.
Lakini
wakati wakipaza sauti hizo, nyuma ya mapazia wanatiririsha katika kila kile
ambacho tunaweza kukiona au kukisikia hadithi na habari za ushoga.
Wanapandikiza dhana ya ushoga kuwa ni sawa na sahihi na haina haja kwa jamii
kuwapinga wala kuwatenga.
Utaona
kwenye mamilioni ya filamu za sasa, muziki ambavyo havihusiani kabisa na ngono
wameweka viashiria vinavyo pigia debe ushoga, mpaka kwenye katuni maarufu za
watoto hayo yanazungumziwa waziwazi. Ni kweli tupo makini na kile ambacho
watoto wetu wanacho kitizama?
Playboy
siyo kitu kilicho tokea kwa bahati mbaya, ni mpango wa kijamii uliwekwa vyema
kupigia kampeni ushoga na kuichanachana familia.
Familia
ni kikwazo kikubwa mno kwenye mipango ya Illuminanti, familia lazima ife,
familia ni serikali kamili ambayo inatishia uwepo wa New World Order (NWO),
Sababu familia inafundisha kuwa ‘MAPENZI NI FAMILIA’ inafundisha ‘THAMANI YA
UTU DHIDI YA VITU’ familia ‘INAMTENGENEZA MTU NA SIYO MWANAJAMII’ familia,
‘INASIMAMISHA MISINGI NA KUJENGA MISINGI YA UTU DHIDI YA MISINGI YA KIJAMII’
FAMILIA ....
Hivyo
familia lazima ivunjwe kwa bei yeyote ile, kampeni za haki sawa, kampeni za
haki za wanawake, kampeni za ushoga, kampeni za uzazi wa mpango zote hizi ni
risasi na mabomu dhidi ya familia, zote hizo zinalenga kitu kimoja,
kuisambaratisha familia. Leo jiulize taasisi ya ndoa iko wapi? Jiulize kwa nini
ndoa hazidumu? Kwanini vijana wa kileo wanao kuoana ni suala la kizamani?
AJENDA
NI NINI KWENYE HILI?
Agenda
kuu ya kampeni za ushoga ni kupindua akili na mawazo yetu katika kulikubali
suala la kishoga kuwa ni suala la kijamii. Hili pia litawasaidia katika kampeni
ya uzazi wa mpango kwa vile mashoga wanajiamiana lakini hawapati watoto. Lakini
katika kuhakikisha kizazi cha mashoga kinaendelea sheria zinakuja, na kwenye
baadhi ya nchi zimeshaanza kutumika, ambazo zinawaruhusu mashoga kuasili
(adaptation) watoto, wawalee kama watoto wao, unadhani watoto hawa ambao
wanachukuliwa na mashoga na kuishi nao watakuwa kama wanafamilia wengine?
Tafsiri
ya ‘ushoga’ nayo wanaibadilisha, hivi sasa wanaita ni ‘mtindo tu wa maisha’
(lifestyle) au ‘uchaguzi wa aina ya mapenzi’, ili waweze kuuingiza umma kwenye
mtego mchafu na uovu kabisa wa kijamii.
Haijalishi
ni katikia mazingira gani umekuwa wewe ni shoga, tafsiri na dhana ya hali hiyo
siyo kitu kinachokubalika kwenye jamii, haijalishi chakula kimepakuliwa katika
sahani gani, hata kama kitawekwa kwenye sahani ya dhahabu, iliyonakshiwa na
kile jiwe la thamani katika uso wa dunia, kamani mavi ni mavi tu, sahani hiyo
haiwezi kubadilisha mavi hayo kuwa ni biriani.
Ngono
baina ya mume na mke ni kwa ajili ya kupata watoto, na hili la kupata watoto
ndiyo nambari moja kwenye orodha. Sasa tendo la ushoga linasimama wapi?
