Wanasayansi
wa illuminanti lutoka kwenye makampuni yao kama vile I.G. Farben, BASF,
Hoechst, Dow na Bayer, ambao pia walihusika na kutenegeneza vyumba vya gesi
ambavyo waliwachoma humo watu ambao kwenye historia wanafahamika kama
‘wayahudi’ ingawa ni upotoshaji wa hustoria, hawakuwa wayahudi bali Khazri,
lakini pia walitengeneza chanjo ambazo kwa Khazari walitumiwa kama panya wa maabara.
Baada
ya WW II wanasayansi hawa walichukuliwa na serikali ya Marekani miaka 4-7 baada
ya kesi zao kusikilizwa, kukutwa na hatia na hatimaye kupelekwa kifungoni,
ispokuwa mchezo wa kuigiza ulifanyika na wanasayansi hawa wauwaji walihamishiwa
Marekani kwenye mpango uliofahamika kama PAPER CLIP.
Walipo
ingia Marekani waliruhusiwa kufanya kazi kwenye mashirika ya Marekani na kwenye
viwanda vya madawa ya taifa hilo. Makosa waliyo kutwa nayo yalitosha kabisa
kuhukumiwa kunyongwa. Lakini badala yake walipata ajira ya kudumu kwenye
makampuni ambayo yanahusika na kuzalisha chanjo mpaka hivi leo.
Katika
hao wengine waliajiriwa mara tu baada ya kutoka jela, yaani anatoka kwenye gari
la magereza anaingia ofisini, kumbuka hawa ni wauwaji, watesaji wa kiNAZI, na
wanakwenda kuajiriwa kwenye fani ileile ambayo awali ilipelekea wao kukutwa na
hatia. Bado unadhani kuwa chanjo iko salama.
Wakati
wa WWII jengo la kampuni ya kemikali na madawa la IG Farben lililopo Frankfort
halikuguswa na mabomu ya majeshi ya wavamizi, na hili ni jengo ambalo Hitler na
wenzake walilitumia kuzalisha kemikali na silaha zingine za kibaiolojia, lakini
hata kidogo halikuguswa.
Mtu
kama Fritz ter Meer alipatikana na makosa ya kufanya utumwa na mauwaji huko
kwenye kambi za Auschwitz, alihukumiwa kwenda jela miaka saba na baada ya hapo
akatoka na kufanywa mwenyekiti wa bodi ya BAYER mwaka 1956.
Mtu
mwingine Carl Krauch, alikuwa mwanachama mkuu na mdau kwenye kampuni ya IG
Farben na pia kiongozi wa mabo ya uchumi kwenye jeshi la Hitler, alikutwa na
hatia ya kufanya utumwa na kufanya mauwaji aya halaiki, alihukumiwa kwenda
jela, na alikaa miaka sita tu, kisha akatolewa na kuwa mwenyekiti wa Bodi ya
BASF mwaka 1952.
Viwanda
vya chanjo na madawa ambavyo vimeweza kuwa na nguvu ya kuwatoa jela wauwaji wa
halaiki ambao wamekutikana na makosa kadhaa, na kisha kuweza kuwaajiri wauwaji
hao katika nafasi za juu mno kwenye mashirikia yao, unadhani bidhaa za wauwaji
hawa zitakuwa tofauti na zile zilizo wafanya wakasimamishwa kizimbani? Kampuni
ambayo alihusika kuzalisha na kutengeneza chemba za gesi ambazo watu
walichomwa, kampuni hiyo ilikuja kununuliwa na kampuni ya BAYER, ambayo kama
tulivyoona mmoja wa wauwaji wale alikuja tena kupata ajira ndani ya BAYER.
Sasa ni
nani ambaye unaye weza kumuamini na afya ya mwanao?
MJENGO WA BAYER
Chanjo
za leo siyo tu kwamba zinayo virusi hai ndani yake, lakini pia zimebeba
magonjwa, zimebeba GMOs, homoni kutoka kwenye ng’ombe waliyo athirika, nguruwe,
kuku, nyani, mchanganyiko wa virusi mbalimbali kama wale wa H1N1, aluminum,
mercury, emulsifiers, na bakteria kutoka kwa wanyama, ndege na wadudu ambao
genetiki zao zimechanganywa. Chanjo ni bomu.
1.
Measles Live
Virus Vaccine: Inazalishwa na Merck, dozi yake ni sindano mbili, moja wakati
akiwa na mwaka mmoja na nyingine wakati akiwa na miaka 4. Chanjo hiyo inayo
vitu kama gelatin, sorbitol, sodium chloride, bovine cow serum, egg protein and
human albumin.
2.
Measles and
Mumps Live Virus Vaccine: (M-M-Rvax) inatengenezwa na Merck. Anachomwa nayo
mtoto mwenye mwaka mmoja. Inayo vitu kama gelatin, sorbitol, sodium chloride,
bovine cow serum, and human albumin.
3.
Diptheria,
Tetanus and Polio Vaccine: Unachomwa sindano Tano zinazo tolewa baina ya miaka
2 na 6 kisha inafatiwa na kile kinacho fahamika kama Booster kinachotolewa kila
baada ya miaka 10. Inatengenzwa na vitu kama formaldehyde, phenoxyethanol and
aluminum phosphate.
4.
DTaP, IPV, HBV
na Hib*: (Diphtheria, tetanus, polio, hepatitis B na Haemophilus influenza type
B) Inatolewa kwa watoto wachanga wa miezi 2 mpaka 12. Chanjo hii inavyo vitu
kama aluminum hydroxide, formaldehyde, na bovine cow serum.
5.
Gardasil HPV:
Human Papillomavirus Vaccine inatengeneza na Merck. Inatolewa na watoto wenye
umri mdogo kati ya miaka 9. Chanjo hiyo inayo vitu kama polysorbate 80, sodium
chloride, aluminum, and a "denatured" kutoka kwenye virusi mbalimbali.
TUTIZAME
KWA UCHACHE VITU TULIVYO VITAJA KAMA VIPO NDANI YA CHANJO NA MADHARA YAKE NDANI
YA MIILI YETU.
1.
Bovine cow serum: hii inatolewa kutoka kwenye
ngozi ya ng’ombe. Kuwepo kwake ndani ya aina fulani ya chanjo kunasababisha,
aliyechomwa kuvurugika kwa mpangilio wa tishu (seli hai) ndani ya mwili wake, shinikizo
la damu ya kushuka, maumivu kwenye kifua, magonjwa ya ngozi, uvimbe na maumivu
kwenye viungiao.
2.
Gelatin: Hii
nayo inatolewa kwenye seli zilizopo katika ngozi ya ng’ombe na pia mifupa.
Mgonjwa napo patiwa Chanjo yenye mchanganyiko huu unakuwa yupo hatarini kupata
maradhi ya kichaa cha ng’ombe. Ukuaji wa seli hai na homoni zisizo asili.
3.
• Sodium
chloride: Mchanganyiko huu ndani ya chanjo unasababisha kuongezeka kwa
shinikizo la damu na pia unazuia ukuaji wa misuli.
4.
Egg protein: Chanjo katika hatua zake za awali
inapotengenezwa, huchukuliwa ule ute wa yai, lakini katika hili huwa yai na
kiini chenye hayapo kwenye hali ya usafi na hivyo kutoa nafasi ya kuwemo kwa
bakteria, pia kinachanganywa na antibiotics.
5.
Thimerosal: Hii ni sumu mbaya sana kwenye
ubongo inayo sababisha ugonjwa wa autisim kutokana na kuwepo kwa mercury.
Katika ujazo wa kawaida wa chanjo anayo patiwa mtoto zinakuwepo kwa ujazo wa 25
micrograms, na kiasi ambacho kinaweza kuwa salama cha mercury ni ujazo wa 5
micrograms, hivyo basi mtoto anaye chanjwa mara kwa mara na dozi zaidi ya moja
ya chanjo kwa siku ni kuwa mtoto huyo anapokea mara 10 zaidi ya kiasi salama
cha mercury ambacho mtoto angeshauriwa kupokea.
6.
Human albumin:
Hichi ni kiasi fulani cha protini kutoka kwenye ‘white blood cell’ za mwanadam;
muhusika anapo chomwa na chanjo yenye mchanganyiko huu humsababbishia kupata
homa,kuhisi baridi kali mpaka kutetemeka,mwasho, maumivu ya kichwa, tabu ya
kupumua, mapigo ya moyo kwenda kasi,inaweza kusababisha kufa kwa kiasi kikubwa
cha seli hai na hivyo kusababbisha upungufu wa kinga, pia inaweza kuwa na
virusi wa SV40, au UKIMWI, AU SARATANI AU HOMA YA MANJANO kutegemea na kwa mtu
gani hzi protini zimechukuliwa.
7.
Formaldehyde: kimiminika kilicho na sumu mbaya
inayotumika kuhifadhia maiti ya kiumbe chochote ili isioze. Imewekwa kwenye
kundi la vitu hatari mno kwenye afya ya mwanadamu. Inaweza kusababisha kufa
kabisa kwa kiungo kinacho itwa INI ndani ya mwili wa binadamu, inaweza
kusababisha tasa ama ugumba, inaweza kumpatia mtu aliyo chomwa chanjo matatizo
ya kupumua na hata saratani.
8.
Phenoxyethanol: hii ni kemikali iliyo na simu
mno, na yenye madhara makubwa kwenye ubongo, ini na kibofu. Shirika la madawa
na chakula la Marekani limetoa tahadhari kuhusiana na sumu hii kutumika kwenye
vipodozi kwamba inaweza kusababisha mtu akazimika kabisa kutokana na
kushambuliwa kwa mfumo mzima wa fahamu. Hii ni kwa kutumiwa kama kipodozi,
unadhani ni madhara kiasi gani pale mwanao anapo pokea tone la chanjo ambalo
ndani yake imo sumu hii?
9.
Aluminum
phosphate: Hii inaongeza sumu zaidi kwenye ambayo nayo ni kisababishi kikubwa
cha ugonjwa wa autisim kwa watoto.
Waweza tembelea vyanzo hivi kwa taarifa zaidi kuhusiana na chanjo ili uweze kufahamu namna gani ya kujilinda wewe na familia yako ...
-
-
-
-
-
-
-
No comments:
Post a Comment