Ikiwa
ngono kwa watu wenye jinsia mbili tofauti imekatazwa na kijamii imethibitika
kuwa si jambo lenye kufaa kabla ya kufunga ndoa, na hapo ndipo thamani ya ngono
kwa wanandoa inapoonekana, yaani ni tendo takatifu ambalo kuliendea lazima
taratibu fulanifulani za kijamii na kifamilia zikamilike.
Bila ya
hapo tendo hilo linakuwa limeshushwa thamani yake na kuwa si takatifu tena,
bali ni uchafu na hata kinacho patikana katika mwingiliano huo, yaani mtoto
naye hatakuwa na nafasi yeyote katika wawili hao zaidi ya mtoto wa mama, kwenye
sheria za Kiislamu za mirathi mtoto huyu haruhusiwi kurithi chochote kutoka kwa
baba yake, hatambuliwi kama ni mtoto wa baba, wala baba hawezi akamshika mkono
mtoto huyu na kumuozesha kwa familia nyingine, huyu ni kama mtoto wa jamii.
Lakini
hadithi ni tofauti mtoto huyu anapo patikana ndani ya ndoa halali. Hivyo utaona
tendo la ndoa linayo thamani yake kubwa na takatifu kutokana na matokeo yake,
matokeo ya kuleta mwanafamilia mwingine ndani ya nyumba.
Sasa
utaona kitendo cha ushoga kuwa wala hakipo hata karibu na kile cha kuleta mtoto
wa haramu ambacho nacho tunakijua kuwa ni uchafu, sasa ni vipi basi ushoga uwe
ni ‘uchaguzi wa aina ya mapenzi’ au life style?
Maadui
zetu wametumia ‘ukombozi wa kijinsia’ kuizamisha jamii na kusimamisha utawala
wao dhidi ya familia. Kama alivyo sema mwanamapinduzi wa kimasonia, Giuseppe
Mazzini, “Tunabomoa maadili ili tuweze kutawala”
Illuminanti
mipango yao ni kusimamisha serikali ya dunia, lakini huwezi ukaisimamisha
serikali hiyo chafu na ya kishetani kwa watu huru na walio wasafi, lazima
uwapore uhuru wao kwanza, halafu uwavunjevunje kimaadili, na hichi hasa ndiyo
maana ya ushoga, unadhani kuwa hawafahamu kuwa ushoga ni uchafu na uozo na kitu
kisicho faa kwa umma? Wanajua hili, lakini hii ni biashara nzuri na zana nzuri
ya kufanikisha malengo yao, kama kinyesi kilicho pakuliwa kwenye sahani ya
dhahabu, unataka sahani hiyo, kula hayo mavi kwanza, na watu wanakula mavi na
mwisho wa siku hata hiyo sahani hawaipati.
Filamu
za ushoga zinazidi kumiminika kwenye soko la filamu za ngono. Wateja wa filamu
za ngono wanaishia kwenye kupiga punyeto na kubeba dhana za uongo juu ya
thamani ya tendo la ngono kwenye vichwa vyao. Wanaume hawakai tena kwenye ndoa
zao.
Malengo
ya wanaharakati za ushoga yapo wazi kabisa, malengo yao ni kuipindua mfumo wa
ndoa za jinsia mbili tofauti (heterosexuality).
Kupitia
filamu za ngono umma unaambiwa kuwa kabla hujafunga ndoa kuna mahala unaweza
kwenda kujaribu kama ni sawa kuwa kwenye ndoa au la, yaani kufanya ngono
ovyoovyo na watu tofautitofauti. Mwaka 2006 soko la filamu za ngono walikuwa
wakitarajia kuvuna faida ya dola bilioni 12 kwa mwaka. Interenet inayo maelfu
na maelfu ya mitandao ya ngono, tamthilia na filamuza lunimga na miziki ya
kisasa ni mafuta kwenye moto unao waka, ngono, ngono. Ngono kila mahali.
Unaweza
ukawa unaperuzi kwenye mitandao isiyo ya ngono kwa shughuli zako za kila siku
na wala hauna mpango na mawazo hayop ya ngono, lakini ghafla bila idhini yako,
ukurasa wa ngono unatokea kwenye kioo chako cha kompyuta na kukualika
kutembelea ukurasa huo. Hali ni mbaya sana.
Mitandao
hii inatubadilisha sisi wanaume namna vile tunavyo watizama wanawake, au
inatubadilisha mitazamo yetu juu ya wanawake.
Tunafundishwa
tusiwatizame tena kama mama na dada zetu, bali kama kifaa cha ngono au zana ya
kufanyia ngono ambayo utaifanya upendavyo.
Wakati kampeni hizo zikiendelea kwa upande mmoja, kwa upande mwingie
kama za kumfanya mwanamke sawa na mwanaume nazo zinashika moto, dada zetu
wanaamini kuwa wao wapo kwa kazi moja tu, ‘kumfurahisha mwanaume’. Mavazi yaoa
yanasema hivyo, mazungumzo yao na kila kile wanacho kifanya, wakati mama zetu
wanapaza sauti kwa upande mwingine ‘Haki sawa’. Basi ilimradi ni vurugu tu
mwanzo mwisho.
Leo hii
kama unataka kuuza kitu chako harakaharaka basi kinasibishe na ngono, na kama
unataka msaada wa harakaharaka kwenye jambo lako, basi linasibishe na haki
sawa.
Mwanaume
haoni kwanini afunge ndoa ikiwa akihitaji ‘huduma’ ya ngono ni kuruka tu
barabara na kwenda mtaa wa pili na anapata huduma hiyo bila usumbufu. Majukumu
ya kuwa na watoto yamepitwa na wakati. Mwanamke naye anaona yanini kuzaa na
kujizeesha, kama ni pesa ni gari ni nyumba nitapata cha kufanya ni kumtimizia
mwanaume kile anacho taka. Shoga naye anaona hana haja ya kijificha tena, Obama
na Cameroon na Bankmoon wanawatetea vizuri hata serikali zetu zimelazimishwa
kuwatambua? Jiulize kwenye vurugu hili familia iko wapi?
THAT IS WHAT CAMEROON SAID
Ingawa
makampuni ya kutengeneza filamu za ngono yanatengeneza mabilioni ya dola kila
mwaka, lakini karibu asilimia tisini ya kazi zao zinapatikana bure kwenye mitandao
mbalimbali, majarida yao yanatolewa bure kwenye klabu za usiku na makasino, ni
wapi faida hiyo inapotokea ikiwa kila kitu chao ni karibu na bure, wapi
wanapatia pesa za kuwalipa wachezaji wa filamu hizo, waongozaji na majumba ya
kuchezea filamu hizo na juu ya yote waweze kulipa kodi kwa serikali kwa baadhi
ya nchi?
Kuna
ambaye anayelipa kwa ajili wewe utizame filamu hizo bure.
Kuna
ambaye ananunua majarida hayo kisha anakugawia wewe bure.
Kuna
ambaye anatoa pesa yake mfukoni kuwalipa wacheza filamu hizo ili wewe uzitizame
bure.
Je yeye
anakupenda sana?
Kama
ambavyo yupo yule ambaye nailipia chanjo ili uweze kuipata bure, yupo yule
ambaye anayelipia madawa ya kuongeza nguvu/ kurefusha maisha ili wewe uyapate
bure, yupo yule anaye lipia vyandarua vilivyo tiwa dawa ili wewe uvipate bure
na ... na .... na .... jiulize je hao wanakupanda sana?
No free
lunch my friend.
Utakuja
kulipa tu gharama ya vitu hivyo punde au baadaye kidogo, na tumeshaanza kuilipa
gharama hizo, madhara ya madawa ya kurefusha maisha tunayaona, madhara ya
chanjo halikadhalika, madhara ya vyandarua vilivyo tiwa dawa ndiyo usiseme, na
madhara ya filamu hizi nayo yapo mbele yetu yanatutolea macho.
Hivyi
ni vita na sisi ndiyo walengwa....
No comments:
Post a Comment